{"id":913,"date":"2005-03-24T13:40:01","date_gmt":"2005-03-24T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/24\/siasa-zimbabwe-kampeni-kwa-ajili-ya-chama-tawala\/"},"modified":"2005-03-24T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-24T13:40:01","slug":"siasa-zimbabwe-kampeni-kwa-ajili-ya-chama-tawala","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/24\/siasa-zimbabwe-kampeni-kwa-ajili-ya-chama-tawala\/","title":{"rendered":"SIASA &ndash; ZIMBABWE: Kampeni kwa Ajili ya Chama Tawala"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Machi 22 (IPS) &ndash; Zia&#341;a ya kila ma&#341;a kuwatembelea ndugu katika eneo la kijijini ni sehemu kubwa ya maisha ya Af&#341;ika, suala binafsi la kifamilia. Lakini siyo nchini Zimbabwe, anasema Tiseke Kasambala, mtafiti katika Shi&#341;ika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p> Kulingana na shi&#341;ika hilo lenye makazi yake mjini New&ndash;Yo&#341;k, maeneo ya vijijini yamekuwa hayana kizuizi kwa wageni wanaotoka mijini wakati huu wa kampeni, ambapo wakazi wa mijini wanaonekana kuwa wafuasi wa upinzani. Uchaguzi wa wabunge umepangwa kufanyika nchini Zimbabwe Machi 31. <\/p>\n<p>Chama tawala cha Zimbabwe Af&#341;ican National Union&ndash;Pat&#341;iotic F&#341;ont (ZANU&ndash;PF) kinaungwa mkono zaidi katika maeneo ya vijijini. Matokeo yake, linasema shi&#341;ika la Human Rights Watch (HRW), wanachama wa ZANU&ndash;PF na washi&#341;ika wake hawasiti kuchukua hatua kama wanaamini kuungwa mkono huku kunapingwa. <\/p>\n<p>&#8220;Kuna mwanamke ambaye mjomba wake alimtembelea kutoka mjini. Baada ya mjomba wake kuondoka, wanaha&#341;akati wa ZANU&ndash;PF walikwenda na kumhoji kuhusu&#8230;sababu za kutembelea. Na alipelekwa katika nyumba ya chifu kwa ajili ya mahojiano zaidi,&#8221; Kasambala aliwaambia waandishi wa haba&#341;i siku ya Jumatatu. <\/p>\n<p>&#8220;Wanazimbabwe wa vijijini wanahofia na hawataki kuingia katika matatizo,&#8221; aliongeza. Kasambala alikuwa akizungumza katika mkutano wa kutoa wa&#341;aka mjini Johannesbu&#341;g uliotolewa na HRW wenye jina la &#8216;Uchaguzi wa Wabunge Zimbabwe 2005 Siyo wa Haki &#8216;. <\/p>\n<p>Kasambala na wenzake wengine kadhaa wa HRW walitumia zaidi ya wiki tatu nchini Zimbabwe mwezi Desemba 2004 na Feb&#341;ua&#341;i 2005, wakati ambapo waliwahoji wananchi 135 wafuasi wa chama tawala, upinzani na vyama vya ki&#341;aia. <\/p>\n<p>Matokeo ya mahojiano hayo, yaliyowakilishwa katika wakala huo, ni kwamba wafuasi wa upinzani na Wazimbabwe wengine wametishiwa na ZANU&ndash;PF na wakuu wa se&#341;ikali wakati wa kuelekea katika uchaguzi wa wabunge. <\/p>\n<p>Hii iliendeleza hali ya ukandamizaji ambayo imekuwa sifa ya miaka mitano iliyopita nchini Zimbabwe. <\/p>\n<p>Uchaguzi wa wabunge wa mwaka 2000 na ule wa u&#341;ais mwaka 2002 ulitanguliwa na vu&#341;ugu, ambazo zilielekezwa dhidi ya upinzani. Wakati waangalizi wengi wanakubali kwamba kiwango cha vitisho kabla ya uchaguzi wa Machi 31 ni mdogo, wanaamini suala hili linaweza kuashi&#341;ia ushindi wa chama cha ZANU&ndash;PF, ambacho sasa kinakabiliwa na vu&#341;ugu za upinzani kutokana na miaka mingi ya ukandamizaji. <\/p>\n<p>HRW analaumu se&#341;ikali ya Ha&#341;a&#341;e kutokana na matumizi ya she&#341;ia za kikandamizaji kama ile ya Utulivu wa Umma na Usalama wa Taifa, ambayo inazo&#341;otesha uwezo wa upinzani kufanya kampeni &ndash; na She&#341;ia ya Upatikanaji wa Haba&#341;i na Kulinda Uhu&#341;u wa Mtu Binafsi. She&#341;ia hii imekuwa ikitumiwa kubana vyombo hu&#341;u vya haba&#341;i. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa kifupi&#8230;uwanja wa uchaguzi wa 2005 siyo tamba&#341;a&#341;e,&#8221; unasema wa&#341;aka wa HRW. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika hilo pia liemtoa wasiwasi wake kuhusu uandikishaji wa wapiga ku&#341;a na elimu, na maandalizi ya usimamizi wa uchaguzi, likibainisha kwamba &#8220;Matatizo makubwa&#8230;ambayo yalijitokeza katika uchaguzi uliopita hayajatatuliwa.