{"id":896,"date":"2005-03-10T13:40:01","date_gmt":"2005-03-10T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/10\/vyombo-vya-habari-timor-mashariki-gazeti-lageuzwa-kuwa-mfuko-wa-mazoezi-wa-wazii-mkuu\/"},"modified":"2005-03-10T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-10T13:40:01","slug":"vyombo-vya-habari-timor-mashariki-gazeti-lageuzwa-kuwa-mfuko-wa-mazoezi-wa-wazii-mkuu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/10\/vyombo-vya-habari-timor-mashariki-gazeti-lageuzwa-kuwa-mfuko-wa-mazoezi-wa-wazii-mkuu\/","title":{"rendered":"VYOMBO VYA HABARI &ndash; TIMOR MASHARIKI: Gazeti Lageuzwa Kuwa Mfuko wa Mazoezi wa Wazi&#341;i Mkuu"},"content":{"rendered":"<p>BANGKOK, Machi 9 (IPS) &ndash; Uhu&#341;u wa haba&#341;i katika taifa jipya kabisa ulimwenguni, Timo&#341; ya Masha&#341;iki, uko katika mashambulizi huku gazeti la kila siku likisumbuliwa na se&#341;ikali baada ya ku&#341;ipoti vifo vilivyotokana na njaa katika kisiwa hicho.<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mapema mwezi huu, &#8216;Sua&#341;a Timo&#341; Lo&#341;osae&#8217;, au &#8216;STL&#8217;, ali&#341;ipoti kwamba uhaba wa chakula umekuwa ukiathi&#341;i maelfu ya &#341;aia katika Timo&#341; ya Masha&#341;iki katika wilaya za Los Palos, Suai, Aina&#341;o na Manufahi. Gazeti hilo la kila siku lilisema kwamba katika kijiji kimoja pekee huko Aina&#341;o, kwa uchache watu 50 wamefa&#341;iki kutokana na njaa. <\/p>\n<p>Wakati ambapo uhaba wa chakula siyo kitu kigeni kwa wananchi wa Timo&#341; ya Msha&#341;iki hasa wakati wa ukame, taa&#341;ifa za mwaka huu zimeelezea wasiwasi kwamba se&#341;ikali ya Wazi&#341;i Mkuu Ma&#341;i Alkati&#341;i inapuuza vijiji vya mbali katika kisiwa hicho. <\/p>\n<p>Kinachomfanya Alkati&#341;i kukasi&#341;ika ni kwamba &#341;ipoti ya gazeti hilo la kila siku inakuja wakati ambapo idadi kubwa ya sauti zimetolewa kuhusu utawala wake mbovu. <\/p>\n<p>Askofu wa Dili, Dom Albe&#341;to Rica&#341;do da Silva, hivi ka&#341;ibuni alisema kwamba nchi hiyo ilikuwa ikiteseka kwa &#341;ushwa na kukosekana kwa uwazi na Mshindi wa Tuzo ya Nobel nchini Timo&#341; ya Msha&#341;iki Lau&#341;eate Ca&#341;los Ximenes Belo waziwazi ametoa dukuduku lake kuhusu tatizo la njaa nchini humo. <\/p>\n<p>Wiki iliyopita, wazi&#341;i mkuu alitoa am&#341;i kwa ida&#341;a zote za se&#341;ikali kususia kusoma &#8216;STL&#8217;. Pia aliondoa matangazo yote ya se&#341;ikali katika gazeti hilo na kupiga ma&#341;ufuku waandishi wake wote wasihudhu&#341;ie mikutano ya se&#341;ikali kwa waandishi wa haba&#341;i. <\/p>\n<p>Alkati&#341;i alichochea watu wasinunue gazeti hilo. Shi&#341;ika la Haba&#341;i la U&#341;eno &#8216;Lusa&#8217; lili&#341;ipoti mgomo huo kwa kusema, &#8220;Tuna haki ya kuima&#341;isha uhusiano na vyombo vya haba&#341;i hu&#341;u na makini lakini siyo vile vyenye lengo la kueneza p&#341;opaganda.