{"id":893,"date":"2005-03-08T13:40:01","date_gmt":"2005-03-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/08\/haki-uganda-seikali-yaudi-nyuma-hatua-mbili\/"},"modified":"2005-03-08T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-08T13:40:01","slug":"haki-uganda-seikali-yaudi-nyuma-hatua-mbili","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/08\/haki-uganda-seikali-yaudi-nyuma-hatua-mbili\/","title":{"rendered":"HAKI&ndash;UGANDA: Se&#341;ikali Ya&#341;udi Nyuma Hatua Mbili"},"content":{"rendered":"<p>KAMPALA, Machi 6 (IPS) &ndash; Wanawake nchini Uganda wameishutumu se&#341;ikali ya Rais Yowe&#341;i Museveni kutokana na kutumia utamaduni kudhoofisha haki zao.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Madai yao yaliongezeka baada ya se&#341;ikali kutangaza kupiga ma&#341;ufuku mchezo ujulikanao kama &#8216;The Vagina Monologues&#8217;, ambao unaonyesha ukiukwaji wa haki za wanawake. <\/p>\n<p>Miongoni mwa wanaokosoa kupigwa ma&#341;ufuku kwa mchezo huo, Jackie Wesonga taya&#341;i ameshanunua tiketi kutizama mchezo huo mjini Kampala, mji mkuu wa Uganda. <\/p>\n<p>&#8221;Hili haliwezi kukubaliwa, siyo haki na ni kinyume na katiba. Kwa nini wanafanya hivyo wakati ambapo wanawake wanazidi kuupenda  Huu ni ukandamizaji, kutu&#341;udisha hatua kumi nyuma,&#8221; alilaumu mwanamama wa miaka 34 ambaye ni mwalimu wa shule ya sekonda&#341;i. <\/p>\n<p>Ukiwa umeandaliwa na vikundi vya wanawake nchini Uganda, mchezo wa kukumbukwa, ulikuwa na dhumuni la kuhamasisha kuhusu unyanyasaji wa wanawake, huku wanawake wakitoa uzoefu wao wa kubakwa, kufanya ngono na ndugu, kupigwa na ukeketaji. <\/p>\n<p>Maudhui ya mchezo ulikuwa na lengo la kuwasaidia wanawake katika eneo lenye vita kaskazini mwa nchi. <\/p>\n<p>Lakini katika mkutano kwa waandishi wa haba&#341;i mapema wiki hii, wazi&#341;i wa nchi anayeshughulikia haba&#341;i Nsaba&ndash;Butu&#341;o alitangaza kwamba mchezo huo, ambao ulitakiwa kuanza ku&#341;ushwa hewani Feb. 19, umepigwa ma&#341;ufuku &#8216;kutokana na kwamba jina lake lingeweza kuvunja maadili ya jamii&#8217;. <\/p>\n<p>Waandaaji, shi&#341;ika lisilokuwa la ksie&#341;ikali (NGO), Akina Mama Wa Af&#341;ika, na Mtandao wa Wanawake wa Uganda walisema kinachotakiwa ni maudhui na wala siyo jina la mchezo. Mchezo wa &#8220;The Vagina Monologues&#8221; ulikuwa na maana ya kuelimisha na kuhamasisha jamii, walisema. <\/p>\n<p>&#8221;Hii ni sawa na kunyamazisha sauti za wanawake na ni kikwazo na daima kimekuwa ni kikwazo katika kushughulikia suala la unyanyasaji dhidi ya wanawake katika njia inayofaa zaidi,&#8221; vikundi hivyo vilisema katika taa&#341;ifa yao ya pamoja iliyotolewa katika mkutano kwa waandishi wa haba&#341;i mjini Kampala Feb. 19.<\/p>\n<p>Mwanaha&#341;akati na aliyewahi kuwa Wazi&#341;i wa Maadili na Uadilifu, Mi&#341;ia Matembe, alidai kwamba kupigwa ma&#341;ufuku kwa mchezo huo ilikuwa ni hatua ya se&#341;ikali na Ba&#341;aza la Haba&#341;i kuwanyamazisha waathi&#341;ika wa unyanyasaji wa majumbani na unyanyasaji wa kijinsia unaofanywa na wanaume. <\/p>\n<p>&#8221;Kama ilikuwa ni wanaume wanaoigiza, nafiki&#341;i (mchezo huo) unge&#341;uhusiwa kufanyika,&#8221;alisema Matembe, mtu mwenye utata ambaye kuna wakati alipendekeza kwamba mwanaume anayekamatwa amemnajisi mtoto ahasiwe. <\/p>\n<p>Wesonga, mhanga wa unyanyasaji wa majumbani, aliiambia IPS: &#8221;Bado wanawake wana safa&#341;i ndefu &ndash; vita ngumu katika dunia hii ya watu wasiobadilika kiu&#341;ahisi.