{"id":895,"date":"2005-03-09T13:40:01","date_gmt":"2005-03-09T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/09\/siku-za-wanawake-duniani-fikii-kuhusu-wanawake-hawa-watatu\/"},"modified":"2005-03-09T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-09T13:40:01","slug":"siku-za-wanawake-duniani-fikii-kuhusu-wanawake-hawa-watatu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/09\/siku-za-wanawake-duniani-fikii-kuhusu-wanawake-hawa-watatu\/","title":{"rendered":"SIKU ZA WANAWAKE DUNIANI: Fiki&#341;i Kuhusu Wanawake Hawa Watatu"},"content":{"rendered":"<p>LONDON, Machi 8 (IPS) &ndash; Siku ya Wanawake Duniani inakutaka ujiulize kuhusu nusu ya dunia, lakini mashi&#341;ika mawili ya waandishi yalitoa mwito siku ya Alhamisi hasa kwa wanawake watatu &#8220;walioshambuliwa kutokana na kutumia teknolojia ya haba&#341;i kukosoa se&#341;ikali zao.&#8221;\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Shi&#341;ika la uhu&#341;u wa kujieleza lenye makao yake makuu mjini London&ndash;lijulikanalo kama PEN lilitumia siku ya Wanawake Ulimwenguni Machi 8 kuzindua kampeni mpya kuwasaidia wanawake watatu kutoka Tunisia, I&#341;an na China. <\/p>\n<p>Wanawake ni muhimu kama &#341;aia binafsi, lakini ni muhimu pia kutokana na kile wanachoamini, na wanachokiandika.<\/p>\n<p>Nchini Tunisia, mha&#341;i&#341;i wa gazeti la mtandao Sihem Bensed&#341;ine amevumilia miaka ya unyanyasaji na mashambulizi, linasema shi&#341;ika la PEN. Wanawake wawili wa I&#341;an, Mahboudeh Abbasgholizadeh na Fe&#341;shteh Ghazi, walikamatwa kutokana na watumiaji wa mtandao nchini I&#341;an, na kuteswa na kunyanyaswa. Nchini China, inasema, Ma Yalian amekuwa katika kifungo kwa kipindi cha mwaka mzima kutokana na makala zake alizoandika katika mtandao. <\/p>\n<p>&#8220;Wanachama kutoka vituo 140 katika nchi 99 walitakiwa kupeleka masuala haya kwa se&#341;ikali na kutangaza madai yao kuhusu uhu&#341;u wa kujieleza kwa kutumia mtandao,&#8221; Sa&#341;a Whyatt kutoka Kamati ya Chama Cha Waandishi wa Mage&#341;ezani shi&#341;ika llinaloshi&#341;ikiana na PEN aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Wanachama walifanya kampeni ya kuandika ba&#341;ua kwa mamlaka husika na kupeleka suala hilo kwa vyombo vya haba&#341;i vya ndani, Whyatt alisema. &#8220;Tulitoa madai yetu kuhusu wanawake hawa watatu kama mfano,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Kampeni ya PEN kuunga mkono &#8220;Uandishi wa kwenye mtandao&#8221; ilianza Desemba mwaka jana,&#8221; alisema Whyatt. Du&#341;u ya kwanza ya kampeni hiyo ilizinduliwa nchini China, Vietnam na Maldives na kufuatiwa na kampeni nchini I&#341;an. <\/p>\n<p>Kampeni kuhusu wanawake wanaojishughulisha na uandishi katika mtandao ilifika katika siku ya wanawake duniani, Whyatt alisema. &#8220;Pia tunapeleka kampeni katika du&#341;u ya pili kwenye Mkutano wa Kilele wa Haba&#341;i Ulimwenguni (WSIS) ambao utafanyika Novemba mwaka huu,&#8221; Whyatt alisema. &#8220;Se&#341;ikali nyingi zitakazokuwepo wakati huo ni za kikandamizaji na tunataka kutumia upatikanaji wao kuweza kufikisha madai yetu.&#8221; <\/p>\n<p>Wanawake watatu waliochaguliwa kwa ajili ya kampeni mpya wote wamelipa faida ya jitihada zao za kutafuta uhu&#341;u kwa njia ya mtandao wa kompyuta. <\/p>\n<p>&#8220;Pamoja na ukandamizaji mkubwa wa uhu&#341;u wa kujieleza kwa miongo kadhaa, waandishi wengi wanaokosoa mamlaka husika ma&#341;a nyingi wanajikuta wakifunguliwa mashitaka ya aina mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kufungwa jela, na ni watu wachache tu wako taya&#341;i kuhata&#341;isha maisha yao kulinda haki ya kuzungumza,&#8221; PEN ilisema katika taa&#341;ifa kwa waandishi wa haba&#341;i. &#8220;Moja ya mfano mzu&#341;i ni wa Sihem Bensed&#341;ine, mha&#341;i&#341;i wa gazeti la mtandao la Kalima.&#8221; <\/p>\n<p>Bensed&#341;ine, ambaye pia ni kiongozi wa Ba&#341;aza la Taifa la Uhu&#341;u wa Kujieleza nchini Tunisia (CNLT), ameteseka adhabu nyingi kutoka kwa se&#341;ikali ya Tunisia kutokana na kutetea haki yake ya uhu&#341;u wa kujieleza, PEN ilisema. &#8220;Kwa kuongeza katika kusumbuliwa na kufuatiliwa na polisi, mwandishi wa haba&#341;i na mwanaha&#341;akati wa haki za binadamu huyo ameshawahi kupigwa akiwa mikononi mwa polisi.