{"id":924,"date":"2005-04-08T13:40:01","date_gmt":"2005-04-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/08\/rushwa-kenya-vikundi-vinavyojihusisha-na-haki-vyawalenga-mawazii\/"},"modified":"2005-04-08T13:40:01","modified_gmt":"2005-04-08T13:40:01","slug":"rushwa-kenya-vikundi-vinavyojihusisha-na-haki-vyawalenga-mawazii","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/08\/rushwa-kenya-vikundi-vinavyojihusisha-na-haki-vyawalenga-mawazii\/","title":{"rendered":"RUSHWA&ndash;KENYA: Vikundi vinavyojihusisha na Haki Vyawalenga Mawazi&#341;i"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Ap&#341; 5 (IPS) &ndash; Ikiwa ni njia ya kuendeleza kazi za vyama vya hia&#341;i, &#341;asimu ya mwongozo iliyoandaliwa na Tume ya Taifa ya Haki za Binadamu ya Kenya inalazimika kuwawajibisha mawazi&#341;i kwa vitendo vyao wakiwa maofisini. <\/p>\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mwongozo wa Kuwajibisha Mwenendo wa Wazi&#341;i&#8217; unatoa fu&#341;sa kwa kiongozi wa umma kujiuzulu bila kusubi&#341;i hatua ya &#341;ais iwapo atabainika kuwa na makosa yanayohusiana na kashfa ya &#341;ushwa na kusababisha kuhoji ufanisi na uadilifu.<\/p>\n<p>Maina Kiai, mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Haki za Binadamu Kenya (KNCHR), anasema wana mpango wa kufanya mikutano ya hadha&#341;a itakayowahamasisha wananchi jinsi ya kuwawajibisha wafanyakazi wa se&#341;ikali wanapobainika wanafanya makosa. <\/p>\n<p>&#8221;Kuendelea kwa wazi&#341;i kuwa ofisini inaathi&#341;i uaminifu na ufanisi wa se&#341;ikali kwa ujumla wake, kuwafanya wananchi wakose uaminifu na kuiona se&#341;ikali yao imejaa mizengwe. Hivi sasa tunakutana na wananchi na hadi kufikia mwisho wa mwaka tutauwakilisha wa&#341;aka huu katika ba&#341;aza la mawazi&#341;i ili waidhinishe,&#8221; ameliambia shi&#341;ika la IPS. <\/p>\n<p>Kiai anasema kuwa jamii ina wajibika kujua jinsi se&#341;ikali inavyofanya kazi zake. &#8221;Ni wajibu wa Wakenya wote kuuliza na kuwakabili maafisa wa se&#341;ikali wanaposikia maovu kutoka se&#341;ikalini. Wakati umefika kuacha tabia ya kuzungumza na kulalamika, tuonyeshe kwa vitendo kupambana na &#341;ushwa. Wakenya hawakuwa wakiitumia nafasi ya she&#341;ia inayowa&#341;uhusu kuwauliza wafanyakazi wa se&#341;ikali pale wanapowashuku kupata utaji&#341;i wa ha&#341;aka ha&#341;aka,&#8221; amesema. <\/p>\n<p>Iba&#341;a ya 55 ya She&#341;ia Dhidi ya Rushwa na Makosa ya Uchumi ya Kenya inasema kwamba mfanyakazi wa se&#341;ikali ambaye anaishi maisha ya juu zaidi ya kipato chake, anaweza kuhojiwa na ni juu yake kujitetea kwamba siyo mla &#341;ushwa. <\/p>\n<p>Hatua ya tume hiyo kuweka &#341;asimu ya mwongozo unafuatia mabadiliko ya ba&#341;aza la mawazi&#341;i mwezi Feb&#341;ua&#341;i. Katika mabadiliko hayo, miongoni mwa mawazi&#341;i mashuhu&#341;i wa nchi hiyo wa usalama wa taifa, Ch&#341;is Mu&#341;unga&#341;u, alihamishiwa katika wiza&#341;a ya uchukuzi kudhibiti malalamiko ya wananchi kuhusu madai ya &#341;ushwa iliyokithi&#341;i katika wiza&#341;a hiyo.