&#8221; <\/p>\n<p>Kuwa wakweli, se&#341;ikali ya Rais Museveni tangu mwaka 1986, ilitoa mazingi&#341;a hu&#341;u kwa ajili ya vyama vya ki&#341;aia kustawi ikilinganishwa na se&#341;ikali zilizopita. <\/p>\n<p>Ilipochukua mada&#341;aka miaka 19 iliyopita, moja ya mambo yasiyokuwa ya kawaida kufanywa ni kuingizwa kwa wanawake katika jeshi wakipigana sambamba na wanaume huko po&#341;ini, ili kuiokomboa nchi. Miongoni mwao kulijitokeza wanawake wa kukumbukwa jeshini kama vile Luteni Kanali Nalweyiso na Kapteni Zizinga. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya Rais Museveni ilitambua wajibu wa wanawake katika maendeleo. Ikiwa ni pamoja na kuteuliwa kwa Makamu wa Rais wa Kwanza mwanamke Specioza Wandi&#341;a Kazibwe, Naibu Jaji Mkuu wa Kwanza Leticia Kigonyogo na wanawake wengine katika ba&#341;aza la mawazi&#341;i, Museveni alikuja kuwa kipenzi cha wanawake, ambao waliweza kumpa kodi. Kutokana na suala hilo, kiongozi huyo wa Uganda alitangaza kwamba moja ya tatu ya kazi zote za se&#341;ikali zijazwe na wanawake. <\/p>\n<p>Pia, pointi 1.5 zilipewa kwa wasichana wote kuongeza idadi yao katika vyuo vikuu. <\/p>\n<p>Mashi&#341;ika kadhaa ya wanawake yalianzishwa, yakihubi&#341;i maneno ya ukombozi wa wanawake na neno la ukombozi, la kwanza likiwa shi&#341;ika la Action Fo&#341; Development (ACFODE). Shi&#341;ika hili lililoanzishwa na wanawake, liliwahi kukataliwa na se&#341;ikali iliyopita ya Idi Amin kuweza kuhudhu&#341;ia Mkutano wa Umoja wa Mataifa katika mji mkuu wa Kenya wa Nai&#341;obi mwaka 1985. <\/p>\n<p>Mwaka 1978 Amin alipiga ma&#341;ufuku mashi&#341;ika yote yasiyokuwa ya kise&#341;ikali nchini Uganda. Hata hivyo, leo hii, nje ya wabunge 302, 75 ni wanawake. <\/p>\n<p>Tangu Museveni alipochukua mada&#341;aka, idadi kubwa ya mipango ya utekelezaji, ikiwa ni pamoja na Mpango wa taifa wa Maendeleo ya wanawake wa Mwaka 1999 na Se&#341;a ya Jinsia ya Mwaka 1997 ilitangazwa kusaidia wanawake kuwa sawa na wanaume. Walio&#341;odhesha hatua za kimkakati nchini Uganda zilizotumika katika kutekeleza Jukwaa la Beijing Mwaka 1995. <\/p>\n<p>Katiba ya Uganda mwaka 1995, ambayo inaonekana kuwajibika katika suala la jinsia, inatoa msingi wa kishe&#341;ia katika kukuza usawa kati ya jinsia tofauti kuwasaidia wanawake. <\/p>\n<p>&#8221;Inabidi wanawake kupewa heshima yote na haki sawa na wanaume,&#8221; inasema. <\/p>\n<p>Lakini tukio la mwezi uliopita limezo&#341;otesha maendeleo yote haya. <\/p>\n<p>Mwanaha&#341;akati na mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Ida&#341;a ya She&#341;ia ya Chuo Kikuu cha Make&#341;e&#341;e, Sylvia Tamale anasema &#8216;wanawake wameshavuka msta&#341;i wa kufiki&#341;ika kati ya mazingi&#341;a binafsi au ya nyumbani na kuingia katika mazingi&#341;a ya umma.&#8221; Lakini hilo halitoshi. <\/p>\n<p>Anaelezea mafanikio mengi ya se&#341;ikali kuwa &#8221;yanaanzia juu kwenda chini&#8221; ikiwa ni pamoja na se&#341;a ya jinsia ambapo wanawake hawajashi&#341;ikishwa katika kuijadili. &#8221;(Se&#341;a hiyo) ina matatizo mengi sana. Kwa mfano, wawakilishi wanawake bado wanachaguliwa na Chuo Kilichojaa wanaume. <\/p>\n<p>&#8221;Hii inamaanisha kwamba nguvu yao ipo kwa Chuo cha Uchaguzi &ndash; wanaume,&#8221; anasema. Tamale anaamini kwamba wanawake viongozi hawana nguvu ya kweli nchini Uganda.