{"id":920,"date":"2005-04-06T13:40:01","date_gmt":"2005-04-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/06\/siasa-umoja-wa-mataifa-wakubali-wahalifu-wa-vita-nchini-sudan-kufunguliwa-mashitaka\/"},"modified":"2005-04-06T13:40:01","modified_gmt":"2005-04-06T13:40:01","slug":"siasa-umoja-wa-mataifa-wakubali-wahalifu-wa-vita-nchini-sudan-kufunguliwa-mashitaka","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/06\/siasa-umoja-wa-mataifa-wakubali-wahalifu-wa-vita-nchini-sudan-kufunguliwa-mashitaka\/","title":{"rendered":"SIASA: Umoja wa Mataifa Wakubali Wahalifu wa Vita nchini Sudan Kufunguliwa Mashitaka"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Ap&#341;ili 1 (IPS) (IPS) &ndash; Uamuzi wa Ba&#341;aza la Usalama la Umoja wa Mataifa wa kupeleka watuhumiwa wa uhalifu wa kivita nchini Sudan katika Mahakama ya Wahalifu ya Kimataifa (ICC) inabidi ufuatiwe na kuchukuliwa hatua na mashi&#341;ika ya kimataifa ili kukomesha mauaji ya kuangamiza yanayoendelea nchini humo , wanasema wanaha&#341;akati wa haki za binadamu ba&#341;ani Af&#341;ika na mashi&#341;ika ya haki za Binadamu ya Ma&#341;ekani.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Kipaumble namba moja ni kukomesha vita na kuwalinda watu wa Da&#341;fu&#341; (magha&#341;ibi mwa Sudan),&#8221; kulingana na Ann&ndash;Louise Colgan, mku&#341;ugenzi wa uchambuzi wa se&#341;a na mawasiliano katika shi&#341;ika lenye makao yake makuu mjini Washington la Af&#341;ica Action. <\/p>\n<p>Kama Ba&#341;aza la Usalama linataka kuendelea mbele, alisema, inabidi hii iwe kipaumbele cha kwanza. &#8220;Kinachotakiwa ni hatua za ha&#341;aka na zenye nguvu za jumuiya ya kimataifa kuingilia kati kukomesha mauaji ya halaiki ,&#8221; Colgan aliliambia shi&#341;ikala haba&#341;i la IPS. <\/p>\n<p>Tangu mapigano yalipoanza jimboni Da&#341;fu&#341; mapema mwaka 2003, baadhi ya watu 180,000 wamekufa na wengine milioni 1.8 wameachwa bila makazi, ikiwa ni pamoja na wengine 200,000 ambao wamekimbilia katika nchi ji&#341;ani ya Chad, hii ni kulingana na takwimu za Umoja wa Mataifa . <\/p>\n<p>Masaa tu baada ya Ba&#341;aza la Usalama lenye wanachama 15 kupitisha azimio siku ya Alhamisi usiku linalotaka wahalifu wa kivita kupelekwa katika mahakama ya ICC mjini The Hague, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan alipongeza wanachama wa Ba&#341;aza &#8220;kutokana na kuepukana na tofauti zao na ku&#341;uhusu ba&#341;aza kuhakikisha kwamba wale waliohusika na vitendo vya kinyama huko Da&#341;fu&#341; wanawajibishwa.&#8221; <\/p>\n<p>Azimio lilipitishwa siku ya Alhamisi kwa ku&#341;a 11, huku nchi nne zikikataa kupiga ku&#341;a &ndash;&ndash; Ma&#341;ekani, Alge&#341;ia, B&#341;azili na China. <\/p>\n<p>Ma&#341;ekani,ambayo ilita&#341;ajiwa kupigia azimio hilo ku&#341;a ya tu&#341;ufu kutokana na kupinga suala la mahakama ya ICC, iliamua kutokupiga ku&#341;a kutokana na mabadiliko yaliyofanywa kusamehe &#341;aia kutoka nchi (kama Ma&#341;ekani ) ambazo hazijasaini She&#341;ia ya Roma, ambayo ilipelekea kuundwa kwa ICC, wasiweze kushitakiwa na mahakama hiyo. <\/p>\n<p>Mataifa haya ambayo siyo watia saini wa ICC yatakuwa na mamlaka yake ya kipekee kuhusu &#341;aia wake waliopo katika kikosi cha kulinda amani nchini Sudan kilichopewa mamlaka na Ba&#341;aza la Usalama au Umoja wa Af&#341;ika (AU). Lakini hazitakuwa chini ya mamlaka ya ICC. <\/p>\n<p>&#8220;Msamaha wa azimio ni wa kiuadui,&#8221; anasema Richa&#341;d Dicke&#341;, mku&#341;ugenzi wa Mpango wa She&#341;ia wa shi&#341;ika la kupigania haki za binadamu la Human Rights Watch. <\/p>\n<p>&#8220;Tunapinga msamaha huu wa kuzipa nchi zisizokuwa wanachama wa ICC mamlaka ya kipekee kuhusu nchi zinazochangia katika Ba&#341;aza la Usalama au Umoja wa Af&#341;ika katika opa&#341;esheni nchini Sudan,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Canada, nchi ambayo ilishi&#341;iki zaidi katika kuundwa kwa ICC, ilielezea kuchukizwa kwake kuhusu Azimio la Ba&#341;aza la Usalama lililopunguzwa makali. <\/p>\n<p>&#8220;Canada inaona (hii) ni kutokuzingatia kanuni za msingi za kishe&#341;ia katika uwajibikaji,&#8221; Wazi&#341;i Mkuu wa Canada Paul Ma&#341;tin alisema katika taa&#341;ifa iliyotolewa mjini Ottawa siku ya Ijumaa. