{"id":927,"date":"2005-04-11T13:40:01","date_gmt":"2005-04-11T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/11\/dini-papa-mpya-atatokana-na-roho-mtakatifu\/"},"modified":"2005-04-11T13:40:01","modified_gmt":"2005-04-11T13:40:01","slug":"dini-papa-mpya-atatokana-na-roho-mtakatifu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/11\/dini-papa-mpya-atatokana-na-roho-mtakatifu\/","title":{"rendered":"DINI: Papa Mpya Atatokana na Roho Mtakatifu"},"content":{"rendered":"<p>ISTANBUL, Ap&#341; 8 (IPS) &ndash; Awe Mwame&#341;ika wa Kusini, Mwaf&#341;ika, &#341;aia wa ba&#341;a la Asia au Ulaya, m&#341;ithi wa Papa John Paul II atachaguliwa kwa aina ya mkutano wa si&#341;i wa kipekee utakaofanywa na Kundi la Makadinali.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kuna tahadha&#341;i zitakazochukuliwa kutokana na baadhi ya matatizo yaliyowakumba baadhi ya Mapapa wa zamani. Uchaguzi utakaoanza Ap&#341;. 18 utakuwa na ta&#341;atibu kali zitakazowekwa, ambazo baadhi zilitungwa na Papa aliyepita, ili ku&#341;uhusu kipindi cha mpito chenye uta&#341;atibu na kisichokuwa na mawaa. <\/p>\n<p>Papa John Paul II alibadilisha jinsi ya kufanya uchaguzi. Haitambuliki mkutano huu wa si&#341;i utamalizika lini, lakini kuna uwezekano wa kutokumalizika tu eti kwa kupata kiongozi yeyote yule. <\/p>\n<p>Siku za nyuma, theluthi tatu ya idadi kubwa ya Makadinali waliopiga ku&#341;a walihitajika kuweza kumpitisha Papa. Bado kanuni hiyo inatumika, lakini kama wapiga ku&#341;a watashindwa kumpata papa katika mtindo wa theluthi tatu ya walio wengi baada ya kupiga ku&#341;a ma&#341;a 34, mpango wa wachache utatumika. Makadinali pia wanaweza kuamua kupigia ku&#341;a wagombea wawili waliopata ku&#341;a nyingi. <\/p>\n<p>Kitakachoendelea ndani ya ukumbi uliofungwa na kujua jinsi gani uchaguzi utakuwa ukiendelea itabaikia kuwa si&#341;i kubwa. Ulimwengu wa nje hautatambua ni nani ambaye amependekeza, na ni nani aliunga mkono pendekezo. <\/p>\n<p>Papa watatu waliopita walichaguliwa katika kipindi kisichozidi wiki moja &ndash; na kilio kikubwa katika uchaguzi kilijitokeza mwaka 1268 baada ya kifo cha Papa Clement IV, ambapo Makadinali 17 walishindwa kumpata Papa kwa ka&#341;ibu miaka mitatu. Hiyo ilifanya watu wenye imani kuamua kuwafungia &#8216;kwa funguo&#8217;, walivunja paa la nyumba ambapo maamuzi yalifanyikia, na kuwalisha mikate na maji tu kufunga uamuzi wao. <\/p>\n<p>Uchaguzi ulianza kufanywa na Makadinali tu kuanzia mwaka 1059 baada ya histo&#341;ia za mauaji, na mapigano miongoni mwa vikundi vinavyopingana kuhusu uchaguzi wa Papa.. Lakini hata hivyo, Masha&#341;ifu, watu mashuhu&#341;i na wafalme walikuwa wakiingilia kati chaguzi za Papa kwa ka&#341;ne nyingi. <\/p>\n<p>Baadhi ya kumbi za si&#341;i za kumchagua Papa zilipo&#341;wa waziwazi na wale waliokuwa wakija&#341;ibu kutaka kubadilisha matokeo. Baadhi ya Papa walikumbwa na ku&#341;a ya tu&#341;ufu ya wafalme. Ukumbi wa si&#341;i wa kumchagua Papa mwaka 1903 ulishambuliwa na ufalme wa Aust&#341;ia. <\/p>\n<p>Ukumbi wa sasa unata&#341;ajiwa kuwa na usi&#341;i mkubwa ma&#341;a tu baada ya am&#341;i ya &#8220;Kila mtu nje&#8221;), itakapotolewa isipokuwa kwa Makadinali 117 tu wenye sifa ya kupiga ku&#341;a. Katika ukumbi wa si&#341;i wa mwaka 1922, mpiga picha na mwandishi wa haba&#341;i walisemekana kuweza kuingia ndani. Vilevile uchaguzi mwingine kabla ya huo, watumishi walituhumiwa kutoa taa&#341;ifa za jinsi ku&#341;a zilivyokuwa zikipatikana wakati uchaguzi ulivyokuwa ukiendelea. <\/p>\n<p>Wakati huu Kanisa la Sistine ambapo uchaguzi wa si&#341;i utafanyika, huku &#8216;Uamuzi wa Mwisho&#8217; ukitizama ukuta wa nyuma, utachunguza kama kuna kifaa chochote cha kielekt&#341;oniki kwa ajili ya kusikiliza kwa si&#341;i mazungumzo katika uchaguzi huo. Makadinali wanaopiga ku&#341;a hawatakuwa na njia zozote zile za kuwasiliana na watu wa nje, kama vile simu za mikononi. Hawawezi kutizama televisheni au kusoma chapisho lolote lile. <\/p>\n<p>Lakini Makadinali hawatawekwa katika vyumba kama