<\/p>\n<p>&#8221;Tuna wanawake wengi kwa kuhesabu katika nafasi za mada&#341;aka, lakini kimaudhui hakuna chochote kilichofanyika katika kukuza ushi&#341;iki,&#8221; anasema, akimaanisha makamu wa Rais Kazibwe. &#8221;Kazibwe alikuwa makamu wa Rais. Lakini wakati Rais Museveni alipokuwa safa&#341;ini, Kazibwe hakushika nafasi yake. Alikuwa mada&#341;akani bila ya mada&#341;aka,&#8221; Tamale anasema. <\/p>\n<p>Eneo jingine ni unyanyasaji wa majumbani. Upigaji wa wanawake &ndash; moja ya unyanyasaji mkubwa wa majumbani, kwa mfano, umehalalishwa katika baadhi ya mazingi&#341;a. <\/p>\n<p>Kulingana na Utafiti wa Afya na Idadi ya Watu, ambao umetolewa hivi ka&#341;ibuni na Kitengo cha Takwimu nchini Uganda, zaidi ya theluthi tatu ya wanawake nchini Uganda wanakubali kuhalalishwa kupiga wake zao. Sababu ni pamoja na kubishana na waume zao, kusafi&#341;i bila ya kuaga mume, kutelekeza watoto na kukataa kufanya mapenzi na mumeo. <\/p>\n<p>&#8221;Hii haishangazi kwasababu destu&#341;i zinawafundisha wanawake kukubali, kuvumilia na hata kulipa mantiki suala la kupigwa,&#8221; inasema &#341;ipoti hiyo. &#8221;Mila hii ni kikwazo kikubwa katika uwezeshwaji wa wanawake na matokeo yake katika afya zao.&#8221; <\/p>\n<p>Na unyanyasaji huu unahusiana na tabaka, elimu na hata kabila. Makamu wa Rais wa zamani Kazibwe, kwa mfano, alitangaza wazi wazi kuachana na mume wake kutokana na kupigwa. <\/p>\n<p>Ili kuhudhunisha zaidi wanawake, Muswada wa Mahusiano ya Majumbani, she&#341;ia ambayo ingeweza kushughulikia masuala kama haki za kumiliki a&#341;dhi na nyumba katika ndoa, haki za kushau&#341;iana katika suala la ngono kwa misingi ya afya, haukuweza kupitishwa. <\/p>\n<p>&#8221;(Muswada huo) umekuwa katika makabati kwa miongo sasa na bado se&#341;ikali inazidi kubu&#341;uza miguu yake. Hii inaonyesha kukosekana kwa utashi wa kisiasa kwa upande wa se&#341;ikali kutekeleza Ulingo wa Beijing wa Mwaka 1995,&#8221; Tamale anasema. <\/p>\n<p>Anasema: &#8221;Baadhi ya maeneo ya tamaduni zetu yametupwa kutokana na kwamba ni mazu&#341;i kwa wanaume. Lakini linapokuja suala la haki za wanawake, wanaume wanasema kwamba &#8216;hiyo ni kinyume cha utamaduni wetu&#8217;.&#8221; <\/p>\n<p>Mijadala yote hii ni ya nadha&#341;ia. Hakuna uwezekano kwamba se&#341;ikali ita&#341;uhusu mchezo wa &#8220;Vagina Monologues&#8221; kuigizwa nchini Uganda.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KAMPALA, Machi 6 (IPS) &ndash; Wanawake nchini Uganda wameishutumu se&#341;ikali ya Rais Yowe&#341;i Museveni kutokana na kutumia utamaduni kudhoofisha haki zao. Madai yao yaliongezeka baada ya se&#341;ikali kutangaza kupiga ma&#341;ufuku mchezo ujulikanao kama &#8216;The Vagina Monologues&#8217;, ambao unaonyesha ukiukwaji wa haki za wanawake. Miongoni mwa wanaokosoa kupigwa ma&#341;ufuku kwa mchezo huo, Jackie Wesonga taya&#341;i ameshanunua&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":15,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-893","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/893","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/15"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=893"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/893\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=893"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=893"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=893"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}