{"id":886,"date":"2005-03-03T13:40:01","date_gmt":"2005-03-03T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/03\/maendeleo-afrika-kuwaweka-watafiki-na-watunga-sea-katika-ukuasa-mmoja\/"},"modified":"2005-03-03T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-03T13:40:01","slug":"maendeleo-afrika-kuwaweka-watafiki-na-watunga-sea-katika-ukuasa-mmoja","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/03\/maendeleo-afrika-kuwaweka-watafiki-na-watunga-sea-katika-ukuasa-mmoja\/","title":{"rendered":"MAENDELEO &ndash; AFRIKA: Kuwaweka Watafiki na Watunga Se&#341;a katika Uku&#341;asa Mmoja"},"content":{"rendered":"<p>KAMPALA, Machi 1 (IPS) &ndash; Ripoti zinapata vumbi katika madawati ya waandishi wa haba&#341;i na viongozi wa umma &ndash; baada ya kufunguliwa kwa kusita sita, na kufungwa kwa kasi kubwa. Miezi kadhaa inaweza kutumika katika kazi ya kuzizalisha; lakini ma&#341;a kadhaa, matumizi pekee ya vitabu hivi vikubwa inaonekana kufanana na kazi ya ngazi za mlangoni.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kibaya zaidi, matokeo ya tafiti katika &#341;ipoti hizo ma&#341;a nyingi hayazingatiwi na wale wanaotunga se&#341;a katika masuala mbalimbali ya kijamii na kiuchumi. <\/p>\n<p>Sasa hivi, Taasisi ya Maendeleo ya Ng&#8217;ambo (ODI), shi&#341;ika binafsi lenye makao yake makuu nchini Uinge&#341;eza, linaelekeza macho yake katika suala hili na masuala mengine yasiyoendana kati ya utafiti na utungaji wa se&#341;a. <\/p>\n<p>&#8220;Sasa hivi ODI inafanya kazi ya kuunganisha utafiti na se&#341;a. Tunaja&#341;ibu kuona ni kwa nini baadhi ya tafiti zinachangia katika mifuno ya kutunga se&#341;a na kwa nini mwingine hauchangii kitu,&#8221; anasema Naved Chowdhu&#341;y, ofisa m&#341;adi katika P&#341;og&#341;amu ya Utafiti na Se&#341;a katika Maendeleo. <\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na sababu mbalimbali watunga se&#341;a hawatumii (utafiti) wakati wa kutunga se&#341;a. Tunaja&#341;ibu kuziba pengo,&#8221; aliiambia IPS katika mkutano uliofanyika kujadili suala hilo katika mji mkuu wa Uganda, Kampala, hivi ka&#341;ibuni. Mikutano inayofanana na hiyo inafanyika katika nchi za Malawi, Msumbiji, Tanzania, Ghana, na Nige&#341;ia. <\/p>\n<p>Maneno ya Chowdhu&#341;y yaliungwa mkono na Julius Cou&#341;t, ambaye ni mtafiti katika ODI. <\/p>\n<p>&#8220;Katika sehemu nyingi za Af&#341;ika na katika maeneo mengine ya dunia inayoendelea, uwezo huu (wa kuunganisha utafiti na se&#341;a) kwa hakika haupo,&#8221; alibainisha, wakati ambapo katika maeneo mengine hali imekuja kuwa &#8220;mbaya katika miaka michache ya hivi ka&#341;ibuni&#8221;. <\/p>\n<p>Washi&#341;iki wengi katika wa&#341;sha ya Kampala walibaini kwamba ma&#341;a nyingi viongozi hawana imani na tafiti zinazowakilishwa kwao, na hivyo wanasita kuingiza hizi katika se&#341;a zao. <\/p>\n<p>Katika baadhi ya matukio, pia inaonekana kwamba kuna tofauti ya kipaumbele kati ya watafiti na watunga se&#341;a. <\/p>\n<p>&#8220;Uzoefu wetu ni kwamba tafiti nyingi hazina uhusiano na se&#341;a,&#8221; anasema Chowdhu&#341;y. &#8220;Maudhui ni suala kubwa. Kwa hakika linahitaji&#8230;kufanyiwa utafiti wa kina. Lakini pia, inatakiwa kuendana na maslahi ya watunga se&#341;a.&#8221; <\/p>\n<p>Uwakilishaji wa maokeo ya utafiti, kwa upande mwingine, kunaweza kusababisha matatizo. Watunga se&#341;a wanataka hasa matokeo ya utafiti kuwakilishwa kwao kifupi na &#341;ahisi kueleweka. Hata hivyo, wakati mwingine wanachokipata ni mkusanyiko wa haba&#341;i, zilizojaa maneno magumu, micho&#341;o na majedwali ambayo yanafanya kazi ya kuelewa kuwa ngumu zaidi. <\/p>\n<p>&#8220;Maana kuu ya utafiti inabidi iwasilishwe kwa ufupi, kwa usahihi na katika mfumo wa moja kwa moja,&#8221; anaona Chowdhu&#341;y. <\/p>\n<p>Wakati ambapo hakuna shaka kwamba intaneti imepongezwa siku za nyuma kutokana na kuweza kuhifadhi taa&#341;ifa nyingi za utafiti kiu&#341;ahisi na pia &#341;ahisi kusimamia, pia ina vikwazo vyake &ndash; hasa katika nchi zinazoendelea ambazo bado zinakabiliwa na kasi ndogo ya kuunganishwa katika mtandao wa dunia. <\/p>\n<p>Lakini, hakuna hata mmoja anayeweza kulaumiwa kutokana na &#341;ipoti nyingi au watoa huduma wavivu kutokana na kukosa kiunganisho kati ya tafiti na utungaji wa se&#341;a.