{"id":888,"date":"2005-03-07T13:40:01","date_gmt":"2005-03-07T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/07\/haki-afrika-kusini-kuipa-bajeti-ajenda-ya-jinsia\/"},"modified":"2005-03-07T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-07T13:40:01","slug":"haki-afrika-kusini-kuipa-bajeti-ajenda-ya-jinsia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/07\/haki-afrika-kusini-kuipa-bajeti-ajenda-ya-jinsia\/","title":{"rendered":"HAKI&ndash;AFRIKA KUSINI: Kuipa Bajeti Ajenda ya Jinsia"},"content":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Machi 2 (IPS) &ndash; Kuzungumza ni &#341;ahisi, lakini kutekeleza ahadi ni kugumu. Kama hivyo ndivyo, je mazungumzo yote kuhusu kuhakikisha kunakuwepo usawa kati ya wanawake na wanaume nchini Af&#341;ika Kusini kumeleta hatua ambayo ina maana zaidi: hatua hiyo ni kutengwa fedha kwa ajili ya masuala ya kijinsia katika bajeti ya taifa <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Ka&#341;ibu miaka kumi imepita, Wiza&#341;a ya Fedha iliahidi kutafuta njia ambapo bajeti ingekuza usawa wa kijinsia. Bado haikuweza kutokea, lakini msemaji wa wiza&#341;a ya fedha Tho&#341;aya Pandy alikuwa hayupo taya&#341;i kuzungumza sababu ya suala hilo. <\/p>\n<p>&#8220;Kuna ukuta wa ukimya katika suala hili,&#8221; anasema Penny Pa&#341;enzee wa Taasisi ya Demok&#341;asi ya Af&#341;ika Kusini yenye makao yake makuu mjini P&#341;eto&#341;ia, na kubainisha kwamba suala hili angalau kwa sehemu, linaweza kupelekea kuleta hofu kwamba wanaume watakuwa hawana chao katika bajeti ambayo inaangalia mahitaji ya wanawake. <\/p>\n<p>&#8220;Moja ya changamoto kubwa unapozungumzia masuala ya jinsia ni kwamba watu wananyanyua migongo yao&#8230;Wanakuwa na hofu kubwa kwamba suala hili linamaanisha nini kwa wanaume,&#8221; anasema Pa&#341;enzee, ambaye ana miaka miwili ya kutafiti kuhusu jinsi gani bajeti ina maana kubwa katika masuala ya kijinsia. &#8220;Unapozungumzia bajeti, pia ni vibaya. Kama unachanganya masuala hayo mawili, inakuwa ni vigumu mno.&#8221; <\/p>\n<p>Mafanikio katika suala hilo pia yanaonekana kupungua kasi yake baada ya wabunge wa chama tawala cha Af&#341;ican National Cong&#341;ess ambao walikuwa na jukumu kubwa katika kuelezea masuala ya jinsia, kama vile mwanaha&#341;akati P&#341;egs Govende&#341;, aliamua kuwa na maisha nje ya wavu wa samaki wa se&#341;ikali. <\/p>\n<p>Ni watu wachache tu nchini Af&#341;ika Kusini wanafanyia kazi masuala yanayofanana na bajeti katika jinsia, ambapo baadhi yao pia wamekuwa na madai mbalimbali katika nyakati zao. <\/p>\n<p>Hii pengine inaweza kuonyesha uhaba mkubwa wa ujuzi kwa upande wa se&#341;ikali. Kuna tatizo kubwa la ukosefu wa wataalam wa mahesabu nchini Af&#341;ika Kusini na hii imetokana na ubaguzi wa &#341;angi nchini humo ambapo ni kiasi kidogo sana se&#341;ikali ya kibaguzi imeweza kuwekeza katika kuwapatia watu weusi elimu kamili. <\/p>\n<p>Katika hali kama hiyo, Pa&#341;enzee anasema maofisa wengi wenye hu&#341;uma wanaona kwamba kutenga sehemu ya bajeti kwa ajili ya masuala ya kijinsia ni &#8220;kujiongezea kazi zaidi&#8221;. <\/p>\n<p>Hali hiyo pia inawezekana imetokana na pale ambapo uchambuzi wa bajeti katika suala zima la jinsia siyo tu kwamba ni kidogo, lakini pia hafifu. &#8220;Kulingana na mtizamo wangu ni kwamba kazi zetu ni za maneno zaidi: kuhusu kipi kipo katika bajeti na kipi kinakosekana. Bado hakujakuwepo na uchambuzi wa undani,&#8221; anasema Pa&#341;enzee. <\/p>\n<p>Lakini takwimu ambazo zinaonyesha kiasi cha fedha kilichotumika katika mipango ya jamii ambazo zinawafikia wanawake &ndash; ni, kama Pa&#341;enzee