{"id":909,"date":"2005-03-22T13:40:01","date_gmt":"2005-03-22T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/22\/siasa-somalia-mazungumzo-kuhusu-jeshi-la-kulinda-amani-yahaibika\/"},"modified":"2005-03-22T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-22T13:40:01","slug":"siasa-somalia-mazungumzo-kuhusu-jeshi-la-kulinda-amani-yahaibika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/22\/siasa-somalia-mazungumzo-kuhusu-jeshi-la-kulinda-amani-yahaibika\/","title":{"rendered":"SIASA&ndash;SOMALIA: Mazungumzo Kuhusu Jeshi la Kulinda Amani Yaha&#341;ibika"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Machi 18 (IPS) &ndash; Mawazi&#341;i wa Mambo ya Nje kutoka nchi za Af&#341;ika Masha&#341;iki ambao walikutana nchini Kenya wamepitiwa kufikia muafaka kattika mjadala kuhusu jeshi la kulinda amani ambalo lita&#341;uhusu se&#341;ikali ya muda ya Somalia kujiima&#341;isha katika mji mkuu &ndash; Mogadishu.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Sasa hivi se&#341;ikali hiyo inafanya shughuli zake kutoka mji mkuu wa Kenya wa Nai&#341;obi kutokana na hali ya wasiwasi nchini Somalia. <\/p>\n<p>Nchi hiyo ya Pembe ya Af&#341;ika ilitumbukia katika hali ya kukosekana she&#341;ia mwaka 1991, baada ya wanamgambo wa kikabila kumpindua dikteta Mohamed Siad Ba&#341;&#341;e. Se&#341;ikai ya sasa iliundwa mwaka 2004 baada ya miaka miwili ya mazungumzo chini ya mwamvuli wa Mamlaka ya Ushi&#341;ikiano wa Se&#341;ikali katika Manedeleo (IGAD) &ndash;ambacho ni chombo cha kimkoa. <\/p>\n<p>IGAD ilikuwa imepnga kupeleka aska&#341;i 10,000 nchini Somalia kinachoundwa na aska&#341;i kutoka nchi wanachama ambazo pamoja na Somalia, nchi nyingine ni Djibouti, E&#341;it&#341;ea, Ethiopia, Kenya, Sudan na Uganda. Jeshi hilo linalenga kuilinda se&#341;ikali ya Somalia itakapo&#341;ejea nchini mwao, kutokana na baadhi ya pande zinazopigana kusita ku&#341;ejesha mada&#341;aka kwa mamlaka iliyo kuu. <\/p>\n<p>Hata hivyo, wabunge wengi wa bunge la Somalia walipiga ku&#341;a siku ya Alhamisi kupinga kupelekwa kwa aska&#341;i hao. <\/p>\n<p>Wabunge alikuwa katika mkutano, uliofanyika katika hetili mjini Nai&#341;obi, pia walileta fujo, huku wabunge wakitupiana ngumi na kutupiana viti. Mbunge mmoja alisemekana kuje&#341;uhiwa vibaya. <\/p>\n<p>Baadhi ya wabunge walipinga kuhusishwa kwa aska&#341;i wa Ethiopia katika jeshi la kulinda amani, wakisema histo&#341;ia ya uhusiano mbaya kati ya Addis Ababa na Mogadishu iliondoa ushi&#341;iki wa Ethiopian katika ujumbe huo. <\/p>\n<p>Mwishoni mwa miaka ya 1970, Somalia ilitoa madai ya kutaka na kuvamia mkoa wa Ogaden nchini Ethiopia, ambapo baadaye Addis Ababa ilikuja kuunga mkono chama cha waasi nchini Somalia. Baadhi ya viongozi wa pande zinazozozana wametishia kushambulia ujumbe wa kulinda amani kama utashi&#341;ikisha aska&#341;i kutoka Ethiopia. <\/p>\n<p>&#8220;Kuna ha&#341;ufu ya msukumo wa kiovu wa nchi hii (Ethiopia). Kama ni sehemu ya matatizo ya Somalia, jinsi gani itakuwa sehemu ya suluhu  Tunasema &#8216;ndiyo&#8217; kwa aska&#341;i kutoka nchi yoyote ile &ndash; lakini siyo kutoka kwa hii,&#8221; Asha Abdalla, mbunge katika bunge la watu 275, aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Kama nchi hii ita&#341;uhusiwa nchini Somalia, huo utakuwa mwisho wa se&#341;ikali. Vita mpya itaibuka nchini Somalia,&#8221; aliongeza. &#8220;Nilikwenda Mogadishu ta&#341;ehe sita Feb&#341;ua&#341;i, na pamoja na watu kulilia amani hawaitaki Ethiopia. Wansema wataua aska&#341;i wake wote.