{"id":894,"date":"2005-03-08T13:40:01","date_gmt":"2005-03-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/08\/uchumi-burkina-faso-kwa-wafanyakazi-ubinafisishaji-una-mvuto-mdogo\/"},"modified":"2005-03-08T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-08T13:40:01","slug":"uchumi-burkina-faso-kwa-wafanyakazi-ubinafisishaji-una-mvuto-mdogo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/08\/uchumi-burkina-faso-kwa-wafanyakazi-ubinafisishaji-una-mvuto-mdogo\/","title":{"rendered":"UCHUMI&ndash;BURKINA FASO: Kwa wafanyakazi, Ubinafisishaji Una Mvuto Mdogo"},"content":{"rendered":"<p>OUAGADOUGOU, Machi 7 (IPS) &ndash; Kwa kipindi cha zaidi ya muongo mmoja uliopita, Bu&#341;kina Faso imekuwa ikiendesha zoezi la ubinafisishaji wa mashi&#341;ika ya umma. Hata hivyo, mpango huo hauonekani kuungwa mkono na wafanyakazi &ndash; na kikundi kingine cha wafanyabiasha&#341;a madai yao yamezidi kuongezeka.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Tole Sagnon, Katibu Mkuu wa Shi&#341;ikisho la Wafanyakazi wa Bu&#341;kina Faso anataka &#8220;kukomeshwa&#8221; kwa ubinafisishaji wa makampuni ya se&#341;ikali, tathmini ya kweli na sahihi kuhusu ubinafisishaji uliofanywa zamani, na kuwaadhibu (viongozi) wanaokutwa na hatia kutokana na uhalifu wa kifedha wakati walipokuwa wakiongozi mambo ya kitaifa &#8220;. <\/p>\n<p>Wakati ambapo se&#341;ikali ilikubaliana wakati wa kuanza kwa mpango wa ubinafisishaji mwaka 1991 kushau&#341;iana na vyama vya wafanyakazi kuhusu uuzaji wa mali za umma, wafanyakazi hawakufu&#341;ahishwa kuhusu jinsi mashau&#341;iano hayo yalivyokuwa yakiendeshwa. Hii imelazimu Sagnon kutoa mwito kwa waaji&#341;iwa wa makampuni ya umma kushi&#341;ikishwa katika &#8220;maamuzi yote ambayo yanaathi&#341;i maisha yao na hatma ya nchi yao &#8220;. <\/p>\n<p>Wasiwasi uliongezeka kwa upande wa wafanyakazi labda kutokana na wimbi la ka&#341;ibuni la ubinafisishaji na ukweli kwamba mashi&#341;ika mengi yaliyopo taya&#341;i kuuzwa yanahusiana na sekta muhimu kama vile mawasiliano, umeme na ugavi wa maji &ndash; na ugavi wa pet&#341;oli. Makampuni haya ni pamoja na Bu&#341;kinabe P&#341;ecious Metals Syndicate na makampuni mawili ambayo yanahusiana na madini na miamba, na usimamizi na usafishaji wa maji. <\/p>\n<p>&#8220;Tunatambua,&#8221; anasema Geo&#341;ges Kouanda,mwakilishi wa wafanyakazi kutoka Kampuni ya Taifa ya Ugavi wa Umeme nchini Bu&#341;kina Faso (Soci&eacute;t&eacute; nationale d&#8217;&eacute;lect&#341;icit&eacute; du Bu&#341;kina, SONABEL). &#8220;Uatfiti katika suala hili unaonyesha kwamba mabadiliko haya hayataweza kufaidisha se&#341;ikali ya Bu&#341;kina Faso, wala wafanyakazi wa SONABEL.&#8221; <\/p>\n<p>Maneno haya yanasemwa pia na Sagnon. <\/p>\n<p>&#8220;Sasa hivi, umeme taya&#341;i ni wa ghali. Utaweza kuzidi kuwa wa ghali baada ya ubinafisishaji,&#8221; aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Kwa sasa, SONABEL inagawa umeme ka&#341;ibu katika asilimia 14 ya nchi ya Bu&#341;kina Faso &ndash; kiwango ambacho inaandaa kuongeza hadi asilimia 60 katika kipindi cha miaka kumi. <\/p>\n<p>&#8220;Kufikia lengo hili, mpango mkubwa wa uwekezaji&#8230;umeshakubaliwa, ambao unakadi&#341;iwa kugha&#341;imu Fa&#341;anga bilioni 240 (kama dola za Kima&#341;ekani milioni 480),&#8221; Cheick Oma&#341; Bony wa ofisi ya mawasiliano katika kampuni hiyo aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Kwa upande wake, se&#341;ikali inashikilia kwamba wafanyakazi wamekuwa sambamba na maendeleo katika mpango wa ubinafisishaji. <\/p>\n<p>&#8220;Haki za wafanyakazi katika mashi&#341;ika yanayobinafisishwa zimeheshimiwa,&#8221; Wazi&#341;i wa Maendeleo ya Biasha&#341;a Benoit Ouatta&#341;a alisema katika mkutano na waandishi wa haba&#341;i hivi ka&#341;ibuni. &#8220;Hakuna ubinafishaji umeweza kufanyika bila ya kushau&#341;iana kwanza na wawakilishi wa wafanyakazi.