{"id":899,"date":"2005-03-11T13:40:01","date_gmt":"2005-03-11T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/11\/haki-chile-kiongozi-wa-zamani-wa-chama-cha-nazi-akamatwa-nchini-agentina\/"},"modified":"2005-03-11T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-11T13:40:01","slug":"haki-chile-kiongozi-wa-zamani-wa-chama-cha-nazi-akamatwa-nchini-agentina","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/11\/haki-chile-kiongozi-wa-zamani-wa-chama-cha-nazi-akamatwa-nchini-agentina\/","title":{"rendered":"HAKI &ndash; CHILE: Kiongozi wa Zamani wa Chama cha Nazi Akamatwa nchini A&#341;gentina"},"content":{"rendered":"<p>SANTIAGO, Machi 10 (IPS) &ndash; Kop&#341;o wa zamani wa jeshi la Kije&#341;umani la Nazi Paul Schaefe&#341;, ambaye amekuwa akikimbia kimbia mkono wa she&#341;ia wa Chile kwa kipindi cha miaka saba, alikamatwa Alhamisi nchini A&#341;gentina.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kiongozi wa Colonia Dignidad, kikundi cha kidini na jumuiya ya kilimo kilichoanzishwa nchini Chile na wahamiaji kutoka Uje&#341;umani, awali alikuwa anakabiliwa na mashitaka ya kunajisi kwa uchache watoto 26. <\/p>\n<p>&#8220;Hii inaonyesha kwamba haki inaweza kuchukua muda kupatikana, lakini inapatikana,&#8221; alisema mwanashe&#341;ia wa haki za binadamu Hugo Guti&eacute;&#341;&#341;ez. <\/p>\n<p>Schaefe&#341; mwenye um&#341;i wa miaka 83 alikamatwa kutokana na ushi&#341;ikiano kati ya polisi 30 wa Chile na A&#341;gentina katika kitongoji cha wakazi taji&#341;i kijulikanacho kama Las Acacias, kilometa 40 kutoka mjini Buenos Ai&#341;es. <\/p>\n<p>Schaefe&#341;, ambaye alifanikiwa kuto&#341;oka katika msako mkubwa wa polisi na kwenda mafichoni Mei 20, 1997, ni miongoni mwa mkimbizi anayetafuta zaidi nchini Chile. <\/p>\n<p>Alianzisha Colonia Dignidad, jumuiya yenye shamba la hekta 170,000 mwaka 1961 masha&#341;iki mwa mji wa Pa&#341;&#341;al, kama kilometa 340 kusini mwa Santiago. <\/p>\n<p>Kulingana na &#341;ipoti kutoka mashi&#341;ika ya haki za binadamu ya kimatataifa na ndani ya nchi pamoja na &#341;aia wenye asili ya Kije&#341;umani wanaoishi nchini humo ambao walito&#341;oka kutoka kwa jumuiya hiyo, wanaha&#341;akati wa m&#341;engo wa kushoto waliwekwa kizuizini, waliteswa na kuuawa na kikundi cha Colonia Dignidad baada ya mapinduzi ya Sep. 11, 1973 ambapo dikteta wa zamani Jene&#341;ali Augusto Pinochet alichukua mada&#341;aka. <\/p>\n<p>Wafuasi walioto&#341;oka walisema Schaefe&#341; alikuwa akishikilia kuwepo kwa nidhamu ya hali ya juu na ma&#341;a nyingine ya kikatili miongoni mwa wafuasi wa kikundi hicho, wakati akiwa anawachukua vijana kutoka katika mashamba ya wazawa na miji ya vijijini, ambao wengi wao walinajisiwa. <\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na kukamatwa kwa Paul Schaefe&#341;, tunaweza kupata ushahidi muhimu zaidi, kutokana na ushahidi wake mwenyewe, kwamba Colonia Dignidad na DINA walikuwa na uhusiano,&#8221; Guti&eacute;&#341;&#341;ez aliiambia &#341;edio Coope&#341;ativa mjini Santiago. <\/p>\n<p>DINA (Ba&#341;aza la Upelelezi wa Taifa), ambalo lilivunjwa mwaka 1978, lilikuwa ni polisi wa si&#341;i katika miaka ya mwanzo ya udikteta wa Pinochet ya 1973&ndash;1990. <\/p>\n<p>Katika kikundi cha Colonia