{"id":904,"date":"2005-03-15T13:40:01","date_gmt":"2005-03-15T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/15\/maendeleo-kukubaliana-lakini-siyo-kutekeleza\/"},"modified":"2005-03-15T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-15T13:40:01","slug":"maendeleo-kukubaliana-lakini-siyo-kutekeleza","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/15\/maendeleo-kukubaliana-lakini-siyo-kutekeleza\/","title":{"rendered":"MAENDELEO: Kukubaliana Lakini Siyo Kutekeleza"},"content":{"rendered":"<p>LONDON, Machi 15 (IPS) &ndash; Wabunge wengi wa Uinge&#341;eza wamesaini azimio la kufanya suala la umaskini kuwa la kihisto&#341;ia &ndash; lakini siyo kuchukua hatua kuhusu azimio hilo.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kuunga kwao mkono kunatokana na azimio la bunge ambalo halitoki ndani ya bunge. Kunakuja kutokana na kile kinachojulikana kama Mada ya Mapema (EDM). Kopi za mada hiyo zinawekwa katika jengo linalotembelewa na wabunge wote kwa ajili ya kusaini, kutokana na kwamba hakutakuwa na muda wa kujadiliwa katika bunge. <\/p>\n<p>Hakuna EDM yoyote mwaka huu imewaza kuungwa mkono kama EDM namba&#341;i 9 iliyotolewa na mbunge wa chama cha Labou&#341; Julia D&#341;own. Inasema: <\/p>\n<p>&#8221;Bunge hili linaka&#341;ibisha dhami&#341;a ya se&#341;ikali ya Uinge&#341;eza kuhusu Malengo Makuu ya Milenia; linabainisha kwa masikitiko kwamba tatizo la madeni la sasa, kukosekana haki katika biasha&#341;a na uhaba wa misaada vinachochea umaskini zaidi, kukosekana kwa usawa, tatizo la Ukimwi na uha&#341;ibifu wa mazingi&#341;a katika dunia inayoendelea; linabaini kwamba kama jumuiya ya kimataifa itaweza kufanya umaskini kuwa suala la kihisto&#341;ia kuna haja ya kuwepo kwa hatua za kisiasa zilizo&#341;atibiwa na se&#341;ikali, ikiwa ni pamoja na Ma&#341;ekani, na kuwa na lengo la kuleta usawa wa kibiasha&#341;a,kusamehe madeni na kutoa misaada mizu&#341;i zaidi; na kutoa mwito kwa se&#341;ikali ya Uinge&#341;eza kuongoza njia ya mabadiliko na kutumia ushawishi wake itakaposhika u&#341;ais wa G8 na uenyekiti wa Umoja wa Ulaya ili kuufanya umaskini kuwa jambo la histo&#341;ia mwaka 2005.&#8221; <\/p>\n<p>Kama EDM ingekuwa mswada, &#8221;ungeshakuwa she&#341;ia sasa &ndash; na kuilazimu Uinge&#341;eza kuleta usawa wa kibiasha&#341;a, kusamehe madeni na kutoa misaada mizu&#341;i zaidi ,&#8221; kampeni ya Ufanye Umaskini kuwa Histo&#341;ia inayoshi&#341;ikisha asasi zisizokuwa za kise&#341;ikali zaidi ya 300, mashi&#341;ika ya kidini na vyama vya wafanyakazi ilisema katika taa&#341;ifa kwa vyombo vya haba&#341;i. <\/p>\n<p>&#8221;Kila kitu kingebadilika,&#8221; B&#341;uce Whitehead kutoka shi&#341;ika la misaada la ActionAid aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. &#8221;Halafu itakuwa kinyume cha she&#341;ia kwa misaada kuwa na masha&#341;ti yanayohusu se&#341;a za kibiasha&#341;a kwa nchi zinazopokea misaada. Mgawo wa msaada ungekuwa asilimia 0.7 ya pato la ndani (GNI), la nchi inayotoa msaada na Uinge&#341;eza ingeweza kufuta madeni hayo.&#8221; <\/p>\n<p>Kuna suala la bei katika mabadiliko hayo yote. &#8220;Se&#341;ikali inaja&#341;ibu kucheza mchezo wa kijanja,&#8221; Whitehead alisema. &#8221;Wanasema wanaunga mkono kampeni yetu, lakini hawawezi kusaini katika ahadi.