{"id":908,"date":"2005-03-22T13:40:01","date_gmt":"2005-03-22T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/22\/siasa-afika-yahofia-adhabu-za-vikwazo-kwa-nchi-wanachama\/"},"modified":"2005-03-22T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-22T13:40:01","slug":"siasa-afika-yahofia-adhabu-za-vikwazo-kwa-nchi-wanachama","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/22\/siasa-afika-yahofia-adhabu-za-vikwazo-kwa-nchi-wanachama\/","title":{"rendered":"SIASA: Af&#341;ika Yahofia Adhabu za Vikwazo kwa Nchi Wanachama"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Machi 17 (IPS) &ndash; Wakati wanachama 15 wa Ba&#341;aza la Usalama la Umoja wa Mataifa wanaendelea kubu&#341;uza miguu kuhusu pendekezo la vikwazo vya kijeshi na kiuchumi vyenye lengo la kuiadhibu Sudan kutokana na mauaji ya halaiki katika jimbo la Da&#341;fu&#341;, chombo hicho cha dunia kimeanza upya mjadala wake wa muda m&#341;efu kuhusu matumizi ya vikwazo kuadhibu nchi wanachama madikteta.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Nchi 53 katika Kundi la Af&#341;ika zimetoa dukuduku lao kuhusu &#8220;kuongezeka kwa matumizi ya vikwazo vya Umoja wa Mataifa &ndash; hasa katika nchi za Af&#341;ika.&#8221; <\/p>\n<p>Akzingumza kwa niaba ya Nchi za Af&#341;ika, Lydia Rand&#341;iana&#341;ivony wa Madagasca&#341; aliliambia Ba&#341;aza la Mkataba wa Umoja wa Mataifa kwamba kati ya vikwazo 16 vilivyotumiwa na chombo hicho cha kimataifa hadi sasa, 12 viliwekewa nchi za Af&#341;ika: Angola, Ivo&#341;y Coast, Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asi ya Kongo (DRC), Libe&#341;ia, Ethiopia\/E&#341;it&#341;ea, Libya, Rwanda, Sie&#341;&#341;a Leone, Somalia, Af&#341;ika Kusini, Rhodesia ya Kusini (sasa hivi Zimbabwe) na Sudan. <\/p>\n<p>Nchi nne ambazo hazipo Af&#341;ika zilizowahi kuwekewa vikwazo vya Umoja wa Mataifa ni pamoja na Afghanistan, Haiti, I&#341;aq na iliyokuwa nchi ya Yugoslavia. <\/p>\n<p>Vikwazo dhidi ya Angola, Ethiopia\/E&#341;it&#341;ea, Haiti, Libya, Af&#341;ika Kusini, Rhodesia ya Kusini, Sudan na iliyokuwa nchi ya Yugoslavia viliondolewa kabisa. Kuhusu I&#341;aq, viwazo vya kiuchumi vimeondolewa lakini vikwazo vya kijeshi bado vinaendelea kutumika. <\/p>\n<p>&#8220;Nguvu ya Ba&#341;aza la Usalama kuweka vikwazo inabidi itumike kulingana na mkataba wa Umoja wa Mataifa na she&#341;ia za kimataifa,&#8221; Rand&#341;iana&#341;ivony aliwaambia wajumbe siku ya Jumatatu. <\/p>\n<p>&#8220;Vikwazo vitumike tu baada ya njia zote za ku&#341;ejesha amani chini ya su&#341;a ya VI ya mkataba zitakapokuwa zimeshindwa &ndash; na kutafaka&#341;i kiucndani madha&#341;a ya vikwazo vinavyowekwa,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Kulingana na su&#341;a ya VI ya mkataba huo, &#8220;pande zinazohusika katika mgogo&#341;o wowote ule, ambao kuendelea kwake kunaweza kuhata&#341;isha amani ya kimataifa na usalama, inabidi, awali ya yote, kutafuta suluhu kwa majadiliano, kishe&#341;ia, matumizi ya vyombo au mipangilio ya kimkoa, au njia nyinge za amani watakazoona zinafaa.