{"id":918,"date":"2005-04-05T13:40:01","date_gmt":"2005-04-05T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/05\/siasa-eu-yahofia-uchaguzi-wa-ulaghai-nchini-zimbabwe\/"},"modified":"2005-04-05T13:40:01","modified_gmt":"2005-04-05T13:40:01","slug":"siasa-eu-yahofia-uchaguzi-wa-ulaghai-nchini-zimbabwe","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/04\/05\/siasa-eu-yahofia-uchaguzi-wa-ulaghai-nchini-zimbabwe\/","title":{"rendered":"SIASA: EU Yahofia Uchaguzi wa &#8220;Ulaghai&#8221; nchini Zimbabwe"},"content":{"rendered":"<p>BRUSSELS, Machi 30 (IPS) &ndash; Viongozi wa juu katika Umoja wa Ulaya wameonya kwamba uchaguzi mkuu wa Alhamisi nchini Zimbabwe ungegubikwa na ulaghai.<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p> Baadhi ya wapiga ku&#341;a milioni 5.8 waliojiandikisha nchini Zimbabwe watapiga ku&#341;a zao siku ya Alhamisi kuchagua watunga she&#341;ia 120 katika bunge lenye wanachama 150. Chama Kinachotawala cha Rais Robe&#341;t Mugabe cha Zimbabwe Af&#341;ican National Union&ndash;Pat&#341;iotic F&#341;ont (ZANU&ndash;PF) na chama kikuu cha upinzani cha Movement fo&#341; Democ&#341;atic Change (MDC), vinapambana vikali sana.<\/p>\n<p>Uchaguzi huo utasimamiwa kwa uka&#341;ibu zaidi kuona kama unazingatia miongozo iliyokubaliwa na viongozi wa kanda ya Af&#341;ika mwaka jana kuhusu uchaguzi hu&#341;u na wa haki.<\/p>\n<p>Lakini maofisa wa Umoja wa Ulaya (EU) taya&#341;i wameanza kutoa onyo kwamba hadi sasa uchagzui huo umeonyesha kutokuzingatia kiwango kilichowekwa. Wameonyesha kwamba kambi hiyo itachukua hatua za ha&#341;aka dhidi ya se&#341;ikali ya Mugabe baada ya uchaguzi.<\/p>\n<p>Akizungumza na wanachama wa Bunge la Umoja wa Ulaya Jumanne, Nicholas Schmit, naibu wazi&#341;i wa mambo ya kigeni wa Luxembou&#341;g, ambaye nchi yake inashikilia u&#341;ais wa kupokezana wa EU, alisema hali iliyozunguka uchaguzi wa Machi 31 itatia mashaka zaidi kutokana na kwamba Mugabe &#8220;hatavumilia kusimamiwa kwa uchaguzi huu wa kilaghai.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Tunawasiwasi na kushtushwa, siyo tu kutokana na kampeni hii ya uchaguzi ya udanyanyifu lakini kutokana na kuile kinachoendelea kwa miaka sasa,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Schmit pia aliahidi kwamba uchaguzi utajadiliwa katika ba&#341;aza lijalo la mawazi&#341;i wa kigeni.<\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a baada tu ya uchaguzi huu wa bandia kufanyika, ninaweza kuahidi mwenyewe kutokana na ukweli kwamba suala la Zimbabwe litakuwepo katika ajenda ya Ba&#341;aza litakapokaa kwa ma&#341;a nyingine,&#8221; aliogeza.<\/p>\n<p>Zimbabwe ilitaa ku&#341;uhusu nchi za EU kupeleka wangalizi katika uchaguzi wake wa &#341;ais wa mwaka 2002. Uchaguzi huu ulidaiwa kujaa na hali ya vu&#341;ugu, vitisho na udanganyifu wa ku&#341;a. Kwa kujibu, EU na Ma&#341;ekani walimwekea Mugabe na viongozi wenzake vikwazo vya kusafi&#341;i, ambavyo vinabakia hadi mwezi Juni mwaka huu.<\/p>\n<p>Russia ni nchi ya Umoja wa Ulaya pekee miongoni mwa nchi 31 ambazo zimeka&#341;ibishwa kupeleka waangalizi katika uchaguzi wa mwaka huu.<\/p>\n<p>Mbunge wa Kishosalisti Glenys Kinnock pia alionyesha wasiwasi wake kuhusu uchaguzi. Wakati ambapo alika&#341;ibisha umahi&#341;i wa MDC, alielezea wasiwasi wake kuhusu atha&#341;i zake.<\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a nyingine tena MDC imeonyesha umahi&#341;i mkubwa, kujituma na uwezo katika kupinga udikteta wa kishamba wa Robe&#341;t Mugabe. Zanu na wafuasi wake wanaongelea utulivu uliopo ikilinganishwa na hali ilivyokuwa mwaka 2000 na 2002, lakini wanata&#341;ajia ku&#341;ejea katika mauaji ya wanasiasa wapinzani na kuwabughudhi wapianzani wenye haki &#8221; alisema katika taa&#341;ifa Jumatano.