{"id":883,"date":"2005-03-01T13:40:01","date_gmt":"2005-03-01T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/01\/siasa-malawi-rais-anayekemea-rushwa-ajaibu-kuunda-chama-kipya\/"},"modified":"2005-03-01T13:40:01","modified_gmt":"2005-03-01T13:40:01","slug":"siasa-malawi-rais-anayekemea-rushwa-ajaibu-kuunda-chama-kipya","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/03\/01\/siasa-malawi-rais-anayekemea-rushwa-ajaibu-kuunda-chama-kipya\/","title":{"rendered":"SIASA&ndash;MALAWI: Rais Anayekemea Rushwa Aja&#341;ibu Kuunda Chama Kipya"},"content":{"rendered":"<p>BLANTYRE, Feb 27 (IPS) &ndash; Wataweza au hawataweza  Swali hili lipo midomoni mwa waangalizi wa masuala ya kisiasa nchini Malawi sasa, wakati wanaposubi&#341;i kama idadi kubwa ya muungano wa vyama vinavyotawala au wanachama wa upinzani wataunga mkono chama kipya cha siasa nchini humo cha Democ&#341;atic P&#341;og&#341;essive Pa&#341;ty.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kutokana na kwamba nguvu ipo katika mwanzilishi wa chama hicho, Rais Bingu wa Mutha&#341;ika, ambaye alijiuzulu kutoka chama cha United Democ&#341;atic F&#341;ont (UDF) mapema mwezi huu. UDF, ambayo inashikilia viti 49 tu bungeni kati ya 193 baada ya uchaguzi wa mwaka jana, kinatawala Malawi pamoja na vyama vingine vya siasa na wabunge wa kujitegemea. <\/p>\n<p>Kuondoka kwa Mutha&#341;ika kumekuja wakati kukiwa na ongezeko la uadui kati ya &#341;ais na Bakili Muluzi &ndash; mkuu wa zamani wa nchi hiyo na mwenyekiti wa sasa wa chama cha UDF &ndash; kutokana na kupambana na &#341;ushwa kulikoshuhudia mawazi&#341;i wa zamani kumi wakihusishwa na kesi za ufisadi. <\/p>\n<p>Huku kukiwa na hofu iliyotolewa kuhusu baadhi ya vitendo vya Muluzi alipokuwa akishikilia u&#341;ais, wengi wanashangaa kama uchunguzi dhidi ya &#341;ushwa hauwezi kumwandama &#341;ais huyo wa zamani. Muluzi amekodolewa macho kutokana na kulimbikiza kile kinachoonekana kuwa utaji&#341;i mwingi wakati wa u&#341;ais. <\/p>\n<p>Katika wiki za hivi ka&#341;ibuni, Mutha&#341;ika pia amekamata, na kuwasamehe, maofisa kadhaa wa UDF ambao aliwashutumu kupanga njama za kutaka kumpindua. Sasa hivi, &#341;ais huyo anakabiliwa na hatma ya kuja&#341;ibu kupitisha miswada katika bunge bila ya kuwa na wabunge wanaomuunga mkono waziwazi kama jitihada zake za kuunda chama cha Democ&#341;atic P&#341;og&#341;essive Pa&#341;ty (DPP) zitashindwa. <\/p>\n<p>Katika atha&#341;i za ka&#341;ibuni zaidi za kujiuzulu kwa Mutha&#341;ika, ili&#341;iopotiwa kwamba ba&#341;aza la mawazi&#341;i zimemuunga mkono. Katika haba&#341;i za hivi ka&#341;ibuni, magazeti na vituo vya &#341;edio pia vimetoa matangazo ya ma&#341;a kwa ma&#341;a kuhusu kujiuzulu kwa wanachama wa UDF katika ngazi tofauti &ndash; wakubwa katika mikoa na wilaya.<\/p>\n<p>Lakini, kaimu msemaji wa UDF Sam Mpasu anafanya kila awezalo kumwagia maji ba&#341;idi taa&#341;ifa hizo. <\/p>\n<p>&#8220;Wale waliojiuzulu kutoka katika vyeo vya juu ni wachache sana. Hii haikuwa na mawimbi mabaya kwa wanachama wa ngazi za chini wa UDF,&#8221; aliiambia IPS, na kuongeza kwamba ili kupata madha&#341;a: &#8220;unaweza kuwahesabu walioasi kwa vidole. Siyo wengi.