{"id":906,"date":"2005-03-17T13:40:01","date_gmt":"2005-03-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/17\/maendeleo-uliza-uingeeza-itaifanyia-nini-afika\/"},"modified":"2005-03-17T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-17T13:40:01","slug":"maendeleo-uliza-uingeeza-itaifanyia-nini-afika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/17\/maendeleo-uliza-uingeeza-itaifanyia-nini-afika\/","title":{"rendered":"MAENDELEO: Uliza Uinge&#341;eza Itaifanyia Nini Af&#341;ika"},"content":{"rendered":"<p>LONDON, Machi 16 (IPS) &ndash; Ripoti ya Tume ya Af&#341;ika inaelezea kwa ki&#341;efu kuhusu nini ulimwengu utakifanya kwa ajili ya Af&#341;ika na ambacho Af&#341;ika itakifanya kwa ajili yake. Ripoti pia inaelezea kile Uinge&#341;eza itakifanya kwa ajili ya Af&#341;ika, na ambacho haitafanya.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p> Hii inashusha kwa kiasi kikubwa wito wa se&#341;iklai ya Uinge&#341;eza wa kuchukuliwa hatua za kimataifa kuhusu Af&#341;ika. Uinge&#341;eza imefanya jitihada kubwa za kufanya suala hilo kuwa ajenda yake kuu ikiwa kama kiongozi wa nchi za G8, na inajiandaa kufanya hivyo katika u&#341;ais wake wa Umoja wa Ulaya katika nusu ya pili ya mwaka huu. <\/p>\n<p>Lakini Uinge&#341;eza haitakiwi kusubi&#341;i hatua kutoka kwa Umoja wa Ulaya (EU) na nchi za G8 (Ma&#341;ekani, Canada, Uinge&#341;eza, Ufa&#341;ansa, Uje&#341;umani, Italia, Japan na Russia), wanasema wanakampeni. <\/p>\n<p>&#8221;Katika masuala ya misaada Uinge&#341;eza inaweza kufanya kazi kwa uhu&#341;u bila ya kushi&#341;ikiana na wengine,&#8221; John Hila&#341;y, mku&#341;ugenzi wa kampeni na se&#341;a katika shi&#341;ika hu&#341;u lijulikanalo kama &#8220;Wa&#341; on Want&#8221; aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. Chini ya se&#341;a mpya ya kutoa misaada Uinge&#341;eza haitaweka masha&#341;ti katika se&#341;a za kiuchumi kwa nchi zinazopokea. Lakini chini ya mapendekezo ya Uinge&#341;eza ya kuanzisha Mfuko wa Fedha wa Kimataifa kwa ajili ya kutoa misaada mingi na ya ha&#341;aka, bado itaendeleza masha&#341;ti katika misaada inayotolewa, Hila&#341;y alisema. <\/p>\n<p>&#8221;Biasha&#341;a ni suala gumu kwasababu Uinge&#341;eza inafanya kazi kupitia EU,&#8221; alisema. &#8221;Lakini Uinge&#341;eza ni sauti yenye nguvu katika EU. Hivyo kama Uinge&#341;eza inajitoa katika (se&#341;a zisizokuwa za haki kibiasha&#341;a), itakuwa na uzito mkubwa. Uinge&#341;eza inaweza kuongoza suala hili.&#8221; <\/p>\n<p>Tume hiyo imesema kwamba &#8221;kuzishinikiza nchi maskini kujikomboa kwa kutumia mikataba ya biasha&#341;a siyo mbinu sahihi kuweza kufanikisha maendeleo na upunguzaji wa umaskini ba&#341;ani Af&#341;ika, na mahali pengine.&#8221; Inasema Mkataba wa Jumla wa Huduma za Biasha&#341;a (GATS) wa Shi&#341;ika la Biasha&#341;a Ulimwenguni (WTO) siyo njia muafaka ya kuwezesha huduma za soko hu&#341;ia ba&#341;ani Af&#341;ika. <\/p>\n<p>&#8221;Hata hivyo se&#341;ikali ya Uinge&#341;eza inaendelea kushinikiza kuwepo kwa biasha&#341;a hu&#341;u katika nchi zizaoendelea kwa faida ya makampuni yake makubwa ya biasha&#341;a, katika mazungumzo ya GATS yanayoendelea katika WTO na kwa kupitia Makubaliano ya Ushi&#341;ikiano wa Kiuchumi (EPAs) ambao sasa unajadiliwa pamoja na nchi za Af&#341;ika, Ca&#341;ibbean na Pacific,&#8221; taa&#341;ifa ya shi&#341;ika la &#8220;Wa&#341; on Want&#8221; inasema. <\/p>\n<p>Uinge&#341;eza imekuwa ikienda mwelekeo mwingine kinyume na ma&#341;ekebisho yaliyopendekezwa na Tume ya Af&#341;ika katika baadhi ya mambo, Hila&#341;y anasema. Tume hiyo imetoa mwito wa kuchukuliwa kwa hatua za mapema kupambana na &#341;ushwa, ambapo nchi nyingi za magha&#341;ibi zipo taya&#341;i kushi&#341;iki. &#8221;Hata hivyo, madai ya &#341;ushwa ya ida&#341;a ya &#8220;Expo&#341;t C&#341;edit Gua&#341;antee&#8221; yamepuuzwa miezi mitatu iliyopita kutokana na shinikizo kutoka kwa makampuni,&#8221; aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. <\/p>\n<p>Uinge&#341;eza imefuata njia ya hia&#341;i na siyo ya lazima katika ku&#341;ekebisha makampuni hayo, Hila&#341;y alisema. &#8221;Huu ni mzaha, kwasababu njia ya hia&#341;i imeonyesha kutokufanya kazi.