{"id":912,"date":"2005-03-24T13:40:01","date_gmt":"2005-03-24T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/24\/siasa-ripoti-ya-kuleta-mabadiliko-katika-umoja-wa-mataifayapokelewa-kwa-maoni-tofauti\/"},"modified":"2005-03-24T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-24T13:40:01","slug":"siasa-ripoti-ya-kuleta-mabadiliko-katika-umoja-wa-mataifayapokelewa-kwa-maoni-tofauti","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/24\/siasa-ripoti-ya-kuleta-mabadiliko-katika-umoja-wa-mataifayapokelewa-kwa-maoni-tofauti\/","title":{"rendered":"SIASA: Ripoti ya Kuleta Mabadiliko Katika Umoja wa MataifaYapokelewa kwa Maoni Tofauti"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Machi 21 (IPS) &ndash; Ripoti kali ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan ya kutaka kuleta mabadiliko katika chombo cha dunia &ndash; kama ilinavyoelezewa katika wa&#341;aka wa ku&#341;asa 62 uliotolewa siku ya Jumatatu &ndash; imepokelewa kwa maoni tofauti kutoka kwa wanadiplomasia, wanaha&#341;akati wa haki za binadamu na mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali (NGOs).\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Mamilioni ya watu wanakufa na vita na umaskini wakati ambapo nchi taji&#341;i zipo bize zinapigania kuwa na viti katika Ba&#341;aza la Usalama,&#8221;anasema Nicola Reindo&#341;p, mkuu wa ofisi ya New Yo&#341;k ya shi&#341;ika la Oxfam. <\/p>\n<p>Alisema nchi wanachama 191wa Umoja wa Mataifa ni lazima waungane baadaye mwaka huu kuweza kulenga hasa katika kazi mbili halisi mbele ya jumuiya ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na kukomesha umaskini na kulinda watu wasiokuwa na hatia katika maeneo yenye vita. <\/p>\n<p>Mwanadiplomasia kutoka Kusini Masha&#341;iki mwa Asia aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS kwamba Annan &#8220;anaonekana kuinamia nyuma&#8221; kuifu&#341;ahisha Ma&#341;ekani &ndash; kama inavyoshuhudiwa katika mwito wake wa kuundwa kwa ba&#341;aza jipya la haki za binadamu, mfuko wa kukuza demok&#341;asia duniani kote na mpango wake wa kuepusha shi&#341;ika hilo kuondokana na &#8220;ujadi&#8221; wa wafanyakazi wa juu kwa &#8220;kununua&#8221; mikatapa yao. <\/p>\n<p>&#8220;Mkono uliojificha wa Ma&#341;ekani unakosekana,&#8221; alisema, &#8220;lakini alama za vidole zinaonekana.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Mambo muhimu katika &#341;ipoti hiyo yanaonyesha jitihada za Umoja wa Mataifa kukubaliana na mashinikizo ya Ma&#341;ekani,&#8221; anasema Phyllis Bennis, mfanyakazi katika Taasisi ya Mafunzo ya Se&#341;a yenye makao yake mjini Washington, ambaye ameandika mambo mengi kuhusu Umoja wa Mataifa. <\/p>\n<p>Aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS kwamba ni wazi kwamba kuna baadhi ya mwelekeo katika mashambulizi ya hivi ka&#341;ibuni ya Ma&#341;ekani dhidi ya Umoja wa Mataifa kutokana na madai ya mwenendo mbaya, ikiwa ni pamoja na mashambulizi yaliyoelekezwa kwa wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa. <\/p>\n<p>Katika majadiliano ya umuhimu wa kutatua tatizo la maana ya ugaidi, Bennis alisema, &#341;ipoti ya Annan inatoa mwito wa kusimamisha hata mjadala kuhusu &#8220;ugaidi wa kitaifa&#8221;, ambao ma&#341;a nyingi unabainishwa na mapigano ya kijeshi yanayofanywa na Is&#341;ael na Ma&#341;ekani, na ma&#341;a nyingine Russia.. <\/p>\n<p>&#8220;Pamoja na kwamba &#341;ipoti inaongelea she&#341;ia za kimataifa zilizopo kuwa zinatosheleza kushughulikia vitendo vya kimataifa, ukweli ni kwamba mikataba ya kimataifa iliyopo na maazimio ya Umoja wa Mataifa imeonekana kutokutosheleza kuidhibiti Is&#341;ael, Ma&#341;ekani au Russia kutokana na ukiukwaji wake,&#8221; alisema Bennis, mwandishi wa kitabu cha &#8220;Calling the Shots: How the U.S. Dominates Today&#8217;s Wo&#341;ld&#8221;. <\/p>\n<p>&#8220;Ukweli kwamba &#341;ipoti hiyo inaanza na udhaifu binafsi kushughulikia mabadiliko ambayo yanaweza kutekelezwa, inaonyesha kukosekana kwa dhami&#341;a