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa maoni ya Canada, msamaha wa aina hiyo inabidi usiwe kigezo cha Ba&#341;aza la Usalama katika siku zijazo kuhusu ICC,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Msamaha &#8220;haukubaliki kabisa,&#8221; anasema Yvonne Te&#341;lingen, mwakilishi wa Umoja wa Mataifa wa Amnesty Inte&#341;national. <\/p>\n<p>&#8220;Inajenga undumila kuwili katikia she&#341;ia, unakiuka mkataba wa Umoja wa Mataifa, She&#341;ia ya Roma na she&#341;ia nyingine za kimataifa,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Te&#341;lingen alisema kifungu kinachokasi&#341;isha &#8220;ni lazima kiondolewe katika maazimio yote ya baadaye ya Ba&#341;aza laUsalama.&#8221; <\/p>\n<p>Colgan aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS kwamba jeshi la sasa la Umoja wa Af&#341;ika (AU) katika uwanja wa mapambano, lenye aska&#341;i wanaofikia 2,000, linafanya kinachowezekana katika uso wa matatizo mengi na huku wakiwa wachache na mamlaka kidogo. <\/p>\n<p>Alisema AU imetoa uongozi muhimu katika mgogo&#341;o wa Da&#341;fu&#341;, lakini inatakiwa isibebe mzigo huu peke yake. <\/p>\n<p>&#8220;Hali ya kiusalama inazidi kuzo&#341;ota na mgogo&#341;o wa kibinadamu unaka&#341;ibia katika hali ya kukatisha tamaa. Kama hakutakuwa na hatua za ha&#341;aka na za nguvu kutoka katika jumuiya ya kimataifa, hadi watu milioni watakuwa wamekufa mwishoni mwa mwaka huu,&#8221; alionya. <\/p>\n<p>Colgan alisema nchi wanachama wa Ba&#341;aza laUsalama ni lazima wafanye kazi pamoja na AU kuima&#341;isha mamlaka yake na kubo&#341;esha uwepo wao kwa kupeleka kikosi chenye nguvu cha kimataifa ambacho kinaweza kukomesha vita, kuwalinda &#341;aia na kufanikisha upanuzi mkubwa wa jitihada za kiutu. <\/p>\n<p>Heathe&#341; Hamilton, makamu wa &#341;ais wa Citizens fo&#341; Global Solutions, alielezea kwamba uamuzi wa Ba&#341;aza la Usalama kuishughulikia Sudan ni wa kihisto&#341;ia kwa she&#341;ia za kimtaifa. <\/p>\n<p>&#8220;Hii ni ma&#341;a ya kwanza kwa kesi kupelekwa ICC kupitia Ba&#341;aza la Usalama. Inaonyesha kwamba ICC ni chombo cha pekee halali na cha kimataifa kinachoweza kushughulikia suala la mauaji ya halaiki, uhalifu wa kivita dhidi ya ubinadamu kama mataifa yanashindwa kufanya hivyo,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Hamilton alisema jeshi la AU lime&#341;uhusiwa kusimamia ukiukwaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano tu na kuchukua &#341;ikodi za ukiukwaji wa haki za binadamu &ndash;&ndash; wala siyo kusitisha mapigano. <\/p>\n<p>&#8220;Ujumbe wa AU unahitaji sana kupewa mahitaji ya kisiasa, kifedha na vifaa vinavyohitajika katika kusitisha mapigano sasa,&#8221; aliongeza.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Ap&#341;ili 1 (IPS) (IPS) &ndash; Uamuzi wa Ba&#341;aza la Usalama la Umoja wa Mataifa wa kupeleka watuhumiwa wa uhalifu wa kivita nchini Sudan katika Mahakama ya Wahalifu ya Kimataifa (ICC) inabidi ufuatiwe na kuchukuliwa hatua na mashi&#341;ika ya kimataifa ili kukomesha mauaji ya kuangamiza yanayoendelea nchini humo , wanasema wanaha&#341;akati wa haki&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":58,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-920","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/920","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/58"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=920"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/920\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=920"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=920"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=920"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}