&#8221; <\/p>\n<p>Uuzaji wa mashi&#341;ika ya umma, anaongeza Placide Some, &#341;ais wa Tume ya Taifa ya Ubinafisishaji, pia una lengo la &#8220;kubo&#341;esha ubo&#341;a wa huduma na kupunguza gha&#341;ama katika kusaidia ukuaji wa maendeleo&#8221; katika makampuni. <\/p>\n<p>Kwa kuongeza, Wiza&#341;a ya Fedha inasema kwamba &#341;uzuku zinazotolewa katika makampuni ya se&#341;ikali yaliyokuwa yakiendeshwa kwa hasa&#341;a zimesababisha hasa&#341;a kubwa kwa hazina. <\/p>\n<p>Mwaka 1991, se&#341;ikali ilihitaji kama dola milioni 41 kuwezesha makampuni ambayo sasa yamebinafisishwa kuendelea kufanya kazi. Hata hivyo, faida ya uuzaji wa makampuni hayo yaliyobinafisishwa imeletea se&#341;ikali zaidi ya dola milioni 43 hadi Desemba 2003. Makampuni katika o&#341;odha ni pamoja na Shi&#341;ika la Ndege la Bu&#341;kina Faso, na Kampuni ya Ngozi na Manyoya ya Bu&#341;kina Faso. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali pia inadai kwamba uwekezaji katika mashi&#341;ika haya ulipanda kutoka dola milioni 4.6 mwaka 1991 hadi dola milioni 50 mwishoni mwa mwaka 2003. <\/p>\n<p>Lakini, wanasema wafanyakazi, takwimu hizi zinaelezea tu sehemu ya hadithi. <\/p>\n<p>&#8220;Kila ubinafisishaji unapelekea kuachishwa kazi kwa watu,&#8221; Moussa Kabo&#341;&eacute;, ambaye alipoteza kazi katika kampuni ya se&#341;ikali ya usafi&#341;ishaji, aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Na, anasema, upunguzaji huo wa wafanyakai una matokeo mabaya zaidi kwa nchi ya Bu&#341;kina Faso, ambapo watu wana familia kubwa: &#8220;Katika nchi ambapo mfanyakazi anasaidia kama watu kumi hivi, unaweza kutambua ni kwa nini tunapinga ubinafisishaji ambao unatuletea shida.&#8221; <\/p>\n<p>Sidy Ba&#341;&#341;y, mwanashe&#341;i anayefundisha katika Shule ya Uongozi ya Taifa, anahoji kama se&#341;ikali inaweza kushindwa kutimiza wajibu wake kwa wananchi wa Bu&#341;kina Faso kwa kuuza mashi&#341;ika yote ya se&#341;ikali. <\/p>\n<p>&#8220;Ni nani zaidi ya se&#341;ikali anaweza kuhudumia watu wake  Kwa kubinafisisha makampuni kama haya, siyo kwamba (se&#341;ikali) inaweka &#341;eheni maendeleo ya nchi na watu wake &#8221; aliuliza. <\/p>\n<p>Kama hali ambapo ubinafisishaji unaendelea, mwanauchumi Moussa Nogo anaamini kuna haja ya kuwepo kwa mfumo shi&#341;ikishi zaidi. <\/p>\n<p>Uuzaji wa mali za umma, anasema, unahitaji kuchanganywa na kuendeleza &#8220;ushi&#341;iki wa watu wafanyakazi (kutoka makampuni ya se&#341;ikali)&#8230;na wawekezaji wadogowadogo &#8221; katika sekta binafsi. <\/p>\n<p>Hadi leo hii, makampuni 27 yanayomilikiwa na se&#341;ikali yamekwishabinafisishwa.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>OUAGADOUGOU, Machi 7 (IPS) &ndash; Kwa kipindi cha zaidi ya muongo mmoja uliopita, Bu&#341;kina Faso imekuwa ikiendesha zoezi la ubinafisishaji wa mashi&#341;ika ya umma. Hata hivyo, mpango huo hauonekani kuungwa mkono na wafanyakazi &ndash; na kikundi kingine cha wafanyabiasha&#341;a madai yao yamezidi kuongezeka. Tole Sagnon, Katibu Mkuu wa Shi&#341;ikisho la Wafanyakazi wa Bu&#341;kina Faso anataka&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":187,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-894","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/894","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/187"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=894"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/894\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=894"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=894"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=894"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}