kwa uongozi wa Umoja wa Mataifa kutoa mwito kamilifu kwa Umoja wa Mataifa kukataa utawala wa Ma&#341;ekani na kuegemea zaidi kwa &#8216;nchi ya pili kwa nguvu &#8216; katika kukosoa msukumo wa Washington katika taifa hilo,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Hofu ya Reindo&#341;p kuhusu msisitizo mkubwa katika kupanua Ba&#341;aza la Usalama imeonyeshwa katika &#341;ipoti mpya ambapo Annan anasema: &#8220;Miaka miwili iliyopita, nilisema kwamba kwa mawazo yangu hakuna mabadiliko ya Umoja wa Mataifa ambayo yangekamilika bila ya kufanyia ma&#341;ekebisho Ba&#341;aza la Usalama. Bado hiyo ni imani yangu.&#8221; <\/p>\n<p>Lakini kwa ma&#341;a ya kwanza, Annan alija&#341;ibu kuunganisha misaada ya maendeleo na kupanuliwa kwa Ba&#341;aza la Usalama. <\/p>\n<p>Anasema kwamba nchi zilizoendelea zinazotaka kupata kiti cha kudumu katika Ba&#341;aza, ikiwa ni pamoja na Japan na Uje&#341;umani, ni lazima &#8220;kufanikiwa au kufanya mafanikio yanayoonekana&#8221; katika kufikia kiwango kilichokubaliwa kimataifa kutenga asilimia 0.7 ya pato la taifa (GNP) kwa ajili ya misaada ya maendeleo (ODA). <\/p>\n<p>Suala hili &#8220;lilionekana kuwa sifa muhimu katika kuchangia&#8221; kwenye jitihada za kupata kiti cha kudumu, anaongeza. <\/p>\n<p>Mwaka huu ni wa 35 tangu Ba&#341;aza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa ma&#341;a ya kwanza kuthibitisha lengo la asilimia 0.7 ya GNP kutumiwa katika ODA. Lakini hadi sasa, ni nchi tano tu zimefikia au kuvuka lengo: Denma&#341;k, Luxembou&#341;g, Uholanzi, No&#341;way na Sweden. <\/p>\n<p>Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, nchi nyingine sita ziliahidi kuweka muda halisi wa kutimiza lengo kabla ya mwaka 2015: Ubelgiji, Finland, Ufa&#341;ansa, I&#341;eland, Hispania na Uinge&#341;eza. <\/p>\n<p>Hata hivyo, nchi 11 zinazobaki kati ya nchi 22 taji&#341;i ulimwenguni, zikiwemo Japan na Uje&#341;umani, zimeshindwa kutoa ahadi yoyote ile kuweza kufikia lengo. <\/p>\n<p>Pamoja na kwamba Annan hasemi kwamba hili liwe sha&#341;ti la uanachama wa Ba&#341;aza la Usalama kwa nchi taji&#341;i, anadai kwamba wale wanaoshi&#341;iki katika maamuzi makubwa ya Umoja wa Mataifa wawe wale wanaochangia zaidi katika Umoja huo kifedha, kijeshi na kidiplomasia. <\/p>\n<p>Bennis anasema kwamba &#8220;kuweka suala la kufikia asilimia 0.7% ya misaada ya maendeleo kama sha&#341;ti la wanachama wapya katika Ba&#341;aza la Usalama ni suala muafaka &ndash; lakini linaonyesha ukweli halisi kwamba ni nchi taji&#341;i tu zinaweza kupata kiti cha kudumu katika ba&#341;aza hilo.&#8221; <\/p>\n<p>Annan anasema kwamba wanachama wapya wa kudumu katika Ba&#341;aza inabidi wawe wale wanaochangia zaidi katika bajeti ya Umoja wa Mataifa, kushi&#341;iki katika opa&#341;esheni za kuleta amani, kuchangia katika shughuli za kujitolea za Umoja wa Mataifa katika maeneo ya usalama na maendeleo, na kushi&#341;iki katika shughuli za kidiplomasia katika kuunga mkono malengo na maagizo ya Umoja wa Mataifa. <\/p>\n<p>Ripoti inaunga mkono pendekezo lililotolewa na ujumbe wa juu wa ku&#341;ekebisha Umoja wa Mataifa, ambao mapema mwaka huu ulitoa wito wa kuwepo kwa aina mbili ya muundo: <\/p>\n<p>Muundo A unataka kuundwa kwa viti sita vya kudumu bila ya kuwa na ku&#341;a ya tu&#341;ufu, na viti vitatu vipya vya muda mfupi wa miaka miwili, vitakavyogawanyika miongoni mwa ba&#341;a la Af&#341;ika, Asia na Pacific, Ulaya na Ma&#341;ekani. <\/p>\n<p>Muundo B unataka kutokuwepo kwa viti vipya vya kudumu lakini kuundwa kwa viti nane vipya vya kutumikia kwa kipindi cha miaka minne na kuweza kuongezwa tena muda utakapokuwa umemalizika na kiti kimoja kitakachotumikia kwa miaka miwili ambacho siyo cha kudumu (na hakiwezi kuongezewa muda unapokuwa umekwisha), na kugawanywa miongoni mwa kanda nne za dunia. <\/p>\n<p>Sasa hivi, Ba&#341;aza la Usalma lina viti 10 vya kupokezana, viti visivyokuwa vya kudumu vinavyotumikia kwa miaka miwili na viti vitano vyenye ku&#341;a