&#8221; <\/p>\n<p>Asasi kadhaa zisizokuwa za kise&#341;ikali zilizoongozwa na makasisi zilikwenda ofisini kwa Wazi&#341;i Mkuu Tony Blai&#341; Janua&#341;i kumwona kusaini ahadi yao ya kufanya umaskini kuwa suala la kihisto&#341;ia. Blai&#341; alisema anaunga mkono ahadi hiyo, lakini hakutia saini yake. Na siyo agano kwa wazi&#341;i kusaini EDM. <\/p>\n<p>Kwa nadha&#341;ia kila mbunge angeweza kubadilisha EDM kuwa mswada binafsi. Lakini ni ma&#341;a chache sana mswada wa wanachama binafsi kupewa muda katika bunge. Matokeo yake, wabunge 417 kati ya 659 walikwisha saini EDM ilipofika Jumatatu jioni, lakini hii ilikuwa ni kuonyesha hisia na siyo kuchukua hatua. <\/p>\n<p>Lakini baadhi ya wanakampeni wanaamini kwamba kiwango hiki cha kuunga mkono kitatoa shinikizo kwa se&#341;ikali kuweza kuchukua hatua. <\/p>\n<p>&#8221;Wabunge kutoka vyama vyote vinaweka wazi kwa se&#341;ikali kwamba ni lazima ifanye suala la umaskini kuwa la kihisto&#341;ia,&#8221; Matt Phillips kutoka shi&#341;ika la Save the Child&#341;en, mwanachama wa kampeni ya Kufanya Umaskini Histo&#341;ia lilisema katika taa&#341;ifa yao. &#8221;Wanataka hatua siyo maneno. Hii inaweza kupelekea mabadiliko ya se&#341;a katika mambo ambayo Uinge&#341;eza inaweza kufanya kupunguza umaskini uliokithi&#341;i, hatua za kukomesha se&#341;a za biasha&#341;a hu&#341;u kwa lazima, na shinikizo la kweli la Tony Blai&#341; kwa viongozi wengine wa dunia kuwajibika.&#8221; <\/p>\n<p>Siyo jambo la kawaida kwa wabunge kuunga mkono jambo kupitia EDM. Kitu kisichokuwa cha kawaida ni idadi kubwa sana ya waliosaini EDM hii. Sahihi zinaongeza dhami&#341;a ya viongozi wengi waliochaguliwa &ndash; lakini siyo hivyo tu. <\/p>\n<p>Viongozi wa Uinge&#341;eza wanata&#341;ajia kuchukua hatua za pamoja na washi&#341;ika wengine katika G8 (Ma&#341;ekani, Canada, Uinge&#341;eza, Ufa&#341;ansa, Uje&#341;umani, Italia, Japan na Russia) na nchi nyingine za Ulaya. Uinge&#341;eza ni &#341;ais wa G8 mwaka huu na inakuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa nchi za G8 mjini Gleneagles, Scotland Julai hii. Itashikilia u&#341;ais wa EU katika nusu ya pili ya mwaka huu. <\/p>\n<p>Lakini mipango ya Uinge&#341;eza kama ile ya kuongeza misaada ba&#341;ani Af&#341;ika, na kuunda Chombo cha Fedha cha Kimataifa ili kukusanya misaada ha&#341;aka zaidi inata&#341;ajia kuungwa mkono kidogo sana na nchi nyingine. Kama nchi nyingine hazikubaliani kuchukua hatua, Uinge&#341;eza inaweza kufanya mambo machache sana. <\/p>\n<p> EDM imekuwa sawa na mazungumzo ya bunge bila ya hatua; hata hivyo inaonekana kwamba dhami&#341;a ya wengi kuia sahihi litakuwa ni suala la bunge kutunza tu &#341;ikodi zake.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LONDON, Machi 15 (IPS) &ndash; Wabunge wengi wa Uinge&#341;eza wamesaini azimio la kufanya suala la umaskini kuwa la kihisto&#341;ia &ndash; lakini siyo kuchukua hatua kuhusu azimio hilo. Kuunga kwao mkono kunatokana na azimio la bunge ambalo halitoki ndani ya bunge. Kunakuja kutokana na kile kinachojulikana kama Mada ya Mapema (EDM). Kopi za mada hiyo zinawekwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":116,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-904","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/904","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/116"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=904"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/904\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=904"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=904"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=904"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}