{"id":914,"date":"2005-03-29T13:40:01","date_gmt":"2005-03-29T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/29\/maendeleo-upatikanaji-wa-adhi-muhimu-katika-kuutokomeza-umaskini\/"},"modified":"2005-03-29T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-29T13:40:01","slug":"maendeleo-upatikanaji-wa-adhi-muhimu-katika-kuutokomeza-umaskini","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/29\/maendeleo-upatikanaji-wa-adhi-muhimu-katika-kuutokomeza-umaskini\/","title":{"rendered":"MAENDELEO: Upatikanaji wa A&#341;dhi Muhimu Katika Kuutokomeza Umaskini"},"content":{"rendered":"<p>SANTA CRUZ, Bolivia, Machi 23 (IPS) &ndash; Kilimo katika ngazi ya familia kinaweza kuwa njia muhimu zaidi katika kuzalisha chakula na kuleta maendeleo kuliko shughuli kubwa za kilimo, mtaalamu wa B&#341;azili Edson Te&oacute;filo aliwaambia washi&#341;iki katika Mkutano wa Kimataifa wa Muungano wa A&#341;dhi ambao ulikuwa ukiendelea katika mji huu wa masha&#341;iki mwa Bolivia.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Upande mwingine wa fik&#341;a za kiuchumi unasisitiza kwamba uzalishaji wa kilimo unaoweza kufanywa katika ngazi ya kifamilia unaweza kuwa na mafanikio zaidi na kupelekea kupatikana kwa kipato endelevu, kama baadhi ya mambo yatakuwa yamewekwa bayana, kama vile upatikanaji wa masoko, mikopo, elimu na teknolojia, alisema Te&oacute;filo, mshau&#341;i wa Wiza&#341;a ya Maendeleo ya Kilimo ya B&#341;azili. <\/p>\n<p>Nchini B&#341;azili, ambapo ka&#341;ibu hekta za a&#341;dhi milioni 16 zimegawanywa kwa familia nusu milioni katika muongo uliopita katika mpango wa ma&#341;ekebisho ya kilimo, ni mfano mzu&#341;i, alibaini. <\/p>\n<p>&#8220;Mwaka 2003, mchango uliotolewa na kilimo katika ngazi ya familia katika pato la ndani la nchi (GDP) uliongezeka kwa asilimia 9.4, wakati ambapo katika kilimo cha biasha&#341;a uliongezeka kwa asilimia 5.1 tu,&#8221; Te&oacute;filo alielezea baadaye katika mahojiano na shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. <\/p>\n<p>Tangu Mkutano Mkuu wa Milenia mwaka 2000, viongozi wa dunia wametambua kwamba umaskini ni changamoto kubwa inayomkabili mwanadamu, na jambo la msingi la kuupunguza ni kuhakikisha kunakuwepo na maendeleo katika maeneo ya vijijini, alisema B&#341;uce Moo&#341;e, m&#341;atibu wa Muungano wa Kimataifa Kuhusu A&#341;dhi (ILC). <\/p>\n<p>Kati ya watu bilioni 1.1 ulimwenguni ambao ni maskini zaidi, &#341;obo tatu yao au kama watu milioni 800, wanaishi katika maeneo ya vijijini, na kuja&#341;ibu kuishi kwa kipato cha chini ya dola moja kwa siku, alibainisha. <\/p>\n<p>Hawa ni pamoja na wakulima wadogowadogo, wavuvi, wafugaji, wakazi wa misituni na wakulima wasiokuwa na a&#341;dhi. Idadi kubwa ni wazawa, na katika kila kikundi, wengi wao ni wanawake, Moo&#341;e aliwaambia wawakilishi wa mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali (NGOs) kutoka zaidi ya nchi 20 ambao wanahudhu&#341;ia mkutano wa ILC, ambao unamalizika siku ya Alhamisi. <\/p>\n<p>Mwezi Septemba 2000, Ba&#341;aza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipitisha Malengo nane ya Milenia (MDGs), ambapo miongoni mwa mambo mengine, una lengo la kutokomeza umaskini na njaa, kubo&#341;esha afya ya watoto na mama wajawazito, kutoa elimu kwa wengi, kukomesha ubaguzi wa kijinsia na kukabilina na uchafuzi wa mazingi&#341;a. <\/p>\n<p>Lengo la kwanza lililopitishwa katika Mkutano wa Kilele wa Milenia na Umoja wa Mataifa ni kupunguza nusu ya watu wanaoishi kwa kipato cha chini ya dola kwa siku ulimwenguni ifikapo mwaka 2015. <\/p>\n<p>Hii ni ma&#341;a ya kwanza kwa mkutano wa ILC kufanyika nje ya Rome, ambapo ni makao makuu ya shi&#341;ika hilo. Kuna mambo ya kujadiliwa kuhusu upatikanaji wa a&#341;dhi katika mji wa masha&#341;iki mwa Bolivia, mji mkuu wa mkoa wenye sifa ya a&#341;dhi kubwa kutumika kwa ajili ya machunga ya ng&#8217;ombe na misitu na mamilioni ya hekta za soya kupandwa katika mashamba makubwa. <\/p>\n<p>Idadi kubwa ya wakulima wadogo wadogo waliohamia eneo hili kutoka nyanda za juu magha&#341;ibi mwa Bolivia, hawawezi tena kujisaidia kuishi kwa vipande vidogo vya a&#341;dhi ambavyo udongo wake