{"id":903,"date":"2005-03-15T13:40:01","date_gmt":"2005-03-15T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/15\/maendeleo-afrika-mtizamo-tofauti-wa-ripoti-ya-tume\/"},"modified":"2005-03-15T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-15T13:40:01","slug":"maendeleo-afrika-mtizamo-tofauti-wa-ripoti-ya-tume","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/15\/maendeleo-afrika-mtizamo-tofauti-wa-ripoti-ya-tume\/","title":{"rendered":"MAENDELEO&ndash;AFRIKA: Mtizamo Tofauti wa Ripoti ya Tume"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Machi 14 (IPS) &ndash; &#8220;Hatua ya kwanza ya maamuzi&#8221; katika kuufanya umaskini kuwa suala la kihisto&#341;ia ba&#341;ani Af&#341;ika, &#8220;zoezi la kumaliza vita vya I&#341;aq&#8221;: hisia dhidi ya &#341;ipoti iliyotolewa na Tume ya Uinge&#341;eza ba&#341;ani Af&#341;ika zimekuwa nyingi na zinazotofautina.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wa&#341;aka huo, unaofikia ku&#341;asa 453, unakusanya matokeo ya tafiti zilizofanywa kwa kipindi cha miezi tisa na makamishina 17 &ndash; tisa kati ya hao wakitokea ba&#341;ani Af&#341;ika &ndash; kuhusu ni njia gani nzu&#341;i kuweza kukomesha umaskini na kuleta maendeleo ba&#341;ani Af&#341;ika.<\/p>\n<p>&#8220;Tume hiyo iliundwa katika muda wa kipekee katika histo&#341;ia. Ni wakati ambapo dunia inafanya jitihada kubwa katika kupunguza umaskini, huku Af&#341;ika ikiwa siyo miongoni mwa maeneo yanayofanya jitihada hizo,&#8221; alisema Wazi&#341;i Mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi siku ya Ijumaa, wakati wa hotuba yake aliyoitoa mjini Addis Ababa katika moja ya uzinduzi wa &#341;ipoti hiyo. (Wa&#341;aka huo ulizinduliwa sambamba katika mji mkuu wa Ethiopia na London.) <\/p>\n<p>&#8220;Hata hivyo, kwa upande wa Af&#341;ika pia, ni wakati wa kuamka na kuwa na suluhisho jipya kuchukua hatua madhubuti kushughulikia matatizo yake makubwa,&#8221; Zenawi aliongeza. <\/p>\n<p>Wole Olaleye wa shi&#341;ika la misaada la ActionAid Inte&#341;national, lenye makao yake makuu mjini Johannesbu&#341;g, alikuwa amehemewa na maudhui ya &#341;ipoti hiyo. <\/p>\n<p>&#8220;Pamoja na baadhi ya maeneo dhaifu katika &#341;ipoti, tunaamini kwamba mapendekezo ya CfA (Tume ya Af&#341;ika) ni ajenda ambazo zinastahili kutekelezwa kama hatua ya awali ya maana katika kuufanya umaskini ba&#341;ani Af&#341;ika kuwa jambo la kihisto&#341;ia,&#8221; aliwaambia waandishi wa haba&#341;i katika mji maa&#341;ufu kibiasha&#341;a nchini Af&#341;ika Kusini. <\/p>\n<p>&#8220;Ja&#341;ibio halisi kuhusu kama muda na pesa zilizotumiwa na tume zinaweza kuthibitishwa itatokana na kiwango ambacho kitakubaliwa na kutekelezwa katika mkutano wa kilele wa Gleneagles utakaofanyika mwezi Julai,&#8221; Olaleye aliongeza. <\/p>\n<p>Mkutano wa kilele katika mji wa Scotland wa Gleneagles utakuwa ni mkutano wa mwaka wa nchi za G8, ambazo ni mataifa yanayoongoza kwa viwanda ulimwenguni: Uinge&#341;eza, Canada, Ufa&#341;ansa, Uje&#341;umani, Italia, Japan, Russia na Ma&#341;ekani. Mwaka huu nchi za G8 zipo chini ya uenyekiti wa Uinge&#341;eza, ambayo imeahidi kutumia u&#341;ais wake katika kikundi hicho kuelekeza mtizamo wa nchi taji&#341;i kuelekea ba&#341;ani Af&#341;ika. <\/p>\n<p>&#8220;Miongo miwili iliyopita imejawa na mipango mikubwa kwa ajili ya ukanda ambao kwa muda m&#341;efu umekuwa katika tathmini isiyokuwa na utekelezaji. Ni lazima mwaka huu uwe tofauti,&#8221; alisema Olaleye. <\/p>\n<p>Pendekezo la CfA ambalo pengine limesikiwa zaidi ni mwito wa kuti&#341;i&#341;ika kwa misaada kuja ba&#341;ani Af&#341;ika kuongezwa ma&#341;a tatu na kufikia dola bilioni 50 kwa mwaka ifikapo mwaka 2015. (Mwaka huu pia umekubaliwa katika mkutano tofauti, Mkutano wa Kilele wa Milenia katika Umoja wa Mataifa, kuwa mwaka wa mwisho kufikia Maendeleo Makuu ya Milenia &ndash; au MDGs. Shabaha