&#8221; <\/p>\n<p>Kama Ba&#341;aza la Usalama linashindwa ku&#341;ejesha amani kwa njia ya majadiliano, linakuwa na chaguo la kutumia vikwazo chini ya su&#341;a ya VII ya mkataba. <\/p>\n<p>Hatua hizi kali ni pamoja na &#8220;kuingilia kati kikamilifu au nusu nusu kwa mahusiano ya kiuchumi, na njia ya &#341;eli, baha&#341;i, anga, posta, simu, &#341;edio na njia nyingine za mawasiliano, na mahusiano ya kidiplomasia.&#8221; Katika masuala mengine, Rand&#341;iana&#341;ivony alisema vikwazo vimeweza kusababisha &#8220;atha&#341;i za kiutu zisizota&#341;ajiwa, hasa kwa wanajamii wanyonge&#8221;, ikiwa ni pamoja na wanawake na watoto. <\/p>\n<p>&#8220;Vikwazo vimejulikana kudhoofisha miundombinu ya kitaifa na kimkoa, na kusababisha madha&#341;a makubwa ya kichumi na kijamii na kusababisha kuzo&#341;ota kwa hali ya maisha kwa watu wasiokuwa na fu&#341;sa,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Hali mbaya zaidi ilikuwa ni madha&#341;a mabaya ya vikwazo vya kiuchumi nchini I&#341;aq ambavyo viliathi&#341;i wanyonge wengi katika jamii ya I&#341;aq. <\/p>\n<p>Utafiti uliofanywa na shi&#341;ika la watoo la Umoja wa Mataifa la UNICEF ulibainisha kwamba katika upande wa kusini na katikati mwa I&#341;aq &ndash; kunakokaliwa na asilimia 85 ya watu milioni 26 nchini humo &ndash; vifo vya watoto chini ya miaka mitano viliongezeka zaidi ya ma&#341;a mbili, kutoka vifo 56 katika kila watoto 1,000 wanaozaliwa (1984&ndash;1989) hadi vifo 131 kwa watoto 1,000 wanaozaliwa (1994&ndash;1999). <\/p>\n<p>Vile vile, vifo vya watoto wadogo, ambavyo kulingana na UNICEF ni vifo vya watoto katika mwaka wao wa kwanza, viliongezeka kutoka asilimia 47 kwa watoto 1,000 wanaozaliwa hadi 108 katika kipindi hicho. <\/p>\n<p>Kutokana na vikwazo hivyo, watoto wengi wa I&#341;aq walinyimwa vyakula vyenye vu&#341;utubisho na madawa. Lakini baadaye hali ilipungua makali yake chini ya mpango wa chakula kwa mafuta uliosimamiwa na Umoja wa Mataifa nchini I&#341;aq. <\/p>\n<p>Wakti huo huo, msimamo huo wa Af&#341;ika dhidi ya vikwazo inaunbgwa mkono na nchi mbili zenye ku&#341;a ya tu&#341;ufu katika Ba&#341;aza la Usalama,ambazo ni China na Russia, ambazo kimsingi zinahusika sasa katika kuitetea Sudan kuwekewa vikwazo dhidi ya mauaji ya Da&#341;fu&#341;.. <\/p>\n<p>Nchi zote mbili zina sababu zao za kibianafsi za kupinga vikwazo: China inaja&#341;ibu kuinda maslahi yake ya mafuta nchini Sudan na Russia soko lake la silaha. <\/p>\n<p>Sudan, ambayo inazalisha kama mapipa 250,000 ya mafuta kwa siku, ina mikataba ya kuuza baadhi yake nchini China. Na China na Russia pia ni wauzaji wakuu wa silaha kwa Sudan. <\/p>\n<p>Jeshi la anga la Sudan linamiliki ndege za vita za Ki&#341;ussia aina ya MiG&ndash;23s na ndege za kivita za Kichina aina ya Shenyang MiG&ndash;17. Sudan pia ina makombo&#341;a ya Kichina aina ya Silkwo&#341;m na vifa&#341;u vya kivita, na maga&#341;i ya kijeshi yaliyotongenezwa nchini Russia. <\/p>\n<p>Mada iliyoandaliwa na Russia inasema kwamba vikwazo visitumike kama njia ya kutoa adhabu kwa nchi wanachama. <\/p>\n<p>Wa&#341;aka huo unafafanua vikwazo kama &#8220;hatua kubwa ambayo inaweza tu kutumika baada ya Ba&#341;aza la Usalama kubainisha kuwepo kwa tishio kwa mani ya kimataifa na usalama.