&#8221; <\/p>\n<p>Hii ni pamoja na ukweli kwamba kulikuwa na vituo vichache sana vya ukaguzi ambapo o&#341;odha ya wapiga ku&#341;a ingeweza kuchunguzwa. <\/p>\n<p>Kutokana na ugumu wa aina hii, shi&#341;ika lenye makao yake makuu mjini Ha&#341;a&#341;e lijulikanalo kama F&#341;eeZim Suppo&#341;t G&#341;oup lilifanya uchambuzi kuhusu o&#341;odha inayoonyesha zaidi ya majina milioni mbili kati ya milioni 5.6 ni watuhumiwa. Kwa kuongeza,wataalamu wa nje kutoka nchini Zimbabwe hawata&#341;uhusiwa kupiga ku&#341;a. <\/p>\n<p>Kutokana na kwamba mtizamo wa wengi umeelekezwa katika hatua za se&#341;ikali ya Zimbabwe kabla ya Machi 31, Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika (SADC) pia imejikuta katika shinikizo kuhusiana na uchaguzi. <\/p>\n<p>Mwaka jana, SADC &ndash; ambapo Zimbabwe ni mwanachama &ndash; ilitengeneza miongozo ya uchaguzi kuhakikisha chaguzi katika ukanda zitakuwa hu&#341;u na za haki. Nchi za Kusini mwa Af&#341;ika sasa hivi zinalazimika kuhakikisha uvumilivu wa kisiasa kabla ya uchaguzi, kuvipatia vyama vyote fu&#341;sa sawa ya kutumia vyombo vya haba&#341;i vya se&#341;ikali &ndash; na kuunda taasisi za uchaguzi zisizokuwa na upendeleo, miongoni mwa mambo mengine. <\/p>\n<p>Utawala wa Mugabe unadai unazingatia itifiki ya SADC. Lakini, HRW inaomba kutofautiana. <\/p>\n<p>&#8220;(Huku) siku zikiwa zimebaki kabla ya wapiga ku&#341;a kupiga ku&#341;a,&#8221; inasema HRW, &#8220;ni wazi kwamba se&#341;ikali bado haijafikia kiwango kilichowekwa katika Kanuni na Miongozo ya SADC kuhusu Chaguzi za Kidemok&#341;asi.&#8221; <\/p>\n<p>Wasimamizi wa uchaguzi wa SADC wanata&#341;ajiwa kutoa maoni yao kuhusu mazingi&#341;a ya uchaguzi nchini Zimbabwe katika siku 10 zijazo. Kuhusu suala hili, HRW imetoa mwito kwa nchi wanachama 13&ndash;kwenda mbele zaidi ya utulivu unaoendelea sasa nchini Zimbabwe wakati wa kutoa hukumu yao ya mataya&#341;isho ya uchaguzi. <\/p>\n<p>&#8220;Ni lazima pia wazingatie atha&#341;i za miaka mitano ya vita, taa&#341;ifa za ka&#341;ibuni za vitisho, kuendelea kwa ukiukwaji wa ta&#341;atibu za uchaguzi na matumizi ya she&#341;ia za kikandamizaji,&#8221; inasema HRW. <\/p>\n<p>Michael Clough, mku&#341;ugenzi wa uenezi wa HRW ba&#341;ani Af&#341;ika,anaamini kwamba ukandamizaji wa kisiasa nchini Zimbabwe unathibitisha ja&#341;ibio la kitindikali kwa SADC. <\/p>\n<p>&#8220;Nafiki&#341;i uaminifu wa SADC unaja&#341;ibiwa. Na, nafiki&#341;i ahadi ya Af&#341;ika Kusini kueneza demok&#341;asi katika kanda ni moja ya ja&#341;ibio,&#8221; aliwaambia waandishi wa haba&#341;i mjini Johannesbu&#341;g wiki iliyopita. <\/p>\n<p>HRW pia imeomba mataifa ya SADC kuhakikisha kwamba kufanya kampeni katika siku za mwisho kabla ya uchaguzi kuna&#341;uhusiwa kuendelea bila ya vipingamizi. <\/p>\n<p>Rais wa Zimbabwe Robe&#341;t Mugabe, ambaye amekuwa kiongozi wa nchi hiyo tangu nchi hiyo ilipojipatia uhu&#341;u wake kutoka kwa Uinge&#341;eza mwaka 1980, ma&#341;a kadhaa anashutumu chama cha upinzani cha Movement fo&#341; Democ&#341;atic Change (MDC) kutokana na kuweka mbele maslahi ya nchi za Magha&#341;ibi. (MDC ni chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe.) <\/p>\n<p>Hata hivyo, wanaomkosoa &#341;ais wanadai kwamba amemomonyoa mafanikio ya miaka yake ya mwanzo akiwa mada&#341;akani kutokana na kushindwa kusimamia uchumi na kuongezeka kwa utawala wa kimabavu.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Machi 22 (IPS) &ndash; Zia&#341;a ya kila ma&#341;a kuwatembelea ndugu katika eneo la kijijini ni sehemu kubwa ya maisha ya Af&#341;ika, suala binafsi la kifamilia. Lakini siyo nchini Zimbabwe, anasema Tiseke Kasambala, mtafiti katika Shi&#341;ika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch. Kulingana na shi&#341;ika hilo lenye makazi yake mjini New&ndash;Yo&#341;k, maeneo&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":17,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-913","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/913","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/17"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=913"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/913\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=913"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=913"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=913"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}