{"id":917,"date":"2005-03-29T13:40:01","date_gmt":"2005-03-29T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/29\/mazingira-hatai-ya-tsunami-yapungua-lakini-bado-ipo-wasema-wataalamu\/"},"modified":"2005-03-29T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-29T13:40:01","slug":"mazingira-hatai-ya-tsunami-yapungua-lakini-bado-ipo-wasema-wataalamu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/29\/mazingira-hatai-ya-tsunami-yapungua-lakini-bado-ipo-wasema-wataalamu\/","title":{"rendered":"MAZINGIRA: Hata&#341;i ya Tsunami Yapungua, Lakini Bado Ipo, Wasema Wataalamu"},"content":{"rendered":"<p>NEW YORK, Machi 28 (IPS) &ndash; Mamilioni ya watu katika ukanda wa Baha&#341;i ya Hindi, bado wanakumbuka mawimbi ya kuangamiza ambayo yalikumba ukanda wa mwambao siku moja baada ya K&#341;ismasi, na sasa wanasubi&#341;i kwa hofu kuthibitisha kwamba tetemeko kubwa katika kisiwa cha Sumat&#341;a halitasababisha janga jingine.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Shi&#341;ila la Utafiti wa Kijiolojia la Ma&#341;ekani (USGS) lilisema siku ya Jumatatu kwamba tetemeko la ukubwa wa kipimo cha 8.7 lililikumba eneo la maili 125 magha&#341;ibi mwa kaskazini magha&#341;ibi mwa Sibolga, Sumat&#341;a, au maili 880 kaskazini magha&#341;ibi mwa mji mkuu wa Indonesia wa Jaka&#341;ta &ndash; ka&#341;ibu na lilipotokea tetemeko la Des. 26 na kusababisha tsunami iliyowaua watu wanaokadi&#341;iwa kufikia 300,000. <\/p>\n<p>&#8220;Ni eneo la mpaka wa mwamba uleule ambapo nguvu haikutolewa mwezi Des. 26,&#8221; Ca&#341;olyn Bell wa USGS aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. &#8220;Kulikuwa na tetemeko kubwa. Ni ukanda wenye uwezekano mkubwa sana wa kukumbwa na matetemeko.&#8221; <\/p>\n<p>Kulingana na taa&#341;ifa za ka&#341;ibuni zaidi zilizotolewa na Mtambo wa Kutoa Isha&#341;a za Tsunami katika Mataifa ya Pacific, ambao unafanya kazi zaidi katika Baha&#341;i ya Pacific, tetemeko hilo linawezekana kusababisha &#8221; tsunami yenye maangamizi makubwa zaidi katika baha&#341;i ka&#341;ibu na tetemeko.&#8221; <\/p>\n<p>Kituo hicho kinatoa mwito kwa se&#341;ikali katika ukanda wa Baha&#341;i ya Hindi kuchukua hatua za ha&#341;aka, ikiwa ni pamoja na kuondoa watu wanaoishi katika ukanda wa pwani wa umbali wa kilometa 1,000 kutoka katika kitovu cha tetemeko na kusimamia kwa uka&#341;ibu kama kuna haja ya kuwaondoa mbali zaidi. <\/p>\n<p>Thailand, India na S&#341;i Lanka pia zilitoa tahadha&#341;i za tsunami mapema katika maeneo ya ukanda wa pwani. Polisi wa Thailand wali&#341;ipotiwa kutumia vifaa vyenye mwanga kufanya do&#341;ia katika fukwe za nchini humo kutazama mawimbi makubwa. <\/p>\n<p>Wataalamu wanasema sasa ni suala la kusubi&#341;i kuona nini kitatokea katika masaa matatu yajayo au zaidi. <\/p>\n<p>&#8220;Kama kutakuwa hakuna mawimbi katika kipindi cha masaa matatu, hata&#341;i itakuwa imepita,&#8221; The&#341;esa Eisenman wa Utawala wa Baha&#341;i na Hali ya Hewa, shi&#341;ika lialoendesha Kituo cha Tahadha&#341;i ya Tsunami cha Pacific, aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. &#8220;Tunaka&#341;ibia ncha hiyo ya masaa matatu.