{"id":910,"date":"2005-03-22T13:40:01","date_gmt":"2005-03-22T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/22\/siasa-namibia-uhesabuji-wa-kua-wazua-mvutano-mpya\/"},"modified":"2005-03-22T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-22T13:40:01","slug":"siasa-namibia-uhesabuji-wa-kua-wazua-mvutano-mpya","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/22\/siasa-namibia-uhesabuji-wa-kua-wazua-mvutano-mpya\/","title":{"rendered":"SIASA &ndash; NAMIBIA: Uhesabuji wa Ku&#341;a Wazua Mvutano Mpya"},"content":{"rendered":"<p>WINDHOEK, Machi 19 (IPS) &ndash; Wanamibia wengi wamekasi&#341;ishwa au kuchanganyikiwa kutokana na matokeo halisi ya uchaguzi wa wabunge nchini humo. Tume ya Uchaguzi ilitangaza matokeo ya kushtukiza ya uhesabuji mpya wa ku&#341;a Machi 16, katika Shi&#341;ika la Utangazaji la Taifa (NBC).\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p> Ujumbe huo ulikuwa kwamba kila kitu kilikuwa katika mpangilio mzu&#341;i na kwamba mgawanyo wa viti katika Bunge la Taifa ulibakia kama vile ilivyotangazwa Novemba baada ya uhesabuji wa ku&#341;a wa awali. <\/p>\n<p>Wakati vyama vinne vya upinzani katika siku iliyofuata vilishutumu Tume ya Uchaguzi kutokana na madai ya &#341;ushwa na kukataa matokeo ya uhesabuji upya wa ku&#341;a shi&#341;ika la utangazaji la taifa lilipuuza suala hilo. Ni magazeti tu siku ya Ijumaa ambayo yali&#341;ipoti kuhusu madai makubwa ya vyama vya upinzani. <\/p>\n<p>Namibia ilionekana kuwa na wakati mwingine wa kupata heshima kama nchi ya kidemok&#341;asia ba&#341;ani Af&#341;ika wakati Mahakama Kuu katika mji mkuu wa nchi wa Windhoek ilipotoa am&#341;i kushughulikia madai ya vyama viwili vya upinzani, the Cong&#341;ess of Democ&#341;ats (CoD) na Republican Pa&#341;ty (RP), ya kutaka kuhesabiwa kwa ku&#341;a zote katika kipindi cha siku 10. <\/p>\n<p>Mahakama ilipata ushahidi mkubwa wa kukiukwa ta&#341;atibu. Majaji watatu hata waliweza kutoa uamuzi kwamba Tume ya Uchaguzi ilipie gha&#341;ama zote za kesi mahakamani. <\/p>\n<p>Kulikuwa na fu&#341;aha kubwa wakati uhesabuji ku&#341;a ulipoanza Machi 13 mchana. Vyama vyote vilipeleka waangalizi wao kuhakikisha kwamba uhesabuji wa ku&#341;a unakuwa wa haki. <\/p>\n<p>Bila ya kuzingatia kuwasiliana na vyama vyote vya siasa kama ilivyokubaliwa hapo awali Tume ya Uchaguzi mwezi Machi 16 ilitangaza matokeo ya kuhesabu ku&#341;a. Bila ya viti vya ubunge kubadilika, na kuwepo kwa baadhi ya mabaliko madogo sana katika jumla ya ku&#341;a: CoD ilipungukiwa na ku&#341;a 1, chama tawala cha South West Af&#341;ican People&#8217;s O&#341;ganisation (SWAPO) kilipungukiwa na ku&#341;a 178, chama cha Democ&#341;atic Tu&#341;nhale Alliance (DTA) kiliongezewa ku&#341;a 356, Republican Pa&#341;ty kiliongezewa ku&#341;a 222. <\/p>\n<p>Wakati vyama vya upinzani, ambavyo mawakala wake wa kuhesabu ku&#341;a waliweza kuona mabadiliko kadhaa wakati wa zoezi la kuhesabu ku&#341;a, waliposikia matokeo mapya