{"id":907,"date":"2005-03-22T13:40:01","date_gmt":"2005-03-22T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/22\/maendeleo-eu-yatathmini-ripoti-ya-afika\/"},"modified":"2005-03-22T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-22T13:40:01","slug":"maendeleo-eu-yatathmini-ripoti-ya-afika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/22\/maendeleo-eu-yatathmini-ripoti-ya-afika\/","title":{"rendered":"MAENDELEO: EU Yatathmini Ripoti ya Af&#341;ika"},"content":{"rendered":"<p>BRUSSELS, Machi 16 (IPS) &ndash; Wakati ambapo Umoja wa Ulaya kwa kiasi kikubwa umeka&#341;ibisha &#341;ipoti ya Tume ya Af&#341;ika iliyotolewa wiki iliyopita, kuna mjadala kuhusu ni jinsi gani mapendekezo yaliyotolewa katika &#341;ipoti hiyo yataingizwa katika se&#341;a za maendeleo za kambi hiyo.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Ripoti ya Tume ya Af&#341;ika, iliyoundwa na se&#341;ikali ya Uinge&#341;eza, ilizinduliwa mjini London siku ya Ijumaa (Machi 11). <\/p>\n<p>Miongoni mwa mlolongo wa mapendekezo, tume hiyo ilipendekeza kwamba ziongezwe eu&#341;o bilioni 18.6 ( dola bilioni 25) kwa mwaka kama msaada kwa Af&#341;ika kwa mwaka kutoka jumuiya ya kimataifa ifikapo mwaka 2010. Pia ilitoa mwito wa kufutwa kwa madeni kwa asilimia 100 katika nchi za Af&#341;ika, na nchi taji&#341;i kutoa asilimia 0.7 ya pato lake la ndani (GNI) kwa ajili ya misaada. <\/p>\n<p>Rais wa Tume ya Ulaya Jos&eacute; Manuel Ba&#341;&#341;oso alika&#341;ibisha &#341;ipoti hiyo kwa u&#341;ahisi kuwa ni mchango muhimu katika mapambano dhidi ya umaskini, lakini viongozi wa Umoja wa Ulaya (EU) na wataalam wa maendeleo wanahoji ni wapi mapendekezo hayo yataweza kuingizwa katika se&#341;a mpya ya maendeleo ya EU. <\/p>\n<p>Katika taa&#341;ifa iliyotolewa siku ya Jumatatu (Machi 14) Ba&#341;&#341;oso alisema alikubaliana na Tume ya Af&#341;ika kusisitiza kuhusu jukumu ambalo biasha&#341;a inaweza kufanya katika kuendesha maendeleo katika Af&#341;ika. <\/p>\n<p>&#8220;EU, ambayo taya&#341;i ni mwingizaji mkubwa wa bidhaa kutoka Af&#341;ika, pia ni mtoaji mkubwa wa misaada inayohusiana na biasha&#341;a na misaada mingine, katika kutoa ufadhili kusaidia nchi maskini ba&#341;ani Af&#341;ika kuendeleza uwezo huo,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>&#8220;Nataka Af&#341;ika kuwa suala kubwa katika tume hii. Tume ya Ulaya na Tume ya Af&#341;ika zinatambua kwa pamoja kwamba kuna mengi ya kutekelezwa na Af&#341;ika yenyewe na kwa ajili ya Af&#341;ika. Tume ya Ulaya itajitokeza mwezi Ap&#341;ili na mapendekezo yake ya kuongeza kasi ya maendeleo ili kufikia Malengo Makuu ya Milenia,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Hata hivyo, kuna mjadala mkubwa kuhusu &#341;ipoti hiyo katika Bunge la Ulaya, taasisi pekee ya EU iliyochaguliwa kidemok&#341;asia. <\/p>\n<p>Ma&#341;a tu baada ya kutolewa kwa &#341;ipoti hiyo Mbunge mwenye msimamo wa Kijamaa Glenys Kinnock alisema matokeo ya &#341;ipoti hiyo yalikuwa &#8220;ya msingi na halisi&#8221;.<\/p>\n<p>&#8220;Ni ya msingi kwasababu makamishina, wakifanya kazi kwa uhu&#341;u wametoa uchambuzi wa kina, na kubainisha maeneo maalum ambayo yanahitaji hatua za ha&#341;aka. Ni halisi kwasababu utekelezaji wa malengo haya umefanyiwa tathmini nzu&#341;i ya gha&#341;ama na kukubaliwa na viongozi wa Af&#341;ika,&#8221; alisema katika taa&#341;ifa. <\/p>\n<p>Akiwakilisha matokeo ya &#341;ipoti kwa Bunge la Ulaya waka&#341;i wa wa&#341;sha ya &#8216;EU na Changamoto ya Milenia ya Umoja wa Mataifa &#8216; siku ya Jumanne (Machi 15) Myles Wickstead, mkuu wa