&#8221; <\/p>\n<p>Wajibu wa kukabiliana na madha&#341;a ya tetemeko umepewa kwa Shi&#341;ika la Hewa la Japan mjini Tokyo, aliongeza. <\/p>\n<p>Taa&#341;ifa za vyombo vya haba&#341;i kutoka katika ukanda huo zinasema kwamba mjini Banda Aceh, mji wa Sumat&#341;a ulioathi&#341;ika zaidi na tsunami ya Desemba, tetemeko lilikata umeme na kuwafanya maelfu ya &#341;aia waliochanganyikiwa kukimbia ovyo katika mitaa ya mji huo. Bado hakukuwa na taa&#341;ifa kuhusu idadi ya maje&#341;uhi. <\/p>\n<p>Tetemeko hilo lilidumu kwa dakika mbili &ndash; muda m&#341;efu zaidi ya mitetemo inayojitokeza baada ya tetemeko kuwahi kutokea mjini Aceh tangu Des. 26. Mitetemo kutokana na tetemeko hilo imeweza kuonekana pia katika mji mkuu wa Thailand wa Bangkok kwa muda wa dakika kadhaa kuanzia saa 5:20 usiku katika saa za huko. <\/p>\n<p>&#8220;Tunawasiliana na balozi zetu katika maeneo yaliyoathi&#341;ika kuhusu tukio hilo na kuwashawishi kufanya kazi ka&#341;ibu zaidi na mashi&#341;ika ya ndani,&#8221; alisema msemaji wa Wiza&#341;a ya mambo ya kigeni. <\/p>\n<p>Mwezi wa Desemba tetemeko la a&#341;dhi lililosababisha mawimbi makubwa liliwaacha zaidi ya watu milioni 1.5 bila ya makazi katika nchi 11. <\/p>\n<p>Janga hilo lilisababisha kumwagwa kwa misaada mingi kutoka pande zote za dunia, pamoja na kwamba Benki ya Maendeleo ya Asia ilisema katika mkutano wa kimataifa wa hivi ka&#341;ibuni na nchi wafadhili, se&#341;ikali za kikanda na mashi&#341;ika ya misaada nchini Ufilipino kulikuwa na uhaba wa zaidi ya dola bilioni nne zilizoahidiwa kujenga upya nchi za India, Indonesia, Maldives na S&#341;i Lanka. <\/p>\n<p>Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia U&#341;atibu wa Masuala ya Kibinadamu (OCHA) ilisema siku ya Jumatatu kwamba viongozi walikuwa katika mazungumzo na se&#341;ikali ya Indonesia kujua ni aina gani za hatua zichukuliwe, ma&#341;a tu baada ya atha&#341;i za tetemeko la sasa zitakapojulikana. <\/p>\n<p>&#8220;Tunachotambua ni kwamba tetemeko lilitokea katika maji yasiyokuwa na kina ki&#341;efu, kitu ambacho ni hata&#341;i,&#8221; OCHA alisema. <\/p>\n<p>Jan Egeland, M&#341;atibu wa majanga wa Umoja wa Mataifa, aliwaambia waandishi wa haba&#341;i Jumatatu kwamba, &#8220;Idadi kubwa ya &#341;aia waliothi&#341;ika magha&#341;ibi mwa Sumat&#341;a wamekumbwa tena na tetemeko kubwa sana.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Bado hatujapata taa&#341;ifa zozote kuhusu tsunami na tuna taa&#341;ifa chache tu kuhusu uha&#341;ibifu,&#8221; alifahamisha, na kuongeza kwamba kulikuwa na &#8220;taa&#341;ifa zisizothitishwa&#8221; za kutokea kwa vifo huko Nias, eneo ambalo liliathi&#341;ika zaidi na tetemeko la sasa. <\/p>\n<p>&#8220;Pengine kilichotokea huko Nias, ambako kuna taa&#341;ifa za vifo vilivyosababishwa na tetemeko, inawezekana ni kwamba majengo ambayo yalika&#341;ibia kuanguka wakati wa tetemeko lililopita yameweza kuanguka sasa,&#8221; Egeland alisema.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NEW YORK, Machi 28 (IPS) &ndash; Mamilioni ya watu katika ukanda wa Baha&#341;i ya Hindi, bado wanakumbuka mawimbi ya kuangamiza ambayo yalikumba ukanda wa mwambao siku moja baada ya K&#341;ismasi, na sasa wanasubi&#341;i kwa hofu kuthibitisha kwamba tetemeko kubwa katika kisiwa cha Sumat&#341;a halitasababisha janga jingine. Shi&#341;ila la Utafiti wa Kijiolojia la Ma&#341;ekani (USGS) lilisema&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":193,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-917","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/917","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/193"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=917"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/917\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=917"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=917"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=917"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}