{"id":928,"date":"2005-04-12T13:40:01","date_gmt":"2005-04-12T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/12\/siasa-zimbabwe-uwezekano-wa-kufanyika-kwa-maandamano-haupo\/"},"modified":"2005-04-12T13:40:01","modified_gmt":"2005-04-12T13:40:01","slug":"siasa-zimbabwe-uwezekano-wa-kufanyika-kwa-maandamano-haupo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/12\/siasa-zimbabwe-uwezekano-wa-kufanyika-kwa-maandamano-haupo\/","title":{"rendered":"SIASA&ndash;ZIMBABWE: Uwezekano wa Kufanyika kwa Maandamano Haupo"},"content":{"rendered":"<p>BULAWAYO, Ap&#341;ili 9 (IPS) &ndash; Ushindi mkubwa wa chama tawala nchini Zimbabwe katika uchaguzi wa wabunge wiki iliyopita umeima&#341;isha sauti ya wale ambao walikuwa wakizungumzia kwamba mabadiliko katika nchi hiyo ya kusini mwa Af&#341;ika hayawezi kuja kwa njia ya ku&#341;a.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Matokeo ya uchaguzi pia yanasukuma mgogo&#341;o wa sasa wa kiuchumi na kijamii katika hatua mpya. Chama cha upinzani cha Movement fo&#341; Democ&#341;atic Change (MDC) kimeyakataa matokeo, kwa kudai kwamba kulikuwa na wizi wa ku&#341;a katika uchaguzi wa sita wa wabunge nchini Zimbabwe. <\/p>\n<p>&#8221;Uchaguzi huu umeibwa,&#8221; anasema msemaji wa MDC Paul Themba Nyathi. &#8221;Matokeo hayawezi kuonyesha matakwa ya watu wa Zimbabwe.&#8221; <\/p>\n<p>Se&#341;ikali za magha&#341;ibi pia zimeungana katika kulaani uchaguzi wa nchi hiyo. Lakini nchi wanachama 13 wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika (SADC) na Umoja wa Af&#341;ika (AU) wame&#341;idhia uchaguzi huo, pamoja na kwamba wanakubali umuhimu wa kufanyiwa uchunguzi. <\/p>\n<p>Uongozi wa MDC unasema kwamba una&#341;ejea nyuma kwa chombo cha maandalizi. Chama hicho kimeamua kuchukua hatua ya kishe&#341;ia, kwa kusema kwamba imeshindwa kuamua kuhusu madai kama hayo ya udanganyifu yanayohusiana na chaguzi mbili zilizopita ambazo pia zilijawa na vu&#341;ugu na vitisho. <\/p>\n<p>Hivyo, njia ya pekee iliyobakia kwa MDC inaonekana kuwa ni maandamano. Lakini watu wanaohofia kwamba maandamano yanaweza yasianze kutokana na waandamanaji wengi wata&#341;ajiwa ni miongoni mwa &#341;aia milioni 3.6 wa nchi hiyo wanaoishi nje ya nchi sasa, wengi wao wakiwa katika nchi ji&#341;ani. <\/p>\n<p>Hapohapo, heshima ya se&#341;ikali katika kusitisha maandamano badi ni kubwa kutosha kumtishia yeyote yule atakayeweza kuandamana. <\/p>\n<p>Wengi wanakumbuka ni jinsi gani misa zote za usiku zilizopigwa ma&#341;ufuku zilivyozimwa kikatili usiku wa kuamkia siku ya uchaguzi, kama ilivyotokea kwa waandamanaji wa chama cha ha&#341;akati cha Women of Zimbabwe A&#341;ise (WOZA). Wafuasi kadhaa wa WOZA bado wapo hospitalini wakiuguza maje&#341;aha yao. <\/p>\n<p>Tangu kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi, polisi katika mji mkuu wa Ha&#341;a&#341;e wamekuwa macho wakihofia maandamano. Hadi sasa wameshawakamata wafuasi vijana 18 wa MDC na kumhoji kiongozi wa vijana wa chama hicho Nelson Chamisa. Kikundi hicho kinatuhumiwa kuhusika katika maandamano yaliyodumu kwa muda mfupi ikiwa ni pamoja na kusambaza vipepe&#341;ushi vinavyowataka wananchi wa Zimbabwe kuandamana katika mitaa. <\/p>\n<p>Pamoja na kuwa na nguvu za kisiasa, maandamano bado hayaonekani kuja kujitokeza nchini Zimbabwe. Wakiwa wakimya, &#341;aia wa nchi hiyo wameshavumilia kwa kiasi kikubwa shida na kumomonyoka