{"id":915,"date":"2005-03-29T13:40:01","date_gmt":"2005-03-29T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/29\/afya-china-kuutambua-ukweli-kuhusu-ukimwi\/"},"modified":"2005-03-29T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-29T13:40:01","slug":"afya-china-kuutambua-ukweli-kuhusu-ukimwi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/29\/afya-china-kuutambua-ukweli-kuhusu-ukimwi\/","title":{"rendered":"AFYA&ndash;CHINA: Kuutambua Ukweli Kuhusu Ukimwi"},"content":{"rendered":"<p>BEIJING, Machi 24 (IPS) &ndash; Baada ya kupuuza hata&#341;i kuhusu gonjwa la Ukimwi kwa miaka mingi, se&#341;ikali za mitaa katika maeneo kadhaa ambayo yameathi&#341;ika zaidi nchini China zimeanza kuchukua hatua kali za kuzuia na kudhibiti gonjwa hilo jambo linalosababisha mjadala mkali kuhusu haki za &#341;aia wa hapa.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Katika miezi ya hivi ka&#341;ibuni mpango wa &#8221;banda&#341;i za kijani &#8221;, au makazi yaliyojengwa makusudi kwa ajili ya wagonjwa wa Ukimwi, yameanzishwa katika mikoa kadhaa, na kusababisha hofu kwamba wagonjwa walioathi&#341;ika wanapelekwa huko bila ya &#341;idhaa yao. Wapinzani wameyabatiza makazi hayo &#8216;wodi za kutengwa&#8217; na kuonya kwamba kuwatenga wagonjwa wa Ukimwi kutapelekea jamii kuzidi kuwabagua. <\/p>\n<p>Maeneo mawili ambayo yameathi&#341;ika zaidi &ndash; mkoa wa Henan katikati mwa China na Yunnan katika upande wa kusini magha&#341;ibi, pia yameanzisha zoezi la kupima HIV kwa lazima kwa watu wanaofanya kazi maeneo ya bu&#341;udani na viwanda vya kutoa huduma. Kulingana na she&#341;ia mpya, kila anayetaka kufanya kazi katika maduka ya u&#341;embo, vituo vya kufanyia masaji, nyumba za kuogea na disko ni lazima wakapime Ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa kabla ya kupewa kazi hizo. <\/p>\n<p>Lakini sauti pinzani zimekuwepo kuhusu se&#341;a hiyo kwasababu zinabagua watu wanaoishi na HIV. Wale wanaoonekana kuwa na HIV au magonjwa ya zinaa wananyimwa vyeti vya afya bo&#341;a, ambavyo bila ya kuwa navyo hawawezi kufanya kazi katika maeneo ya kutoa huduma, kulingana na &#341;ipoti iliyotolewa na shi&#341;ika la haba&#341;i la nchi hiyo la &#8216;Xinhua&#8217;. <\/p>\n<p>&#8221;Mbali na kupoteza aji&#341;a, tatizo hapa ni kwamba huwezi kuwa na uhakika wa si&#341;i ya kupima HIV. Kama si&#341;i ya mgonjwa haikulindwa huwezi kuhakikisha kwamba watu hawa wanaweza kujitokeza na kupatiwa matibabu,&#8221;alisema P&#341;of. Jin Wei katika Shule ya Kati ya Chama cha Kikomonisti. <\/p>\n<p>Jin Wei, ambaye anafundisha viongozi wa chama waliopo mjini na mikoani kuhusu Ukimwi katika shule hiyo, anasema kuna mgawanyiko mkubwa sana wa kimawazo kuhusu Ukimwi nchini humo. Katika mikoa mingi ambapo ugonjwa huo umekuwa na madha&#341;a madogo sana kuweza kuonekana, viongozi wa chama wanabakia kupuuza tatizo hilo na kazi ya kuzuia inafanyika kidogo sana. <\/p>\n<p>Katika baadhi ya maeneo kama Henan na Yunnan ambapo janga la HIV limesababisha vifo na kufanya watoto kuwa yatima &ndash; na wakati huo huo kutumia vibaya mifuko ya afya ya umma &ndash; mtizamo ni tofauti. Katika maeneo haya, viongozi wa China wanaonekana kuwa wake&#341;eketwa zaidi katika kuka&#341;abati su&#341;a za maeneo yao zisiha&#341;ibike na kufanya kila liwezekanalo ku&#341;ejesha hasa&#341;a za kiuchumi. <\/p>\n<p>Mkoa wa Henan una idadi kubwa zaidi ya watu nchini China ambao wameambukizwa Ukimwi wanaofikia 26,000 kulingana na takwimu za se&#341;ikali. Wanaha&#341;akati wa Ukimwi , hata hivyo, wanasema kwamba hadi wakulima milioni moja wa Henan wameambukizwa na ugonjwa huo baada ya kuuza damu yao katika vituo vya afya vya se&#341;ikali. <\/p>\n<p>Mwanzoni mwa miaka ya 1990 viongozi wa mitaa katika jimbo la Henan walihamasisha uuzaji wa damu kama njia &#341;ahisi ya kutokomeza umaskini. Wafanyakazi wa afya wasiokuwa waaminifu walinunua damu kutoka kwa wakulima maskini, walichukua damu nzu&#341;i na kuwaweka watoaji damu ile iliyobakia. <\/p>\n<p>Hii ilifanya kuwa &#341;ahisi kwa mtu mmoja mwenye HIV kuwaambukiza watu wengi zaidi. Watu wenye Ukimwi wanadai kwamba viongozi walifunika vitendo hivyo kutokana na kugawiwa faida. <\/p>\n<p>Hali ya kupuuza na &#341;ushwa vinaonekana katika maeneo mengine ya nchi, ambapo se&#341;ikali za mitaa kwa muda m&#341;efu zimekuwa zikipuuza watu wenye Ukimwi, kutokana na kuwaona kama chukizo kwao. <\/p>\n<p>Tangu mwaka 2002, mitizamo kuhusu