{"id":889,"date":"2005-03-07T13:40:01","date_gmt":"2005-03-07T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/07\/haki-sudan-viongozi-wa-congess-nchini-maekani-wataka-hatua-za-haaka-kuchukuliwa-katika-dafu\/"},"modified":"2005-03-07T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-07T13:40:01","slug":"haki-sudan-viongozi-wa-congess-nchini-maekani-wataka-hatua-za-haaka-kuchukuliwa-katika-dafu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/07\/haki-sudan-viongozi-wa-congess-nchini-maekani-wataka-hatua-za-haaka-kuchukuliwa-katika-dafu\/","title":{"rendered":"HAKI &ndash; SUDAN: Viongozi wa Cong&#341;ess Nchini Ma&#341;ekani  Wataka Hatua za Ha&#341;aka Kuchukuliwa katika Da&#341;fu&#341;"},"content":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Machi 2 (IPS) &ndash; Kikundi cha Maseneta nchini Ma&#341;ekani kimetoa mwito wa kuchukuliwa kwa hatua za ha&#341;aka na utawala wa Rais Geo&#341;ge W. Bush na Ba&#341;aza la Usalama la Umoja wa Mataifa kukomesha vu&#341;ugu katika mkoa wa Da&#341;fu&#341;.<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Maseneta Jon Co&#341;zine na Sam B&#341;ownback, ambao waliongoza jitihada zilizofanikiwa katika maji&#341;a ya kiangazi yaliyopita ili kuandikwa kwa azimio kwamba Kha&#341;toum na Wanamgambo wa Kia&#341;abu wanaojulikana kama Janjaweed,mkoani Da&#341;fu&#341; walikuwa wakifanya &#8220;mauaji ya kuangamiza&#8221; dhidi ya &#341;aia wa Kiaf&#341;ika katika mkoa huo, waliunda She&#341;ia ya Uwajibikaji Kuhusu Da&#341;fu&#341; (DAA) siku ya Jumatano, wakiwa pamoja na maseneta wengine sita kutoka vyama vya Republican na Democ&#341;atic. <\/p>\n<p>She&#341;ia hiyo, ambayo haifungamani, inatoa mwito wa azimio jingine jipya la Ba&#341;aza la Usalama la kuweka vikwazo dhidi ya se&#341;ikali ya Sudan; kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya vikundi visivyokuwa &#341;asmi katika Da&#341;fu&#341; na Kha&#341;toum yenyewe; kufungia mali na kukataliwa viza kwa wale waliohusika na mauaji; kuongeza msaada kwa ujumbe wa waangalizi wa Umoja wa Af&#341;ika katika mkoa huo; kuteuliwa kwa mjumbe maalum kwa ajili ya Sudan; na kuanzisha ukanda wa kutoku&#341;uhusu ndege ku&#341;uka katika Da&#341;fu&#341;. <\/p>\n<p>&#8220;Hatuna siku wala wiki za kupoteza wakati mamilioni ya maisha yako hata&#341;ini,&#8221; alisema B&#341;ownback, kiongozi wa Haki za Kik&#341;isto katika Chama cha Republican. &#8220;Hatuwezi kuipa se&#341;ikali ya Sudan na Janjaweed muda zaidi kuua makabila ya Waaf&#341;ika katika Da&#341;fu&#341;.&#8221; <\/p>\n<p>Hatua hiyo inakuja wakati jitihada za utawala wa Bush kutaka kuundwa kwa azimio jipya kuhusu Sudan na Da&#341;fu&#341; kupitia Ba&#341;aza la Usalama zimekwama kutokana na tofauti zilizojitokeza, na washi&#341;ika zake wa Umoja wa Ulaya (EU) kuhusu kama mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa (ICC) au mahakama ya kikanda ya Af&#341;ika ipewe mamlaka ya kuchunguza na kufungulia mashitaka wahusika wa uhalifu dhidi ya ubinadamu wakati wa miaka miwili ya vita. <\/p>\n<p>Pia zimeshindwa kutokana na vitisho kutoka Russia, ambayo inauza kiasi kikubwa cha silaha kwa Kha&#341;toum,na China, ambayo imewekeza zaidi katika sekta ya mafuta ya Sudan, kupigia ku&#341;a ya tu&#341;ufu azimio ambalo lingewekea vikwazo vya kiuchumi au silaha dhidi ya se&#341;ikali hiyo. <\/p>\n<p>Masuala hayo yamezidisha ongezeko la kuchanganyikiwa kwa Washington, ambapo