{"id":880,"date":"2005-02-28T13:40:01","date_gmt":"2005-02-28T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/02\/28\/haki-hakuna-tena-sababu-za-msamaha-hakuna-tena-ku-wanawake-wauambia-umoja-wa-mataifachelewa\/"},"modified":"2005-02-28T13:40:01","modified_gmt":"2005-02-28T13:40:01","slug":"haki-hakuna-tena-sababu-za-msamaha-hakuna-tena-ku-wanawake-wauambia-umoja-wa-mataifachelewa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/02\/28\/haki-hakuna-tena-sababu-za-msamaha-hakuna-tena-ku-wanawake-wauambia-umoja-wa-mataifachelewa\/","title":{"rendered":"HAKI: Hakuna Tena Sababu za Msamaha, Hakuna Tena Ku Wanawake Wauambia Umoja wa Mataifachelewa,"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Feb 25 (IPS) &ndash; Maelfu ya viongozi wanawake kutoka duniani kote watakusanyika hapa wiki ijayo katika mkutano mkubwa wa kimataifa kutathmini kile ambacho nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wamefanya katika kipindi cha miaka 10 iliyopita kuhakikisha haki sawa kwa wanawake katika njanja zote za maisha.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wajumbe katika Mkutano wa Dunia wa Nne katika mji mkuu wa China Beijing mwaka 1995 waliweka ahadi maalum kuondokana na she&#341;ia zote ambazo zinabagua wanawake na ku&#341;idhia se&#341;a ambazo zitakuza usawa wa kijinsia katika umma. <\/p>\n<p>Ni kwa kiwango gani wameweza kutafsi&#341;i maneno yao kuwa vitendo  Haitoshi sana, kulingana na maofisa wa Umoja wa Mataifa na mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kse&#341;ikali yanayoongoza ulimwenguni. <\/p>\n<p>&#8220;Hatuja&#341;idhika,&#8221; alisema Kyung&ndash;wha Kang, ambaye anaongoza Tume ya Umoja wa Mataifa ya wanachama 45 kuhusu Hadhi ya Wanawake. &#8220;Bado kuna mengi yanayohitaji kutekelezwa.&#8221; <\/p>\n<p>Ca&#341;olyn Hannan, kiongozi wa juu katika Ida&#341;a ya Umoja wa Mataifa ya Masuala ya Kiuchumi na Kijamii, anaunga mkono. &#8220;Mafanikio yamefikiwa katika baadhi ya maeneo, hasa katika elimu ya mtoto wa kike na haki ya wanawake kishe&#341;ia,&#8221; alisema. &#8220;Lakini bado kuna viashi&#341;io vingi hasi ambavyo vinahitaji kutizamwa.&#8221; <\/p>\n<p>Viashi&#341;io hasi ni pamoja na kuendelea kwa unyanyasaji dhidi ya wanawake, kukosekana kwa fu&#341;sa za kiiuchumi na kukosekana kwa usawa katika kutoa maamuzi katika nchi taji&#341;i na hata maskini. <\/p>\n<p>Mjini Beijing, viongozi wa se&#341;ikali walikuwa wamekubaliana ku&#341;idhia se&#341;a ambazo zingetenga asilimia 30 ya viti vya ubunge kwa ajili ya wanawake. Lakini miaka 10 baadaye, ni asilimia 15 ya wabunge duniani kote ni wanawake. <\/p>\n<p>Wataalam wa masuala ya maendeleo katika Umoja wa Maaifa na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia wanapendkeza kwamba wakati ambapo hali ya kiuchumi ulimwenguni kote imekuwa na atha&#341;i nzu&#341;i kwenye maisha ya wanawake, baadhi ya maendeleo hayo yamedhoofisha jitihada zao za usawa wa kiuchumi na kisiasa. <\/p>\n<p>Wakielezea kwamba u&#341;ahisi wa matumizi ya teknolojia ya haba&#341;i umeongeza mtandao wa wanawake na fu&#341;sa za kiuchumi, wanaona mamilioni ya wakulima wanawake duniani kote kuwa wanazidi kuwa maskini na maskini, hali inayosababishwa na kuhama kutoka katika uzalishaji wa chakula na kuingia kwenye uzalishaji wa mazao ya kilimo. <\/p>\n<p>Baadhi ya wataalam wanasema kwamba mbali na hali kama hizo za utandawazi wa kiuchumi, kuenea kwa ujenzi wa jeshi pia kunadhoofisha jitihada za wanawake kufikia usawa wa kiuchumi na kisiasa. <\/p>\n<p>&#8220;Zingatia se&#341;ikali kuweka kipaumbele katika matumizi ya kijeshi, wanawake wanapoteza,&#8221; anasema June Zeitlin, mku&#341;ugenzi mtendaji wa shi&#341;ika lenye makao yake nchini Ma&#341;ekani la Maendeleo ya Wanawake na Mazingi&#341;a (WEDO), mtandao mpana unaoshi&#341;ikisha mamia ya vikundi vya wanawake kutoka ulimwenguni kote. <\/p>\n<p>Kwa sasa, nchi zinatumia zaidi ya dola bilioni 900 kwa mwaka katika majeshi yao. Wakati huo huo, kufuta nusu ya umaskini duniani katika miaka 10 ijayo, sehemu ya Malengo Makuu ya Maendeleo ya Umoja wa Mataifa (MDGs), kungegha&#341;imu dola bilioni 50 tu kwa mwaka kama msaada &#341;asmi wa maendeleo. <\/p>\n<p>Malengo ya MDGs ni pamoja na kupunguza umaskini na njaa kwa asilimia 50; elimu ya msingi kwa wote; kupunguza theluthi mbili ya vifo vya watoto wachanga; kupunguza theluthi tatu ya vifo vya akina mama wakati wa kujifungua; kukuza usawa wa kijisinsia; na kupunguza kasi ya kuenea kwa Ukimwi, mala&#341;ia na kifua kikuu. <\/p>\n<p>&#8220;Maneno ni mengi,&#8221; anasema Zeitlin. &#8220;Lakini hakuna utekelezaji.