<\/p>\n<p>Kinnock pia alielezea hofu yake kwamba kuna mabadiliko machache sana tangu mwaka 2002 wakati wa uchaguzi wa &#341;aia, na kuelezea kuhusu hatua zilizochukuliwa na se&#341;ikali kufanya ujanja dhidi ya wapiga ku&#341;a wa upinzani.<\/p>\n<p>&#8220;Ukweli ni kwamba uchaguzi huu utakosa kuwa wa haki kama ulivyokuw auchaguzi uliopita. Aska&#341;i wale wale na majambazi wa Zanu ambao waliwaua na kuwapiga wapiga ku&#341;a sasa hivi wanasimama katika vituo vya kupigia ku&#341;a. Mipaka ya majimbo imebadilishwa ili kuisaidia Zanu&ndash;PF,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Wakuu wa se&#341;ikali waziwazi wanaelezea watu kwamba kama watapigia ku&#341;a MDC wataweza kuona waziwazi maboksi ya kupigia ku&#341;a. Kutakuwa na waangalizi wa uachaguzi 300 kusimamia vituo 8,000 vya kupigia ku&#341;a, na wamepewa kibali cha kusimamia uchaguzi kwasababu hawategemewi kuwa wakosoaji. Vyombo hu&#341;u vya haba&#341;i nchini humo vimebakia vimefungwa, na misaada ya chakula inaendelea kuwa silaha ya kisiasa,&#8221; aliongeza.<\/p>\n<p>Chama cha Rais Mugabe cha ZANU&ndash;PF kimekuwa kikitawala nchini Zimbabwe tangu nchi hiyo ilipojipatia uhu&#341;u wake wa kisiasa mwaka 1980 kutoka Uinge&#341;eza. Mugabe ameweza tu kupata upinzani wa kweli hivi ka&#341;ibuni, kutokana na maandamano na kuima&#341;ika kwa chama cha upinzani cha MDC, ambacho kinakataa kumkubali Mugabe kama mkuu wa nchi.<\/p>\n<p>Kiongozi wa upinzani Mo&#341;gan Tsvangi&#341;ai anamshutumu Mugabe kwa kukiuka haki za binadamu na kuha&#341;ibu uchumi wa nchi.<\/p>\n<p>Gha&#341;ama ya maisha nchini Zimbabwe imepanda kwa kiwango cha asilimia 127, kiwango cha juu duniani, wakati uchumi wa nchi umeshuka kwa kiasi cha asilimia. Zaidi ya makampuni 400 yamefungwa tangu mwaka 2000, na kusababisha watu wanne kati ya watano nchini Zimbabwe bila kazi.<\/p>\n<p>Inakadi&#341;iwa watu milioni tisa (sawasawa na asilimia 75 ya idadi ya watu) wanaishi kwa kiwango cha chini cha umaskini. Watoto wapatao 100 wanazaliwa na vi&#341;usi vya Ukimwi kila siku.<\/p>\n<p>Se&#341;ikali iliahidi uchaguzi hu&#341;u na wa haki wakati wa Uchaguzi Mkuu siku ya Alhamisi na inasadikika kuwa makini ili kukonga nyoyo za watu baada ya shutuma dhidi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2000 na 2002.<\/p>\n<p>Mugabe ameweka mabadiliko katika uchaguzi, kama vile tume ya uchaguzi na mahakama kusimamia vituo vya kupigia ku&#341;a. Hata hivyo, vikundi vinavyopigania haki za binadamu vimeonyesha wasiwasi kuhusu mazingi&#341;a ya woga na vitisho wakati wa kupiga ku&#341;a katika vituo.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Kimataifa la Kutetea Haki za Binadamu linasema kuwa wanaha&#341;akati na wagombea wa MDC bado wananyanyaswa na kwamba huko vijijini wale wanaodhaniwa kuwa ni wanachama wa MDC wananyimwa chakula.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BRUSSELS, Machi 30 (IPS) &ndash; Viongozi wa juu katika Umoja wa Ulaya wameonya kwamba uchaguzi mkuu wa Alhamisi nchini Zimbabwe ungegubikwa na ulaghai. Baadhi ya wapiga ku&#341;a milioni 5.8 waliojiandikisha nchini Zimbabwe watapiga ku&#341;a zao siku ya Alhamisi kuchagua watunga she&#341;ia 120 katika bunge lenye wanachama 150. Chama Kinachotawala cha Rais Robe&#341;t Mugabe cha Zimbabwe&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":59,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-918","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/918","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/59"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=918"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/918\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=918"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=918"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=918"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}