<\/p>\n<p>Madai mengi ya ufisadi yamehusisha upatikanaji wa vifaa vya polisi na jeshi, yote yakiwa chini ya wiza&#341;a ya Mu&#341;unga&#341;u. <\/p>\n<p>Miongoni mwa kashfa hizo, ni ile inayojulikana kama Anglo&ndash;Leasing, ambayo iliyoibuliwa Ap&#341;ili mwaka jana, kuhusiana na ukiukwaji zabuni na malipo kuthibitisha pasi za ugaidi na ujenzi wa maaba&#341;a ya mahakama kwa ajili ya kitengo cha upelelezi wa makosa ya jinai. Wiza&#341;a ya Mu&#341;unga&#341;u, pamoja na ya fedha ya David Mwi&#341;a&#341;ia, zinatuhumiwa kuidhinisha malipo yanayokadi&#341;iwa kuwa dola za Kima&#341;ekani 93 milioni kwa Anglo&ndash;Leasing, kampuni kivuli kutoka nchi za nje. <\/p>\n<p>Mawazi&#341;i hao wawili wamejikosha na lawama hizo kwa kutumia vyombo vya haba&#341;i. Lakini makatibu wao wakuu <\/p>\n<p>Wamesimamishwa kazi na kushtakiwa mahakamani mwezi Feb&#341;ua&#341;i. <\/p>\n<p>Kuanzia hapo kumekuwa na shinikizo kwa Rais Mwai Kibaki kuwafukuza ma&#341;a moja mawazi&#341;i na kuwasimamisha kazi maafisa wanaojihusisha na &#341;ushwa. <\/p>\n<p>Katika mkutano wa hadha&#341;a unaohusu &#341;ushwa uliofanyika mji mkuu wa Kenya, Nai&#341;obi Feb&#341;ua&#341;i 17, Gladwell Otieno, mku&#341;ugenzi mtendaji wa shi&#341;ika la T&#341;anspa&#341;ency Inte&#341;national, tawi la Kenya, linaloangalia mwenendo wa &#341;ushwa duniani, ametoa mwito bungeni kufiki&#341;ia ku&#341;a ya kutokuwa na imani na se&#341;ikali iwapo &#341;ais wa nchi hiyo atashindwa kuchukua hatua zipasazo dhidi ya maafisa wala &#341;ushwa. <\/p>\n<p>Kuwasimamisha kazi wahusika ni muhimu kwa sababu inaonyesha msimamo wa se&#341;ikali katika kupambana na &#341;ushwa, wachambuzi wanasema.. <\/p>\n<p>&#8221;Lakini kumhamisha wazi&#341;i kutoka wiza&#341;a moja kwenda nyingine haisaidii. Ni kama vile kuondoa mlungula kutoka wiza&#341;a moja kwenda nyingine. Wananchi wanachotegemea ni kuwakamata watuhumiwa, kuwashtaki na kuwafilisi mali za umma walizochukua. Wananchi hawataki kuona wahalifu wakikumbatiwa,&#8221; Chweya Ludeki, mkuu wa kiteng cha histo&#341;ia na se&#341;ikali, Chuo Kikuu cha Nai&#341;obi analiambia shi&#341;ika la IPS. <\/p>\n<p>Malalamiko dhidi ya &#341;ushwa zimeongezeka baada ya balozi wa Uinge&#341;eza nchini Kenya Edwa&#341;d Clay kuishambulia vikali se&#341;ikali ya Rais Kibaki kujihusisha katika shutuma ya ufisadi mkubwa nchini humo. Clay amesema amempatia taa&#341;ifa Kibaki ya kashfa 20 mpya za ufisadi. <\/p>\n<p>Kashfa, zinazowahusu angaa mawazi&#341;i wane, Clay amesema, zinahusu mwenendo wa se&#341;ikali wa manunuzi ya vifaa na huduma. <\/p>\n<p> &#8221;Kama nilivyosema, nimeipatia se&#341;ikali ya Kenya haba&#341;i za kina kuhusu zabuni hewa 20. Thamani yake ikijumlishwa kwa pamoja si chini ya shilingi za Kenya bilioni 15 (zipatazo dola za Kima&#341;ekani milioni 