{"id":885,"date":"2005-03-03T13:40:01","date_gmt":"2005-03-03T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/03\/afghanistan-habai-njema-kwa-wanawake-wakati-mkutano-wa-beijing-unapoanza-2\/"},"modified":"2005-03-03T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-03T13:40:01","slug":"afghanistan-habai-njema-kwa-wanawake-wakati-mkutano-wa-beijing-unapoanza-2","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/03\/afghanistan-habai-njema-kwa-wanawake-wakati-mkutano-wa-beijing-unapoanza-2\/","title":{"rendered":"AFGHANISTAN: Haba&#341;i Njema kwa Wanawake Wakati Mkutano wa Beijing Unapoanza"},"content":{"rendered":"<p>HERAT, Afghanistan, Feb 28 (IPS) &ndash; Wakati wajumbe wanapokusanyika mjini New Yo&#341;k Feb. 28 kutathmini mafanikio baada ya miaka 10 tangu kufanyika kwa mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu wanawake mjini Beijing, haba&#341;i njema zinaonekana kujitokeza nchini Afghanistan.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kwa ma&#341;a ya kwanza katika histo&#341;ia ya Afghanistan, wanawake katika mkoa wa He&#341;at kaskazini mwa Afghanistan wanapewa masomo &#341;asmi ya ude&#341;eva. <\/p>\n<p>Mkuu wa Kitengo cha Aska&#341;i wa Usalama Ba&#341;aba&#341;ani Kanali Ghulam Haz&#341;at Momand alisema kozi hiyo, ambayo ilizinduliwa &#341;asmi na kitengo chake, ina lengo la kuendeleza na kuunga mkono haki za wanawake. Kundi la kwanza litakuwa na wanawake 20 wenye um&#341;i kati ya miaka 18 na 40, na kozi ya siku 12 itakuwa kwa njia ya nadha&#341;ia na vitendo. <\/p>\n<p>Mpango wa Maendeleo ya Vijana na Watoto (YCDP) ambao ulianza kuwafunza wanawake kuendesha maga&#341;i kwa si&#341;i, mwaka mmoja uliopita, ulikuwa ukizengea umuhimu wa kuwa na shule za ude&#341;eva kwa wanawake. Lakini kozi hiyo ilipigwa ma&#341;ufuku na aliyekuwa gavana wa He&#341;at, Ishmail Khan, mwezi mmoja baada ya kuanza. <\/p>\n<p>Momand alisema wanawake wengi wanaohudhu&#341;ia kozi hiyo taya&#341;i wamekuwa na uzoefu kidogo wa kuendesha maga&#341;i &#8221;hivyo wataweza kufaulu mitihani ya nadha&#341;ia na vitendo baada ya kujifunza huko mitaani &#8221;. <\/p>\n<p>&#8221;Wanawake hao watapewa leseni za ude&#341;eva watakapokuwa wamemaliza mtihani wa nadha&#341;ia na vitendo katika kozi hiyo,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Aliongeza Momand: &#8221;Uendeshaji ga&#341;i ni hitaji kubwa kwa wanawake na ni lazima litambulike na kutatuliwa.&#8221;<\/p>\n<p>Wakati wanamgabo wa Taliban walipokuja mada&#341;akani kati ya mwaka 1996&ndash;97, walianzisha se&#341;a ya kikandamizaji ya ubaguzi wa kijinsia. <\/p>\n<p>Wanawake wa Afghanistan, ambao ni wengi katika nguvukazi ya taifa na pengine katika jumla ya idadi ya &#341;aia, walipigwa ma&#341;ufuku kupewa aji&#341;a nje ya nyumbani na kunyimwa haki ya kuhudhu&#341;ia shule za sekonda&#341;i, kuendesha maga&#341;i au kujitokeza katika umma bila ya kusindikizwa na na wanaume na kujifunika mwili mzima. <\/p>\n<p>Kupigwa ma&#341;ufuku huko kwa wanawake wote kuendesha maga&#341;i, kunakofanana na she&#341;ia nchini Saudi A&#341;abia ambazo zote zinatafsi&#341;i Uislamu, kulipata kuwa na msimamo mkali ikilinganishwa na nyakati kabla ya utawala wa Taliban. <\/p>\n<p>Mwishoni mwa mwaka 2001, Wataliban waling&#8217;olewa mada&#341;akani na majeshi ya Ma&#341;ekani na washi&#341;ika wake kwa kusaidiana na Muungano wa Kaskazini mwa Afghanistan. Kukataa kwa Wataliban kumkabidhi Osama bin Laden kutokana na kudaiwa kwake kuandaa mashambulizi ya Sep. 11 kulilazimisha kushambuliwa kwa nchi hiyo. <\/p>\n<p>Katika uchaguzi wa &#341;ais wa kihisto&#341;ia mwezi Oktoba, Hamid Ka&#341;zai alichaguliwa kuwa &#341;ais wa Afghanistan. <\/p>\n<p>Chini ya utawala wa Ka&#341;zai, shule zilifunguliwa kwa ajili ya watoto wa kike na wanawake wengi wameaji&#341;iwa katika ofisi za se&#341;ikali. Ka&#341;zai ana mawazi&#341;i wanawake watatu katika ba&#341;aza lake la mawazi&#341;i. <\/p>\n<p>Na pia kwa ma&#341;a ya kwanza tangu mwaka 1996, wanawake wameweza