{"id":933,"date":"2005-04-18T13:40:01","date_gmt":"2005-04-18T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/18\/vyombo-vya-habari-udhibiti-kwa-njia-ya-mtutu\/"},"modified":"2005-04-18T13:40:01","modified_gmt":"2005-04-18T13:40:01","slug":"vyombo-vya-habari-udhibiti-kwa-njia-ya-mtutu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/18\/vyombo-vya-habari-udhibiti-kwa-njia-ya-mtutu\/","title":{"rendered":"VYOMBO VYA HABARI: Udhibiti kwa Njia ya Mtutu"},"content":{"rendered":"<p>NEW YORK, Ap&#341;ili 14 (IPS) &ndash; Hakuna mmojawapo wa waandishi wa haba&#341;i ambao bila ya hofu waliweza kudai haki za binadamu na uhu&#341;u wa kujieleza pamoja na kuwepo kwa vitisho vya kufanyiwa fujo ataweza kupokea Tuzo ya mwaka 2005ya PEN\/Ba&#341;ba&#341;a Goldsmith F&#341;eedom to W&#341;ite yeye mwenyewe wiki ijayo.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hii ni kutokana na kwamba mmoja wao, Ali Al&ndash;Domaini, anateketea katika ge&#341;eza nchini Saudi A&#341;abia, na mwingine, Deyda Hyda&#341;a, alipigwa &#341;isasi na kufa&#341;iki dunia mwezi Desemba uliopita. <\/p>\n<p>Ali Al&ndash;Domaini ni mmoja wa wasomi wachache sana wanaojulikana sana sasa ambaye yupo jela kutokana na kukosoa kazi ya Tume mpya ya Haki za Binadamu nchini Saudi A&#341;abia kutokana na kukosa upana na uhoda&#341;i katika mageuzi yake, na kupanga kuanzisha tume yake mwenyewe, ambayo ingekuwa na ufanisi zaidi. <\/p>\n<p>Deyda Hyda&#341;a, nshindi wa kwanza kupokea tuzo ya haki za binadamu, aliweza kutetea uhu&#341;u wa haba&#341;i kwa njia ya amani katika nchi ya Gambia kwa miaka mingi. Lakini Desemba 16, 2004, siku moja baada ya kupinga waziwazi she&#341;ia mpya ya vyombo vya haba&#341;i nchini Gambia, Hyda&#341;a alipigwa &#341;isasi ya kichwa na kifuani na mtu asiyejulikana. <\/p>\n<p>Tuzo hizo ambazo zinatambua waandishi mashuhu&#341;i kimataifa walioadhibiwa kutokana na kutetea haki ya uhu&#341;u wa haba&#341;i, zitatolewa katika Chakula cha Usiku cha Kuadhimisha Kumalizika kwa Mwaka katika shi&#341;ika la PEN Ap&#341;ili 20 katika Makumbusho ya Histo&#341;ia ya Asili ya Ame&#341;ika mjini New Yo&#341;k. <\/p>\n<p>Kulingana na Mku&#341;ugenzi wa Mipango wa Uhu&#341;u wa Kuandika La&#341;&#341;y Siems, shi&#341;ika la PEN nchini Ma&#341;ekani linamatumaini kwamba tuzo hiyo itachochea kuachiliwa hu&#341;u kwa Al&ndash;Domaini. <\/p>\n<p>&#8220;Hili ndilo lengo la tuzo hizi,&#8221; aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS, &#8220;na zimewahi kuwa na mafanikio mazu&#341;i. Tunatoa tuzo hizi kwasababu ni njia za kuelekeza hisia za kimataifa katika masuala muhimu.&#8221; <\/p>\n<p>Katika kipindi cha miaka 19 iliyopita, Kituo cha PEN kimeshatoa tuzo kwa wanaume na wanawake 37, ambapo miongoni mwao 29 walikuwa kifungoni wakati walipopewa tuzo hizo. Kati ya hao 27 waliachiliwa hu&#341;u. <\/p>\n<p>Siems anasema kwamba &#8220;udhibiti kwa njia ya &#341;isasi&#8221; unazidi kuwa kitu cha kawaida na kulaumu kwamba ni asilimia 35 ya wauaji 245 wa waandishi wa haba&#341;i katika kipindi cha miaka 10 iliyopita wamepewa adhabu.