muungano usiokuwa wa kawaida wa wanaha&#341;akati wa Kik&#341;isto, vikundi vya haki za binadamu, na Wanademok&#341;asia za kilibe&#341;ali wamekuwa wakishinikiza kwa nguvu se&#341;ikali na Cong&#341;ess kuchukua hatua kali zaidi kukomesha vita ambavyo vimesababisha vifo vya watu 70,000 kwa uchache na, kulingana na baadhi ya makadi&#341;io, zaidi ya &#341;aia 300,000 wa Da&#341;fu&#341;, wengi wao wakiwa ni Waislamu wa Kiaf&#341;ika kuyakimbia makazi yao <\/p>\n<p>&#8220;Muswada wa Co&#341;zine\/B&#341;ownback umetungwa kwa kuchanganyikiwa kutokana na Umoja wa Mataifa kushindwa kuchukua hatua na utawala wa Bush kushindwa kutoa uamuzi,&#8221; alisema E&#341;ic Reeves, p&#341;ofesa wa Chuo cha Smith College na mwanaha&#341;akati anayejulikana zaidi wa Ma&#341;ekani kuhusu nchini Sudan. <\/p>\n<p>&#8220;Lakini hauangalii masuala muhimu katika jumuiya ya kimataifa,&#8221; aliongeza, akibainisha kwamba azimio hilo halifungamani na haliongezi masuala mengi zaidi katika she&#341;ia iliyopo. <\/p>\n<p>Kwa upande wake hasa, halitoi mwito wa kuongeza mamlaka ya aska&#341;i waangalizi wa AU, ambao sasa wanafikia zaidi ya 1,500 nje ya 3,000 walio&#341;uhusiwa na Ba&#341;aza la Usalama Septemba iliyopita, ili kuwawezesha kutumia nguvu kuzuia mashambulizi dhidi ya &#341;aia wa Da&#341;fu&#341; badala ya kusimamia tu hali ya mambo. <\/p>\n<p>Ka&#341;ibu watu milioni mbili wameng&#8217;olewa tangu Kha&#341;toum ilipoanzisha kampeni yake ya kulipiza kisasi dhidi ya Waaf&#341;ika wa Da&#341;fu&#341; mapema mwaka 2003. Wakati ambapo watu 200,000 walito&#341;oka na kuvuka mpaka na kuingia Chad, waliobakia waliyahama makazi yao na kukimbilia maeneo mengine ya nchi, hasa katika makambi yaliyokuwa chini ya jeshi au Janjaweed, ambao wafuasi wao wanatokana na Waa&#341;abu wanaoishi Da&#341;fu&#341;. <\/p>\n<p>&#8220;Tutaweza kulinda mamia kwa maelfu ya &#341;aia huko Da&#341;fu&#341; ambao wapo hata&#341;ini kushambuliwa na Kha&#341;toum na washi&#341;ika wake Janjaweed &#8221; aliuliza, akibainisha kwamba &#8220;AU haitoshi kufanya kazi hiyo, pamoja na kwamba hakuna dhami&#341;a kutoka kwa viongozi wake wa kisiasa kuongea zaidi.&#8221; <\/p>\n<p>Taa&#341;ifa za hivi ka&#341;ibuni zilikuja wakati shi&#341;ika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) lilipotoa kanda yake ya video iliyohusu mahojiano na kiongozi wa juu wa Janjaweed huko Da&#341;fu&#341;, Musal Hilal, yaliyofanyika mwezi Septemba uliopita. <\/p>\n<p>Katika mkanda huo, ambapo Hilal anasisitiza kwamba Janjaweed walitekeleza am&#341;i kutoka kwa makamanda wa jeshi, kunachanganya maelezo ya se&#341;ikali kwamba haina udhibiti wa wanamgambo hao. <\/p>\n<p>&#8220;Watu wote katika uwanja wa mapambano wanaongozwa na makamanda wa jeshi wa ngazi za juu,&#8221; Hilal anasema katika mkanda. &#8220;Watu hawa wanapata am&#341;i kutoka kwa kikosi cha jeshi cha Magha&#341;ibi, na kutoka Kha&#341;toum.