{"id":902,"date":"2005-03-14T13:40:01","date_gmt":"2005-03-14T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/14\/siasa-ngos-zakemea-baaza-la-usalama-kwa-kushindwa-kuichukulia-hatua-sudan\/"},"modified":"2005-03-14T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-14T13:40:01","slug":"siasa-ngos-zakemea-baaza-la-usalama-kwa-kushindwa-kuichukulia-hatua-sudan","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/14\/siasa-ngos-zakemea-baaza-la-usalama-kwa-kushindwa-kuichukulia-hatua-sudan\/","title":{"rendered":"SIASA: NGOs Zakemea Ba&#341;aza la Usalama Kwa Kushindwa Kuichukulia Hatua Sudan"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Machi 11 (IPS) &ndash; Muungano wa asasi tisa zisizokuwa za kise&#341;ikali (NGOs) umekemea nchi 15 wanachama wa Ba&#341;aza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutokana na kushindwa kuchukua hatua kali kukomesha mauaji yanayoendelea katika jimbo la Da&#341;fu&#341;, magha&#341;ibi mwa Sudan.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Wanachama wa Ba&#341;aza la Usalama wana lengo na mamlaka ya kulinda amani ya kimataifa pamoja na usalama; hii inahitaji hatua za kishujaa na ufanisi,&#8221; unasema muungano, ambao wanachama wake ni pamoja na shi&#341;ika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch, Af&#341;ica Action, Inte&#341;national C&#341;isis G&#341;oup na Physicians fo&#341; Human Rights. <\/p>\n<p>Muungano wa NGO unalitaka Ba&#341;aza la Usalama kuunda &#8220;eneo lisilo&#341;uhusiwa ndege ku&#341;uka&#8221; katika jimbo la Da&#341;fu&#341; kwa misingi ya kulipatia jeshi la usimamizi la Umoja wa Af&#341;ika (AU) na &#341;aia ulinzi wanaohitaji ili wasishambuliwe na ndege za Sudan. <\/p>\n<p>Kundi lingine la zaidi ya NGOs 35 linalojiita Muungano wa Da&#341;fu&#341; ambalo linaundwa zaidi na asasi za ki&#341;aia katika ba&#341;a la Af&#341;ika &ndash; pia linapinga Ba&#341;aza la Usalama kwa kushindwa kuchukua hatua zinazostahili huko Da&#341;fu&#341;. <\/p>\n<p>&#8220;Vikwazo vya awali vya Ba&#341;aza la Usalama vimeshindwa kumaliza vita, na hivyo hatua kali kuhitajika sasa ili kuzuia upotevu zaidi wa maisha. Watu wa Da&#341;fu&#341; wanastahili kila kitu,&#8221; unasema Muungano huo, ambao ni pamoja na Kituo cha Mafunzo ya Demok&#341;asia na Haki za Binadamu cha Af&#341;ika, Mtandao wa Af&#341;ika wa Kulinda Wakimbizi, Haki Af&#341;ika na Tume ya Majaji ya Kimataifa.<\/p>\n<p>Muungano huo unalitaka Ba&#341;aza la Usalama kuandaa azimio linalozitaka nchi wanachama kutoa mamlaka inayostahili na &#341;asilimali za kifedha na vifaa kwa jeshi dhaifu la Umoja wa Af&#341;ika, ambalo lina uhaba wa aska&#341;i na vifaa. <\/p>\n<p>Hadi leo hii, ni aska&#341;i 2,000 kati ya 3,320 walioahidi kujiunga na jeshi hilo kutoka Af&#341;ika &ndash; wameshawasili katika jimbo la Da&#341;fu&#341;, ambalo mgogo&#341;o mkubwa wa kibinadamu umeelezewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan kama &#8220;ahela ndogo katika dunia&#8221;. <\/p>\n<p>Mashambulizi ya NGO mbili yalitokana na kile Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Kiutu Jan Egeland alisema ku&#341;ozota kwa hali ya usalama nchini Sudan. Mwaka 2005, alionya, utakuwa mwaka wa &#8220;matengenezo au wa uha&#341;ibifu&#8221; nchini Sudan. <\/p>\n<p>Katika taa&#341;ifa iliyotolewa siku ya Jumatatu, Annan alisema: &#8220;Naka&#341;ibisha shinikizo kutoka kwa umma na vyombo vya haba&#341;i na uamuzi wa ha&#341;aka kuhusu suala hili.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Tupo hapa tukipata maelfu ya ba&#341;ua kutoka kwa watu wanaotaka kuchukuliwa kwa hatua za ha&#341;aka. Naamini se&#341;ikali za kitaifa nazo zinapata.&#8221; <\/p>\n<p>Annan aliahidi kuitisha mkutano hivi ka&#341;ibuni na baadhi ya NGOs kubwa, kujadili nazo njia nzu&#341;i ya kutoa shinikizo &#8220;ili ziweze kuleta hatua za kifanisi zaidi kwa se&#341;ikali.&#8221; <\/p>\n<p>Akizungumza na waandishi wa haba&#341;i siku ya Jumatano, Egeland alisema: &#8220;Hakuna sehemu nyingine katika dunia ambapo maisha mengi yako hata&#341;ini.