ya veto, vya kudumu, na kushikiliwa na Ma&#341;ekani, Uinge&#341;eza,Ufa&#341;ansa, China na Russia. <\/p>\n<p>Akizungumzia kuhusu pendekezo la Annan, Wazi&#341;i wa Mambo ya Kigeni wa Japan Nobutaka Machimu&#341;a alisema pamoja na ukweli kwamba Tokyo haikuweza kufikia lengo la asilimia 0.7, bado ni &#8220;mfadhili mkubwa wa misaada ya maendeleo na kutoa ka&#341;ibu moja ya tano ya jumla ya misaada yote ya maendeleo inayotolewa duniani kote katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Japan itaendelea kuhakikisha kwamba jitihada za kutimiza Malengo Makuu ya Maendeleo ya Milenia na, kutokana na suala hilo, itajitahidi kuongeza kiwango cha misaada ya ODA,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Malengo Nane ya Maendeleo ya Milenia (MDGs) ni pamoja na kupunguza umaskini na hali ya njaa ulimwenguni kwa asilimia 50; elimu ya msingi kwa wote; kupunguza mbili ya tatu ya vifo vya watoto wachanga; kupunguza vifo vya mama wanaojifungua kwa &#341;obo tatu; kukuza usawa wa kijinsia; na kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi, mala&#341;ia na magonjwa mengine. <\/p>\n<p>Mkutano wa kilele wa viongozi wa dunia 189 ulifanyika mwezi Septemba mwaka 2000 ambapo waliahidi kufikia malengo yote ifikapo mwaka 2015. <\/p>\n<p>Lakini utekelezai wake umeegemea zaidi katika kuongezwa kwa misaada ya maendeleo kutoka kwa wahisani wa Magha&#341;ibi. Mkutano wa pili wa kilele, uliopangwa kufanyika mjini New Yo&#341;k Septemba mwaka huu, utatathimini mafanikio na kuweka ajenda ya maendeleo ulimwenguni kwa ajili ya muongo ujao. <\/p>\n<p>Annan analaumu kwamba ulimwengu &#8220;unashindwa&#8221; kufanya kile kinachohitajika kutokomeza umaskini na magonjwa duniani kote. <\/p>\n<p>Kiongozi wa Oxfam, Reindo&#341;p alisema &#341;ipoti ya Annan inaweka &#8220;ajenda ya kishujaa&#8221; inayotakiwa kupitishwa na se&#341;ikali katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Miaka Mitano ya Milenia mjini New Yo&#341;k Septemba 2005. <\/p>\n<p>Moja ya miito yake muhimu, alisema, ni kwa jumuiya ya kimataifa kukubali kwamba ina &#8220;jukumu la kulinda&#8221; &#341;aia waliopo katika vita, na, kama suluhisho la mwisho, kutumia njia za kijeshi kufanya hivyo. <\/p>\n<p>Oxfam inaamini kwamba kwa kukubali majukumu ya se&#341;ikali kulinda &#341;aia, na matumizi ya jeshi la Umoja wa Mataifa lenye mamlaka iliyowekwa bayana, jumuiya ya kimataifa ingeweza kupata mafanikio makubwa katika kutokomeza kiwango cha &#341;aia wanaoteseka leo hii katika maeneo ya vita. <\/p>\n<p>&#8220;Se&#341;ikali zina uwezo na majukumu ya kuokoa maisha,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Oxfam inaamini kwa nguvu zake zote kwamba kukomesha umaskini ulimwenguni ni njia pekee ya kuhakikisha usalama wa dunia kwa wote na kwamba nchi taji&#341;i zinatakiwa kutumia fu&#341;sa hii ya kipekee ya &#341;ipoti hii na Mkutano wa kilele kubadilisha maisha ya mamilioni waliopo katika vita na umaskini, Reindo&#341;p alisema. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Machi 21 (IPS) &ndash; Ripoti kali ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan ya kutaka kuleta mabadiliko katika chombo cha dunia &ndash; kama ilinavyoelezewa katika wa&#341;aka wa ku&#341;asa 62 uliotolewa siku ya Jumatatu &ndash; imepokelewa kwa maoni tofauti kutoka kwa wanadiplomasia, wanaha&#341;akati wa haki za binadamu na mashi&#341;ika yasiyokuwa ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":58,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-912","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/912","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/58"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=912"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/912\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=912"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=912"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=912"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}