{"id":923,"date":"2005-04-07T13:40:01","date_gmt":"2005-04-07T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/07\/haki-sierra-leone-stahamala-kwa-wanaojihusisha-na-nyanyaso-kijinsia\/"},"modified":"2005-04-07T13:40:01","modified_gmt":"2005-04-07T13:40:01","slug":"haki-sierra-leone-stahamala-kwa-wanaojihusisha-na-nyanyaso-kijinsia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/07\/haki-sierra-leone-stahamala-kwa-wanaojihusisha-na-nyanyaso-kijinsia\/","title":{"rendered":"HAKI&ndash;SIERRA LEONE: STAHAMALA KWA WANAOJIHUSISHA NA NYANYASO KIJINSIA"},"content":{"rendered":"<p>FREETOWN, Ap&#341; 5 (IPS) (IPS) &ndash; Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sie&#341;&#341;a Leone wako katika mpango wa kuyaondoa majeshi ya kulinda usalama chini humo ifikapo mwisho wa mwaka huu, lakini kabla ya kufanya hivyo, ujumbe huo umeonyesha azma yake ya kusafisha &#341;ekodi yake inayohusisha unyanyasaji wa kijinsia.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Ujumbe unaendesha kampeni za kuwahamasisha wapiganaji kuhusu suala hilo,&#8221; anasema Ansumana Konneh, afisa mmoja wa ujumbe huo chini Sie&#341;&#341;a Leone unaohusu masuala ya jamii (UNAMSIL&#8217;s). <\/p>\n<p>&#8221;Ida&#341;a ya masuala ya jamii inaendeleza mahusiano mazu&#341;i miongoni mwa wapigananji na wananchi na vilevile inasisitiza hatua madhubuti dhidi ya wapiganaji wanaokiuka se&#341;a ya uvumilivu ya Umoja wa Mataifa inayohusu uonevu na unyanyasaji wa kijinsia.&#8221; anasema. <\/p>\n<p>Katika kampeni hizo zinaendeshwa wa&#341;sha mbalimbali zinazowashi&#341;ikisha wapiganaji na wenyeji wao kuhusu masuala ya VVU\/UKIMWI, mapatano baada ya vita na migogo&#341;o ya kijinsia. <\/p>\n<p>Wiki mbili zilizopita, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Louise F&#341;echette alikwenda F&#341;eetown, mji mkuu wa Sie&#341;&#341;a Leone kusisitiza msimamo wa ujumbe huo kuhusu uonevu na unyanyasaji wa kijinsia. Wakati akiwa huo alipata fu&#341;sa ya kuongea na viongozi wa wanajeshi na wananchi na kutoa ujumbe mkali. &#8221;Suala la uonevu na unyanyasaji wa kijinsia halitavumilika katika ujumbe wa Umoja wa Mataifa chini Sie&#341;&#341;a Leone,&#8221; amesema. &#8221;Imewekwa mipango madhubuti kukabiliana na tatizo hilo lililojitokeza katika ujumbe huu.&#8221; <\/p>\n<p>Maafisa wa ujumbe huo wanasema mafunzo maalum yanataya&#341;ishwa kuhusu stahamala ya uonevu wa kijinsia kwa ajili ya wapiganaji na wafanyakazi wa kawaida kabla ya kujiunga na mpango huo maalum. Wanazungumzia pia &#8220;ongezeko la uwezo wa kupeleleza&#8221; katika masuala yanayohusu uonevu huo. Japokuwa hatua hizo zinachukuliwa, hata hivyo zimechelewa mno. <\/p>\n<p>Ujumbe kutoka Umoja wa Mataifa utamaliza kuyaondosha majeshi yake ifikapo mwishoni mwa mwaka huu. Lakini kumekuwa na makesi mengi yahusuyo manyanyaso na uonevu wa kijinsia katika kipindi cha miaka minne kilichoishi jeshi hilo la kulinda amani Sie&#341;&#341;a Leone. Wakati wa kupeleka jeshi hilo mwaka 2001, UNAMSIL lilikuwa na wanajeshi 17,500, jeshi kubwa la Umoja wa Mataifa kuliko yote duniani Wanajeshi hao walichukuliwa kutoka Nige&#341;ia, Kenya, Zambia, Ghana, Guinea, India, Pakistan, Bangladesh na Nepal. <\/p>\n<p>Baada ya kupanda upinzani