{"id":898,"date":"2005-03-11T13:40:01","date_gmt":"2005-03-11T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/11\/mashariki-ya-kati-uithi-wa-haii-ni-pamoja-na-deni-kubwa\/"},"modified":"2005-03-11T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-11T13:40:01","slug":"mashariki-ya-kati-uithi-wa-haii-ni-pamoja-na-deni-kubwa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/11\/mashariki-ya-kati-uithi-wa-haii-ni-pamoja-na-deni-kubwa\/","title":{"rendered":"MASHARIKI YA KATI: U&#341;ithi wa Ha&#341;i&#341;i ni Pamoja na Deni Kubwa"},"content":{"rendered":"<p>BEIRUT, Machi 10 (IPS) &ndash; Wazi&#341;i Mkuu wa zamani Rafik Ha&#341;i&#341;i ameacha u&#341;ithi wenye utata katika uchumi, na kuuawa kwake kumeweka alama ya kuuliza kuhusu hatma ya baadaye ya masuala ya kifedha ya nchi hiyo.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Lebanon ilikopa mabilioni ya dola deni ambalo inaonekana haitaweza kulilipa, inajihusisha katika jitihada kubwa za ujenzi mpya wa nchi, na &#341;aia wengi wa Lebanon wanahofia kwamba kushuka kwa imani na nchi hiyo kusababisha misaada kutoka kwa nchi za Kia&#341;abu na za Magha&#341;ibi kusitishwa. <\/p>\n<p>Mwanauchumi ambaye anamsifu Ha&#341;i&#341;i kutokana na ujasi&#341;i wake usiokuwa na mfano pia anamlaumu kutokana na matumizi yake ya anasa. Ha&#341;i&#341;i aliwahi kuwa wazi&#341;i mkuu ma&#341;a mbili, kuanzia mwaka 1992 hadi 1998 halafu mwaka 2000 hadi 2004. <\/p>\n<p>&#8220;Mitandao ya Rafik Ha&#341;i&#341;i ilikuwa muhimu sana katika kuwashawishi wafadhili wa Kia&#341;abu. Kuondoka kwa Ha&#341;i&#341;i kutamaanisha kwamba imani itakuwa imetokomea tena,&#8221; Nicholas Chammas, mchambuzi wa masuala ya fedha mjini Bei&#341;ut aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Katika uchumi, mata&#341;ajio ni kitu muhimu sana. Mata&#341;ajio yetu ni nini sasa  Kuna utata hapa, kuna mgongano wa kisiasa, na ukweli kwamba mtu anaweza kung&#8217;olewa kimaumbile miaka 15 baada ya kumalizika kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe, huu ni ujumbe mbaya ambao tunapeleka,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>U&#341;ithi mkubwa wa Ha&#341;i&#341;i ni ujenzi upya wa eneo la biasha&#341;a nje ya mji wa Bei&#341;ut, katika mji ulioha&#341;ibiwa wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe na uvamizi wa Is&#341;aeli. Ha&#341;i&#341;i alijenga upya eneo hilo kwa gha&#341;ama za kushangaza za dola bilioni 30. <\/p>\n<p>Uchumi wa Lebanon uliokuwa ukizo&#341;ota haukuwa na fedha za kulipia ujenzi huo, hivyo Ha&#341;i&#341;i alitumia mfumo mgumu wa kibenki na kukusanya mikopo kutoka se&#341;&#341;ikali za Kia&#341;abu na wawekezaji. <\/p>\n<p>&#8220;Nafiki&#341;i huyo Rafik, kwasababu alikuwa mkanda&#341;asi wa (ujenzi), alikuwa akivutiwa na aina ya Saudi A&#341;abia wakati wa siku za mafuta mengi,&#8221; Yusuf Shibl, p&#341;ofesa wa uchumi katika Chuo Kikuu cha Ma&#341;ekani mjini Bei&#341;ut aliliambia shi&#341;ika la IPS. Ha&#341;i&#341;i alihusika katika ujenzi wa maeneo mengi kwa ajili ya wanafamilia ya Kifalme ya Saudi A&#341;abia. <\/p>\n<p>Wengine wanasema kwamba wakati ambapo gha&#341;ama zingeweza kupunguzwa, falsafa ya jumla ya Ha&#341;i&#341;i ilikuwa ina maana. <\/p>\n<p>&#8220;Ndiyo, unaweza kusema kwamba alikuwa anapenda miundombinu kabla ya kuwasaidia watu ambao wangeitumia, lakini upande mwingine wa hoja ni kwamba kama Lebanon isingetumia pesa nyingi katika miundombinu, mfumo wote wa kiuchumi usingeanza katika hali nzu&#341;i,&#8221; Chammas alisema. <\/p>\n<p>Kwa wengi swali ni wapi pa kwenda baada ya hapa. Mwaka jana nchi hiyo ilionyesha ukuaji wa uchumi usiokuwa wa kawaida wa asilimia 