{"id":905,"date":"2005-03-16T13:40:01","date_gmt":"2005-03-16T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/16\/nishati-nigeria-ukatikaji-wa-umeme-waiweka-nchi-gizani-na-katika-kabui\/"},"modified":"2005-03-16T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-16T13:40:01","slug":"nishati-nigeria-ukatikaji-wa-umeme-waiweka-nchi-gizani-na-katika-kabui","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/16\/nishati-nigeria-ukatikaji-wa-umeme-waiweka-nchi-gizani-na-katika-kabui\/","title":{"rendered":"NISHATI &ndash; NIGERIA: Ukatikaji wa Umeme Waiweka Nchi Gizani na Katika Kabu&#341;i"},"content":{"rendered":"<p>LAGOS, Machi 15 (IPS) &ndash; Siku nne baada ya kuhamia katika makazi mapya katika kitongoji cha Sango Otta, katika mji maa&#341;ufu kibiasha&#341;a nchini Nige&#341;ia wa Lagos &ndash; Soji Alawiye, akiwa na mke wake mja mzito, watoto wawili na mwanafamilia mwingine mmoja walikufa wakiwa wamelala. Sababu ya vifo vyao: ni moshi kutoka kwenye jene&#341;eta ambayo iliachwa ikiwaka usiku wa manane baada ya kukatika kwa umeme.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Katika mwezi huo huo wa Desemba 2004, moshi wa jene&#341;eta uliua familia nyingine &ndash; wakati huu katika mji wa kusini&ndash;magha&#341;ibi wa Wa&#341;&#341;i. Wiki chache tu baadaye wanafamilia 10 mjini Ibadan, pia katika eneo la kusini&ndash;magha&#341;ibi, waliteketea baada ya kuacha jene&#341;eta ikiwaka wakati wa usiku. <\/p>\n<p>Lakini, siyo wingi wa gesi ya kaboni pekee ambayo imesababisha vifo katika familia zote mbili. Walikuwa wahanga wa kitu kingine: kukosekana kwa uwezo kwa Mamlaka ya Ugavi wa Umeme ya Taifa &ndash; National Elect&#341;ic Powe&#341; Autho&#341;ity (NEPA), kuweza kukidhi mahitaji ya umeme nchini Nige&#341;ia. <\/p>\n<p>Mahitaji ya kila siku ya umeme katika Jimbo la Magha&#341;ibi ni megawati 5,000 (MW). Hata hivyo, ma&#341;a nyingi NEPA inaweza kuzalisha megawati 2,000, hivyo kulazimisha Wanige&#341;ia kubatiza shi&#341;ika hilo jina la Usita&#341;ajie Kupata Umeme Kila Wakati (Neve&#341; Expect Powe&#341; Always). <\/p>\n<p>Matokeo mengine ya kushindwa kwa NEPA kusambaza umeme wa kutosha ni kwamba Nige&#341;ia imekuwa moja ya nchi zinazonunua jene&#341;eta kwa wingi ulimwenguni. <\/p>\n<p>&#8220;Hatuna jinsi ila kutegemea zaidi jene&#341;eta, kwasababu ma&#341;a nyingine tunaweza tusiwe na umeme kwa kipindi cha mwezi mzima au wiki kadhaa,&#8221; Yekini Adigun, ambaye anaishi katika jengo ka&#341;ibu na nyumba ya Alawiye aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. <\/p>\n<p>Mahitaji makubwa ya jene&#341;eta pia yanamaanisha kwamba huwezi kuacha mashine yako nje wakati wa usiku kwani kuna hata&#341;i kubwa ya kuibiwa. <\/p>\n<p>Lakini kutokana na kukabiliwa na hali ya hewa ya joto, Wanige&#341;ia wengi wanaona kulala usiku bila feni ni kitu kisichovumilika. Matokeo yake, wengine wanaacha jene&#341;eta zao ndani ya nyumba &ndash; pamoja na ukweli kwamba wanahata&#341;isha maisha kutokana na kuvuta hewa chafu. <\/p>\n<p>Wakati ambapo inawezekana tatizo la kupoteza maisha lisiwe katika kilele, uhaba wa umeme pia unaathi&#341;i biasha&#341;a. <\/p>\n<p>&#8220;Familia yangu inauza vyakula vya ba&#341;idi kama vile bata mzinga, samaki na kuku. Kunapokuwa hakuna umeme, tunapata hasa&#341;a kutokana na kwamba hatuna jene&#341;eta zenye uwezo mkubwa kuweza kuendesha majokofu yanayoweza kuhifadhi vyakula hivyo,&#8221; anasema Adigun. <\/p>\n<p>Chama Cha Wafanyabiasha&#341;a, Wenye Viwanda, Migodi na Kilimo cha Taifa na Chama cha Wazalishaji wa Bidhaa za Viwandani (MAN) vinasema hasa&#341;a wanayopata wanachama wao kutokana na kukatika kwa umeme ni dola bilioni moja kwa mwaka. <\/p>\n<p>Gha&#341;ama hizi na gha&#341;ama za kuwekeza katika jene&#341;eta kuweza kukabiliana na uhaba wa umeme &ndash; zinawaangukia watumiaji. MAN ilisema hivi ka&#341;ibuni kwamba bei za bidhaa zinaweza kuongezeka kwa asilimia 20 ili kuweza kufidia gha&#341;ama kubwa za