187) niliitoa tena mwezi Julai. Baadhi hawakuikubali takwimu hiyo na kusema kuwa siyo halisi. Jinsi ushahidi zaidi kuhusu ufisadi unavyojitokeza, takwimu hiyo itaonekana kuwa ni kidogo sana, Clay anasema. Alikuwa akizungumza katika halfa la Tuzo ya Waandishi ya Mwaka mjini Nai&#341;obi Feb&#341;ua&#341;i 2. <\/p>\n<p>Katika shutuma kama hizo Julai 2004, Clay alisema ufisadi umeipotezea Kenya dola za Kima&#341;ekani 187 tangu Kibaki aingie mada&#341;akani Desemba 2002. <\/p>\n<p>Miongoni mwa madai mapya 20 inahusisha meli ya jeshi la wanamaji ya mamilioni fedha ambayo inadaiwa ilinunuliwa bila zabuni maalum. <\/p>\n<p>&#8221;Kenya inanunua meli za kijamii. Baadae inazibadilisha kuwa za kivita. Jeshi la Majini la Kenya ina meli kama hizo nne katika matengenezo na ina mpango wa kununua moja au nyingine mbili. Maswali tunayotaka kujiuliza ni kwamba: Kwa nini meli kama hizi zinanunuliwa  Zinahitajika vipi katika jitihada za Mpango wa Kufufua Uchumi  Kwa nini se&#341;ikali ya Kenya inaendeleza mtindo huu ambao unaonekana kuwa ni wa si&#341;i na wa kuzunguka katika manunuzi wa meli za kivita za wanamaji wao &#8221; Clay anauliza. Se&#341;ikali inamwona Clay kuwa ni adui wa nchi hiyo tangu ameanza kufichua si&#341;i za ufisadi. <\/p>\n<p>Mpango wa Kufufua Uchumi, anaouzungumzia Clay ni ule wa miaka mitano wa kufufua uchumi wa Kenya na kuleta utaji&#341;i. Ulianzishwa mwaka 2003. <\/p>\n<p>Shutuma za ufisadi zinazoikumba se&#341;ikali ya Rais Kibaki umepelekea John Githongo, aliyepambana na &#341;ushwa, kujiuzulu se&#341;ikalini mwezi Feb&#341;ua&#341;i. Ndugu wa ka&#341;ibu wa familia yake na ma&#341;afiki wanasema amekuwa hana &#341;aha kwa kile walichokiita kupuuzwa kutokana na kutowawajibisha maafisa wala &#341;ushwa, na kwamba ufuatiliaji wa madai mapya ya ufisadi yalipingwa. <\/p>\n<p>Githongo alikuwa katibu mkuu katika wiza&#341;a ya utawala na maadili. Alikuwa akishughulika na kumshau&#341;i Rais Kibaki kuhusu maendeleo, utekelezaji na ufuatliaji wa se&#341;a zinazohusu ufisadi.<\/p>\n<p> Shutuma za ufisadi zimeifanya nchi ya Ma&#341;ekani kusitisha msaada wa ka&#341;ibu dola 2.5 milioni za Kima&#341;ekani nchini kupambana na &#341;ushwa mwezi Feb&#341;ua&#341;i. Wafadhili wengine wametishia kujiunga na Ma&#341;ekani iwapo se&#341;ikali ya Kenya haitajisafisha. <\/p>\n<p> Kwa mujibu wa Clay, shutuma hizo zinaipelekea se&#341;ikali kutoaminika katika vita dhidi ya &#341;ushwa. &#8220;Kuna dalili ya kutokuaminika katika taasisi na mgongano wa imani juu ya azma yake kushinda vita dhidi ya &#341;ushwa,&#8221; ameliambia shi&#341;ika la IPS Feb&#341;ua&#341;i 11. <\/p>\n<p> &#8221;Kinachohitajika kwa se&#341;ikali kwanza ni kujenga imani ambayo imepotea. Kazi hiyo itafanikiwa iwapo azma ya kufanya hilo litakuwa wazi; kwamba maovu yanachunguzwa na wanaohusika kuyatenda wanaadhibiwa,&#8221; ameongeza.