&#8221; <\/p>\n<p>Vilevile, alikataa kutoa takwimu za kuunga mkono madai yake. <\/p>\n<p>Chama cha DPP pia kipo kimya. Mwanachama wa DPP Uladi Mussa, gavana wa zamani wa UDF wa mkoa wa kati wa Malawi, aliiambia IPS kwamba majadiliano kutaka kuungwa mkono na wanachama wa UDF yanaendelea &ndash; lakini idadi ni wangapi wanaweza kutuunga mkono haiwezi kupatikana katika hatua hii. <\/p>\n<p>Picha haionekani vizu&#341;i kutokana na na wabunge nje ya kambi ya UDF. <\/p>\n<p>Chama cha Republican, ambacho hapo awali kilikuwa katika ushi&#341;ikiano na UDF, kinasema wabunge wake 15 wana nia ya kujiunga na DPP. <\/p>\n<p>Kulingana na Mussa, chama cha P&#341;og&#341;essive People&#8217;s Movement, vyama vya Movement fo&#341; Genuine Democ&#341;acy na Malawi Foundation fo&#341; the Union of Democ&#341;acy pia vinabembelezwa &ndash; lakini hakuna maamuzi yamefanyika kuhusu uhusiano wao na DPP. <\/p>\n<p>Miongoni mwa wabunge 50 wa kujitegemea, 23 wamekuja kuunga mkono chama kipya cha Mutha&#341;ika. &#8220;Tunapenda kanuni hizi, hivyo tutafanya kazi na chama chake,&#8221; Gift Mamondwe, fimbo kuu ya wabunge wa kujitegemea, aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Wakati mjadala kuhusu wanachama wa baadaye na washi&#341;ika wa kuungana na DPP ukiendelea, kuna mjadala mwingine jana kuhusu kama kuondoka kwa Mutha&#341;ika kutoka UDF kutaendeleza mapambano yake dhidi ya ufisadi. <\/p>\n<p>&#8220;Tumeamua kuondoka UDF ili tuweze kupambana na &#341;ushwa bila ya woga wala upendeleo,&#8221; Mussa aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Lakini Collins Magalasi wa Mtandao wa Haki ya Uchumi Nchini Malawi, shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali ambalo linahakiki utawala bo&#341;a, anasema chama kipya siyo muhimu katika suala hilo. <\/p>\n<p>&#8220;Yeye (Mutha&#341;ika) hahitaji kuwa na msingi wa kisiasa ili aweze kupambana na viongozi wala &#341;ushwa katika UDF. Ni she&#341;ia, na taasisi zilizopo kutekeleza she&#341;ia, ndizo ambazo zinaweza kufanya hivyo &ndash; siyo chama,&#8221; anabainisha. <\/p>\n<p>UDF na vyama kadhaa vya ki&#341;aia pia vimekemea chanzo cha fedha cha Mutha&#341;ika kuanzisha DPP, huku wakuu wa UDF wakidai kwamba chama hicho kipya kinaweza kuwa kinajiandaa kutumia vibaya pesa za se&#341;ikali. Rais anakanusha madai hayo. <\/p>\n<p>Kwa kukejeli, Mutha&#341;ika alichaguliwa na Muluzi kuwa m&#341;ithi wake &ndash; na hapo awali alionekana kuwa ni kiba&#341;aka tu na ambaye angem&#341;uhusu Muluzi kuendelea kutawala nyuma ya jukwaa. Kabla ya kuachia mada&#341;aka, &#341;ais huyo wa zamani alikuwa amekwisha ja&#341;ibu kushawishi bunge ku&#341;ekebisha katiba kum&#341;uhusu kutawala kwa kipindi cha tatu. <\/p>\n<p>Hata hivyo, matendo ya Mutha&#341;ika tangu awe &#341;ais yamethibitsha kila kitu lakini kisichotabi&#341;ika. Chama cha DPP kimepangwa kusajiliwa Feb. 28.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BLANTYRE, Feb 27 (IPS) &ndash; Wataweza au hawataweza Swali hili lipo midomoni mwa waangalizi wa masuala ya kisiasa nchini Malawi sasa, wakati wanaposubi&#341;i kama idadi kubwa ya muungano wa vyama vinavyotawala au wanachama wa upinzani wataunga mkono chama kipya cha siasa nchini humo cha Democ&#341;atic P&#341;og&#341;essive Pa&#341;ty. Kutokana na kwamba nguvu ipo katika mwanzilishi wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":31,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-883","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/883","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/31"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=883"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/883\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=883"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=883"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=883"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}