{"id":911,"date":"2005-03-22T13:40:01","date_gmt":"2005-03-22T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/22\/siku-ya-maji-duniani-umoja-wa-ulaya-watakiwa-kusitisha-ubinafisishaji\/"},"modified":"2005-03-22T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-22T13:40:01","slug":"siku-ya-maji-duniani-umoja-wa-ulaya-watakiwa-kusitisha-ubinafisishaji","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/22\/siku-ya-maji-duniani-umoja-wa-ulaya-watakiwa-kusitisha-ubinafisishaji\/","title":{"rendered":"SIKU YA MAJI DUNIANI: Umoja wa Ulaya Watakiwa Kusitisha Ubinafisishaji"},"content":{"rendered":"<p>BRUSSELS, Machi 21 (IPS) &ndash; Mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yametoa mwito kwa Umoja wa Ulaya kubadili msimamo wake kuhusu maji na usafi wa mazingi&#341;a katika nchi zinazoendelea.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p> Mkusanyiko wa makundi ya vyama vya ki&#341;aia, ukiongozwa na makundi ya kampeni ya Kiholanzi ya Co&#341;po&#341;ate Eu&#341;ope Obse&#341;vato&#341;y (CEO) na Both ENDS, na mashi&#341;ika yasiyokuwa ya se&#341;ikali (NGO) ya Ubelgiji 11.11.11, unasema Umoja wa Ulaya (EU) ni lazima kumaliza mpango wake katika upanuzi wa sekta binafsi na badala yake kusaidia &#8220;huduma ya maji duniani kote.&#8221; <\/p>\n<p>Katika ba&#341;ua kwa kamishina wa maendeleo ya misaada ya kiutu wa EU Louis Michel sambamba na Siku ya Maji Duniani (Machi 22), kundi la NGOs linasema lina wasiwasi kuhusu jinsi gani &#8220;fedha za misaada kutoka nchi za Ulaya na ushawishi wa kisiasa unatumiwa kukuza se&#341;a ambazo hazifanyi kazi na kuweka vizuizi katika kutoa fedha zaidi kwa makampuni ya Ulaya, kuliko kutekeleza maendeleo halisi katika sekta ya maji na mazingi&#341;a.&#8221; <\/p>\n<p> EU ilizindua m&#341;adi wa thamani ya eu&#341;o milioni 500 (dola za Ma&#341;ekani 665) kugha&#341;amia maji katika nchi za Af&#341;ika, Ca&#341;ibbean na Pacific (ACP) mwaka jana. Tume ya Ulaya, chombo cha juu cha EU, kinasema mpango huo unaashi&#341;ia &#8220;mti&#341;i&#341;iko wa maji&#8221; katika mkakati wa maendeleo wa EU na utaleta maendeleo katika kufikia lengo kuu la milenia la kupunguza nusu ya watu wasiopata huduma ya maji safi ya kunywa na usafi wa msingi wa mazingi&#341;a ifikapo mwaka 2015. <\/p>\n<p>Kwa sasa wastani wa watu bilioni 1.1 hawapati maji safi ya kunywa, na watu bilioni 2.4 hawana mazingi&#341;a safi. <\/p>\n<p>Wastani wa asilimia 5 ya maji yote ulimwenguni yanaendeshwa na sekta binafsi lakini asilimia 95 kati yake ni makampuni ya Ulaya. <\/p>\n<p>Lakini kundi la mkusanyiko wa NGOs linasema &#8220;wimbi la kubinafisisha maji&#8221; katika muongo uliopita &#8220;limeonyesha kushindwa ja&#341;ibio.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Mifano halisi katika nchi zinazoendelea imeonyesha kwamba mashi&#341;ika ya kimataifa ya maji yana matatizo makubwa ya vifaa kuweza kusambaza maji safi na ya bei nafuu kwa maskini. Uwekezaji katika sekta binafsi hakukuweza kutoa matunda yaliyota&#341;ajiwa ya kufadhili maji na mazingi&#341;a safi kwa maskini,&#8221; wanasema katika ba&#341;ua ya pamoja. <\/p>\n<p>&#8220;Tunaamini kwamba wakikabiliwa na uzoezi wa nini kinafanya kazi pamoja na kushindwa kwa sekta binafsi ya kimataifa, muda umefika sasa kuelekeza upande mwingine mjadala wa dunia kuhusu swali muhimu: jinsi gani ya kubo&#341;esha na kupanua ugavi wa maji kwa umma duniani kote &#8221; <\/p>\n<p>Kundi hilo linasema kwamba badala ya kuandaa se&#341;a myua &#8220;zinazojikita juu ya nini kinafanya kazi,&#8221; se&#341;ikali za Ulaya na taasisi za fedha ulimwenguni zinaandaa &#8220;mpango mpya wa kuvutia sekta binafsi katika maji na usafi wa mazingi&#341;a, ikiwa ni pamoja na zana za kifedha ili kuwa na uhakika wa faida.