<\/p>\n<p>Wachambuzi bado wanashikilia kwamba Kiba&#341;i aliyeingia mada&#341;akani mwaka 2002 kwa ulingo wa stahamala katika ufisadi, ameshindwa kuwaingiza wanamageuzi katika ngazi za juu se&#341;ikalini. &#8221;Tunahitaji tiba kubwa katika huduma za jamii; tunahitaji wanamageuzi wenye hadhi na kubadili utamaduni wa se&#341;ikali iliyopo. Huwezi kuwa na mageuzi bila kuwa na wanamageuzi.&#8221; Kiai amesema. <\/p>\n<p>&#8221;Huwezi kuwaweka watu wenye &#341;ekodi ya ufisadi tukiamini kuwa wanamapinduzi. Kwa nini tuwalinde wakati zaidi ya asilimia 60 ya Wakenya ni vijana wenye uwezo mkubwa wa kuongoza &#8216; aliongeza. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali imesahau wajibu wake. &#8220;Vita dhidi ya &#341;ushwa sio kitu &#341;ahisi. Lakini tunafanya kila tuwezalo. Inahitaji muda kabla ya wale wote waliotajwa kuhusika na &#341;ushwa washtakiwe. Hilo litafanyika pale tu ambapo upelelezi umefanyika,&#8221; afisa mmoja mwandamizi wa se&#341;ikali kutoka wiza&#341;a ya she&#341;ia na masuala ya katiba ameliambia shi&#341;ika la IPS kwa masha&#341;ti kwamba asitajwe.<\/p>\n<p>Katika hali ya kuonyesha kuwajibika kwake, mwezi uliopita se&#341;ikali iliwasiliana na polisi wa kimataifa iliyoko Pa&#341;is, Ufa&#341;ansa kuisaidia kumkamata mcho&#341;aji &#341;amani mkuu wa biasha&#341;a hewa na Anglo&ndash;Leasing. <\/p>\n<p>&#8221;Pia tuna she&#341;ia inayowataka viongozi wa se&#341;ikali kutangaza mali walizonazo kwa sababu hicho ni kigezo muhimu cha kuwafanya wawajibike na wawe wawazi,&#8221; afisa huyo amesema. <\/p>\n<p> Mei 2003 se&#341;ikali imeongeza kipengele cha kutangaza mali katika She&#341;ia ya Maadili ya Afisa wa Se&#341;ikali. Kipengele hicho kinadai kwamba maafisa wa se&#341;iali kuanzia &#341;ais hadi ta&#341;ishi kutangaza mapato, vitu, mali wakiwemo wake na watoto wanaomtegemea. <\/p>\n<p>Lakini kutokana na kuhuzunishwa kwa vikundi vya jamii, ni wachache wanaotangaza mali zao kwa umma.<\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Ap&#341; 5 (IPS) &ndash; Ikiwa ni njia ya kuendeleza kazi za vyama vya hia&#341;i, &#341;asimu ya mwongozo iliyoandaliwa na Tume ya Taifa ya Haki za Binadamu ya Kenya inalazimika kuwawajibisha mawazi&#341;i kwa vitendo vyao wakiwa maofisini. Mwongozo wa Kuwajibisha Mwenendo wa Wazi&#341;i&#8217; unatoa fu&#341;sa kwa kiongozi wa umma kujiuzulu bila kusubi&#341;i hatua ya &#341;ais&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":73,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-924","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/924","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/73"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=924"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/924\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=924"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=924"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=924"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}