mkuu kutoka jeshi la Revolutiona&#341;y United F&#341;ont (RUF), jeshi la waasi lililojulikana kwa ukatili wake wa kukata viungo vya wanawake na watoto, jeshi la Umoja wa Mataifa linaonekana kupata mafanikio makubwa katika upatikanaji wa amani kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu miaka kumi chini Sie&#341;&#341;a Leone. Lakini hiyo ni kuli&#341;emba tu jeshi hilo. <\/p>\n<p>Jeshi la Umoja wa Mataifa la kulinda amani Sie&#341;&#341;a Leone kwa miaka mingi limekuwa na sifa mbaya kuhusu maonevu na manyanyaso ya kijinsia. Fukwe za kupendaza za mji wa F&#341;eetown ziligeuzwa kuwa mahali pa kuendeshea uonevu na manyanyaso hayo na wanajeshi. Wasichana ambao wengine walikuwa na um&#341;i mdogo wa miaka 14, huonekana wakiwa katika kundi la wanajeshi hao wa kulinda amani wakiwalaghai kwa kufanya nao mapenzi kwa pesa. <\/p>\n<p>Ma&#341;ga&#341;et Bendu, 19, msichana anayefanya biasha&#341;a ya ngono katika ufukwe wa Lumley kaskazini mwa mji wa F&#341;eetown, alikuwa mteja wa ma&#341;a kwa ma&#341;a kwa aska&#341;i hao katika fukwe. &#8221;Hukutana na Wabangladeshi, Wakenya and Wanaige&#341;ia wa jeshi hilo. Siku zote hao ndio walikuwa wateja wangu wakuu na ilikuwa ngono kwa pesa,&#8221; anasema. <\/p>\n<p>Rafiki yake msichana huo, Ma&#341;ian, ana mtoto wa miaka mitatu aliyeachiwa na baba aska&#341;i kutoka Kenya ambaye amemaliza muda wake na ku&#341;udi nyumbani. Hana kazi na hajui ni kwa namna gani ataweza kuwasiliana na mwenzi wake huyo aliyekuwa akilinda amani huko. Ameliambia si&#341;ika la IPS: &#8221;Tulipokutana na Mkenya huyo, alikuwa anafu&#341;ahisha na mka&#341;imu. Alinihakikishia kuwa atanisaidia mimi na mtoto wangu hata baada ya kuondoka katika jeshi la UNAMSIL. Lakini hivi sasa bila mawasiliano na hali ngumu niliyonayo, ninaumia sana.&#8221; <\/p>\n<p>Matukio kama haya yako mengi. Watoto wengi wamezaliwa na wanajeshi hao wa jeshi la kulinda amani la Umoja wa Mataifa, ambao wengi wao wameshamaliza muda wao na kuondoka. &#8221;Tuna&#341;udi palepale kwenye uonevu na manyanyaso ya kijinsia,&#8221; analalamika mwanaha&#341;akati mmoja wa haki za binadamu Cha&#341;les Mambu kutoka muungano wa vyama vya masuala ya kijamii huko F&#341;eetown. <\/p>\n<p>&#8221;Se&#341;a ya Umoja wa Mataifa ya stahamala kwa wanajeshi wake ni hatua nzu&#341;i. Baadhi ya wanajeshi hawa hawawajibiki kitabia, wanatuachia mzigo wa watoto wasiotakiwa na kuchangia ongezeko la VVU\/UKIMWI,&#8221; Mambu anaongeza. <\/p>\n<p>Umaskini wao wa miaka mingi kutokana na mauaji yaliyosababishwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe, wasichana na wanawake wa Sie&#341;&#341;a Leone wamekuwa wahanga wa uonevu na manyanyaso ya kijinsia. Wengi wao wamepoteza waume zao, wazazi na mali na hivyo kulazimika kufanya ukahaba. Wengine wanadanganywa tu kwa fedha na zawadi. <\/p>\n<p> Maada Kama&#341;a, kutoka Sek&#341;eta&#341;ieti ya Taifa ya UKIMWI ameliambia shi&#341;ika la IPS kwamba wao wanafanya kila wawezalo kupambana na VVU\/UKIMWI. &#8221;Tunawalenga sio tu wanajamii, bali pia wanajeshi wa jeshi la kulinda amani kutoka nchi za nje. Kampeni yetu ni ya kitaifa na nafiki&#341;i jitihada zilizowekwa na UNAMSIL zitasaidia kuendeleza kazi yetu. Ninaamini kuwa stahamala