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Musa Hilal pia anachanganya madai ya se&#341;ikali kwamba haina &#8216;uhusiano&#8217; na wanamgambo wa ndani,&#8221; alisema Pete&#341; Taki&#341;ambudde, mku&#341;ugenzi wa HRW katika kanda ya Af&#341;ika. Alisema se&#341;ikali kwa muda m&#341;efu imekuwa ikisisitiza kwamba &#8220;haifungamani na upande wowote&#8221;. <\/p>\n<p>&#8220;Sasa tunaona kwamba maeneo mawili yanahusika na uhalifu dhidi ya ubinadamu huko Da&#341;fu&#341; yananyoosheana vidole,&#8221; Taki&#341;ambudde alisema. <\/p>\n<p>Kama ilivyo kwa kamati maalum ya Umoja wa Mataifa na shi&#341;ika la Amnesty Inte&#341;national ambao walitoa &#341;ipoti yao wiki iliyopita, HRW imesema bado haina ushahidi wa kutosha kuhitimisha kwamba vitendo vya se&#341;ikali vina hadhi ya kuitwa &#8220;mauaji ya halaiki&#8221;, pamoja na kwamba hakuna hoja kwamba ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu umefanywa na se&#341;ikali na Janjaweed. <\/p>\n<p>Kwa kuchanganyikiwa kwa baadhi ya wanaha&#341;akati, utawala wa Bush, ambao hivi ka&#341;ibuni ulimpeleka mwakilishi wake mpya kuongoza ubalozi wake wa Kha&#341;toum ili kwa upande mmoja kutoa ba&#341;aka katika mkataba wa amani uliosainiwa hivi ka&#341;ibuni kati ya se&#341;ikali na waasi wa Sudanese People&#8217;s Libe&#341;ation Movement (SPLM), kutoka kusini ambao wamekuwa wakipigana na se&#341;ikali ya Kha&#341;toum kwa miaka 21, bado haijatumia vikwazo vyake vyote dhidi ya se&#341;ikali hiyo kama ambavyo ilipitishwa na Cong&#341;ess mwaka jana. <\/p>\n<p>Hasa, imeshindwa hadi leo hii kuo&#341;odhesha watu katika se&#341;ikali na Janjaweed ambao wana mali zilizotakiwa kuzuiliwa kulingana na na Cong&#341;ess. Kwa kuongeza, utawala huo haujataka Ba&#341;aza la Usalama ku&#341;ekebisha mamlaka ya jeshi la AU ili kuweza pia kuhusisha kuwalinda &#341;aia. <\/p>\n<p>Na, kutokana na msimamo wake mkali kupinga ICC huko The Hague, Ma&#341;ekani imetumia nguvu nyingi za kidiplomasia kuja&#341;ibu kushawishi washi&#341;ika wake wa Ulaya kuunga mkono mpango wake wa kuwa na mahakaa maalum ya Af&#341;ika, pamoja na mahakama iliyopo ya mauaji ya halaiki ya Rwanda, ili kufungulia mashitaka kesi za Da&#341;fu&#341;. <\/p>\n<p>Wakionyesha mgawanyiko kati ya chama cha Democ&#341;ats na Republicans katika Cong&#341;ess kuhusu ICC, azimio la hivi ka&#341;ibuni lililoandaliwa na Co&#341;zine na B&#341;ownback linaja&#341;ibu kufuta suala hilo, na kutaka ukiukwaji wa haki za binadamu huko Da&#341;fu&#341; kufunguliwa mashitaka na &#8220;mahakama ya kimataifa yenye uwezo.&#8221; <\/p>\n<p>Katika ku&#341;a za maoni zilizotolewa Jumanne, Mpango wa Chuo Kikuu cha Ma&#341;yland Kuhusu Mtizamo wa Se&#341;a za Kimataifa (PIPA) uligundua kwamba asilimia 60 ya umma unaamini kwamba suala la Da&#341;fu&#341; lifikishwe ICC,hata kama sababu za se&#341;ikali kupinga mahakama hiyo zingeelezewa kwao.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Machi 2 (IPS) &ndash; Kikundi cha Maseneta nchini Ma&#341;ekani kimetoa mwito wa kuchukuliwa kwa hatua za ha&#341;aka na utawala wa Rais Geo&#341;ge W. Bush na Ba&#341;aza la Usalama la Umoja wa Mataifa kukomesha vu&#341;ugu katika mkoa wa Da&#341;fu&#341;. Maseneta Jon Co&#341;zine na Sam B&#341;ownback, ambao waliongoza jitihada zilizofanikiwa katika maji&#341;a ya kiangazi yaliyopita ili&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":68,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-889","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/889","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/68"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=889"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/889\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=889"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=889"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=889"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}