{"id":922,"date":"2005-04-06T13:40:01","date_gmt":"2005-04-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/06\/afya-namibia-watoto-waonekana-kama-diisha-la-matumaini-kuzuia-vvu\/"},"modified":"2005-04-06T13:40:01","modified_gmt":"2005-04-06T13:40:01","slug":"afya-namibia-watoto-waonekana-kama-diisha-la-matumaini-kuzuia-vvu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/06\/afya-namibia-watoto-waonekana-kama-diisha-la-matumaini-kuzuia-vvu\/","title":{"rendered":"AFYA&ndash;NAMIBIA:: Watoto Waonekana Kama Di&#341;isha la Matumaini Kuzuia VVU"},"content":{"rendered":"<p>WINDHOEK, Ap&#341;ili 4 (IPS) (IPS) &ndash; Namibia imeona umuhimu wa kuima&#341;isha elimu ya afya ya kujamiina katika mtaala wa shule katika kupambana na hata&#341;i ya gonjwa la Ukimwi.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kwa kipindi cha miaka nane iliyopita, elimu ya afya ya kujamiiana imekuwepo katika mtaala wa shule. Lakini iliegemea zaidi katika maa&#341;ifa, na kukosa ujuzi muhimu na kuleta maadili mema na mitizamo. <\/p>\n<p>Namibia ni moja ya nchi tano ulimwenguni ambazo zimeathi&#341;ika zaidi na Ukimwi, huku maambukizi yakisimamia katika asilimia ya watu wazima wanaoweza kufanya ngono 22.5. Gonjwa hilo taya&#341;i limeshashusha miaka ya kuishi nchini Namibia kutoka miaka 58.8 mwaka 1995 hadi 43 mwaka 2000, kulingana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2001. <\/p>\n<p>Hadi ilipofika mwaka 2000 vifo vya watu kati ya miaka 15 na 49 vilifikia asilimia 50 ya vifo vyote katika hospitali, ilisema. Kati ya kundi hili, vijana kati ya um&#341;i wa miaka 10 na 24 walikadi&#341;iwa kufikia hadi asilimia 60 ya maambukizi yote ya Vi&#341;usi Vya Ukimwi (VVU), kulingana na Sensa ya Watu na Makazi ya 2001. <\/p>\n<p>Takwimu hizi zililazimu wiza&#341;a ya elimu kukubali janga ambalo linatokana na takwimu, na kuachana na kupuuzia kwao kwa zamani na kusita kushughulikia mada zilizoonekana kuwa kali kijamii. &#8221;Kuna utambuzi mkubwa sasa kwamba sekta ya elimu ina jukumu muhimu katika kuzuia maambukizi ya VVU,&#8221; alibainisha Patti Swa&#341;tz, ofisa wa juu katika wiza&#341;a ya elimu. <\/p>\n<p>Utekelezaji wa mpango wa kimkakati wa kupambana na VVU na Ukimwi ulianza mwaka 2001. Kulingana na Swa&#341;tz, mpango unatafuta njia za kubo&#341;esha na kutekeleza mikakati katika maeneo maalum ambayo yanaendana nayo, na kwenda mbele zaidi, ya malengo yaliyowekwa na wiza&#341;a ya elimu katika Mkakati wa Taifa wa Kupambana na VVU na Ukimwi wa mwaka 1999 hadi 2004. Huu ulitanguliwa na utafiti wa nchi nzima kupata mapendekezo kutoka kwa majopo ya mtaala kusaidia kuunganisha mpango huo. <\/p>\n<p>Elimu ya Ukimwi sasa inafundishwa katika shule za msingi na sekonda&#341;i. Lakini Ma&#341;ianna van G&#341;aan, mtafiti wa juu katika Taasisi ya Taifa ya Maendeleo ya Elimu (NIED), alisema mkakati huo hautekelezwi ipasavyo katika sekonda&#341;i za juu kutokana na mitihani ya nje katika ngazi hizi. <\/p>\n<p>Kutokana na wanafunzi wengi kuacha shule baada ya kumaliza elimu ya msingi, wiza&#341;a imebainisha umuhimu wa wanafunzi wote kuwa na maa&#341;ifa