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Hii inapuuza mambo muhimu kuhusu kushindwa kwa sekta binafsi na ukweli kwamba hudumza za umma kuendelea kusambaza maji kwa watu wengi wanaoyapata katika nchi zinazoendelea,&#8221; inasema ba&#341;ua hiyo. <\/p>\n<p> NGOs zinatoa mwito kwa EU kutoa ufadhili bila ya kuwa na &#8220;masha&#341;ti ya wazi ya kisiasa &#8220;, na kusema kwamba kambi hiyo inatakiwa kutumia nguvu zake kuhamasisha taasisi nyingine za kimataifa. <\/p>\n<p>&#8220;Huduma za maji kwa umma ba&#341;ani Ulaya inabidi zio&#341;odheshwe kusaidia kufikiwa kwa lengo la milenia la maji (MDGs) kwa kupitia mahusiano ya umma kwa umma yasiyokuwa na faida. Katika nyanja ya kimataifa, EU ni lazima kutumia nguvu zake kutoa mafunzo upya kuhusu se&#341;a za Benki ya Dunia na taasisi nyingine za fedha za kimataifa kukomesha masha&#341;ti yanayotokana na ubinafisishaji kutokana na misaada ya kifedha kwa wale wanaoomba.&#8221; <\/p>\n<p>Olivie&#341; Hoedeman, M&#341;atibu wa utafiti katika CEO anasema wito wa kundi hilo umetolewa katika muda muafaka. &#8220;Tunaandika ba&#341;ua hii sasa kwasababu kumekuwepo na mabadiliko makubwa katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita na inakuwa wazi kwamba makampuni binafsi ya maji hayaweza kutoa maji nafuu kwa maskini,&#8221; aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Muda umefika kusema kwamba maji ya umma yanafanya kazi na kutoa asilimia 95 ya watu wote katika dunia inayoendelea. Tunatakiwa kuangalia jinsi gani tutawezesha suala hilo kufanya kazi kwa idadi nyingine ya watu iliyobaki. Inabidi kweli EU kuwa kiongozi katika kuendeleza suala hili kwa sababu kadhaa &ndash; ni mfadhili mkubwa na ina jukumu kubwa sana.. Pia kuna idadi kubwa ya utaalamu katika huduma za maji ya umma za Ulaya na utaalamu huu unahitaji kutumiwa kufikia malengo ya MDGs,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Wakati wa Bunge la Ulaya mwezi Oktoba, Kamishina Michel alisema huduma za jamii zilikuwa &#8220;muhimu katika kufikia mahitaji ya msingi katika nchi zinazoendelea &#8221; na kwamba &#8220;huduma muhimu inabidi zisamehewe kutokana na shinikizo la soko.&#8221; <\/p>\n<p>Wakati NGOs zinakubaliana na maneno ya Michel, zinasisitiza kwamba ni lazima kuyatekeleza kwa vitendo. <\/p>\n<p>&#8220;Michel alisema baadhi ya mambo yanayotia moyo sana na kuweka wazi kwamba haungi mkono ubinafisishaji kama suluhu kwa mgogo&#341;o wa maji, hivyo hilo ni suala la kulijenga. Sasa anatakiwa kuweka hilo wazi kwa wafanyakazi wake katika Tume na tunatumaini kwamba atafuatilia maneno hayo,&#8221; alisema Hoedeman. <\/p>\n<p>Makundi ya vyama vya ki&#341;aia yanasema kwamba inabidi hatua hiyo kujitokeza katika miezi 12 ijayo. <\/p>\n<p>&#8220;Tunakuomba kuhakikisha kwamba ifikapo Kongamano la Maji Ulimwenguni mjini Mexico Machi 2006 EU itatumia njia tofauti katika suala la maji na usafi wa mazingi&#341;a katika nchi za dunia inayoendelea,&#8221; walisema. &#8220;Kwa kutoa msaada muhimu wa kifedha na kisiasa kwa ajili ya suluhisho za umma zinazofanya kazi, EU itakuwa sehemu ya suluhisho kuliko tatizo.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BRUSSELS, Machi 21 (IPS) &ndash; Mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yametoa mwito kwa Umoja wa Ulaya kubadili msimamo wake kuhusu maji na usafi wa mazingi&#341;a katika nchi zinazoendelea. Mkusanyiko wa makundi ya vyama vya ki&#341;aia, ukiongozwa na makundi ya kampeni ya Kiholanzi ya Co&#341;po&#341;ate Eu&#341;ope Obse&#341;vato&#341;y (CEO) na Both ENDS, na mashi&#341;ika yasiyokuwa ya se&#341;ikali (NGO) ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":59,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-911","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/911","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/59"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=911"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/911\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=911"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=911"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=911"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}