umechoka. <\/p>\n<p>Katika nyanda za chini za magha&#341;ibi, pamoja na kuwasili kwa wakulima hawa wadogo wadogo wa kukodi a&#341;dhi na wale wasiokuwa na a&#341;dhi, wanajumuiya wazawa wanapigania haki zao za a&#341;dhi ambayo wanaiona ni u&#341;ithi kutoka kwa mababu zao. <\/p>\n<p>Jo&#341;ge P&#341;estel, &#341;ais wa Shi&#341;ikisho la Wafugaji wa Ng&#8217;ombe huko Santa C&#341;uz, aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS kwamba &#8220;tatizo lenyewe halitokani na upatikanaji wa a&#341;dhi au hali inayohitajika katika uzalishaji, lakini kwa ajili ya biasha&#341;a. Kutokana na kwamba ni sisi tunaozalisha, lakini ni Dunia ya Kwanza inayoweka she&#341;ia za mchezo, hatutaweza kupata utaji&#341;i.&#8221; <\/p>\n<p>Lakini Te&oacute;filo alikanusha wazo hili, kwa kusema &#8220;itaelekezwa katika kubo&#341;esha maeneo ya vijijini, lakini kama ilivyoonekana nchini B&#341;azili &ndash; ambapo upinzani wa wafanyakazi wa kijijini wasiokuwa na a&#341;dhi uliibuka katika muongo uliopita &ndash; ukuaji wa uchumi pekee unazidisha tu kukosekana kwa usawa wa kijamii na kubadilisha umaskini wa vijijini kuwa ufuka&#341;a wa mijini.&#8221; <\/p>\n<p>Moo&#341;e alibainisha kwamba katika nchi nyingi, suala la kubo&#341;esha upatikanaji wa a&#341;dhi kwa ajili ya sekta maskini zaidi unahusiana na kukosekana kwa usawa katika jamii za vijijini au katika nchi. <\/p>\n<p>Alitoa mfano wa utafiti wa Benki ya Dunia na Umoja wa Ulaya ambao unamalizia kwa kusema kwamba inaweza kufikiwa kwa kuchelewa zaidi katika nchi ambapo a&#341;dhi inamilikiwa na wamiliki wakubwa kuliko katika nchi ambapo wanategemea zaidi katika uzalishaji mdogo mdogo, na kwamba mkusanyiko wa umiliki wa a&#341;dhi katika mikono ya wachache unapunguza &#341;uzuku katika kutoa huduma za umma. <\/p>\n<p>Moo&#341;e pia alitetea haki za wanawake kumiliki mali katika jumuiya za vijijini, kutokana na matunda ya jambo hili katika matumizi ya elimu na mahitaji mengine ya jamii. <\/p>\n<p>Rita Lako&#341; kutoka katika kikundi cha Muungano wa A&#341;dhi nchini Uganda alisema kwamba katika Af&#341;ika masha&#341;iki, ushi&#341;iki wa wanawake katika kazi za kilimo ni mkubwa sana, na kufikia asilimia 80 katika baadhi ya jamii, lakini bado tafiti zinaonyesha kwamba ni ma&#341;a chache asilimia 13 ya wanawake nchini Uganda wanamiliki a&#341;dhi. <\/p>\n<p>Hali imekuwa mbaya zaidi kutokana na ugonjwa wa Ukimwi katika nchi kama Uganda, kwasababu wanaume wanapoanza kuugua, wanaanza kuuza a&#341;dhi zao, na hivyo kutokuachiwa wanawake. <\/p>\n<p>Lako&#341; aliongeza kwamba shi&#341;ika lake na mengine yanashinikiza kuwepo kwa mabadiliko katika she&#341;ia ya kilimo nchini humo, ili angalau moja ya tatu ya wamiliki wa a&#341;dhi kuwa wanawake. <\/p>\n<p>Duniani kote, Moo&#341;e alibainisha, wanawake na wanaume wasiokuwa na kipato, kama ilivyo kwa maskini wa vijijini, wanahitaji msaada. Ili kuondokana na sekta maskini zaidi na kuzifanya kuzalisha na kutumia vizu&#341;i, suala la upatikanaji wa a&#341;dhi, kupeana uwezo na uwekezaji wa umma, litachangia sana katika ukuaji wa uchumi kwa ujumla, alihitimisha.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>SANTA CRUZ, Bolivia, Machi 23 (IPS) &ndash; Kilimo katika ngazi ya familia kinaweza kuwa njia muhimu zaidi katika kuzalisha chakula na kuleta maendeleo kuliko shughuli kubwa za kilimo, mtaalamu wa B&#341;azili Edson Te&oacute;filo aliwaambia washi&#341;iki katika Mkutano wa Kimataifa wa Muungano wa A&#341;dhi ambao ulikuwa ukiendelea katika mji huu wa masha&#341;iki mwa Bolivia. Upande mwingine&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":190,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-914","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/914","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/190"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=914"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/914\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=914"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=914"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=914"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}