ya msingi, ujuzi na mitizamo kuwalinda na maambukizi ya VVU wanapokuwa wamemaliza elimu ya msingi. <\/p>\n<p>Kwa kuongeza, wanafunzi wa ngazi hii ma&#341;a nyingi wana um&#341;i kati ya miaka 10 na 14, na kundi hili linaonekana kama &#8216;di&#341;isha la matumaini&#8217; katika kuzuia maambukizi ya VVU. Wanafunzi wengi katika um&#341;i huu wanadhaniwa na mamlaka za elimu kwamba hawafanyi ngono na hivyo kuonekana kama wapokeaji wazu&#341;i wa elimu ya kubadilisha tabia. <\/p>\n<p>Utafiti huo, uliofanyika katika mashule kusaidia kuunganisha mtaala, ulionyesha kwamba wanafunzi wa Namibia wanahitaji na kutaka elimu kubwa ya afya ya kujamiiana, VVU na Ukimwi ili kuwasaidia kuishi maisha ya afya na kuepuka atha&#341;i za Ukimwi. Katika ngazi za juu baada ya shule ya msingi, wanafunzi wanapenda zaidi &#8216;picha kubwa&#8217; ya Ukimwi, na kupata &#8216;maelezo zaidi&#8217; kuhusu ugonjwa huo kuliko mambo maalum yahusuyo gonjwa hilo na kujamiiana. <\/p>\n<p>David Sampson, ofisa elimu wa NIED, alisema wiza&#341;a ya elimu imefanya hatua kubwa kuhusu kuingizwa kwa elimu ya afya, na hasa elimu ya Ukimwi tangu mwaka 1997.&#8221;Hapo awali elimu ya VVU na Ukimwi ilifundishwa katika masomo mengine kama Sayansi ya Maisha na Biolojia,&#8221; alifafanua. &#8221;Hii imebadilika ambapo kila eneo la kujifunzia linaunganisha somo la Ukimwi. Tuliona umuhimu wa mtaala wote kuhusika na jambo hili.&#8221; <\/p>\n<p>Sampson alisema kila somo linatazama atha&#341;i za Ukimwi kutoka eneo tofauti. &#8221;Tunaja&#341;ibu kuzuia kushindana katika kazi za wanafunzi vyovyote iwezekanavyo,&#8221;alisema. <\/p>\n<p>Aliulizwa ni jinsi gani walimu wanaotekeleza mtaala wanazoea ufundishaji wa Ukimwi, Sampson alikubali kwamba wengi, hasa katika shule za vijijini, wanaona somo hilo kuwa kali kwasababu ya masuala ya ngono yanayohusiana na gonjwa. &#8221;Pia tuna jamii yenye tamaduni nyingi ambapo inabidi kuzuia, kwa gha&#341;ama zote, hali ambapo baadhi ya mambo yana ujumbe mkali kitamaduni. Hivyo,tunaondokana na maneno kama vile &#8216;kutahi&#341;iwa ni kubaya&#8217; na kuweka neno hata&#341;i badala ya kubaya,&#8221; Sampson aliongeza. <\/p>\n<p>Van G&#341;aan, akitoa mfano wa utafiti uliofanywa katika mashule, alibainisha kwamba ilionekana inatia moyo kwamba wakuu wa shule na walimu wanazidi kukubali mafunzo kuhusu Ukimwi. &#8221;Tangu wakati huo shule nyingi zimeazisha klabu za Ukimwi. Matokeo kwa ujumla ni mazu&#341;i kuliko ilivyota&#341;ajiwa,&#8221; van G&#341;aan aliongeza. Alikubali kwamba bado walimu&#8221;wanakosa uhakika&#8221; katika njia zao za kufundisha, na hawana uhakika ni kwa jinsi gani wazazi watakubalinana na elimu ya kujamiina. <\/p>\n<p>Katika Mfuko wa Kimataifa wa Umoja wa Mataifa walimu wengi wanapewa mafunzo kuhusu elimu ya Ukimwi. Mpango huu unasaidia zaidi kuendelea kwa mambo ya kufundishia. Haya, kulingana na van G&#341;aan, yamekuwa na atha&#341;i kubwa katika mitizamo ya walimu. <\/p>\n<p>&#8221;Daima familia za wanafunzi zinakuwa zimeathi&#341;ika na gonjwa la ukimwi, hivyo ma&#341;a nyingi tunaona jambo la unyanyapaa, lakini mitizamo (ya