<\/p>\n<p>Al&ndash;Domaini, mwandishi wa mashai&#341;i na vitabu, alikamatwa Machi 15, 2004 akiwa pamoja na wasomi wengine 11 maa&#341;ufu nchini Saudi A&#341;abia kutokana na kukosoa tume ya kwanza ya haki za binadamu nchini Saudi A&#341;abia. <\/p>\n<p>Kuwekwa kwao kizuiazini kumepooza jitihada za ufalme huo kukuza haki za ki&#341;aia, ambazo zilikuja kufanya kazi zaidi baada ya nchi hiyo kutangza chaguzi zake za kwanza katika manisipaa. Makundi ya &#341;aia yalipeleka pingamizi zao kwa mfalme aliyewekwa mada&#341;akani mwaka 2003 wakitaka maendeleo katika kukomesha ubaguzi dhidi ya &#341;aia wachache wa dhehebu la Shi na kushinikiza upatikanaji wa haki za wanawake na katiba ya kifalme. <\/p>\n<p>Lakini wakati ambapo Wiza&#341;a ya Mambo ya Kigeni ya Ma&#341;ekani ilisema katika Ripoti yake ya 2004 kuhusu Vitendo vya Haki za Binadamu, &#8220;baada ya kukamatwa kwa wanamageuzi mwezi Machi, hakukuwa na pingamizi zaidi.&#8221;<\/p>\n<p>Ma&#341;a tu baada ya Al&ndash;Domaini na wenzake kukamatwa Wiza&#341;a ya Mambo ya Ndani ilitangaza kwamba wafungwa 12 walituhumiwa kutoa &#8220;tamshi ambayo yanaenda kinyume na umoja na mshikamano wa jamii&#8230;kwa kuzingatia dini ya Kiislamu.&#8221; <\/p>\n<p>Tangu wakati huo wafungwa nane wameshaachiliwa hu&#341;u, lakini Al&ndash;Domaini na wasomi wengine wawili maa&#341;ufu walikamatwa, imeelezewa kwamba ni baada ya kukataa kusaini wa&#341;aka wa kukana uanaha&#341;akati wao wa kisiasa. Se&#341;ikali iliwashitaki, ikiwa ni pamoja na mambo mengine, kutokana na kutishia umoja wa kitaifa, na kuleta wasi wasi kuhusu uhu&#341;u wa mahakama ya Saudi A&#341;abia na kuunga mkono vu&#341;ugu. <\/p>\n<p>Mwezi Agosti 9, 2004, hukumu ya Al&ndash;Domaini ilianza katika mahakama ya Kiislamu ya Riyadh. Lakini mahakama iliahi&#341;ishwa mapema Oktoba 2004 kwasababu watuhumiwa walikataa kujibu maswali katika mahakama ya ndani. <\/p>\n<p>Wiki mbili zilizopita kesi nyingine ya mahakama ilisikilizwa, lakini Siems aliiambia IPS kwamba watuhumiwa watatu bado waliendelea kukataa kujibu maswali hadi hapo hukumu itakapoendeshwa wazi wazi. <\/p>\n<p>Al&ndash;Domaini ali&#341;ipotiwa alitoa ushahidi wa saa moja na nusu akijitetea ambapo aliiambia mahakama kwamba mjadala wa kishe&#341;ia ulikuwa ukifunika suala kubwa la mageuzi. Kusikilizwa zaidi kwa kesi kuliahi&#341;ishwa kwa muda wa siku 20 kufuatia ombi la mwendesha mashitaka ili kupata muda zaidi wa kutoa ushahidi. <\/p>\n<p>Baada ya mwaka na mwezi mmoja, Al&ndash;Domaini ana wenzake wawaili bado wapo katika kizuizi. Al&ndash;Domaini haku&#341;usiwa kuonana na baba yake kabla ya kifo chake Oktoba, na mwanashe&#341;ia aliyekuwa akimwakilisha mmoja wa mtetezi wa Al&ndash;Domaini alikamatwa mwezi Novemba kutokana na kumkabili wazi wazi Mfalme Abdullah kutoa hukumu ya haki kwa wasomi hao watatu. <\/p>\n<p>Katika tangazo la hivi ka&#341;ibuni kuhusu tuzo zijazo mjini New Yo&#341;k, Siems alisema kwamba macho ya dunia yalielekezwa katika fu&#341;sa mpya katika ushi&#341;iki wa kisiasa na uhu&#341;u wa kuijieleza katika Masha&#341;iki ya Kati. <\/p>\n<p>&#8220;Maendeleo haya ni muhimu sana kwa watu kama Ali Al&ndash;Domaini, kiongozi wa wasomi ambaye wazi wazi na kwa njia ya amani alitetea mageuzi kwa hata&#341;i zake kubwa binafsi,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Hadithi ya Deyd&#341;a Hyda&#341;a pia inatia moyo sana. Mwaka 1991, Hyda&#341;a na mwenzake waliazisha gazeti la The Point, ambapo wakati huo lilikuwa ni gazeti pekee nchini Gambia kutoa taa&#341;ifa na taha&#341;i&#341;i ambazo zilipinga wazi wazi se&#341;ikali. Kazi yake katika The Point ilimfanya kuwa nembo muhimu katika jitihada za kukuza uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i nchini humo. <\/p>\n<p>Wakati uhu&#341;u wa haba&#341;i nchini Gambia hivi ka&#341;ibuni ulipoanza kupotea katika hali ya