ni jibu,&#8221; Kama&#341;a anaelezea. <\/p>\n<p>Tofauti na nchi nyingine katika ukanda huu, Sie&#341;&#341;a Leone haina kiwango kikubwa cha maambukizi ya VVU\/UKIMWI. Taa&#341;ifa &#341;asmi inaelezea kwamba kiwango cha maambukizi ni chini ya asilimia tatu ya watu wenye um&#341;i wa kujamiiana. Lakini hata hivyo inahofiwa kwamba hadi hapo jeshi la kulinda amani litakapoondoka, takwimu zitaongezeka. <\/p>\n<p>Histo&#341;ia ya majeshi ya kulinda amani kutoka nchi za nje na maonevu ya kijinsia nchini Sie&#341;&#341;a Leone haikuanzia kwa ujumbe wa Umoja wa Mataifa. Wa&#341;ithi wao ECOMOG, jeshi la Umoja wa Uchumi wa Nchi za Af&#341;ika ya Magha&#341;ibi (ECOWAS), lililoongozwa na Nige&#341;ia, lilikuwa na sifa mbaya kwa utovu wa nidhamu. Mamia ya watoto waliochwa na wapiganaji wa ECOMOG wanajulikana kama &#8220;watoto wa ECOMOG&#8221;. <\/p>\n<p>Baadhi ya aska&#341;i wa ECOMOG kutoka Nige&#341;ia, walipokuwa wanaondoka Sie&#341;&#341;a Leone waliwachukua wanawake na wasichana waliokuwa na mahusiano nao. Ma&#341;y Josiah ameliambia shi&#341;ika la IPS kwamba &#341;afiki wa wa kiume wa ECOMOG aitwae Isaju, alimchukua kwenda nae Lagos, Nige&#341;ia, mwakain 2000 ambako alimtelekeza baadae. &#8221;Nilikuwa na wakati mgumu sana na uliojaa machungu nikiwa Lagos. Tulipowasili mjini Lagos, niligundua kwamba alikuwa na mke na watoto watatu. Hakuweza kunihudumia ikanilazimu kuingia katika biasha&#341;a ya ngono,&#8221; anasema Josiah. <\/p>\n<p>Vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sie&#341;&#341;a Leone ilitamkwa &#341;asmi kumalizima Janua&#341;i 2002 na &#341;ais wa nchi hiyo Ahmad Tejan Kabbah, baada ya miaka kumi na mmoja wa mauaji, kukatana viungo na uha&#341;ibifu. <\/p>\n<p>Katika hali ambayo nchi inataka kujenga uhusiano wake kutokana na ukatili uliofanyika, na hali ngumu ya uchumi hivi sasa, msimamo madhubuti uliochukuliwa na jeshi la Umoja wa mataifa la kulinda amani la stahamala ya maonevu na manyanyaso ya kijinsia, linaweza kusaidia kupunguza matatizo ya kijamii ambayo yanaweza kulipeleka taifa hilo katika janga kubwa ma&#341;a jeshi hilo litakapoondoka. <\/p>\n<p>= 04051244 ORP012 NNNN <\/p>\n<p>(END\/2005)<\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>FREETOWN, Ap&#341; 5 (IPS) (IPS) &ndash; Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sie&#341;&#341;a Leone wako katika mpango wa kuyaondoa majeshi ya kulinda usalama chini humo ifikapo mwisho wa mwaka huu, lakini kabla ya kufanya hivyo, ujumbe huo umeonyesha azma yake ya kusafisha &#341;ekodi yake inayohusisha unyanyasaji wa kijinsia. &#8220;Ujumbe unaendesha kampeni za kuwahamasisha wapiganaji kuhusu&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":23,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-923","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/923","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/23"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=923"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/923\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=923"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=923"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=923"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}