ku&#341;uhusiwa kutangaza katika &#341;edio na televisheni. <\/p>\n<p>Miaka kumi baada ya mkutano wa kihisto&#341;ia wa Umoja wa Mataifa kuhusu wanawake mjini Beijing, mamia ya wawakilishi wa mashi&#341;ika yasiyokuwa ya ksise&#341;ikali (NGOs) watakusanyika katika Umoja wa Mataifa ka&#341;ibu kwa kipindi cha wiki mbili kutathmini maendeleo ya dunia kuhusu usawa wa wanawake. <\/p>\n<p>Tathmini ambayo itafanyika katika kikao cha 49 cha Tume ya Umoja wa Mataifa kuhusu Hadhi ya Wanawake italenga zaidi kuhusu kitu gani kifanyike zaidi kubadilisha ahadi za Beijing kuwa vitendo, Mwenyekiti wa Tume hiyo Kyung&ndash;wha Kang aliuambia mkutano wa waandishi wa haba&#341;i katika &#8216;Beijing+10&#8217; katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New Yo&#341;k. <\/p>\n<p>Wakati huohuo, wanawake wengi katika mkoa wa He&#341;at wamepokea kozi hiyo ya ude&#341;eva ambayo haijawahi kutokea. <\/p>\n<p>Mmoja wa wanafunzi, mwenye um&#341;i wa miaka 35, Rahima alisema: &#8221;Ni miaka miwili tangu mume wangu alipohamia katika mji mkuu Kabul na nina tatizo la kutembea. Lakini baada ya kumaliza kozi tatizo langu litatatuliwa.&#8221; <\/p>\n<p>Rahima anapenda kujifunza ude&#341;eva na kuchukua mazoezi katika ga&#341;i la mume wake wakati wa muda wa ziada. <\/p>\n<p>Ku&#341;uhusiwa kwa wanawake kuendesha\t maga&#341;i pia kumechangia wanafunzi wa kike kutaka kuendelea na masomo yao ya juu. <\/p>\n<p>So&#341;&#341;ia, mwanafunzi wa udakta&#341;i mwenye um&#341;i wa miaka 24 kutoka Chuo Kikuu cha He&#341;at alisema: &#8221;Tumechoshwa na kulipia nauli za teksi na hatujisikii salama kutembea ba&#341;aba&#341;ani tukiwa peke yetu.&#8221; <\/p>\n<p>&#8221;Kuendesha maga&#341;i kutatupatia uhu&#341;u,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Hata hivyo, baadhi ya wanaume katika mkoa wa He&#341;at hawakubaliani na kuwa&#341;uhusu wanawake kuendesha maga&#341;i.<\/p>\n<p>&#8221;Siyo kitu kizu&#341;i kwa wanawake na wasichana kujifunza jinsi ya kuendesha na kuwafundisha kuendesha siyo kipaumbele kwao,&#8221; alisema Muhammad Ka&#341;im,40, mwalimu katikati mwa mji wa He&#341;at. &#8221;Bado mji wetu haupo taya&#341;i kukubali hali hii ya kisasa.&#8221; <\/p>\n<p>Lakini Muhammad Asif, ofisa katika ida&#341;a ya mawasiliano ya He&#341;at, alipinga upinzani kutoka kwa wanaume. <\/p>\n<p>&#8221;Uendashaji maga&#341;i ilikuwa ni haki ya wanawake iliyopotea ambayo inatakiwa ku&#341;ejeshwa,&#8221; aliliambia &#8216;Shi&#341;ika la Haba&#341;i la Pajhwok nchini Afghanistan&#8217;. <\/p>\n<p>Njoo katika mitaa ya He&#341;at hivi ka&#341;ibuni utazungumza na made&#341;eva wanawake, wakati kundi la awali la wanawake litakapofaulu mitihani ya maja&#341;ibio &ndash; na kuiga dada zao katika mji mkuu wa Kabul. <\/p>\n<p>Mapema miaka ya 2003, mjini Kabul, wanawake 10 walichukua hatua moja kubwa. Walifaulu mitihani yao ya ude&#341;eva, na sasa hivi wimbi la mafanikio yao linaonekana nchini kote.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>HERAT, Afghanistan, Feb 28 (IPS) &ndash; Wakati wajumbe wanapokusanyika mjini New Yo&#341;k Feb. 28 kutathmini mafanikio baada ya miaka 10 tangu kufanyika kwa mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu wanawake mjini Beijing, haba&#341;i njema zinaonekana kujitokeza nchini Afghanistan. Kwa ma&#341;a ya kwanza katika histo&#341;ia ya Afghanistan, wanawake katika mkoa wa He&#341;at kaskazini mwa Afghanistan wanapewa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":184,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-885","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/885","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/184"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=885"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/885\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=885"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=885"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=885"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}