kushangaza, Hyda&#341;a na waandishi wengine watatu hu&#341;u walichukua hatua za kishe&#341;ia. Mwezi Septemba 2003, yeye na wafanyakazi wenzake waliandaa mashitaka kupinga she&#341;ia ya mwaka 2002 inayotaka waandishi wa haba&#341;i wote na mashi&#341;ika ya haba&#341;i kujiandikisha na kupata leseni inayodumu kwa mwaka mmoja katika tume ya vyombo vya haba&#341;i. <\/p>\n<p>Kabla kesi hiyo haijashughulikiwa na Mahakama Kuu (bado inasubi&#341;i), kikundi chenye uhusiano na chama tawala, kinachotambulika kama G&#341;een Boys, kilianza kutishia watuhumiwa kwa upande wa utetezi na kuwashambulia waandishi hu&#341;u wa haba&#341;i. <\/p>\n<p>Kabla ya mauaji ya Hyda&#341;a, Bunge la Gambia lilipitisha she&#341;ia mpya ya vyombo vya haba&#341;i inayowataka waandishi wa kazi yoyote ya iliyochapishwa ambayo inaangukia katika kashfa, au ambayo itaonekana kuwa &#8220;kashfa dhidi ya se&#341;ikali&#8221;, kuumikia kwa uchache miezi 6&ndash;katika jela kutokana na kosa la kwanza, na miezi mitatu kwa ku&#341;udia kosa. <\/p>\n<p>Hyda&#341;a na waandishi wengine walipinga wazi wazi she&#341;ia hiyo, na siku moja kabla ya kuuliwa, Hyda&#341;a alichapisha taha&#341;i&#341;i inayolaani she&#341;ia hiyo. Wakati wa kifo chake alikuwa akifanya kazi ya kuanzisha kituo kipya cha PEN nchini Gambia. <\/p>\n<p>Feb&#341;ua&#341;i 2005, se&#341;ikali ya Gambia ilimkamata mfanyabiasha&#341;a wa Lebanon kuhusika kuuwa na Deyda Hyda&#341;a, lakini wafanyakazi wenzake wanataka kufanyika kwa uchunguzi dhidi ya G&#341;een Boys na mashambulizi mengine mengi ya hivi ka&#341;ibuni dhidi ya waandishi wa vyombo vya haba&#341;i binafsi. Idadi kubwa ya waandishi wanasemekana kuikimbia nchi tangu kifo cha Hyda&#341;a. <\/p>\n<p>Siems anasema washindi wa mwaka huu walichaguliwa kwasababu wanawakilisha dhama mbili muhimu katika jitihada za uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i. Wakati ambapo magezi ya vyombo vya haba&#341;i katika Masha&#341;iki ya Kati vinatazamwa zaidi kimataifa sasa, Gambia ni hadithi ambayo haionekani, alisema. <\/p>\n<p>&#8220;Hadithi ya Hyda&#341;a ni moja ya hadithi kwa za kikatili zinazokinaisha ambazo zimejitokeza nje ya mwanga wa kimataifa,&#8221; alisema, na &#8220;moja ya hadithi zilizokuwa zikilegalega katika miaka ya hivi ka&#341;ibuni.&#8221; <\/p>\n<p>Hatma ya baadaye ya wanaume hao wawili, alisema, &#8220;ni kipimo muhimu cha jinsi ya mageuzi halisi yanaendelea katika nchi hizo.&#8221; (END\/2005)<\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NEW YORK, Ap&#341;ili 14 (IPS) &ndash; Hakuna mmojawapo wa waandishi wa haba&#341;i ambao bila ya hofu waliweza kudai haki za binadamu na uhu&#341;u wa kujieleza pamoja na kuwepo kwa vitisho vya kufanyiwa fujo ataweza kupokea Tuzo ya mwaka 2005ya PEN\/Ba&#341;ba&#341;a Goldsmith F&#341;eedom to W&#341;ite yeye mwenyewe wiki ijayo. Hii ni kutokana na kwamba mmoja wao,&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":198,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-933","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/933","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/198"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=933"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/933\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=933"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=933"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=933"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}