&#8221; <\/p>\n<p>Kang kwa kushi&#341;ikiana na maofisa wengine wa Umoja wa Mataifa wanaonekana ku&#341;idhishwa na maendeleo katika maeneo ya she&#341;ia ambazo zinawalinda wanawake kutokana na kubaguliwa na kunyanyaswa. Lakini mashi&#341;ika mengi ya ki&#341;aia hayaja&#341;idhika. <\/p>\n<p>Katika &#341;ipoti iliyotolewa mwaka jana, shi&#341;ika la kimataifa la utetezi wa wanawake la Usawa ni Sasa, lilisema kwamba pamoja na ahadi zilizotolewa mjini Beijing, zaidi ya nchi 40 bado hazikubali kubadilisha she&#341;ia ambazo zinachochea unyanyasaji dhidi ya wanawake. <\/p>\n<p>Wanawake katika nchi nyingi wanaathi&#341;ika na vu&#341;ugu katika nchi kutokana na kwamba she&#341;ia zinang&#8217;ang&#8217;ania vitendo kama vile &#8220;mauaji ya heshima&#8221;, ubakaji ndani ya ndoa, na kupiga mke, kulingana na &#341;ipoti hiyo.<\/p>\n<p>&#8220;Kubadilisha she&#341;ia ni hatua ya awali tu katika kushughulikia suala la unyanyasaji na ubaguzi dhidi ya wanawake,&#8221; anasema Taina Bien&ndash;Aime, mkuu&#341;ugenzi mtendaji wa shi&#341;ika la Usawa ni Sasa. &#8220;Inawezekanaje se&#341;ikali kudai kwamba zinajitolea kuleta usawa wa kijinsia kama haziwezi kuondokana na she&#341;ia zenye ubaguzi wa chini chini &#8221; <\/p>\n<p>Siku mbili kabla ya mkutano, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan alitoa mwito kwa se&#341;ikali kuchukulia suala hili kwa uzito mkubwa. <\/p>\n<p>&#8220;Ongezeni ma&#341;a mbili jitihada za kupambana na unyanyasaji dhidi ya wasichana na wanawake,&#8221; alisema. &#8220;Hii inamaanisha uongozi kwa kuonyesha mfano, kwamba linapokuja suala la unyanyasaji wa wanawake na wasichana, hakuna misingi yoyote ya kuvumiliana na hakuna sababu za kuweza kusamehewa.&#8221; <\/p>\n<p>Hivi ka&#341;ibuni, Annan pia alitoa &#341;ipoti ya undani iliyojikita katika majibu ya mataifa 135 ya maswali kuhusu wamefanya nini hadi sasa kukuza usawa wa kijinsia. Ripoti hiyo inaangalia mafanikio ya ahadi za Beijing na mkutano wa kufanya tathmini wa Ba&#341;aza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New Yo&#341;k miaka mitano iliyopita. <\/p>\n<p>Viongozi wa Umoja wa Mataifa wanasema &#341;ipoti hiyo itakuwa chanzo cha uzinduzi wa mijadala kuhusu utekelezaji wa Jukwaa la Utekelezaji la Beijing. Inalenga katika masuala muhimu kama vile umaskini kwa wanawake, elimu, afya, unyanyasaji, vita, fu&#341;sa za kiuchumi, zabuni na aji&#341;a za muda mfupi na kazi za majumbani. <\/p>\n<p>Masuala mengine ni pamoja na biasha&#341;a ya watoto wa kike na wanawake, gonjwa la Ukimwi, wanawake wa kijijini, teknolojia ya haba&#341;i, majukumu ya wanaume na wavulana na kwenda sambamba na MDGs. <\/p>\n<p>Mkutano wa kimataifa kufanya tathimini kuhusu mafanikio ya MDGs utafanyika Septemba mwaka huu. Viongozi wanasema matokeo ya mijadala hiyo katika kipindi cha wiki zijazo yanaweza kuja kuchangia katika mjadala wa m&#341;adi mkubwa ya baadaye. <\/p>\n<p>&#8220;Bila ya kuleta usawa wa kijinsia, huwezi kufanikisha malengo haya, iwe kwenye umaskini au elimu,&#8221; anasema Kang. <\/p>\n<p>Mkutano utaendelea hadi Machi 11 wakati wajumbe watakapopewa fu&#341;sa ya kutoa ahadi zao mpya katika Jukwaa la Beijing la Utekelezaji.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Feb 25 (IPS) &ndash; Maelfu ya viongozi wanawake kutoka duniani kote watakusanyika hapa wiki ijayo katika mkutano mkubwa wa kimataifa kutathmini kile ambacho nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wamefanya katika kipindi cha miaka 10 iliyopita kuhakikisha haki sawa kwa wanawake katika njanja zote za maisha. Wajumbe katika Mkutano wa Dunia wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":182,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-880","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/880","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/182"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=880"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/880\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=880"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=880"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=880"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}