walibakia bila la kusema. Suala hili halikuweza kufahamika mapema, kutokana na kwamba shi&#341;ika la NBC halikutoa nafasi ya maoni. <\/p>\n<p>Vyama vya Cong&#341;ess of Democ&#341;ats na Republican Pa&#341;ty vilifanya kazi kwa bidii kuwakilisha utafiti wao katika mkutano kwa waandishi wa haba&#341;i siku iliyofuata. Hata hivyo, hawakuweza kumalizia kuwakilisha. Lakini angalau viliwakilisha idadi kadhaa ya mambo ambayo yalizua wasiwasi mkubwa katika zoezi lote la uhesabuji mpya wa ku&#341;a. Pamoja na mambo mengine, wali&#341;ipoti kuhusu kukosekana kwa nya&#341;aka za kuthibitisha na maboksi yanakuwa hayajafungwa na kushutumu Tume ya Uchaguzi ku&#341;uhusu chama cha SWAPO kuendesha zoezi la kuhesabu ku&#341;a. Wakala wa kuhesabu ku&#341;a wa RP alishuhudia uchanganyaji mkubwa wa ku&#341;a ambazo zilitakiwa kutenganishwa kulingana na She&#341;ia ya Uchaguzi. <\/p>\n<p>Ben Ulenga, mbunge wa zamani wa SWAPO na &#341;ais wa kwanza wa chama cha Cong&#341;ess of Democ&#341;ats, alitaka kufukuzwa kazi kwa mku&#341;ugenzi wa Uchaguzi Phillemon Kanime na Tume yote ya Uchaguzi. Alisema kwamba wamegundua udhaifu mkubwa na hawezi kuaminiwa tena kama mlinzi wa ku&#341;a za watu wa Namibia. <\/p>\n<p>Ulenga alitoa mwito kwamba she&#341;ia ya (uchaguzi) ifanyiwe ma&#341;ekebisho ili &#8220;kuendana na Itifaki ya Uchaguzi ya SADC&#8221;. <\/p>\n<p>Alikuwa akimaanisha kanuni za SADC na miongozo kuhusu uchaguzi hu&#341;u na wa haki uliosainiwa na nchi wanachama wote 13 wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika (SADC) katika nchi ya Kisiwa cha Baha&#341;i ya Hindi cha Mau&#341;itius Agosti 2004. <\/p>\n<p>Namibia, ikiwa mmoja wa wanachama wa SADC, pia ilisaini mkataba na kuahidi kutekeleza vigezo vyake. <\/p>\n<p>Kanuni na miongozo ya SADC inatoa mwito, miongoni mwa mambo mengine, kushi&#341;iki kikamilifu kwa &#341;aia katika mfumo wa kisiasa, uhu&#341;u wa kukusanyika, kuvumiliana kisiasa na kujenga mazingi&#341;a hu&#341;u, ya haki na ya amani wakati wa uchaguzi. <\/p>\n<p>Akiwa hakubaliani na zoezi la kuhesabu upya ku&#341;a, Ca&#341;ola Engelb&#341;echt, Katibu Mkuu wa chama cha Republican Pa&#341;ty, alisema: &#8221;Mtu anaweza kushangaa ni takwimu gani zimetumika kuweza kuja na matokeo haya ya uchaguzi.&#8221; Kwa sasa matokeo hayo ni ya &#8220;kughushi&#8221;. <\/p>\n<p>Kala Ge&#341;tze, Katibu Mkuu wa CoD, alisema wazi kwamba Henk Mudge, kiongozi wa RP katika hatua moja aliweza kutupwa nje ya mkutano na ofisa wa polisi kutokana na ombi la mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Victo&#341; Tonchi. Ge&#341;tze alidai kwamba wanausalama walikuwa wakisimamia mpango mzima. <\/p>\n<p>Eneo moja lisilokubaliwa kati ya vyama vya upinzani na Tume ya Uchaguzi na SWAPO ni maboksi 40 kutoka mkoa wa Ohangwena, eneo linalodhibitiwa na SWAPO. Katika hali ya kushangaza boksi 40 &ndash; ambazo zimekadi&#341;iwa kwamba kila moja linaweza kuwa na ku&#341;a 2,000 &ndash; ambayo yalikuwa