wanafunzi na walimu) inabadilika. Hiki ni kitu tu ambacho kinachukua muda ,&#8221; van G&#341;aan alitoa maoni yake. <\/p>\n<p>Phillipe Talave&#341;a, mwandishi wa kitabu cha &#8216;Challenging the Namibian Pe&#341;ception of Sexuality&#8217;, alisema Ukimwi unashughulikiwa katika mashule kwa u&#341;ahisi. &#8221;Ni &#341;ahisi kupata walimu kuhusika, labda kwasababu watu wanazoea kuzungumza kuhusu ugonjwa huo. Unazidi kuwa siyo jambo linalokatazwa,&#8221; aliona. <\/p>\n<p>Hapo awali, alisema, elimu ya Ukimwi haikuwa sehemu ya kazi &#341;asmi za walimu, lakini tangu wakati huo suala hili limebadilika. <\/p>\n<p>Talave&#341;a alisema wazazi wanaona kupata ahueni kutokana na kuongezeka kwa majukumu ya walimu katika elimu ya Ukimwi. &#8221;Wanafu&#341;ahia sana kwamba mtu mwingine anazungumzia jambo hilo. Wazazi wengi wanakubali kwamba inabidi kuwe na mtu wa kuzungumzia suala hilo, lakini bado ni vigumu kuwafanya wazazi wahusike,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Hata hivyo, Swa&#341;tz alisema mabadiliko ya mtaala au msisitizo hautasaidia katika mabadiliko makubwa ya tabia kama hautaungwa mkono na jamii kwa ujumla. &#8221;Kama tunataka mabadiliko tu katika mashule na siyo mahali pengine, tabia za watu zitawezaje kubadilika &#8221; aliuliza. &#8221;Katika tamaduni zetu nyingi wanaume wazee, ma&#341;a nyingi ndugu, wanata&#341;ajiwa kulala na wasichana wadogo kama aina ya unyago. Wazee hawa wanaweza kuwa wameshawahi kufanya ngono na watu wengi, na bado inaonekana tendo linalokubaliwa,&#8221; Swa&#341;tz alisema. <\/p>\n<p>&#8221;Kitu kizu&#341;i shule inaweza kukifanya ni kutoa haba&#341;i kwa wanafunzi. Kitu muhimu zaidi ni kuwa na shughuli nyingi za kimtaala nje ya da&#341;asa. Taa&#341;ifa nje ya da&#341;asa ni kitu kimoja tu katika mpango mzima,&#8221; Talave&#341;a alisema. <\/p>\n<p>Mbali na Namibia, nchi nyingine ambazo zimeathi&#341;ika zaidi na Ukimwi katika mataifa 13 ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika (SADC) ni Zimbabwe, Swaziland, Botswana, Lesotho, Zambia na Af&#341;ika Kusini.<\/p>\n<p>= 04041510 ORP006 NNNN <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WINDHOEK, Ap&#341;ili 4 (IPS) (IPS) &ndash; Namibia imeona umuhimu wa kuima&#341;isha elimu ya afya ya kujamiina katika mtaala wa shule katika kupambana na hata&#341;i ya gonjwa la Ukimwi. Kwa kipindi cha miaka nane iliyopita, elimu ya afya ya kujamiiana imekuwepo katika mtaala wa shule. Lakini iliegemea zaidi katika maa&#341;ifa, na kukosa ujuzi muhimu na kuleta&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":194,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-922","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/922","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/194"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=922"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/922\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=922"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=922"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=922"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}