{"id":929,"date":"2005-04-14T13:40:01","date_gmt":"2005-04-14T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/14\/sudan-wanawake-wataka-asilimia-30-ya-uwakilishi\/"},"modified":"2005-04-14T13:40:01","modified_gmt":"2005-04-14T13:40:01","slug":"sudan-wanawake-wataka-asilimia-30-ya-uwakilishi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/14\/sudan-wanawake-wataka-asilimia-30-ya-uwakilishi\/","title":{"rendered":"SUDAN: Wanawake Wataka Asilimia 30 ya Uwakilishi"},"content":{"rendered":"<p>LONDON, Ap&#341;ili 11 (IPS) &ndash; Vikundi vya wanawake nchini Sudan vimeungana katika kudai kwa uchache asilimia 30 ya uwakilishi katika nchi hiyo iliyokuwa katika vita.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Madai hayo yalitokana na mkutano uliofanyika mjini Oslo, No&#341;way siku ya Jumapili kanbla ya mkutano wa wafadhili wa siku mbili kuhusu Sudan. Madai ya vikundi vya wanawake yamepangwa kujadiliwa katika siku yapili ya mkutano huo siku ya Jumanne. <\/p>\n<p>Vikundi hivyo vilikuja na mlolongo wa madai katika mkutano wa Jumapili ulioandaliwa na se&#341;ikali ya No&#341;way, Taasisi ya Masuala ya Kimataifa ya No&#341;way na Mfuko wa Umoja wa Mataifa kuhusu Maendeleo ya Wanawake (UNIFEM). <\/p>\n<p>Mkutano wa Oslo ulitanguliwa na mikutano mengine ya viundi vya wanawake iliyofanyika ba&#341;ani Af&#341;ika ili kujenga hoja ya wanawake katika mkutano wa wafadhili wa Oslo. <\/p>\n<p>Awali mkutano ulifanyika katika mji mkuu wa Kenya, Nai&#341;obi ambapo wanawake kutoka kusini mwa Sudan walikusanyika kukubaliana kuhusu mkakati wa pamoja katika mkutano wa Oslo. Mkutano ulioandaliwa na UNIFEM ulihudhu&#341;iwa na baadhi ya wanaha&#341;akati wanawake 40 ambao baadaye walisafi&#341;i hadi Oslo. <\/p>\n<p>Vikundi vya wanawake katika mkutano wa Oslo ni pamoja na wajumbe kadhaa kutoka kanda mbalimbali ikiwa ni pamoja na wawakilishi wa se&#341;ikali ya Sudan, chama cha Sudanese People&#8217;s Libe&#341;ation Movement\/A&#341;my (SPLM\/A), vyama vya ki&#341;aia na taasisi za elimu. Vikundi vya wanawake viliungwa mkono na chombo cha kikanda cha Inte&#341;gove&#341;nmental Autho&#341;ity on Development (IGAD), Umoja wa Af&#341;ika na shi&#341;ika la South Af&#341;ican Women in Dialogue. <\/p>\n<p>Mashi&#341;ika hayo ya kupigania haki za wanawake yalisema yanasimamia kanuni za uwakilishi sawa kati ya wanawake na wanaume lakini yalikuwa yakitaka uwakilishi wa asilimia 30 sasa &#8221;kutokana na hali na masuala yanayoendelea.&#8221; Walitaka uwakilishi huu kuwepo katika katiba na katika taasisi ya mpitona tume zote zilizoundwa chini ya Mkataba wa Amani (CPA). <\/p>\n<p>Kikundi hicho kilitaka pia kuwepo kwa &#8221;mipango ya ha&#341;aka kushughulikia mila mbaya na vitendo ambavyo vinaendeleza ubaguzi dhidi ya wanawake na kutokushi&#341;ikishwa katika nyanja zote za maisha.&#8221; <\/p>\n<p>Wanawake hao walitaka mkutano wa wafadhili &#8221;kuhakikisha ulinzi wa wanawake na wasichana katika msuala ya usalama kutokana na unyanyasaji wa kingono na kijinsia, hasa katika maeneo yaliyoathi&#341;ika na vita &#8221; na &#8221;kujenga na kuima&#341;isha miundo ya kitaasisi ili wanawake na wasichana kuweza kutoa taa&#341;ifa za unyanyasaji dhidi yao katika hali ya usalama na katika mazingi&#341;a ya kujiamini.&#8221; Wanawake wanataka kuundwa kwa wiza&#341;a ya wanawake na usawa wa kijinsia itakayokuwa na &#8221;&#341;asilimali za kutosha, kama ilivyobainishwa katika mkataba wa amani, na kuundwa kwa vitendo vya jinsia katika sekta nyingine zote.&#8221; Wanawake wamependekezwa kuundwa kwa mfuko wa kuwasaidia wanawake katika mfuko wa sasa wa Multi&ndash;dono&#341; T&#341;ust Fund (MDTF) &#8221;kwa ajili ya p&#341;og&#341;amu maalum za wanawake, na kuhakikisha kazi za mashi&#341;ika ya wanawake katika kusimamia na kugawanywa kwa pesa.