&#8221; <\/p>\n<p>Katika taa&#341;ifa iliyotolea kupitia PEN, Bensed&#341;ine alisema: &#8220;Inabidi itambuliwe kwamba mtandao wa kompyuta ni di&#341;isha kubwa kwa &#341;aia wa Tunisia katika hali hii ya kukosekana kwa uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i na uhu&#341;u wa mawasiliano. Ni Tovuti ambayo inawawezesha wananchi wa Tunisia kupata haba&#341;i kuhusu kinachotokea katika nchi yao wenyewe, ni hapo ndipo wanapogundua mshikamano wa kimataifa au mshikamano wa watu wanaopambana dhidi ya udikteta.&#8221; <\/p>\n<p>Nchini I&#341;an Tume ya Waandishi wa Haba&#341;i za Mage&#341;eza inasema ina wasiwasi zaidi kuhusu kesi saba dhidi ya waandishi wa haba&#341;i wa mtandao ambao walikamatwa kati ya Septemba na Novemba 2004. Miongoni mwao walikuwa ni wanawake wawili, Mahboudeh Abbasgholizadeh,mha&#341;i&#341;i mkuu wa gazeti la wanawake la Fe&#341;zaneh, na Fe&#341;shteh Ghazi, mwandishi wa haba&#341;i wa gaze&#341;i la kila siku la Etemad. <\/p>\n<p>Mahboudeh Abbasgholizadeh alikamatwa Nov. 1 mwaka jana alipokuwa aki&#341;ejea kutoka kwenye Kongamano la Kijamii la Ulaya mjini London. Ali&#341;ipotiwa kushitakiwa kutokana na &#8220;vitendo vyake dhidi ya usalama wa taifa na kueneza p&#341;opaganda&#8221;, lakini baadaye aliachiliwa kwa dhamana. <\/p>\n<p>Fe&#341;shteh Ghazi ni mwandishi wa gazeti la kila siku la Etemad, na aliwekwa kizuizini kama sehemu ya udhibiti wa uandishi katika mtandao, PEN alisema. Alikamatwa Okt. 28 na Eda&#341;ah Amaken, ambaye ni polisi wa maadili, na anasemakana alidaiwa kuwa na &#8220;tabia chafu&#8221;. PEN inasema katika &#341;ikodi yake kuna waandishi wengine 28 ambao wapo kifungoni au katika hukumu nchini I&#341;an. <\/p>\n<p>Ma Yalian kutoka China alihukumiwa miezi 18 kutokana na makala yake ijulikanayo kama &#8216;Elimu kwa Njia ya Kazi&#8217; (RTL) mwezi Machi 2004 ambayo ilikosoa mtandao wa kuleta upinzani dhidi ya Wachina, PEN ilisema. <\/p>\n<p>Katika makala yake, Ma alitoa ushahidi wa wazi wa unyanysaji wa kimwili uliofanywa na polisi na maofisa nje ya ofisi za upinzani mjini Beijing dhidi ya wapinzani wa mfumo huo, PEN ilisema katika taa&#341;ifa yake. &#8220;Ikiwa ni pamoja na kuzungumzia kiundani unyanyasaji wa kimwili alioupata akiwa mikononi mwa mamlaka, makala ya Ma pia ilihusu uzoefu binafsi wa watu wengine ambao wamewahi kunyanyaswa wakati wanaja&#341;ibu kuandika ba&#341;ua za kupinga mfumo huo. Makala pia ilihusu watu ambao wamewahi kujinyonga nje ya ofisi hizo.&#8221; <\/p>\n<p>Katika nchi nyingi duniani kote wanaha&#341;akati kwa njia ya mtandao &#8220;wameteka mtandao kwa shauku kubwa kama njia ya kuelezea maoni yao kuhusu se&#341;ikali zao na kuanzisha kampeni dhidi ya mageuzi ya kisiasa,&#8221; PEN ilisema. &#8220;Ma&#341;a nyingi, njia za mawasiliano za jadi kwa kuandika, kama vile maja&#341;ida, zimepigwa ma&#341;ufuku. Hivyo mtandao unaweza kuwa njia ya kutoa maoni isiyokuwa na upinzani.&#8221; <\/p>\n<p>Wanawake wanaotumia mtandao wa intaneti kusambaza mawazo yao wamejikuta wakibanwa na baadhi ya mbinu za kibabe za se&#341;ikali kudhibiti upashanaji wa haba&#341;i katika tovuti, PEN ilisema. Ilisema inakumbuka &#8220;ushupavu wa wanawake hawa, na wanawake wote waandishi na waandishi wa haba&#341;i ambao leo hii wapo kizuizini na katika mashambulizi kutokana na kutekeleza haki yao ya kujieleza.&quot;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LONDON, Machi 8 (IPS) &ndash; Siku ya Wanawake Duniani inakutaka ujiulize kuhusu nusu ya dunia, lakini mashi&#341;ika mawili ya waandishi yalitoa mwito siku ya Alhamisi hasa kwa wanawake watatu &#8220;walioshambuliwa kutokana na kutumia teknolojia ya haba&#341;i kukosoa se&#341;ikali zao.&#8221; Shi&#341;ika la uhu&#341;u wa kujieleza lenye makao yake makuu mjini London&ndash;lijulikanalo kama PEN lilitumia siku ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":116,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-895","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/895","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/116"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=895"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/895\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=895"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=895"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=895"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}