&#8221; Idadi ya wakimbizi wa ndani pekee imefikia milioni sita &ndash; ma&#341;a tano zaidi ya wale walioyahama makazi yao kutokana na janga la tsunami katika Baha&#341;i ya Hindi, aliongeza. <\/p>\n<p>&#8220;Kama itazidi kuwa mbaya, kutakuwa na hali ya vifo vya halaiki na mateso kwa mamilioni ya watu,&#8221; alisema Egeland, ambaye alikuwa ame&#341;ejea kutoka zia&#341;a yake ya maeneo yenye vita ya kusini na magha&#341;ibi mwa Sudan. <\/p>\n<p>Egeland alisema aliona kikundi chenye a&#341;i cha kama aska&#341;i 90 wa AU ambao walikuwa wame&#341;ejesha hali ya usalama wa kutosha katika kijiji cha Labado, magha&#341;ibi mwa Sudan, kwa watu 10,000 kuweza ku&#341;ejea katika makazi yao. <\/p>\n<p>&#8220;Hii ilionyesha kwamba imani nyingine kwamba kikosi cha AU hakikuwa na nguvu ilikuwa siyo ya kweli,&#8221; aliwaambia waandishi wa haba&#341;i. <\/p>\n<p>Egeland pia alisema kwamba alikuta kikosi cha AU &#8220;kimepata mafanikio makubwa&#8221; pale kilipopelekwa. &#8220;Badala ya aska&#341;i na polisi 2,000, kuwe na aska&#341;i 10,000,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Alisema kama kungekuwa na &#8220;jeshi la kutosha la AU, mauaji, unyanyasaji wa kijinsia na ukatili mwingine hakika ungeshuka ma&#341;a moja kwa kasi ya ajabu,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Egeland pia alisema kwamba Umoja wa Mataifa, Ma&#341;ekani na Umoja wa Ulaya wangeweza kusaidia katika kuisaidia AU kupeleka aska&#341;i zaidi. &#8220;Wakati huo huo, viongozi wa AU watoe aska&#341;i zaidi,&#8221; hasa zile nchi zenye majeshi makubwa. &#8220;Tulihitaji aska&#341;i wa AU 10,000 jana.&#8221; <\/p>\n<p>Jeshi la AU ni pamoja na aska&#341;i kutoka nchi kadhaa za Af&#341;ika katika ukanda huo, ikiwa ni pamoja na Nige&#341;ia na Rwanda, na aska&#341;i wengine kutoka Af&#341;ika Kusini na Chad ambao watajiunga baadaye. <\/p>\n<p>Katika taa&#341;ifa iliyotolewa Jumatatu, shi&#341;ika la Human Rights Watch lilisema kwamba wanamgambo wa Janjaweed wanaoungwa mkono na se&#341;ikali walishambulia vijiji kusini mwa Da&#341;fu&#341; mwezi Desemba na Janua&#341;i, na kuwabaka wasichana wadogo na wanawake. <\/p>\n<p>&#8220;Ndugu wa kiume ambao walipingana nao walipigwa, walivuliwa nguo, walifungwa katika miti, na kulazimishwa kuangalia jinsi wanawake na wasichana wadogo walivyokuwa wakibakwa,&#8221; lilisema shi&#341;ika la Human Rights Watch. <\/p>\n<p>Vilevile, mashi&#341;ika yote mawili ya muungano pia yametaka Ba&#341;aza la Usalama kuweka vikwazo maalum (vya uchumi, kusafi&#341;i, kuongeza muda wa vikwazo vya silaha) dhidi ya se&#341;ikali ya Sudan na watu binafsi ambao wanahusika na uhalifu mkubwa wa kimataifa huko Da&#341;fu&#341;.<\/p>\n<p>Kwa kuongeza, yanataka mauaji ya Da&#341;fu&#341; kupelekwa mbele ya Mahakama ya Wahalifu ya Kimataifa (ICC) mjini The Hague kutokana na kutenda &#8220;uhalifu dhidi ya ubinadamu.&#8221; <\/p>\n<p>Kutokana na kwamba Ma&#341;ekani siyo mwanachama wa ICC, haiungi mkono wajibu wowote wa ICC nchini Sudan. <\/p>\n<p>Wanachama wengine wa kudumu wawili wa Ba&#341;aza la Usalma, China na Russia, wanapinga vikwazo vya kiuchumi na silaha kwasababu wanaja&#341;ibu kulinda biasha&#341;a yao ya silaha na pia vitegauchumi vyao katika sekta ya mafuta inayozidi kukua nchini Sudan. <\/p>\n<p>Sudan, ambayo inazalisha ka&#341;ibu mapipa 250,000 ya mafuta kwa siku, imesaini mikataba ya kuuza baadhi ya mafuta yake kwa China. Zote China na Russia pia ni wauzaji wakubwa wa silaha kwa Sudan. <\/p>\n<p>Ndege za kivita za msta&#341;i wa mbele katika jeshi la anga la Sudan ni pamoja na ndege ya Russia aina ya MiG&ndash;23s na ndege ya Kichina aina ya Shenyang MiG&ndash;17s. Sudan pia ina makombo&#341;a ya Kichina na vifa&#341;u, pamoja na maga&#341;i ya kivita kutoka Russia.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Machi 11 (IPS) &ndash; Muungano wa asasi tisa zisizokuwa za kise&#341;ikali (NGOs) umekemea nchi 15 wanachama wa Ba&#341;aza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutokana na kushindwa kuchukua hatua kali kukomesha mauaji yanayoendelea katika jimbo la Da&#341;fu&#341;, magha&#341;ibi mwa Sudan. &#8220;Wanachama wa Ba&#341;aza la Usalama wana lengo na mamlaka ya kulinda amani&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":58,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-902","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/902","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/58"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=902"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/902\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=902"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=902"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=902"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}