sek&#341;ta&#341;ieti ya Tume ya Af&#341;ika, alisema &#341;ipoti hiyo ilikuwa ni mchango muhimu kwa mjadala wa maendeleo. <\/p>\n<p>&#8220;Kitu muhimu kuhusu &#341;ipoti ni kwamba masuala yake yanashikamana pamoja na kufanya jumuiya ya kimataifa kushindwa kuchukua na kuchagua kitu kidogo tu wanachotaka. Inashawishi, na kuwa na hadithi inayoeleweka kuhusu jinsi gani dunia inaweza kuchukua hatua dhidi ya umaskini,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Wakati ambapo Wickstead anakubali kwamba mapendekezo mengi katika &#341;ipoti hiyo siyo mawazo mapya, alisisitiza kwamba hiyo pekee ni dalili nzu&#341;i. <\/p>\n<p>&#8220;Hii inamaanisha kwamba mawazo hayo taya&#341;i yapo na kutufanya tujiulize kwamba bado hayajatekelezwa. Tunatambua malengo, tunachotakiwa kukifanya sasa ni kuzalisha dhami&#341;a za kisiasa ili kuendelea na mapendekezo yetu,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>&#8220;Tutazengea nchi wanachama wa G8 na EU, na kuzitaka kuidhinisha mapendekezo yetu na kuyatekeleza. Kama hilo halikufanyika tutakuwa tumeshindwa,&#8221; alisema. &#8220;Inabidi ulimwengu kuchukua hatua tofauti kuhusu matokeo ya &#341;ipoti hii.&#8221; <\/p>\n<p>Wickstead pia aliwataka wanachama wa Bunge la Ulaya na wakuu wengine wa EU wasikose fu&#341;sa ya kutumia &#341;ipoti hiyo katika mapambano dhidi ya &#341;ushwa. <\/p>\n<p>&#8220;Ni imani yangu thabiti kwamba kama hatutatumia fu&#341;sa ya mwaka huu kama mwaka wa maendeleo, tutapoteza milele nafasi ya kuchukua hatua dhidi ya umaskini.&#8221; <\/p>\n<p>Huu ni mwaka uliotengwa kama mwaka wa maendeleo. Kuna mkutano wa kilele wa G8 (Ma&#341;ekani, Canada, Uinge&#341;eza, Ufa&#341;ansa, Uje&#341;umani, Italia, Japan na Russia) mwezi Julai, mkutano mkuu wa Umoja wa Mtaifa wa kufanya tathmini kuhusu mafanikio ya Malengo Makuu ya Maendeleo ya Milenia (MDGs) mwezi Septemba, pamoja na mkutano wa Mawazi&#341;i wa Shi&#341;ika la Biasha&#341;a Ulimwenguni mjini Hong Kong mwezi Desemba. <\/p>\n<p>Tume ya Ulaya, chombo cha juu cha EU, pia sasa inafanyia tathmini se&#341;a yake ya maendeleo. Mwezi ujao Louis Michel, kamishina wa maendeleo na misaada ya kiutu wa EU, atatangaza fu&#341;ushi la mapendekezo ya utekelezaji wa baadaye wa ajenda yake ya maendeleo. <\/p>\n<p>Mbunge wa Chama cha Kik&#341;isto cha Sweden katika MEP Ande&#341;s Wijkman alika&#341;ibisha &#341;ipoti hiyo kwa kutoa onyo, lakini alisisitiza kwamba utoaji wa misaada kwa ufanisi ulikuwa ni muhimu. <\/p>\n<p>&#8220;Napenda jinsi &#341;ipoti inavyozungumza kuhusu masuala ya malengo. Katika miaka mingi sana tumekuwa tukifanya kazi kimya kimya. Kwa mfano kuhusu suala la MDGs, tunakabiliana na suala moja kwa wakati mmoja kitu ambacho hakina ufanisi,&#8221; aliwaambia wenzake wa MEPs. <\/p>\n<p>&#8220;Suala la kufutiwa madeni linapewa sana kipaumbele, lakini tunatakiwa kubo&#341;esha ufanisi wa misaada na kutizama mshiakano na mwendelezo wa se&#341;a za EU. Kuna ushi&#341;ikiano mdogo sana kati ya wafadhili katika nchi na tunatakiwa kushughulikia suala hilo. Wakati ambapo EU haiwezi kushughulikia masula hayo yote, tunatakiwa kupangilia nyumba yetu,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Wijkman aliongeza kwamba hatua za kupambana na &#341;ushwa zinatakiwa kuongezwa katika &#341;ipoti. <\/p>\n<p>&#8220;Kuna &#341;asilimali nyingi ambazo haziwafaidishi maskini. Kama hatutasahihisha jambo hili kuwa sehemu ya &#341;ipoti hatutafika popote,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>F&#341;ase&#341; Came&#341;on, mku&#341;ugenzi wa mafunzo katika Kituo cha Se&#341;a