{"id":919,"date":"2005-04-05T13:40:01","date_gmt":"2005-04-05T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/05\/dini-mithi-wa-kiafika-ni-dalili-ya-umoja\/"},"modified":"2005-04-05T13:40:01","modified_gmt":"2005-04-05T13:40:01","slug":"dini-mithi-wa-kiafika-ni-dalili-ya-umoja","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/05\/dini-mithi-wa-kiafika-ni-dalili-ya-umoja\/","title":{"rendered":"DINI: M&#341;ithi wa Kiaf&#341;ika ni Dalili ya Umoja"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Ap&#341; 2 (IPS) &ndash; Pamoja na waumini wa dhehebu la Wakatoliki wa Ki&#341;oma kuomboleza kifo za Papa John Paul II, mawazo ya wengi yanaangalia hali ya baadae&#038;ug&#341;ave;na suala la nani atam&#341;ithi pad&#341;i wa Kipolishi kuwa Askofu wa Roma.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kutokana na ukweli kwamba Ukatoliki unaongezeka kwa nguvu ba&#341;ani Af&#341;ika, baadhi ya wachunguzi kutoka Vatican wanaamini kwamba jibu la suala hilo ni dhahi&#341;i: papa mpya, wanatumaini, atatoka katika ba&#341;a hili.<\/p>\n<p>Idadi ya waumini wa Kikatoliki ba&#341;ani Af&#341;ika imeongezeka kwa asilimia 4.5 mwaka 2003, kwa mujibu wa Kitabu Kitakatibu, wakati idadi ya Wakatoliki ba&#341;a la Ulaya limebakia kama ilivyokuwa awali. Ba&#341;ani Asia, kumekuwa na ongezeko la asilimia 2.2, na maba&#341;a ya Ame&#341;ica kwa asilimia. Ba&#341;a la Af&#341;ica hivi sasa linaongoza kwa kuwa na Wakatoliki wengi duniani kwa asilimia 13.2.<\/p>\n<p>Chi&#341;evo Kwenda, kiongozi wa kitengo cha masomo ya kidini katika Chuo Kikuu cha Cape Town, anasema huu ni &#038;oci&#341;c;wakati muafaka&#8221; wa uchaguzi wa Papa kutoka Af&#341;ika. Pad&#341;i wa kwanza kuongoza Kanisa la Kikatoliki alikuwa Gelasius wa Kwanza kuanzia mwaka 492 hadi 496.<\/p>\n<p>Kwa upande wake David Monyae, Mhadhi&#341;i kutoka mahusiano ya kimataifa cha Johannesbu&#341;g&ndash;chuo kishi&#341;iki cha Witwate&#341;s&#341;and, anasema &#8220;Tuna viongozi wenye uwezo mkubwa katika Vatican.&#8221;<\/p>\n<p>Alikuwa akimzungumzia Ka&#341;dinali F&#341;ancis A&#341;inze kutoka Nige&#341;ia, mwenye um&#341;i wa miaka 72&ndash;yea&#341;&ndash;old ambaye amekuwa mshau&#341;i wa ka&#341;ibu wa ma&#341;ehemu Papa.<\/p>\n<p>A&#341;inze anasemekana kuwa na mamlaka katika Uislam. Kigezo hicho ninaweza kumpa nafasi kubwa wakati maka&#341;dinali 117 wenye sifa za kushi&#341;iki kuchagua atakayem&#341;ithi papa kuamua ni nani anafaa kuliongoza Kanisa la Kikatoliki, katika kipindi hiki ambacho kuna wimbi kubwa la mapigano ya Kiislamu katika sehemu nyingi duniani.<\/p>\n<p>Hata hivyo, A&#341;inze anajulikana kuwa na msimamo madhubuti katika masuala ya dini, ambaye bila shaka ataendeleza msimamo wa Papa John Paulo dhidi ya mashoga, uzazi wa mpango, kuvunjika kwa ndoa na utoaji mimba.<\/p>\n<p>Uwezekano wa kuendeleza mawazo hayo kwa papa mwingine hayatakubalika na wengi, kwa kutilia maanani kwamba matumizi ya kondomu yanakubalika na wengi kuwa ni njia kuu ya kupambana na maambukizi ya UKIMWI. Se&#341;ikali ya Vatican inashawishi kuacha kufanya mapenzi ili kupambana na gonjwa hilo hata&#341;i.<\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a kwa ma&#341;a tumekuwa tukitofautiana na msimamo wa Kikatoliki. Mtu yeyote anakataza matumizi ya kondomu siyo mkweli wa maisha,&#8221; Odongo Odiyo, mwenyekiti wa kamati ya Chama cha Madakta&#341;i cha Kenya kinachohusiana na VVU\/UKIMWI analiambia shi&#341;ika la IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Watu wote wanajamiia, wawe (wafuasi wa) dini au la. Katika suala la kupambana na VVU\/UKIMWI, ni muhimu kutafuta njia za kuwasaidia watu, na njia mojawapo ni kuwatia moyo katika matumizi ya kondomu,&#8221; alisema, akiongeza kuwa baadhi ya mapad&#341;i wa Kikatoliki nchini Kenya wameondokana na dhana hiyo ya mafundisho ya Vatican, na kuanza kusambaza kondomu kuisaidia jamii kupambana na VVU\/UKIMWI.<\/p>\n<p>Ba&#341;a la Af&#341;ica kwa hivi sasa linaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu vi&#341;usi chanya ambao wanaka&#341;ibia 25 milioni.<\/p>\n<p>Pete&#341; Gichangi, mhadhi&#341;i katika masuala ya magonjwa ya watoto na wanawake wa Chuo Kikuu cha Nai&#341;obi, amesema kuwa msimamo wa Kikatoliki kuhusu matumizi ya dawa za kuzuia mimba haukuzaa matunda wakati jitihada za kupanua uzazi wa mpango ulikuwa unaendelea ba&#341;ani Af&#341;ika.