kwa uhu&#341;u wa siasa na vyombo vya haba&#341;i katika kipindi cha miaka mitano iliyopita. <\/p>\n<p>Wakati wa mpango wa ma&#341;ekebisho ya umiliki wa a&#341;dhi uliotanguliwa na miaka minne ya kutumika kwa jeshi katika vita vya Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo (DRC), uchumi umedhoofika kwa asilimia 40 wakati ambapo uhaba wa aji&#341;a umesimamia katika zaidi ya asilimia 70. Uhaba wa chakula umeenea sana, kutokana na mfumuko wa bei wa ta&#341;akimu tatu na kutokana na se&#341;ikali kukataa misaada ya wafadhili wa nje. <\/p>\n<p>Hata hivyo maandamano bado hayajafiki&#341;iwa kiundani katika nchi hiyo. Ja&#341;ibio, lililopewa jina la &#8216;shinikizo la mwisho&#8217; lilifanywa na MDC mwaka 2003. Lilimfanya kiongozi wa MDC Mo&#341;gan Tsvangi&#341;ai kushitakiwa kwa uhaini, bila ya kukipa chama mafanikio yoyote. <\/p>\n<p>Kusita huku kwa upinzani nchini Zimbabwe na vyama vya ki&#341;aia kuchukua hatua ya nguvu kama mkakati wake wa wazi wa muda m&#341;efu ma&#341;a nyingi kumesababisha mtizamo mwingine, hasa kutoka kwa ji&#341;ani yake mwenye nguvu Af&#341;ika Kusini, kwamba Wazimbabwe ni waoga sana kukabiliana na se&#341;ikali yao kudai demok&#341;asia ya kweli.<\/p>\n<p>Mapigano ya Af&#341;ika Kusini dhidi ya ubaguzi wa &#341;angi yalikuwa zaidi yakifanyika kwa kutumia migomo mikubwa na ya muda m&#341;efu, yakiambatana na shinikizo la kimataifa, lililoonekana kwa se&#341;ikali pamoja na a&#341;i na umadhubuti wa vyombo vyake vya usalama. <\/p>\n<p>&#8221;Tofauti ni kwamba hatuna watu wengi wanaotuunga mkono,&#8221;anasema mwanaha&#341;akati ambaye anaongelea kuhusu nchi ji&#341;ani ikiwa ni pamoja na Af&#341;ika Kusini yenyewe ambazo &#8216;diplomasia zao za ukimya &#8216; zinaonekana kuegemea zaidi katika kuima&#341;isha uhusiano. <\/p>\n<p>Mahali pengine katika kanda, maandamano yamekuwa na matokeo mchanganyiko. Septemba mwaka 1998, katika hatua zake za awali za kijeshi tangu kumalizika kwa ubaguzi wa &#341;angi, jeshi la Af&#341;ika Kusini lilipelekwa nchini Lesotho kuisadia se&#341;ikali iliyokuwa ikikabiliwa na uasi wa kijeshi. <\/p>\n<p>Pamoja na maandamano ya kila ma&#341;a nchini DRC, pande za wanamgambo zinazopigana zinaendelea kupambana katika nchi hiyo kubwa. <\/p>\n<p>Mmoja wa wale wanaoweza kuona wameshitakiwa na matokeo ya uchaguzi wa wiki iliyopita ni Lovemo&#341;e Madhuku, ambaye anaongoza chama cha ki&#341;aia ambacho kinasisitiza kwamba katiba mpya ya kidemok&#341;asia ni suluhisho la pekee la msingi katika kuleta mabadiliko nchini Zimbabwe. Kikundi cha National Constitutional Assembly (NCA) kinakubali kwamba mpango wa sasa wa uchaguzi una&#341;uhusu &#341;ais &#8216;kubadilisha matakwa ya wapiga ku&#341;a&#8217;. <\/p>\n<p>Kwa muda m&#341;efu Madhuku amekuwa akisema kwamba itaonekana &#8220;tena na tena&#8221; kwamba MDC inashi&#341;iki tu katika uchaguzi ili kuendelea kuwepo na siyo kuchukua mada&#341;aka. Madhuku, mhadhi&#341;i wa she&#341;ia, ambaye aliwahi kukamatwa ma&#341;a 13, kupigwa na kuachwa anataka kufa baada ya kuandamana, anasema kushi&#341;iki katika uchaguzi ni &#341;ahisi zaidi kuliko kuleta demok&#341;asia ambayo, anasema, haiwezekani katika hali ya sasa. <\/p>\n<p>Kati ya viti 120 vya ubunge wakati wa uchaguzi wa Machi 31, chama cha Rais Mugabe cha ZANU&ndash;PF kilipata viti 78. MDC kilipata viti 41 na kiti kimoja kwenda kwa mgombea