nane za MDGs zinahusiana na maendeleo duni, kama vile njaa iliyokitihi&#341;i na umaskini, kukosekana kwa elimu ya msingi kwa wote, kukosekana kwa usawa wa kijinsia &ndash; na maambukizo ya magonjwa kama vile Ukimwi na mala&#341;ia katika mataifa maskini.) <\/p>\n<p>Chini ya mapendekezo ya tume, nchi taji&#341;i zitahitajika kutoa dola bilioni 10 zaidi kila mwaka kupambana na gonjwa la Ukimwi, huku baadhi ya fedha hizi (dola bilioni 3.2) zikielekezwa katika kufadhili mapungufu ya sasa katika Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Mala&#341;ia. Mfuko huu uliundwa mwaka 2002 kukusanya misaada zaidi katika kupambana na magonjwa hayo, ambayo yanasemakana kuuwa zaidi ya watu milionmi sita kila mwaka. <\/p>\n<p>Mapendekezo ya CfA pia ni pamoja na mwito kuhusu kusamehewa madeni kabisa kwa nchi za Kiaf&#341;ika, kuondolewa kwa &#341;uzuku za kilimo zinazoangamiza biasha&#341;a &ndash; na ku&#341;ejesha mabilioni ya dola ambazo zimeibwa na viongozi wala &#341;ushwa na kuhifadhiwa katika nchi za ng&#8217;ambo. <\/p>\n<p>Kwa kuongeza, tume hiyo inabainisha kwamba Af&#341;ika ina wajibu muhimu katika kubo&#341;esha maisha ya watu wake walio wengi, kwa kubo&#341;esha kiwango cha utawala &ndash; na miongoni mwa hatua nyingine, kutumia pesa nyingi katika p&#341;og&#341;amu za afya.<\/p>\n<p>Baadhi ya wachambuzi wanasisitiza kwamba CfA imebainisha kidogo sana ni jinsi gani Af&#341;ika itaondokana na kile, ambacho kwa maneno ya Wazi&#341;i Mkuu wa Uinge&#341;eza Tony Blai&#341;, &#8220;kovu katika dhami&#341;a ya dunia&#8221;. <\/p>\n<p>Sam Moyo, mku&#341;ugenzi wa Taasisi ya Mafunzo ya Kilimo Af&#341;ika, yenye makao yake makuu mjini Ha&#341;a&#341;e, pia ana mashaka kuhusu muda wa tume kuchukua hatua hiyo. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa kubeza, mtu anawea kusema ni zoezi la PR (kujenga uhusiano) ili kufunika vita vya I&#341;aq. Ni zoezi la PR kufunika kushindwa kwa Uinge&#341;eza ba&#341;ani Af&#341;ika,&#8221; alibainisha katika mkutano na waandishi wa haba&#341;i ulioandaliwa na ActionAid mjini Johannesbu&#341;g siku ya Ijumaa. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya Blai&#341; imekuwa ikipingwa sana ndani na nje ya nchi kutokana na kuiunga mkono Ma&#341;ekani katika uvamizi wa I&#341;aq. <\/p>\n<p>Anayemuunga mkono Moyo alikuwa ni Ch&#341;is Landsbe&#341;g wa Kituo cha Mafunzo ya Se&#341;a, kilichopo mjini Johannesbu&#341;g, ambaye pia alionekana kuwa na hofu zaidi kuhusu faida za baadaye za kazi ya CfA. <\/p>\n<p>&#8220;Hatutapata majibu kutoka kwa nchi nyingine za G8. Sidhani kama watafanya hivyo, kwa mfano, kufuta madeni ya Af&#341;ika,&#8221; alibainisha. &#8220;Na hakutakuwa na dhami&#341;a ya kweli kama washi&#341;ika sawa kwasababu Af&#341;ika siyo muhimu sana kwa Magha&#341;ibi.&quot;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Machi 14 (IPS) &ndash; &#8220;Hatua ya kwanza ya maamuzi&#8221; katika kuufanya umaskini kuwa suala la kihisto&#341;ia ba&#341;ani Af&#341;ika, &#8220;zoezi la kumaliza vita vya I&#341;aq&#8221;: hisia dhidi ya &#341;ipoti iliyotolewa na Tume ya Uinge&#341;eza ba&#341;ani Af&#341;ika zimekuwa nyingi na zinazotofautina. Wa&#341;aka huo, unaofikia ku&#341;asa 453, unakusanya matokeo ya tafiti zilizofanywa kwa kipindi cha miezi tisa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":17,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-903","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/903","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/17"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=903"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/903\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=903"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=903"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=903"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}