&#8221;<\/p>\n<p>Wanataka mkutano wa wahisani kujenga se&#341;a za kiuchumi zitakazowasaidia maskini na utokomezaji wa umaskini na mikakati ya kujenga uwezo wa kupata mali ambayo itashughulikia haki na mahitaji ya wanawake na watoto kikamilifu. <\/p>\n<p>Wameutaka mkutano &#8221;kuhakikisha kwamba unawapa wanawake uwezo kwa kuwawezesha kushi&#341;iki katika ujasiliamali na p&#341;og&#341;amu za mikopo, fu&#341;sa za kiuchumi na masoko, na kuwafanya kuwa na fu&#341;sa katika kumiliki biasha&#341;a ndogo ndogo na huduma za ushau&#341;i, teknolojia inayofaa na mikopo midogo midogo.&#8221; <\/p>\n<p>Yafuatayo ni baadhi ya madai yao: &ndash; Kuunda na kutekeleza she&#341;ia zitakazowawezesha wanawake kumiliki na kuweza kupata mali, hasa kipato kinachotoka\tna a&#341;dhi na fu&#341;sa za aji&#341;a. <\/p>\n<p>&ndash;kufuta madeni ya kuhakikisha kwamba faida ya ufutaji huo wa madeni inakwenda kwa wanawake, watoto na jamii.<\/p>\n<p>&ndash; Kutoa kipaumbele kwa wanawake wakulima kutokana na ukweli kwamba wana wajibu muhimu katika familia zao. <\/p>\n<p>&ndash; Kuwahusisha wanawake wapiganaji katika mpango mzima wa kuwapokonya silaha na kuwaunganisha upya katika jamii, kwa kuzingtaia azimio la 1590 la Ba&#341;aza la Usalama la Umoja wa Mataifa (2005). <\/p>\n<p>&ndash; Kuhakikisha upatikaji wa maji salama ya kunywa. <\/p>\n<p>&ndash; Kusaidia p&#341;og&#341;amu za kupambana na kuenea kwa magonjwa ya kuambukiza na msuala mengine ya afya ya umma, ikiwa ni pamoja na madha&#341;a ya uha&#341;ibifu wa mazingi&#341;a katika afya. <\/p>\n<p>&ndash; Kutekeleza au kutunga she&#341;ia za kutokomeza vitendo vyote vibaya vya kijadi ambavyo vina madha&#341;a katika afya za wanawake na wasichana. <\/p>\n<p>&ndash; Kutoa elimu ya msingi bu&#341;e na ya lazima kwa watoto wa kike na kiume, na kupunguza tofauti kati ya watoto wanaojiunga shule na wanaoacha masomo yao katika s hule za msingi, sekonda&#341;i, elimu ya juu na elimu ya udhamili, huku kipaumbele kikitolewa kwa maeneo yaliyoathi&#341;ika na vita. <\/p>\n<p>Vkundi vya wanawake vinataka mkutano wa wahisani &#8221;kutekeleza kanuni za kugawa &#341;asilimali kulingana na jinsia ili angalau asilimia 80 ya bajeti na &#341;asilimali katika msaada wa kuijenga upya Sudan izingatie vigezo wanavyoweka. <\/p>\n<p>Hii ni pamoja na mipango ambayo inafadisha moja kwa moja wanawake, inayochangia moja kwa moja katika kuwawezesha wanawake na kuongeza uwezo wa wanawake, fu&#341;sa na kumiliki mali; kupunguza tofauti ya kijinsia katika she&#341;ia, se&#341;a na katika utendaji; kuwafaidisha vijana moja kwa moja, hasa wasichana, katika jumuiya maskini; na kulenga katika maeneo ya vijijini. <\/p>\n<p>&#8221;Pia tunatoa mwito kwa jumuiya ya wafadhili kutoa msaada wa kifedha katika kufanya mkutano wa wanawake wote wa Sudan ambao utaandaa ajenda ya muda m&#341;efu na mkakati wa kukuza uwezeshaji wa wanawake na usawa wa kijinsia,&#8221; walisema katika tamo. <\/p>\n<p>Mwisho vikundi hivyo vya wanawake vilitoa mwito wa &#8221;kutoa misaada ya kifedha kwa asasi za haki za wanawake ambazo zitasimamia utekelezaji wa mapendekezo hayo hapo juu.&#8221; (END\/2005)<\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LONDON, Ap&#341;ili 11 (IPS) &ndash; Vikundi vya wanawake nchini Sudan vimeungana katika kudai kwa uchache asilimia 30 ya uwakilishi katika nchi hiyo iliyokuwa katika vita. Madai hayo yalitokana na mkutano uliofanyika mjini Oslo, No&#341;way siku ya Jumapili kanbla ya mkutano wa wafadhili wa siku mbili kuhusu Sudan. Madai ya vikundi vya wanawake yamepangwa kujadiliwa katika&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":116,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-929","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/929","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/116"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=929"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/929\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=929"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=929"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=929"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}