<\/p>\n<p>F&#341;ancis Byekwaso, meneja m&#341;adi na tathimini katika Shi&#341;ika la Huduma na Ushau&#341;i wa Kilimo nchini Uganda, alisema baadhi ya mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali (NGOs) hayana ujuzi wa kutekeleza se&#341;a. Hata kama mashi&#341;ika haya yanatambua matokeo ya tafiti za kibunifu, yanaweza kukosa uwezo wa kuzitafsi&#341;i katika vitendo. <\/p>\n<p>Katika hali kama hii, Byekwaso alitoa mfano wa hali katika baadhi ya NGOs zinazojihusisha katika maendeleo ya kilimo nchini Uganda. <\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a nyingi hazitoshi katika maeneo ya maendeleo ya kibiasha&#341;a. Pamoja na kwamba tunawaamini kuendeleza vikundi vya wakulima, kuongeza uwezo wao katika maendeleo ya vijijini bado ni dhaifu sana,&#8221; alibainisha. <\/p>\n<p>Washi&#341;iki katika wa&#341;sha ya Kampala ilitoa mifano ambapo tafiti zimeongeza taa&#341;ifa katika se&#341;a tena kwa mafanikio. <\/p>\n<p>Michael Wandukwa, M&#341;atibu wa m&#341;adi katika shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali lenye makao yake makuu nchini Uinge&#341;eza la FARM&ndash;Af&#341;ica, ambalo linasaidia wakulima maskini na wafugaji, utafiti kuhusu mahitaji ya wafugaji wa kuku na mbuzi katika wilaya za masha&#341;iki za Mbale na Si&#341;onko nchini Uganda umebo&#341;esha maisha ya watu 375. <\/p>\n<p>&#8220;Sasa hivi kuna ongezeko la mahitaji ya shughuli za m&#341;adi katika eneo hilo,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Hata hivyo, wajumbe pia walibainisha kwamba kushindwa kuhusisha utafiti na se&#341;a kunaweza kusababisha matatizo. Cou&#341;t alisema hii pia imejitokeza katika gonjwa la Ukimwi: &#8220;Inaonyesha kwamba wakati mambo yanapokuwa mazu&#341;i, yanaweza kuwa mazu&#341;i. Lakini yanapokuwa mabaya, yanaweza kuwa mabaya sana.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Suala la HIV ni tatizo la se&#341;a kwasababu kama kweli huelewi sayansi mapema, katika muda ambapo watu wengi wanaugua na kufa, ugonjwa unaweza kusambaa katika jamii nzima,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Uganda ni moja ya nchi za Af&#341;ika zenye mafanikio katika kupambana na Ukimwi, kutokana na kupunguza maambukizi ya HIV kutoka asilimia 30 mapema miaka ya 1990 hadi asilimia sita sasa. <\/p>\n<p>Hata hivyo, ukanda wa Kusini mwa Af&#341;ika umekuwa kitovu cha gonjwa hilo, huku nchi moja katika ukanda huo &ndash; Swaziland &ndash; ikiwa na maambukizi makubwa zaidi ya ugonjwa huo ulimwenguni yanayokadi&#341;iwa kuwa asilimia 40.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KAMPALA, Machi 1 (IPS) &ndash; Ripoti zinapata vumbi katika madawati ya waandishi wa haba&#341;i na viongozi wa umma &ndash; baada ya kufunguliwa kwa kusita sita, na kufungwa kwa kasi kubwa. Miezi kadhaa inaweza kutumika katika kazi ya kuzizalisha; lakini ma&#341;a kadhaa, matumizi pekee ya vitabu hivi vikubwa inaonekana kufanana na kazi ya ngazi za mlangoni&#8230;.<\/p>\n","protected":false},"author":15,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-886","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/886","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/15"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=886"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/886\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=886"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=886"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=886"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}