vizimba ambavyo vinastahili kuwa mvumilivu katika Kanisa la Sistine kama walivyokuwa wakifanya hapo awali. Watakuwa na fu&#341;aha ya kulala katika nyumba ya wageni ya ka&#341;ibu ijulikanayo kama Domus Sanctae Ma&#341;thae. Pia wataweza kutembelea maeneo yote ya Jiji la Vatican. <\/p>\n<p>Ma&#341;a tu watakapotengwa, wapiga ku&#341;a hao watakuwa na du&#341;u mbili za kupiga ku&#341;a asubuhi na mchana. Wataandika jina la wanayemtaka katika hati ya kificho ambayo haiwezi kutambuliwa na wanaowapendekeza. <\/p>\n<p>Makadinali watatu watahesabu ku&#341;a. Wamepangwa kuchoma moto ka&#341;atasi za ku&#341;a inapofikia saa sita na mchana katika buli, kwa kuchanganya na madawa ya kikemikali ambayo yanatoa moshi mweusi (unaoonyesha mkwamo) au moshi mweupe (kumaanisha uchaguzi umekwisha) kutoka katika bomba la moshi la Kanisa. <\/p>\n<p>Ma&#341;a ya mwisho moshi ulitokea wa kahawia na kufanya mtu yeyote yule kushindwa kutambua nini kimetokea. Hivyo kwa kuongeza wakati huu kengele ya kanisa Italia wakati Makadinali watakapokuwa wamempata Papa mpya. <\/p>\n<p>Kuna mavazi matatu ya ukubwa tofauti ambayo yanaandaliwa ili Papa mpya kuweza kuachana na mavazi yake mekundu ya Ukadinali na ma&#341;a moja kuweza kuvalia vazi jeupe la Kipapa ili kuweza kuwatazama &#341;aia wa Roma. Papa ni Askofu Mkuu wa Roma na kiongozi wa waumini wanaokadi&#341;iwa kuwa bilioni moja wa Kanisa la Katoliki ulimwenguni kutokana na cheo chake hicho. <\/p>\n<p>Mapapa hawawezi kuteua watakaowa&#341;ithi. Na wala hakuna kampeni yoyote ile ya wazi wazi. Kanisa la Katoliki linaamini Roho Mtakatifu anaongoza Makadinali wanaopiga ku&#341;a. <\/p>\n<p>Wakati Makadinali wanapoelekea katika Jiji la Vatican kutoka kona za mbali ulimwenguni, mtizamo unaegemea katika muundo Mtakatifu wa Kundi la Makadinali. Muundo umekuwa wa kimataifa kuliko ulivyokuwa hapo awali; baadhi ya wachambuzi wa Vatican wanatania kwamba Makadinali watahitaji vitambulisho kuweza kutambuana. Hakuna Kadinali hata mmoja &#341;aia wa Roma katika uchaguzi wa Askofu Mkuu wa Roma. <\/p>\n<p>Asilimia ya Makadinali wa Italia imeshuka kutoka 23.7 mwaka 1978 hadi 16.9 sasa. Lakini ba&#341;a la Ulaya, pamoja na Makadinali wa Italia, bado linawakilishwa na kundi kubwa la asilimia 58. <\/p>\n<p>Makadinali wanaowakilisha kanda hawaendani na idadi ya waumini wa Kanisa la Katoliki. Kambi ya Ame&#341;ika ya Kusini ina wapiga ku&#341;a 21 kati ya 117, lakini ukanda huo una nusu ya Wakatoliki wote ulimwenguni. <\/p>\n<p>Kubadilika kwa muundo wa Kundi la Makadinali kunaweza kusaidia katika kumchagua Papa ajaye, na kutoa fu&#341;sa zaidi kwa Papa mwingine ambaye siyo Muitaliano. Maoni mengine ni kwamba upapa unaweza ku&#341;ejea tena Italia baada ya miaka 26 ya utawala wa papa wa kwanza asiyekuwa &#341;aia wa Italia katika kipindi cha miaka 455.<\/p>\n<p>*Hilmi To&#341;os, ambaye sasa anaandika kutoka Istanbul, aliandika haba&#341;i za Vatican kwa miaka kumi wakati wa Papa Paul VI, na John Paul I na II. (END\/2005)<\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ISTANBUL, Ap&#341; 8 (IPS) &ndash; Awe Mwame&#341;ika wa Kusini, Mwaf&#341;ika, &#341;aia wa ba&#341;a la Asia au Ulaya, m&#341;ithi wa Papa John Paul II atachaguliwa kwa aina ya mkutano wa si&#341;i wa kipekee utakaofanywa na Kundi la Makadinali. Kuna tahadha&#341;i zitakazochukuliwa kutokana na baadhi ya matatizo yaliyowakumba baadhi ya Mapapa wa zamani. Uchaguzi utakaoanza Ap&#341;. 18&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":169,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-927","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/927","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/169"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=927"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/927\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=927"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=927"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=927"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}