&#8221; <\/p>\n<p>Siku ya Jumatano, wa&#341;aka wa kupinga am&#341;i ya wazi&#341;i mkuu ulisainiwa na waandishi wa haba&#341;i zaidi ya 50 kutoka Timo&#341; ya Masha&#341;iki kuonyesha kwamba wazi&#341;i mkuu alikuwa amekiuka vifungu vya katiba ambavyo vinahakikisha uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i. <\/p>\n<p>&#8221;Tumevunjwa moyo na vitendo vya wazi&#341;i mkuu. Anachokifanya kwa &#8216;STL&#8217; kinapingana na katiba,&#8221; mwandishi wa haba&#341;i wa ndani Jose Antonio Belo aliiambia IPS katika mahojiano kwa njia ya simu. <\/p>\n<p>&#8221;Inabidi tuungane na siyo kukubali kuacha kuzungumza ukweli&#8230; tunapenda mshikamano katika wakati huu wa matatizo,&#8221; aliongeza Belo. <\/p>\n<p>Kwa muda wa miaka 25, Timo&#341; ya Masha&#341;iki ilikuwa ikikaliwa na Indonesia. Raia wa Timo&#341; katika Umoja wa Mataifa walidhamini ku&#341;a ya maoni kuhusu upatikanaji wa uhu&#341;u Agosit 1999 na Timo&#341; ya Masha&#341;iki kuwa hu&#341;u Mei 2002, baada ya miaka miwili ya utawala wa muda ulioongozwa na Umoja wa Mataifa. <\/p>\n<p>Lakini Timo&#341; ya Masha&#341;iki hu&#341;u ni miongoni mwa nchi maskini zaidi ulimwenguni. Kipato, watu wanaojua kusoma na kuandika na huduma za afya ni miongoni mwa vitu duni zaidi katika dunia. Kulingana na Ripoti ya Shi&#341;ika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa, ikiwa na idadi ya watu zaidi ya 800,000, Timo&#341; ya Masha&#341;iki ina pato la mwaka la dola 478 tu. <\/p>\n<p>Ripoti za &#8216;STL&#8217;s&#8217; pia zimethibitishwa na mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali. <\/p>\n<p>Manuela Pe&#341;ei&#341;a, mwanaha&#341;akati katika shi&#341;ika la Fokupe&#341;s, ambalo linahusiana na Mawasiliano kwa Wanawake, mjini Dili, alisema njaa ni suala kubwa sasa katika nchi. <\/p>\n<p>Hivi ka&#341;ibuni alitembelea wilaya ya Suai, kama kilometa 300 kusini masha&#341;iki mwa mji mkuu wa Dili na kusema alishuhudia watu wakiteseka na njaa huko. <\/p>\n<p>&#8221;Katika wilaya ya Suai, watu wanahitaji msaada wa chakula kiasi ambacho wanalazimika kuuza nyumba zao kwa bei ndogo inayofikia dola 120 &ndash; ili kuweza kununua mchele,&#8221; alibainisha Pe&#341;ei&#341;a. <\/p>\n<p>Unyanysaji wa Alkati&#341;i kwa &#8216;STL&#8217; pia umelifikia shi&#341;ika la kutetea waandishi wa haba&#341;i lenye makao yake makuu mjini Pa&#341;is la Repo&#341;te&#341;s Sans F&#341;ontie&#341;es (RSF), ambalo katika ba&#341;ua yake kwa wazi&#341;i mkuu lilisema\t: &#8221;mgomo na vitisho dhidi ya vyombo vya haba&#341;i binafsi ni mtindo ambao haufai katika se&#341;ikai ya kidemok&#341;asia.&#8221; <\/p>\n<p>&#8221;Tunakuomba kukomesha vikwazo vyote vilivyowekwa dhidi ya Sua&#341;a Timo&#341; Lo&#341;osae&#8221;, liliongeza shi&#341;ika hilo la kutetea uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i duniani kote. <\/p>\n<p>Wakati huo huo shi&#341;ika lenye makao yake makuu mjini Bangkok la P&#341;ess Alliance (SEAPA) lili&#341;ipoti kuwa Wazi&#341;i Mkuu Alkati&#341;i pia anaja&#341;ibu kufanya gazeti hilo lifukuzwe katika ofisi zake. <\/p>\n<p>Katika taa&#341;ifa yake SEAPA ilisema kwamba Ida&#341;a ya A&#341;dhi na Nyumba ya Timo&#341; ya Masha&#341;iki imetoa am&#341;i kwa &#8216;STL&#8217; kuondoka katika ofisi zake za sasa mjini Dili katika muda wa siku 60. <\/p>\n<p>Rais wa Chama cha Waandishi wa Haba&#341;i wa Timo&#341; ya Masha&#341;iki (TLJA), Vi&#341;gilio da Silva Gute&#341;&#341;es, aliiambia SEAPA kwamba TLJA itachunguza jambo hilo kuona kama am&#341;i ya se&#341;ikali ya kuondoka katika ofisi hiyo ni ujanja wa kubinya uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i nchini humo. <\/p>\n<p>Mashambulizi ya Alkati&#341;i dhidi ya vyombo vya haba&#341;i yamekuwa sababu ya wasiwasi mwezi Mei uliopita alipotoa am&#341;i ya