{"id":901,"date":"2005-03-14T13:40:01","date_gmt":"2005-03-14T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/14\/vyombo-vya-habari-sea-za-ulaya-zaanza-kumulikwa-2\/"},"modified":"2005-03-14T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-14T13:40:01","slug":"vyombo-vya-habari-sea-za-ulaya-zaanza-kumulikwa-2","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/14\/vyombo-vya-habari-sea-za-ulaya-zaanza-kumulikwa-2\/","title":{"rendered":"VYOMBO VYA HABARI: Se&#341;a za Ulaya Zaanza Kumulikwa"},"content":{"rendered":"<p>KIEV, Machi 11 (IPS) &ndash; Mkutano wa Alhamisi uliangalia kwa ka&#341;ibu kuhusu kile vyombo vya haba&#341;i ba&#341;ani Ulaya vinaweza kufanya katika ku&#341;ipoti masuala kama ya ugaidi na utandawazi, na kulinda haki za binadamu katika jamii ya haba&#341;i.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Jambo hilo lilizungumziwa wakati wa Mkutano wa Mawazi&#341;i wa Ba&#341;a la Ulaya kuhusu Se&#341;a ya Vyombo Vya Haba&#341;i ambao ulianza mjini Kiev, Uk&#341;aine, chini ya mada &#8216;Mshikamano na Uwingi: Mipaka mipya ya se&#341;a ya vyombo vya haba&#341;i na mawasiliano ba&#341;ani Ulaya &#8216;. <\/p>\n<p>Wawakilishi wa vyombo vya haba&#341;i, wanaha&#341;akati na viongozi kutoka nchi wanachama 46 wa Ba&#341;aza la Ulaya (COE) wanahudhu&#341;ia katika mkutano huo. <\/p>\n<p>Wajumbe walikubaliana na kuteuliwa kwa Kiev kuwa mwenyeji wa tukio hilo, pamoja na kwamnba uamuzi huo ulichukuliwa miaka miwili iliyopita. Mkutano huo ulipeleka ujumbe unaoeleweka kwamba kipindi cha mpito cha siasa za Uk&#341;aine cha hivi ka&#341;ibuni kimefungua fu&#341;sa mpya kwa vyombo vya haba&#341;i katika ukanda huo, na kwamba itakuwa mfano kwa maji&#341;ani zake &ndash; ndoto ya wazi kwa nchi kama Russia na Bela&#341;us, pamoja na kwamba nchi ya Bela&#341;us siyo mwanachama wa COE. <\/p>\n<p>Mkutano huo ulifunguliwa na Rais wa Uk&#341;aine Vikto&#341; Yushchenko, ambaye kuonekana kwake kusikopangwa kuliwashangaza wengi. Yushchenko aliahidi kwamba Uk&#341;aine ingewezesha vyombo vya haba&#341;i vya kimataifa &#8220;kuweza kupata taa&#341;ifa sahihi zaidi na za kweli kuhusu nchi za Ulaya.&#8221; <\/p>\n<p>Mada ndogo ya kwanza ya mkutano huo, &#8216;kufafanua haki na wajibu wa vyombo vya haba&#341;i wakati wa migogo&#341;o &#8216;, ilijikita katika wajibu wa vyombo vya haba&#341;i katika hali za vita, na hasa katika &#8216;vita dhidi ya ugaidi&#8217;. <\/p>\n<p>Mwandishi wa zamani wa BBC Kate Adie alitoa hotuba ya ufunguzi. &#8220;Siyo kwamba ku&#341;ipoti shughuli (za kigaidi) hakuleti madha&#341;a zaidi ya mambo mazu&#341;i,&#8221; alisema. &#8220;Vitendo visivyohesabika vya kigaidi vinafanyika bila ya kujulikana, na matokeo ya vyombo vya haba&#341;i kuwa kimya ni umbea mwingi na tetesi, na kusababisha kuongezeka kukosekana kwa usalama.&#8221; <\/p>\n<p>Adie alizungumzia &#8220;mifano mibaya kutoka upande mwingine wa Atlantic.&#8221; Vyombo vya haba&#341;i vya Ma&#341;ekani, alisema, &#8220;vimekumbwa na matatizo ya uadui zaidi kila vinapohoji hatua za utawala wa Ma&#341;ekani.&#8221; Sasa hivi vinakabiliwa na &#8220;ja&#341;ibu baya la uaminifu.&#8221; <\/p>\n<p>Adie, ambaye alifanya kazi ya kuandika haba&#341;i za vita ya kwanza ya Ghuba, alizungumzia kuhusu hata&#341;i ya vyombo vya haba&#341;i kushi&#341;ikiana na jeshi wakati wa vita: &#8220;Inatufanya tuwe katika vita, na kutufanya kuwa shabaha,&#8221; alisema. Alikubali kwamba aina hii ya uandishi ulihitajika wakati mwingine, lakini alisema inabidi uende sambamba na &#8220;upatikanaji wa haba&#341;i wa kutosha&#8221; na kuandika haba&#341;i za &#8220;upande mwingine&#8221;. <\/p>\n<p>Alionya kwamba hofu ya mashambulizi ya kigaidi inaweza