&#8221; <\/p>\n<p>Tume ya Af&#341;ika, alisema katika taa&#341;ifa yake ya awali, &#8221;imepinga se&#341;a mbaya za se&#341;ikali ya Uinge&#341;eza katika nchi maskini zaidi ulimwenguni. Se&#341;a za Uinge&#341;eza za biasha&#341;a hu&#341;u na ubinafisishaji zinaonyeshwa kuwa sehemu ya tatizo linalokabili ba&#341;a la Af&#341;ika, wakati ambapo kusita kwake kupambana na &#341;ushwa kumeonyeshwa kama kushindwa kwingine. Sasa hivi inabidi Tony Blai&#341; kuchukua hatua ya kuondosha kabisa se&#341;a za Uinge&#341;eza kuhusu Af&#341;ika kutokana na masuala mengi yaliyobainishwa na Tume.&#8221; <\/p>\n<p>Shi&#341;ika la &#8220;Wa&#341; on Want&#8221; linabainisha maeneo kadhaa ambayo Tume ya Af&#341;ika imeweza kupinga se&#341;a za se&#341;ikali ya Uinge&#341;eza. <\/p>\n<p>Tume hiyo imesema kwamba kuegemea katika sekta binafsi katika ujenzi wa miundombinu ya huduma ba&#341;ani Af&#341;ika kama vile maji, usafi&#341;i na masoko ya mazao ya kilimo imekuwa ni &#8221;kosa kubwa sana la kise&#341;a, linalotokana na jumuiya ya kimataifa ambayo imedhoofisha maendeleo na kuzalisha vikwazo vingi katika uwekezaji.&#8221; <\/p>\n<p>Lakini se&#341;ikali ya Uinge&#341;eza &#8221;imekuza wajibu wa sekta binafsi katika kutoa huduma za miundombinu ba&#341;ani Af&#341;ika, kwa kuunda Mfuko wa Dha&#341;ula wa Miundombinu kwa Af&#341;ika na vyombo vingine vya kufadhili sekta binafsi, pamoja na mipango mingine ya ubinafisishaji kwa kupitia Mfuko wa Ushau&#341;i wa Miundombinu ya Umma na Binafsi na kwa kupitia kanda&#341;asi binafsi na washau&#341;i watalaam wa ubinafsishaji,&#8221; shi&#341;ika la &#8220;Wa&#341; on Want&#8221; linasema. <\/p>\n<p>Kuhusu biasha&#341;a ya silaha Tume hiyo inabainisha kwamba &#8221;vita vimeua na kuwafanya wengine wengi ba&#341;ani Af&#341;ika kuyakimbia makazi yao kuliko katika ba&#341;a jingine lolote ulimwenguni katika miongo kadhaa iliyopita &#8221;, na kusema kuendelea kwa nchi zilizoendelea kushi&#341;iki katika biasha&#341;a ya silaha ni sababu kubwa ya vita hivyo. &#8221;Wakati Tume inatoa mwito wa kuchukuliwa hatua zaidi kukabiliana na biasha&#341;a ya silaha, Uinge&#341;eza inaendelea kuuza silaha na vifaa vya silaha katika nchi maskini zaidi ulimwenguni,&#8221; shi&#341;ika la &#8220;Wa&#341; on Want&#8221; linasema.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LONDON, Machi 16 (IPS) &ndash; Ripoti ya Tume ya Af&#341;ika inaelezea kwa ki&#341;efu kuhusu nini ulimwengu utakifanya kwa ajili ya Af&#341;ika na ambacho Af&#341;ika itakifanya kwa ajili yake. Ripoti pia inaelezea kile Uinge&#341;eza itakifanya kwa ajili ya Af&#341;ika, na ambacho haitafanya. Hii inashusha kwa kiasi kikubwa wito wa se&#341;iklai ya Uinge&#341;eza wa kuchukuliwa hatua za&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":116,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-906","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/906","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/116"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=906"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/906\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=906"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=906"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=906"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}