binafsi. <\/p>\n<p>Pamoja na matumaini yake ya kupanua mafanikio yake wakati wa uchaguzi wake wa kwanza mwaka 2000, MDC ilipata pungufu ya viti 16. Inasema kihalali kilishinda zaidi ya viti 94. <\/p>\n<p>Lakini chama chenye muda wa miaka mitano kinaona ugumu kutokana na kushindwa kupata viti vya kutosha kumzuia Rais Mugabe kupata theluthi tatu ya ku&#341;a anazohitaji kubadilisha katiba kukidhi matakwa yake. Kiongozi wa zamani wa wapiganaji wa msituni mwenye um&#341;i wa miaka 81 amekwishasema chama chake kitaanzisha mfumo wa Seneti, ambayo itajaa baadhi ya wagombea ubunge wa ZANU&ndash;PF walioshindwa. <\/p>\n<p>Mbali na viti ambavyo chama chake kimeshinda, Mugabe ana mamlaka kikatiba kuweza kuteua wabunge 30 kuingia bungeni, na kuwezesha wabunge wake katika bunge la viti 150 kufikia 108. <\/p>\n<p>&#8221;Kushinikiza kufanyika kwa mabadiliko ya kikatiba hakumaanishi kuzungumza na ZANU&ndash;PF lakini, kukishinikiza chama tawala kukubali mabadiliko kwa kufanyika kwa maandamano ya ma&#341;a kwa ma&#341;a na kuifanya nchi isitawalike,&#8221; anasema Madhuku. <\/p>\n<p>Anasema madhumuni ya maandamano yasiwe kumng&#8217;oa Mugabe lakini yawe madai yenye &#8221;mapana&#8221; ya kuleta mabadiliko ya kidemok&#341;asia. Hata hivyo, anasema MDC haina uwezo wa kuandaa maandamano ya aina hiyo. Askofu Mkuu wa Kanisa la Katoliki la Bulawayo Pius Ncube, ambaye ana sifa ya kuwa mmoja wa mpinzani mkubwa wa Rais Mugabe, pia amekuwa akitaka kuwepo kwa maandamano ya amani kama njia pekee ya kuleta mageuzi mapya nchini Zimbabwe. Lakini anongeza kwamba Zimbabwe bado haina uongozi wa kuandaa maandamano ya aina hiyo. <\/p>\n<p>Kikundi kinachounga mkono demok&#341;asia kinachojulikana kama Sokwanele kinasema uchaguzi wa wiki iliyopita umethibitisha kwamba ZANU&ndash;PF &#8216;haitakuja&#8217; kushindwa kwa kutumia upigaji wa ku&#341;a kutokana na kwamba ndiyo wanaoendesha uchaguzi. &#8221;Kwa u&#341;ahisi, ZANU&ndash;PF haitaweza ku&#341;uhusu chama chochote, hata kiwe maa&#341;ufu namna gani, kushinda katika uchaguzi,&#8221; kinasema. <\/p>\n<p>Kikundi hicho kinasema kinata&#341;ajia MDC kuwa imejifunza baada ya kushindwa katika chaguzi mbili zilizopita &#8221;. &#8221;Swala sasa ni kama MDC ina mkakati mwingine mbali na kuwashawishi wapiga ku&#341;a na kuweza kushinda uchaguzi,&#8221; kinasema kikundi hicho. <\/p>\n<p>= 04091003 ORP003 NNNN (END\/2005) <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BULAWAYO, Ap&#341;ili 9 (IPS) &ndash; Ushindi mkubwa wa chama tawala nchini Zimbabwe katika uchaguzi wa wabunge wiki iliyopita umeima&#341;isha sauti ya wale ambao walikuwa wakizungumzia kwamba mabadiliko katika nchi hiyo ya kusini mwa Af&#341;ika hayawezi kuja kwa njia ya ku&#341;a. Matokeo ya uchaguzi pia yanasukuma mgogo&#341;o wa sasa wa kiuchumi na kijamii katika hatua mpya&#8230;.<\/p>\n","protected":false},"author":196,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-928","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/928","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/196"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=928"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/928\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=928"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=928"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=928"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}