anavyosema, &#8220;suala gumu&#8221;. <\/p>\n<p>&#8220;Unawezaje kupima dhami&#341;a ya se&#341;ikali katika usawa wa kijinsia kama hutambui fedha zinakwenda wapi &#8221; anauliza. <\/p>\n<p>Kwa kufu&#341;ahia, kuna baadhi ya mafanikio katika baadhi ya maeneo, hasa bunge la mkoa mdogo lakini wenye nguvu wa Gauteng. Mkoa huo ni mkoa unaotoa &#341;asilimali nyingi zinazochangia kwa kiasi kikubwa zaidi kwenye pato la taifa katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a. <\/p>\n<p>Ida&#341;a kadhaa katika bunge la mkoa wa Gauteng sasa hivi zinatoa takwimu katika bajeti zao, wakati ambapo mikoa mingine imeomba msaada katika kuhakikisha kwamba takwimu zao zinazingatia jinsia. <\/p>\n<p>Kwa upande wake, P&#341;og&#341;amu ya Kutetea Masuala ya Jinsia, kikundi hu&#341;u cha utetezi chenye makao yake makuu katika mji wa mwambao wa Cape Town, kinalenga juu ya jinsi gani se&#341;ikali za mitaa zinaweza kutoa taa&#341;ifa zinazoonyesha ni kwa kiwango gani pesa za se&#341;ikali zinawafaidisha wanawake na wanaume. <\/p>\n<p>Pia mjini Cape Town, mashi&#341;ika ya kijamii saba ambayo yanapambana na unyanyasaji wa wanawake katika maeneo ya &#341;aia wa kipato cha chini na makazi yasiyopangiliwa ya Khayelitsha yamaeomba zahanati za maeneo hayo, mahakama na ofisi za polisi kutoa nakala za bajeti zao. Mashi&#341;ika hayo yanataka kufanya uchambuzi wa kijinsia kuhusu jinsi gani ida&#341;a hizo zinatumia fedha zao. <\/p>\n<p>Hadi leo hii, wanaha&#341;akati wametoka mikono mitupu &ndash; lakini bila ya kukata tamaa. Sasa hivi vikundi hivyo vya kijamii vinajiandaa kuzungumza na madiwani wao, kutaka kujua ni kwa nini wamekataliwa kufanyia thathmini bajeti hizo. <\/p>\n<p>Pia kuna mipango kuzungumza na wabunge katika kufanya bajeti ziwe zinazingatia masuala ya jinsia. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya kitaifa hivi ka&#341;ibuni imesifiwa kutokana na kuongeza msaada wa kijamii kama vile kuwasaidia watoto, mafao kwa wastaafu na kwa walemavu. <\/p>\n<p>Kuwa&#341;uhusu watoto wa maskini wanaofikia um&#341;i wa miaka 14 kuweza kupatiwa mafao kuna faida za wazi kwa wanawake, ambao ni watunzaji wakuu na ni wengi katika miongoni mwa idadi ya watu maskini. <\/p>\n<p>Lakini wanaha&#341;akati wanatahadha&#341;isha kwamba maendeleo haya &ndash; wakati ambapo yameka&#341;ibishwa &ndash; yasionekana kuwa mbadala katika kuchambua upana wa bajeti katika masuala ya wanawake. <\/p>\n<p>Misaada ya kijamii iliyoongezwa imeelekezwa katika mahitaji ya kijamii, siyo katika jinsia,&#8221; anasema Pa&#341;enzee. &#8220;Imekuja kwa bahati mbaya kwamba imeishia kuwa na &#8220;sehemu ya jinsia.&quot;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Machi 2 (IPS) &ndash; Kuzungumza ni &#341;ahisi, lakini kutekeleza ahadi ni kugumu. Kama hivyo ndivyo, je mazungumzo yote kuhusu kuhakikisha kunakuwepo usawa kati ya wanawake na wanaume nchini Af&#341;ika Kusini kumeleta hatua ambayo ina maana zaidi: hatua hiyo ni kutengwa fedha kwa ajili ya masuala ya kijinsia katika bajeti ya taifa Ka&#341;ibu miaka&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":170,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-888","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/888","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/170"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=888"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/888\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=888"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=888"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=888"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}