kufukuzwa kwa mwandishi wa haba&#341;i wa kujitegemea wa Aust&#341;alia Julian King. <\/p>\n<p>Polisi walimkamata mwandishi huyo wa haba&#341;i Mei 6 alipokuwa ka&#341;ibu na nyumbani kwake mjini hapo. Alishikiliwa kwa kipindi cha siku mbili katika kituo cha polisi cha kati na se&#341;ikali ilisema ilikuta &#341;isasi katika nyumba yake. <\/p>\n<p>Wakati wa upekuzi wao walichukua mafaili, ikiwa ni pamoja na Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu &#341;ushwa katika Timo&#341; ya Masha&#341;iki. Awali mwandishi huyo aliambiwa kwamba magazeti ya nchini mwake hayakuwa katika mpangilio mzu&#341;i halafu akatishiwa kuchukuliwa hatua za kishe&#341;ia kutokana na kukutwa &#8221;anamiliki silaha&#8221; na &#8221;uchochezi&#8221;. <\/p>\n<p>Wazi&#341;i Mkuu Alkati&#341;i alishawahi kutoa taa&#341;ifa kadhaa kwa umma dhidi ya mwandishi huyo wa haba&#341;i. &#8221;Anakiuka uvumilivu wetu, yeye siyo mwandishi wa haba&#341;i lakini ana ajenda zake mwenyewe kuleta uchochezi katika taasisi zetu za kitaifa,&#8221; alisema. Pia alimshutumu King kutokana na kufanya upelelezi katika nyumba yake wakati wa mgomo wa Desemba 2002. <\/p>\n<p>Lakini mwezi Juni, mahakama mjini Dili ilifutilia mbali madai yaliyotolewa na polisi. Mahakama ya &#341;ufaa ilikuwa imetoa am&#341;i ku&#341;udishwa kwa hati ya kusafi&#341;ia ya King, ilikataa kuwekwa &#341;umande na kutoa maamuzi kwamba polisi hawakuwa na ushahidi wa kutosha dhidi yake. <\/p>\n<p>Hata hivyo, ma&#341;a tu baada ya uamuzi wa mahakama, ali&#341;udishwa Aust&#341;alia kwa am&#341;i ya wazi&#341;i wa mambo ya ndani. <\/p>\n<p>&#8221;Hatia aliyopatikana nayo King ni kwamba aliikasi&#341;isha se&#341;iklai ya Wazi&#341;i Mkuu Ma&#341;i Alkati&#341;i,&#8221; ilisema RSF. &#8221;She&#341;ia hii ya kashfa dhidi ya mahakama haikufanya chochote kukuza msimamo wa se&#341;ikali ya kwanza ya kidemok&#341;asia.&#8221; <\/p>\n<p>Iliongeza RSF: &#8221;Inakatisha tamaa kwa shi&#341;ika letu kuona wazi&#341;i mkuu wa nchi &ndash; ambayo kwa miaka mingi imekuwa mfano ba&#341;ani Asia kutokana na kuheshimu uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i &ndash; akiwashutumu waandishi wa haba&#341;i wa kigeni kutokana na migomo na kuhata&#341;isha utulivu wa nchi.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BANGKOK, Machi 9 (IPS) &ndash; Uhu&#341;u wa haba&#341;i katika taifa jipya kabisa ulimwenguni, Timo&#341; ya Masha&#341;iki, uko katika mashambulizi huku gazeti la kila siku likisumbuliwa na se&#341;ikali baada ya ku&#341;ipoti vifo vilivyotokana na njaa katika kisiwa hicho. Mapema mwezi huu, &#8216;Sua&#341;a Timo&#341; Lo&#341;osae&#8217;, au &#8216;STL&#8217;, ali&#341;ipoti kwamba uhaba wa chakula umekuwa ukiathi&#341;i maelfu ya &#341;aia&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":103,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-896","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/896","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/103"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=896"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/896\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=896"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=896"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=896"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}