ku&#341;uhusu &#8220;uvumilivu mkubwa kuhusu haba&#341;i za uongo&#8221;, na kupoteza thamani ya maadili mengine ya uandishi wa haba&#341;i. <\/p>\n<p>Wajumbe kutoka ujumbe wa Russia walipinga hoja hii. &#8220;Magaidi wanatumia faida ya vyombo vya haba&#341;i ili kutishia watu, na kuhamishia uwanja wa mapambano kwenye televisheni,&#8221; aliingilia kati mjumbe huyo. <\/p>\n<p>Mjadala wa mada ndogo ya pili &#8216;uwingi wa utamaduni na vyombo vya haba&#341;i wakati wa utandawazi &#8216; ilianza kwa mada iliyowakilishwa na ujumbe wa Sweden ulioongozwa na Ke&#341;stin Pe&#341;sdotte&#341;, mku&#341;ugenzi wa wiza&#341;a ya utamaduni na kitengo cha vyombo vya haba&#341;i. <\/p>\n<p>Pe&#341;sdotte&#341; alisisitiza umuhimu wa kuwa na &#8220;vyombo vya haba&#341;i vya utangazaji vya umma ima&#341;a na hu&#341;u badala ya televisheni zinazomilikiwa na se&#341;ikali au vyombo vya haba&#341;i vya biasha&#341;a.&#8221; <\/p>\n<p>Kila mshi&#341;iki aliunga mkono mawazo yake kuhusu kudhibiti soko la vyombo vya haba&#341;i. &#8220;Mkusanyiko wa vyombo vya haba&#341;i (umilikaji) ni tishio kwa uwingi,&#8221; Pe&#341;sdotte&#341; alisema, na kutoa mwito wa kuwa na she&#341;ia moja ya Ulaya kushughulikia suala hilo. <\/p>\n<p>Pia alielezea kuhusu kukosekana kwa mashi&#341;ika ya u&#341;ekebishaji wa fani ya haba&#341;i, na kupendekeza kuundwa kwa mashi&#341;ika ya ku&#341;ekebisha utangazaji wa vyombo vya umma ili kupambana na tishio la &#8220;kuongezeka kwa umilikaji wa vyombo vya haba&#341;i katika mikono ya wachache&#8221; kunakotishia uwingi wa vyombo vya haba&#341;i na utamaduni. <\/p>\n<p>Wasemaji wengine kadhaa walitaka kuingizwa kwa elimu ya vyombo vya haba&#341;i kwenye she&#341;ia za pamoja za Ulaya, ili kuupa umma vyombo halisi vya kufanyia uchambuzi makini. <\/p>\n<p>Pe&#341;sdotte&#341; alikubali kwamba kudhibiti umilikaji wa vyombo vya haba&#341;i chini ya mikono michache siyo jambo &#341;ahisi. &#8220;Ni kazi ngumu sana kudhibiti kitu ambacho mtu anaweza kununua au kuacha,&#8221; aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. Mashi&#341;ika makubwa ya vyombo vya haba&#341;i &#8220;daima yanapata njia ya kutokea kukiwepo na she&#341;ia.&#8221; <\/p>\n<p>Katika mjadala wa suala la tatu la &#8216;kulinda haki za binadamu katika jamii ya haba&#341;i &#8216;, mkutano ulibainisha kwamba kuongezeka kwa matumizi ya vyombo vya haba&#341;i kutokana na teknolojia ya kisasa kumetoa fu&#341;sa kwa watu kuweza kutoa maoni yao. Lakini walihitimisha kwa kusema kwamba teknolojia ya haba&#341;i pia imemaanisha ukiukwaji wa haki nyingi za binadamu kutokana na kupungua kwa si&#341;i za mtu binafsi na kuendeleza uhalifu wa kimataifa.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KIEV, Machi 11 (IPS) &ndash; Mkutano wa Alhamisi uliangalia kwa ka&#341;ibu kuhusu kile vyombo vya haba&#341;i ba&#341;ani Ulaya vinaweza kufanya katika ku&#341;ipoti masuala kama ya ugaidi na utandawazi, na kulinda haki za binadamu katika jamii ya haba&#341;i. Jambo hilo lilizungumziwa wakati wa Mkutano wa Mawazi&#341;i wa Ba&#341;a la Ulaya kuhusu Se&#341;a ya Vyombo Vya Haba&#341;i&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":189,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-901","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/901","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/189"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=901"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/901\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=901"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=901"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=901"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}