za Ulaya kilichopo mjini B&#341;ussels&ndash; alisema tathmini na ushi&#341;ikiano ni masula muhimu sana. <\/p>\n<p>&#8220;Hatutaki tena kuandikwa kwa &#341;ipoti. Tunatakiwa kutathimni kipi kimefanyika. Ajenda yetu sasa iwe ya kushawishi kuungwa mkono na mabunge ya kitaifa yanatakiwa kuunganishwa katika jambo hili,&#8221; aliliambia bunge la MEPs. <\/p>\n<p>Came&#341;on alisema MDGs ilikuwa ni njia bo&#341;a zaidi ya kutekeleza na kuchukua hatua kupambana na umaskini. <\/p>\n<p>&#8220;Tunatakiwa kuo&#341;odhesha na kuzitia aibu nchi ambazo hazichangii chochote katika malengo hayo. Kuna ajenda ya maadili kwasababu watu wanatekeleza suala hilo, na kuwa na wajibu wa ndani,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Mjadala unaendelea katika Tume ya Ulaya. <\/p>\n<p>Amadeu Altafaj Ta&#341;dio, msemaji wa maendeleo katika chombo hicho cha juu cha EU, alisema kwamba wakati ambapo &#341;ipoti ya Tume ya Af&#341;ika ingeweza &#8220;kuchochea&#8221; mijadala ya se&#341;a za EU, hatua thabiti zaidi inahitajika. <\/p>\n<p>&#8220;Hata&#341;i ni kwamba tuna mipango mingi kuhusu Af&#341;ika na kuhusu maendeleo. Kuna tathmini ya MDG mwezi Septemba na kumekuwepo na mijadala mingi kuhusu ni jinsi gani ya kufadhili maendeleo, lakini sasa ni wakati wa ha&#341;aka kwamba tuna msimamo mmoja wa kufanyia kazi. Ni wakati wa utekelezaji wa maazimio hayo,&#8221; aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Pamoja na kwamba kuna mahitimisho mengi mazu&#341;i katika &#341;ipoti, uchunguzi unajulikana vizu&#341;i. Ni vizu&#341;i kufanya tathimini na kutoa mapendekezo, lakini ngoja sasa tuwe na mkakati mmoja katika ngazi ya EU na miongoni mwa nchi wanachama ambao unaweza ku&#341;atibiwa pamoja na Umoja wa Mataifa na wafadhili wengine wakubwa,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika la maendeleo la Oxfam liiongeza onyo lake katika kuidhinisha &#341;ipoti hiyo, lakini lilisisitiza kwamba muda na dhami&#341;a ya kisiasa vitakuwa vigezo vikuu vya kufanikiwa kwa mapendekezo yake. <\/p>\n<p>&#8220;Katika kipindi ki&#341;efu, histo&#341;ia itahukumu &#341;ipoti hii siyo tu kutokana na maudhui yake lakini kutokana na uwezo wake wa kuleta mabadiliko ya kweli,&#8221; alisema Ad&#341;ian Lovett wa Oxfam katika taa&#341;ifa. <\/p>\n<p>&#8220;Ripoti hii inaweza kuwa mwito wa kuandamana kwa kizazi ambacho hakitaweza kuvumulia upuuzi wa ufuka&#341;a katika ba&#341;a la Af&#341;ika &ndash; au inaweza kuendelea kukusanya vumbi. Sasa ni hia&#341;i ya viongozi wa dunia kuchagua.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BRUSSELS, Machi 16 (IPS) &ndash; Wakati ambapo Umoja wa Ulaya kwa kiasi kikubwa umeka&#341;ibisha &#341;ipoti ya Tume ya Af&#341;ika iliyotolewa wiki iliyopita, kuna mjadala kuhusu ni jinsi gani mapendekezo yaliyotolewa katika &#341;ipoti hiyo yataingizwa katika se&#341;a za maendeleo za kambi hiyo. Ripoti ya Tume ya Af&#341;ika, iliyoundwa na se&#341;ikali ya Uinge&#341;eza, ilizinduliwa mjini London siku&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":59,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-907","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/907","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/59"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=907"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/907\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=907"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=907"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=907"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}