5. Lebanon ilipata idadi kubwa ya watalii, pamoja na kwamba wengi wao walikuwa ni Waa&#341;abu na siyo watalii kutoka Magha&#341;ibi ambao inapenda kuwavutia tena. <\/p>\n<p>Ba&#341;aza la mawazi&#341;i lijalo inabidi lipunguze matumizi na kushusha uhaba wa bajeti. Pamoja na kwamba Ha&#341;i&#341;i alitawala nchi ikiwa na upungufu wa bajeti kati ya asilimia 25 hadi 40, kutegemeana na kiwango cha &#341;iba ya mikopo. <\/p>\n<p>Baadhi ya wanauchumi wanasema Lebanon sasa inahitaji kujenga mpya mfumo wake wa kibiasha&#341;a na kuwa nchi inayotegemea uuzaji wa bidhaa nje, kusaidia sekta ya kilimo na viwanda, kuzuia uhamaji wa vijana wengi kutoka nchini humo, kusaidia watu wa tabaka la tatu kustawi tena, na kuvutia wanawake wengi zaidi katika kushi&#341;iki kwenye uchumi.. <\/p>\n<p>Ni asilimia 35 ya watu wenye uwezo wa kufanya kazi wanashi&#341;iki katika shughuli za kiuchumi, ikilinganishwa na zaidi ya asilimia 50 nchini Ma&#341;ekani. Ni asilimia 20 tu ya wanawake wameaji&#341;iwa kutokana na kwamba kijadi wanawake wazee wanatakiwa kubakia majumbani. Theluthi ya watu wote wamehama katika miongo miwili iliyopita. Lebanon ilikuwa na idadi ya watu milioni 3.5 Julai mwaka 2000, huku kama asilimia 70 wakiwa ni Waislamu na wengine Wak&#341;isto. <\/p>\n<p>Takwimu za se&#341;ikali zinaonyesha kwamba ikiwa na bajeti ya mwaka ya dola bilioni 5, upungufu wa biasha&#341;a nchini Lebanon unabakia kuwa katika dola bilioni 7.7. <\/p>\n<p>Wengi wanasema kwamba kama kweli Sy&#341;ia itaacha kudhibiti nchi hiyo, &#8216;umafia wake wa biasha&#341;a&#8217; uliojiima&#341;isha zaidi pia utatokomea, na pesa nyingi zinazoelekea Sy&#341;ia sasa zinaweza kuwekezwa tena nchini Lebanon. <\/p>\n<p>&#8220;Sy&#341;ia inatengeneza kati ya dola bilioni 10 na 20 kwa mwaka kutoka Lebanon. Ni washi&#341;ika katika kila kitu. Kama se&#341;ikali inataka kufungua m&#341;adi wa kufungua ba&#341;aba&#341;a, inabidi kuwa na mshi&#341;ika wa Sy&#341;ia. Kama unataka kufanyia kazi banda&#341;i, unahitaji mshi&#341;ika kutoka Sy&#341;ia,&#8221; Jib&#341;an Tueini, mchapishaji wa gazeti linaloheshimika sana la An&ndash;Naha&#341; aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Wameweza kujenga mtandao wa wizi wa fedha, wa biasha&#341;a, wa &#341;iba kutokana na mipango ya kijanja ya biasha&#341;a, umafia, kila kitu,&#8221; aliongeza. Lakini wengi wanabakia kuwa na mata&#341;ajio kwamba nchi hiyo inaweza kuondokana na changamoto kama ilivyokuwa katika changamoto zilizopita. &#8220;Lebanon ina uchumi mzu&#341;i na unaokua kama tutahakikisha kwamba kunakuwepo na mazingi&#341;a mazu&#341;i ya kisiasa na kishe&#341;ia,&#8221; alisema Chammas.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BEIRUT, Machi 10 (IPS) &ndash; Wazi&#341;i Mkuu wa zamani Rafik Ha&#341;i&#341;i ameacha u&#341;ithi wenye utata katika uchumi, na kuuawa kwake kumeweka alama ya kuuliza kuhusu hatma ya baadaye ya masuala ya kifedha ya nchi hiyo. Lebanon ilikopa mabilioni ya dola deni ambalo inaonekana haitaweza kulilipa, inajihusisha katika jitihada kubwa za ujenzi mpya wa nchi, na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":119,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-898","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/898","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/119"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=898"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/898\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=898"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=898"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=898"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}