na ka&#341;atasi za kupigia ku&#341;a zenye majimaji ambapo kwa kiasi kikubwa mhu&#341;i muhimu ulikuwa umeondolewa. Mhu&#341;i huu, hata hivyo, unahitajika kishe&#341;ia kwa ku&#341;a yoyote ile yenye thamani. <\/p>\n<p>Kulingana na Ge&#341;tze, SWAPO ilisisitiza kwamba ku&#341;a hizi ni lazima zihesabiwe kwani msalaba wa chama unaonekana, lakini vyama vya upinzani vilikataa kukubaliana kuenenda kinyume na she&#341;ia. Tume ya Uchaguzi, hata hivyo, iliamua kuhesabu ku&#341;a hizo isipokuwa 935. <\/p>\n<p>Vyama vya CoD na RP mapema viliingia katika mijadala na wanashe&#341;ia wake kuhusu hatua inayoweza kuchukuliwa ya kuhesabu upya ku&#341;a. Hata hivyo, vyama vyote viwili viliamua visigomee kuapihshwa kwa wabunge wapya wa bunge la Taifa Machi 19. <\/p>\n<p>Wote walisisitiza kwamba hii haimaanishi kwamba wanakubali matokeo kama ya haki lakini inaonekana kuweka alama ya kuuliza kama wanaweza kuendelea kupinga matokeo haya kama watakuwa wameshaapishwa. Chama cha CoD kitachukua viti vitano na kuwa chama cha upinzani &#341;asmi. <\/p>\n<p>Hoja moja ilishawishi uamuzi wa kukubali she&#341;ehe za kuapishwa. Kutokana na kwamba kipindi cha miaka mitano cha bunge la sasa kinamalizika Machi 21 kukataa kuapishwa kwa bunge jipya kungejenga utata wa kikatiba. <\/p>\n<p>Miongoni mwa wanachama katika vyama vyote viwili wana hofu kwamba &#341;ais mwenye miaka 75 anayemaliza muda wake Sam Nujoma angeweza kutumia hali hiyo kukataa kuachia mada&#341;aka siku ya Jumatatu kwa &#341;ais mteule Hifikepunye Pohamba. Kuendelea kokote kule kwa Nujoma, ambaye ametawala Namibia tangu uhu&#341;u mwaka 1990, inaonekana kuwa kitu kibaya na hatua hata&#341;i zaidi. <\/p>\n<p>Lakini kuna wengine ambao wanasema kwamba vyama hivyo viwili vya upinzani kwa pamoja vitapoteza uaminifu wake kama vitasema matokeo ya uhesabuji upya wa ku&#341;a haukubaliki lakini baada ya siku chache zijazo ku&#341;uhusu bunge jipya kuapishwa.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WINDHOEK, Machi 19 (IPS) &ndash; Wanamibia wengi wamekasi&#341;ishwa au kuchanganyikiwa kutokana na matokeo halisi ya uchaguzi wa wabunge nchini humo. Tume ya Uchaguzi ilitangaza matokeo ya kushtukiza ya uhesabuji mpya wa ku&#341;a Machi 16, katika Shi&#341;ika la Utangazaji la Taifa (NBC). Ujumbe huo ulikuwa kwamba kila kitu kilikuwa katika mpangilio mzu&#341;i na kwamba mgawanyo wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":181,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-910","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/910","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/181"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=910"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/910\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=910"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=910"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=910"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}