<\/p>\n<p>&#8220;Taaluma ya kidakta&#341;i inaonyesha kuwa, kuzuia mimba&ndash;ikiwemo mimba isiyotakiwa&ndash;mtu lazima atumie uzazi wa mpango, ambao kondomu ni miongoni mwao. Kuzipinga njia hizo kunaongeza idadi ya watu na mimba zisizotakiwa ambazo zinawafanya wanawake waamue kuzitoa mimba hizo,&#8221; ameliambia shi&#341;ika la IPS.<\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati wanawake kwa muda m&#341;efu wamekuwa wakisema kwamba kumpa mwanamke uwezo wa kupunguza na kupangilia mimba ni jambo muhimu kwa kubo&#341;esha masuala ya kijamii na kiuchumi kwa wanawake na familia zao.<\/p>\n<p>Hata hivyo, siyo wote waliokubaliana na jambo hilo.<\/p>\n<p>&#8220;Kuwapa watu kondomu ni sawa na kuwapa cheti cha kwenda motoni: ni kuwaambia wasijali mwenendo mzu&#341;i na kuendeleza uzinzi,&#8221; pad&#341;i wa Kikatoliki Emmanuel Ngugi, ambaye ni kiongozi wa kanisa la Holy Family Basilica katika mji mkuu wa Kenya, Nai&#341;obi, alisema katika mahojiano na shi&#341;ika la IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Papa alizungumzia msimamo wake dhidi ya matumizi ya kondomu wazi wazi mwaka1995. Alisema kondomu haitatui tatizo,&#8221; Ngugi aliongezea. &#8220;Aliwaambia watu kumwamini Mungu badala ya kutumia kondomu, kufuata maadili. Mimi pia msimamo wangu ni huo huo: wakati umefika kwetu sisi kuzingatia yaliyosemwa na Papa kuhusiana na maadili kiundani.&#8221;<\/p>\n<p>Mbali na majadiliano makali hukusu masuala hayo, hata hivyo, John Paul alizungumzia pia masuala mengine muhimu yanayolihusu ba&#341;a la Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Wakati wa ibada ya kwanza ya Pasaka ya milenia, alitoa wito wa kukomesha ubaguzi wa &#341;angi na chuki. Mwaka mmoja kabla ya hapo, alikemea vita dhidi ya Angola, na kuwashutumu wale wote waliojihusisha katika vita hivyo kuwa ni wabinafsi.<\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya Luanda inakashifiwa kwa matumizi mabaya ya biasha&#341;a ya mafuta&ndash;wakati wananchi walio wengi wanaishi katika maisha ya umaskini uliokithi&#341;i. Waasi kutoka nchi Kusini mwa Af&#341;ika walipatiwa fedha kutokana na almasi ambayo waliita kuwa ni &#038;oci&#341;c;almasi ya damu&#8221;.<\/p>\n<p>Wakati waasi kutoka masha&#341;iki mwa Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asi ya Kongo walipomzuia Askofu wa Bukavu ku&#341;ejea katika jimbo lake mwaka 2000, John Paul aliwashutumu kwa kitendo hicho mbele ya waumini waliokusanyika St. Pete&#341;&#8217;s wakati wa sala za kila wiki.<\/p>\n<p>&#8220;Alipokuja Kenya mwaka 1995 alihubi&#341;i amani, na kusema kuwa bila amani hakuna maendeleo. Aliwaambia wananchi wa Kenya kuacha ukabila, ambao ulisababisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe mwaka 2002,&#8221; Ngugi alisema, akimwelezea ma&#341;ehemu Papa &#8220;kama alama ya umoja&#8221;. Maelfu ya watu waliuwawa katika mapigano madogo madogo yaliyotokea katika jimbo la Rift Valley la Kenya mwaka 1992.<\/p>\n<p>Zia&#341;a ya John Paul nchini Kenya na nchi nyingine za ba&#341;ani Af&#341;ika ilikuwa sehemu ya mfululizo wa safa&#341;i ya kuchosha iliyochukua zaidi ya nchi 100 ikiwa ni tendo la kuja&#341;ibu kuendeleza uongozi wa ki&#341;oho kwa Wakatoliki milioni moja duniani.<\/p>\n<p>Baada ya John Paul kuchukua uongozi wa ki&#341;oho mwaka 1978, idadi ya Wakatoliki imeongezeka ba&#341;ani Af&#341;ika kwa zaidi ya asilimia 150 hadi kufikia 137.5 millioni, kwa mujibu wa Haba&#341;i za Huduma za Kikatoliki Catholic (News Se&#341;vice)<\/p>\n<p>(* Haba&#341;i nyingine zimetoka kwa Joyce Mulama Nai&#341;obi.)<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Ap&#341; 2 (IPS) &ndash; Pamoja na waumini wa dhehebu la Wakatoliki wa Ki&#341;oma kuomboleza kifo za Papa John Paul II, mawazo ya wengi yanaangalia hali ya baadae&#038;ug&#341;ave;na suala la nani atam&#341;ithi pad&#341;i wa Kipolishi kuwa Askofu wa Roma. Kutokana na ukweli kwamba Ukatoliki unaongezeka kwa nguvu ba&#341;ani Af&#341;ika, baadhi ya wachunguzi kutoka Vatican wanaamini&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":17,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-919","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/919","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/17"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=919"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/919\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=919"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=919"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=919"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}