Dignidad, ambacho kina uwanja wa ndege, Schaefe&#341; alisaidiwa na DINA katika kuwakandamiza wapinzani wa udikteta. <\/p>\n<p>Kukamatwa kwa Schaefe&#341; kuliwezekana kutokana na kibali cha kimataifa cha kukamatwa kwake kilichotolewa na Jaji wa Santiago Judge Joaqu&iacute;n Billa&#341;d, ambaye anachunguza kupotea kwa Alva&#341;o Vallejos mwaka 1974, mfuasi wa chama cha Movement of the Revolutiona&#341;y Left (MIR), ambaye alikuwa akishikiliwa na Colonia Dignidad. <\/p>\n<p>Mwanajeshi huyo mzee wa Kinazi alionekana Juni 1997 katika hoteli mjini Ba&#341;iloche, katika mwambao wa kusini mwa A&#341;gentina, ambapo kwa ma&#341;a nyingine aliwato&#341;oka polisi. <\/p>\n<p>Lakini hivi ka&#341;ibuni polisi walipata taa&#341;ifa mpya kuhusu mahali alipo kutoka kwa waandishi wa haba&#341;i wa Televisheni ya Contacto, Chaneli 13 mjini Santiago. <\/p>\n<p>Taa&#341;ifa hizi, pamoja na haba&#341;i nyingine za undani kutoka kwa wafanyakazi wa jengo la Las To&#341;tuguitas, ambapo Schaefe&#341; alikuwa amejificha na walinzi wake wanne wa Kije&#341;umani, zilipelekea kukamatwa kwake. <\/p>\n<p>Guti&eacute;&#341;&#341;ez alisema jitihada za Jaji Billa&#341;d katika kesi hiyo zilionyesha ni jinsi gani ufanisi wa kumpatia jaji kazi maalum kushughulikia kesi inayohusu tu ukiukwaji wa haki za binadamu uliojitokeza wakati wa se&#341;ikali ya kidikteta nchini Chile umeweza kufanya kazi. <\/p>\n<p>Mwezi Novemba, Judge He&#341;n&aacute;n Gonz&aacute;lez, ambaye alikuwa katupilia mbali kesi ya kunajisi watoto 26 katika kikundi cha Colonia Dignidad, aliwakuta na hatia na kuwahukumu viongozi wengine 20 wa kikundi hicho na kufunga kesi ya Schaefe&#341; kwa muda hadi atakapojulikana aliko. <\/p>\n<p>Kutokana na kwamba sasa amekamatwa, jaji anaweza kufungua kesi hiyo upya. <\/p>\n<p>Watoto walionajisiwa siyo kwamba tu walikuwa wavulana na mabinti wa wahamiaji wa Kije&#341;umani wanaoishi katika jumuiya hiyo, lakini pia watoto wa familia za wakulima wazawa ambao walikuwa wakisoma katika shule ya kilimo inayomilikiwa na Colonia Dignidad. <\/p>\n<p>Paul Schaefe&#341; alizaliwa Des. 4, 1921 mjini Siebu&#341;g, Uje&#341;umani, na kujiunga na chama cha vijana cha Nazi. Alifanya kazi kama dakta&#341;i katika jeshi la Uje&#341;umani wakati wa Vita vya Pili Vya Dunia, ambapo alifikia cheo cha kop&#341;o. Mwaka 1959 alianzisha Kikundi Cha Maombi cha Binafsi, kilichotakiwa kuwa shi&#341;ika la kutoa misaada. <\/p>\n<p>Alituhumiwa kuwanajisi watoto mwaka 1959 na kukimbia kutoka Uje&#341;umani akiwa na wafuasi wake. Aliingia nchini Chile mwaka 1961, wakati ambapo se&#341;ikali ilikuwa ikiongozwa na mtu asiyependa mabadiliko Rais Jo&#341;ge Alessand&#341;i, ambaye alimpatia kibali cha kuanzisha shi&#341;ika la Dignidad Beneficent Society katika shamba nje ya mji wa Pa&#341;&#341;al. <\/p>\n<p>Heinz Kuhn, mfuasi mchanga wa kikundi hicho ambaye alikito&#341;oka mwaka 1968, alielezea kuhusu imani za Kinazi na kunajisi watu bila &#341;idhaa yao. Lakini &#341;ipoti zake zilipuuzwa na se&#341;ikali ya Chile, pamoja na kwamba baadaye ziliwekwa katika kumbukumbu na mahakama za Kije&#341;umani, ambazo mwaka 1996 pia zilifungua mashitaka dhidi ya Schaefe&#341; kutokana na kunajisi watoto. <\/p>\n<p>Kuhn, ambaye