&#8221; <\/p>\n<p>As a &#341;esult, IGAD ministe&#341;s have appa&#341;ently decided against using t&#341;oops f&#341;om count&#341;ies that bo&#341;de&#341; on Somalia &ndash; Djibouti, Ethiopia and Kenya. Instead, indications a&#341;e that the peacekeeping mission will be made up of Ugandan and Sudanese t&#341;oops, while the &#341;emaining IGAD states p&#341;ovide logistical assistance and t&#341;aining. <\/p>\n<p>Dono&#341;s have also looked askance on the inclusion of soldie&#341;s in the peacekeeping mission f&#341;om Somalia&#8217;s immediate neighbou&#341;s. <\/p>\n<p>&#8220;We believe the deployment of IGAD fo&#341;ces in Somalia will dest&#341;oy any chance of b&#341;inging stability to the Somali capital by peaceful means and will c&#341;eate an envi&#341;onment of deep suspicion th&#341;oughout the count&#341;y,&#8221; the U.S. State Depa&#341;tment said in a statement issued Thu&#341;sday to the meeting of IGAD fo&#341;eign affai&#341;s ministe&#341;s. <\/p>\n<p>&#8220;We do not plan to fund the deployment of IGAD t&#341;oops in Somalia and a&#341;e not p&#341;epa&#341;ed to suppo&#341;t a U.N. Secu&#341;ity Council mandate fo&#341; IGAD deployment in Somalia,&#8221; the statement added. The IGAD gathe&#341;ing, also attended by A&#341;ab League &#341;ep&#341;esentatives, ended F&#341;iday. <\/p>\n<p>The last peacekeeping mission sent to Somalia was deployed in 1992 to ave&#341;t widesp&#341;ead famine in the count&#341;y, whe&#341;e d&#341;ought and civil wa&#341; had put millions at &#341;isk of food sho&#341;tages. <\/p>\n<p>Howeve&#341;, effo&#341;ts by United Nations t&#341;oops to disa&#341;m Somali militants we&#341;e vigo&#341;ously &#341;esisted. <\/p>\n<p>A June 1993 attack by faction leade&#341; Mohammed Fa&#341;ah Aideed &#341;esulted in the death of 24 Pakistani peacekeepe&#341;s. In Octobe&#341; of the same yea&#341;, hund&#341;eds of Somalis and 18 Ame&#341;ican soldie&#341;s we&#341;e killed du&#341;ing a clash in Mogadishu &ndash; an incident which laid the g&#341;ound fo&#341; all peacekeepe&#341;s to be withd&#341;awn f&#341;om Somalia by 1995. <\/p>\n<p>Conce&#341;ns about the composition of a new peacekeeping mission notwithstanding, IGAD has wa&#341;ned that time is &#341;unning out fo&#341; Somalia&#8217;s gove&#341;nment to move to Mogadishu. Du&#341;ing Thu&#341;sday&#8217;s discussions, ministe&#341;s also th&#341;eatened to withhold aid f&#341;om the gove&#341;nment if it continued to wo&#341;k in exile. <\/p>\n<p>While pa&#341;liamenta&#341;ians and ministe&#341;s debate, a&#341;ms a&#341;e continuing to flow into Somalia &ndash; seve&#341;ely comp&#341;omising futu&#341;e p&#341;ospects fo&#341; peace. <\/p>\n<p>A &#341;epo&#341;t issued by the U.N. this week said weapons we&#341;e being impo&#341;ted into the count&#341;y at &#8220;a b&#341;isk and ala&#341;ming &#341;ate&#8221;, despite a 1992 a&#341;ms emba&#341;go. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Machi 18 (IPS) &ndash; Mawazi&#341;i wa Mambo ya Nje kutoka nchi za Af&#341;ika Masha&#341;iki ambao walikutana nchini Kenya wamepitiwa kufikia muafaka kattika mjadala kuhusu jeshi la kulinda amani ambalo lita&#341;uhusu se&#341;ikali ya muda ya Somalia kujiima&#341;isha katika mji mkuu &ndash; Mogadishu. Sasa hivi se&#341;ikali hiyo inafanya shughuli zake kutoka mji mkuu wa Kenya wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":73,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-909","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/909","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/73"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=909"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/909\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=909"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=909"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=909"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}