nishati. <\/p>\n<p>Kama ilivyo kwa matatizo mengi nchini Nige&#341;ia, udhaifu wa NEPA unatokana na miaka mingi ya &#341;ushwa katika utawala wa kijeshi ambao umeacha huduma za jamii nchini humo katika hali ya kuoza &ndash; na mitandao yao kuwa ya zamani, hafifu na kutumiwa kupita kiasi. <\/p>\n<p>Pamoja na kuwa nchi ya sita kwa kusafi&#341;isha mafuta nje ulimwenguni, kwa mfano, sasa hivi inabidi Nige&#341;ia kuagiza pet&#341;oli kutoka nchi za nje kutokana na mitambo yake minne ya kusafishia mafuta kutokufanya kazi vizu&#341;i. <\/p>\n<p>Wakati Rais Olusegun Obasanjo alipochukua mada&#341;aka Mei 1999, na kumaliza ka&#341;ibu miaka 16 ya utawala wa kijeshi, aliahidi kufanyia mabadiliko kampuni ya NEPA. Na zaidi ya dola bilioni zimetumika katika jitihada za kufufua kampuni hiyo. <\/p>\n<p>Hata hivyo, Wanige&#341;ia wanalaumu kwamba fedha hizi zimeelekezwa katika matumizi mengine kama ilivyokuwa ikitokea wakati wa utawala wa kijeshi &ndash; na kwamba ugavi wa umeme umebo&#341;eshwa kidogo sana. <\/p>\n<p>&#8220;Hakuna kilichojitokeza katika pesa nyingi zilizotumika kwa ajili ya uzalishaji wa umeme katika miaka iliyopita. Fedha zimeelekezwa katika mfumo wa &#341;ushwa,&#8221; anasema Tive Denedo, mkuu wa Kituo Cha Nishati chenye makao yake mjini Lagos, chombo kinachoshinikiza kubo&#341;eshwa kwa ugavi wa umeme nchini Nige&#341;ia. <\/p>\n<p>&#8220;Watu wasiokuwa na njia zozote zinazoonekana za kuwaingizia kipato wamegeuka kuwa mamilionea. Pesa hizo zimeingia katika mifuko ya watu binafsi,&#8221; anaongeza. &#8220;Kama pesa hizo zingetumiwa vizu&#341;i kungekuwepo na umeme wa kutosha.&#8221; <\/p>\n<p>NEPA inasisitiza sana kwamba pesa zote ilizozipata zimetumika kishe&#341;ia &ndash; katika ujenzi wa vituo vipya vya kuzalishia umeme, uka&#341;abati wa vituo vya zamani na ujenzi wa mitandao mipya ya kusambazia umeme. <\/p>\n<p>&#8220;Katika jitihada zetu kubwa za kuongeza kiwango cha uzalishaji, se&#341;ikali imeanza kujenga vituo vipya vya umeme wa mvuke vitatu. Kama vitamalizika, vitaongeza Mega Wati 1,300 katika g&#341;idi ya taifa,&#8221; Mku&#341;ugenzi Mkuu wa NEPA, Joseph Makoju, alisema katika taa&#341;ifa yake kwa watumiaji. <\/p>\n<p>Kampuni inasema tatizo la nishati linatokana na wizi wa vifaa, na uha&#341;ibifu &ndash; ambao inadai unachangia ka&#341;ibu theluthi tatu ya kukatika kwa umeme nchini Nige&#341;ia. <\/p>\n<p>Wiki iliyopita, Obasanjo pia alisaini kuwa she&#341;ia Mswada wa Ma&#341;ekebisho ya Sekta ya Umeme, ambao una&#341;uhusu kubinafisishwa kwa uzalishaji wa umeme &ndash; ambao hadi sasa hivi unahodhiwa na se&#341;ikali. <\/p>\n<p>Wengine wanahofia kwamba hatua hii itasababisha kuongezeka kwa gha&#341;ama za umeme. Lakini, wengine wanadai kwamba ubinafisishaji unaweza usiwe mbaya zaidi ya matatizo ambayo sasa nchi inakabiliana nayo. <\/p>\n<p>Gha&#341;ama kubwa za umeme, wanasema, zitakuwa ndogo zaidi ya gha&#341;ama ambazo Wanige&#341;ia wanalipa sasa kuendesha jene&#341;eta binafsi.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LAGOS, Machi 15 (IPS) &ndash; Siku nne baada ya kuhamia katika makazi mapya katika kitongoji cha Sango Otta, katika mji maa&#341;ufu kibiasha&#341;a nchini Nige&#341;ia wa Lagos &ndash; Soji Alawiye, akiwa na mke wake mja mzito, watoto wawili na mwanafamilia mwingine mmoja walikufa wakiwa wamelala. Sababu ya vifo vyao: ni moshi kutoka kwenye jene&#341;eta ambayo iliachwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":121,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-905","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/905","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/121"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=905"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/905\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=905"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=905"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=905"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}