&#8221; <\/p>\n<p>Mjumbe wa Russia Dmit&#341;y Lobach aliiambia kamati ya mkataba wa Umoja wa Mataifa kwamba nchi yake pia ingependa kuhakikisha misaada kwa &#8220;mataifa ya tatu&#8221; &ndash; nchi ambazo ni maji&#341;ani zaidi na nchi iliyowekewa vikwazo ambazo zinaweza kuathi&#341;ika na vikwazo hivyo. <\/p>\n<p>Onyo pia lilitolewa na Zhang Yishan wa China ambaye alisema kwamba vikwazo vinatakiwa kutumiwa kwa umakini mkubwa &ndash;&ndash; &#8220;kutokana na atha&#341;i zake kubwa na maana yake pana, pamoja na madha&#341;a yake yanayoweza kujitokeza katika mataifa ya tatu.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Matumizi yake inabidi yawe madogo sana au yazuiliwe kabisa,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Sasa hivi Ba&#341;aza la Usalama linajadili katika milango iliyofungwa azimio linalotoa mwito wa kutoa adhabu dhidi ya wale wanaoaji&#341;i aska&#341;i watoto, ikiwa ni pamoja na se&#341;ikali na vikundi vinavypigana duniani kote. <\/p>\n<p>Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ola&#341;a Otunnu, ambaye ni Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Mataifa wa Watoto na Vita, aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS kwamba wanachama wa Ba&#341;aza hilo hivi kaibuni wataamua &#8220;kuchukua hatua za kuwekea vikwazo&#8221; dhidi ya wale wanaotumia aska&#341;i watoto. <\/p>\n<p>&#8220;Hatua hizi zitakuwa zilizopangiliwa, zenye ubo&#341;a na kuchaguliwa kwa umakini zinazolenga vikundi vya wanyonge,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>&#8220;Itakuwa siyo saizi moja inayotosheleza wote,&#8221; Otunnu alisema. &#8220;Lakini, itakuwa vitendo, uhakika na kuwezekana.&#8221; <\/p>\n<p>Miongoni mwa hatua zinazozingatiwa sasa, alisema, ni vikwazo vya kusafi&#341;i na kutokushi&#341;ikishwa katika miundo yoyote ile ya se&#341;ikali na kupewa misamaha; matumizi ya vikwazo vya silaha; vikwazo vya kijeshi; vikwazo vya kuingia kwa &#341;silimali za kifedha; kuzuia fedha za viongozi na pande husika; na kupiga ma&#341;ufuku biasha&#341;a ha&#341;amu katika masliasili. <\/p>\n<p>Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan taya&#341;i ameshafanya tofauti kati ya kile anachokiita vikwazo &#8220;safi&#8221;na vikwazo vya &#8220;bubu&#8221; &ndash;&ndash; ambapo vya kwanza vinachagua sana na kuwa na shabaha na vinavyofuata vinawekwa kibaguzi.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Machi 17 (IPS) &ndash; Wakati wanachama 15 wa Ba&#341;aza la Usalama la Umoja wa Mataifa wanaendelea kubu&#341;uza miguu kuhusu pendekezo la vikwazo vya kijeshi na kiuchumi vyenye lengo la kuiadhibu Sudan kutokana na mauaji ya halaiki katika jimbo la Da&#341;fu&#341;, chombo hicho cha dunia kimeanza upya mjadala wake wa muda m&#341;efu kuhusu&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":58,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-908","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/908","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/58"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=908"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/908\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=908"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=908"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=908"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}