Ukimwi katika uongozi wa China ilibadilika. Viongozi wa China waziwazi walikubali walikuwa na mtandao wa dha&#341;ula wa ndani unaozidi kuongezeka mikononi mwao na wana nia ya kupambana nao. Mwaka 2002 wazi&#341;i mkuu Wen Jiabao alikuwa kiongozi wa juu wa kwanza nchini China kupigwa picha akipeana mikono na wagonjwa wa Ukimwi. <\/p>\n<p>Hata hivyo, katika ngazi ya mitaa, ubaguzi na unyanyapaa wa watu wenye HIV na Ukimwi unabakia kuwa kitu cha kawaida. Jin Wei, ambaye aliwahi kufanya utafiti wa viongozi wa kikomunisti nchini kote, alisema baadhi ya asilimia 65 miongoni mwao wangependelea kuwekwa kizuizi na kuwatenga ndugu zao waliogundulika kuwa na vi&#341;usi. <\/p>\n<p>&#8221;Ubaguzi dhidi ya watu wenye Ukimwi unatisha hata miongoni mwa watu wenye elimu kubwa,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Haishangazi, wakati mji wa Linfen katika mkoa wa Shanxi ulipoanzisha mpango wake wa &#8221;banda&#341;i ya kijani&#8221; kwa ajili ya wagonjwa wa ukimwi, mijadala ya mtandao na taha&#341;i&#341;i iliongezeka kujadili kuhusu madhumuni yake hasa. <\/p>\n<p>&#8221;Banda&#341;i za kijani au wodi za kuwatenga wagonjwa &#8221; iliuliza taha&#341;i&#341;i katika gazeti la mjini Beijing la Xinjing Bao. Na kubainisha kwamba mji wa Linfen ulitumia sa&#341;afu za yuan milioni 1.5 ( dola za Kima&#341;ekani 180,000) katika kujenga makazi hayo, gazeti hilo lilihoji uhalali wa kujenga makazi ya muda m&#341;efu kwa wagonjwa wa Ukimwi. <\/p>\n<p>&#8221;Hii ni p&#341;opaganda  Hili ni koloni la kuwatenga  Au banda&#341;i ya kijani halisi &#8221; iliuliza taha&#341;i&#341;i hiyo. &#8221;Wasiwasi wetu mkubwa ni kwamba je wagonjwa wa Ukimwi wako hu&#341;u kuja hapa na kuondoka &#8221; <\/p>\n<p>Watu wanaounga mkono m&#341;adi huo wamejibu kwa kulinganisha &#8221;banda&#341;i za kijani &#8221; na klabu za wagonjwa wa Ukimwi. &#8221;Ni vizu&#341;i kukabili ukuta mweupe wa hospitali lakini baadaye una&#341;ejea katika mazingi&#341;a halisi,&#8221; aliandika Li Hui, mha&#341;i&#341;i kutoka gazeti la mkoa wa Henan la &#8217;21st Centu&#341;y Business He&#341;ald&#8217;. <\/p>\n<p>Watafiti wa afya wanaamini hatua hizo mpya zinawakilisha kubadilika kwa se&#341;a ya se&#341;ikali kuhusu Ukimwi, kutoka kwa upimaji na ushau&#341;i nasaha wa &#341;idhaa hadi kuchukuliwa kwa hatua za lazima. Mabadiliko haya yanaonesha kwamba se&#341;ikali zinazidi kuwa na wasiwasi kwamba ugonjwa huo unaenea kutoka kwa tabaka lenye hata&#341;i kubwa ya kuambukizwa kama vile watumiaji wa madawa ya kulevya na kuingia kwenye jamii kwa ujumla. <\/p>\n<p>Wiza&#341;a ya Afya ya China inasema kuna watu 840,000 wenye vi&#341;usi vya Ukimwi, ikiwa ni pamoja na wagonjwa wa Ukimwi 90,000 nchini kote. Hata hivyo, takwimu hizi hazijawahi kufanyiwa ma&#341;ekebisho tangu mwaka 2003. Wachambuzi wengi binafsi pia wanakanusha takwimu hizi kwasababu ni watu wachache sana wanaofiki&#341;iwa kuwa na HIV wameweza kujitokeza kujiandikisha se&#341;ikalini. <\/p>\n<p>Asilimia 12.7 ya idadi hiyo ya se&#341;ikali ili&#341;ikodiwa na mamlaka za afya, na vituo vya kudhibiti magonjwa vina asilimia 4.2 tu, kulingana na shi&#341;ika la haba&#341;i la &#8216;Xinhua&#8217;. <\/p>\n<p>Umoja wa Mataifa unakadi&#341;ia kwamba ka&#341;ibu watu milioni 1.5 nchini China wana HIV, na kwamba milioni 10 wangeweza kuambukizwa katika miaka mitano ijayo kama hali ya ugonjwa huo itaendelea bila ya kudhibitiwa. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BEIJING, Machi 24 (IPS) &ndash; Baada ya kupuuza hata&#341;i kuhusu gonjwa la Ukimwi kwa miaka mingi, se&#341;ikali za mitaa katika maeneo kadhaa ambayo yameathi&#341;ika zaidi nchini China zimeanza kuchukua hatua kali za kuzuia na kudhibiti gonjwa hilo jambo linalosababisha mjadala mkali kuhusu haki za &#341;aia wa hapa. Katika miezi ya hivi ka&#341;ibuni mpango wa &#8221;banda&#341;i&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":191,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-915","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/915","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/191"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=915"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/915\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=915"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=915"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=915"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}