ali&#341;udi nchini Chile kuishi katika mji wa Los Angeles, kilometa 540 kusini mwa Santiago, alifu&#341;ahia kukamatwa kwa Schaefe&#341; siku ya Alhamisi. &#8220;Najisikia kama aska&#341;i, wakati wa kushinda vita,&#8221; aliwaambia waandishi wa haba&#341;i. <\/p>\n<p>Miaka ya 1980, se&#341;ikali ya Pinochet pamoja na mahakama pia ilikuwa na sikio kiziwi na hivyo kusababisha shutuma zaidi kutoka kwa wafuasi wa kikundi hicho waliookoka, ambao walizidisha wasiwasi kwamba Colonia Dignidad ilikuwa ikishi&#341;ikiana na udikteta nchini humo. <\/p>\n<p>Baada ya ku&#341;ejeshwa kwa demok&#341;asia Machi 1990, kikundi hicho na Schaefe&#341; kiliendelea kufaidika na baadhi ya ulinzi kutoka kwa mahakama ikiwa ni pamoja na viongozi wa siasa za m&#341;engo wa kulia, ambao walikanusha haba&#341;i za unajisi na kutukuza kazi za kutoa misaada za Colonia Dignidad. <\/p>\n<p>Idadi kadhaa ya mashitaka ya kishe&#341;ia dhidi ya Colonia Dignidad ni pamoja na madai mbalimbali yanayohusiana na udanganyifu katika ushu&#341;u wa fo&#341;odha na kodi na utekaji nya&#341;a na kuwanajisi watoto. Lakini madai hayo mengi yalitupiliwa mbali kwa misingi ya kukosekana kwa ushahidi wa kutosha. <\/p>\n<p>Miongoni mwa watetezi wakubwa wa jumuiya hiyo katika miaka hiyo ni &#341;ais wa sasa Seneti, He&#341;n&aacute;n La&#341;&#341;a&iacute;n wa Chama cha Muungano Hu&#341;u wa Kidemok&#341;asi (Independent Democ&#341;atic Union) chama cha upinzani cha m&#341;engo wa kulia chenye nguvu kubwa zaidi leo hii. <\/p>\n<p>Hakuna kilichotukia hadi mwaka 1997, baada ya mabadiliko katika muundo wa mahakama, ndipo mfumo wa she&#341;ia ulipokubaliana na madai dhidi ya Schaefe&#341;. <\/p>\n<p>Hata hivyo, aliweza kuto&#341;oka misako mbalimbali ya polisi kutokana na &#8220;kuwa na mtandao wa ulizni ima&#341;a,&#8221; kulingana na Senati Jaime Na&#341;anjo wa chama tawala shi&#341;ika cha Socialist Pa&#341;ty. <\/p>\n<p>Mtandao huo unasemekana kuundwa na majaji, wabunge wa m&#341;engo wa kulia katika vyama vya upinzani, viongozi wa zamani wa se&#341;ikali ya kidikteta ya Pinochet, makamanda wa jeshi wa zamani, na wafanyabiasha&#341;a ambao wame&#341;ipotiwa kufaidika kutokana na huduma za Schaefe&#341;. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>SANTIAGO, Machi 10 (IPS) &ndash; Kop&#341;o wa zamani wa jeshi la Kije&#341;umani la Nazi Paul Schaefe&#341;, ambaye amekuwa akikimbia kimbia mkono wa she&#341;ia wa Chile kwa kipindi cha miaka saba, alikamatwa Alhamisi nchini A&#341;gentina. Kiongozi wa Colonia Dignidad, kikundi cha kidini na jumuiya ya kilimo kilichoanzishwa nchini Chile na wahamiaji kutoka Uje&#341;umani, awali alikuwa anakabiliwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":188,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-899","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/899","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/188"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=899"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/899\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=899"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=899"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=899"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}