{"id":877,"date":"2005-02-26T13:40:01","date_gmt":"2005-02-26T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/02\/26\/afya-watu-wanaokufa-ni-zaidi-ya-wanaozaliwa-kutokana-nakuenea-kwa-ukimwi-kusini-mwa-afika\/"},"modified":"2005-02-26T13:40:01","modified_gmt":"2005-02-26T13:40:01","slug":"afya-watu-wanaokufa-ni-zaidi-ya-wanaozaliwa-kutokana-nakuenea-kwa-ukimwi-kusini-mwa-afika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2005\/02\/26\/afya-watu-wanaokufa-ni-zaidi-ya-wanaozaliwa-kutokana-nakuenea-kwa-ukimwi-kusini-mwa-afika\/","title":{"rendered":"AFYA: Watu Wanaokufa ni Zaidi ya Wanaozaliwa Kutokana naKuenea kwa Ukimwi Kusini mwa Af&#341;ika"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Feb 24 (IPS) &ndash; Gonjwa la Ukimwi, ambalo linaendelea kuangamiza nchi maskini zaidi ulimwenguni, limeongeza idadi ya vifo na kupunguza ongezeko la watu, kulingana na &#341;ipoti mpya ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa Alhamisi.<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Miongoni mwa nchi 60 zilizoathi&#341;ika zaidi zinapatikana Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a, 12 Ame&#341;ika ya Kusini na Ca&#341;ibbean, tano kutoka ba&#341;ani Asia, mbili ba&#341;ani Ulaya na moja Ame&#341;ika ya Kaskazini (Ma&#341;ekani).<\/p>\n<p>Katika nchi Kusini mwa Af&#341;ika, ukanda unaoelezewa kuwa na maambukizi makubwa zaidi ya gonjwa hilo hata&#341;i, um&#341;i wa kuishi umeshuka kwa kasi kubwa: kutoka miaka 62 kati ya miaka ya 1990&ndash;1995 hadi miaka 48 miaka ya 2000&ndash;2005.<\/p>\n<p>Wasta&#341;i wa um&#341;i wa kuishi katika ukanda huo pia unakadi&#341;iwa kuja kushuka zaidi: hadi ka&#341;ibu miaka 43 katika miaka kumi ijayo, kabla ya kuongezeka tena ta&#341;atibu.<\/p>\n<p>&#8220;Matokeo yake, ongezeko la watu katika ukanda huo linakadi&#341;iwa kushuka kati ya mwaka 2005 na 2020,&#8221; unasema utafiti uliopewa jina la &#8220;Hali ya Baadaye na Idadi ya Watu: Toleo la 2004&#8221;.<\/p>\n<p>Katika nchi za Botswana, Lesotho, Af&#341;ika Kusini na Swaziland, idadi ya watu inakadi&#341;iwa kushuka kutokana na vifo kuwa vingi zaidi ya watu wanaozaliwa.<\/p>\n<p>Lakini katika nchi nyingine zinazoendelea ambazo zimeathi&#341;ika na gonjwa la Ukimwi, ambalo limeanza miaka 25 iliyopita, idadi ya watu itaendelea kuongezeka zaidi ya ongezeko la vifo.<\/p>\n<p>Atha&#341;i za Ukimwi katika nyanja ya jinsia ni muhimu zaidi katika Af&#341;ika, Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a, ambapo wanawake wanaathi&#341;ika zaidi na Vi&#341;usi Vya Ukimwi katika um&#341;i mdogo na kwa idadi kubwa zaidi ya wanaume, hii ni kutokana na utafiti.<\/p>\n<p>Katika nchi nne &ndash;&ndash; Kenya, Malawi, Zambia na Zimbabwe &#038;uci&#341;c; um&#341;i wa kuishi wa wanawake ulishuka na kuwa chini ya um&#341;i wa kuishi wa wanaume kati ya mwaka 2000&ndash;2005, hasa kutokana na Ukimwi.<\/p>\n<p>&#8220;Inabidi tuchukue hatua za ha&#341;aka kukuza upatikanaji wa afya za uzazi, ikiwa ni pamoja na uzazi wa mpango, na kupambana na Ukimwi ili kuokoa maisha ya mamilioni kutokana na Ukimwi na vifo vya wajawazito, ikiwa ni pamoja na kupunguza umaskini katika nchi zinazoendelea,&#8221; Tho&#341;aya Ahmed Obaid, mku&#341;ugenzi mtendaji wa Shi&#341;ika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA), aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Wakati dunia inatathmini mafanikio na kushindwa kwa mkutano wa kimataifa wa wanawake wa mwaka 1995 mjini Beijing (katika mkutano wa wiki mbili wa Umoja wa Mataifa utakaoanza Jumatatu), &#8220;ni lazima tupiganie haki za wanawake kulinda afya na maisha yao, hasa afya ya uzazi,&#8221; aliongeza.<\/p>\n<p>&#8220;Dada zetu wengi katika nchi zinazoendelea wamepotezwa na familia na jamii zao kutokana na vifo wakati wa ujauzito. Ni lazima tufanye vizu&#341;i zaidi katika kuwapa wanawake uwezo kuweza kusaidia katika kutokomeza umaskini na kupata mafanikio,&#8221; Obaid aliongeza.<\/p>\n<p>Alisema kwamba nchi zinazoendelea zinakabiliwa zaidi na vifo vinavyotokana na Ukimwi na zinapoteza wanawake wengi zaidi wanakadi&#341;iwa kufikia nusu milioni kati ya wale wanakufa kila mwaka kutokana na matatizo ya kujifungua.<\/p>\n<p>&#8220;Ni muhimu kwa wahisani wote kuwekeza kiwango walichokiahidi kukabiliana na matatizo haya katika nchi maskini ambazo zinakosa &#341;asilimali za kufanya hivyo,&#8221; aliongeza.<\/p>\n<p>Nchi zinazoendela zimekuwa zikisema katika makongamano mbalimbali kwamba zinahitaji &#341;asilimali zaidi kuzuia Ukimwi, kukuza afya ya wajawazito na kusaidia maendeleo ya kijamii na kiuchumi yanayotokana na idadi ya watu inayozidi kuongezeka, Obaid alisema.<\/p>\n<p>Kulingana na Ripoti ya Umoja wa Mataifa, idadi ya watu ulimwenguni itaongezeka kwa bilioni 2.6 katika kipindi cha miaka 45 ijayo: kutoka bilioni 6.5 ya sasa hadi bilioni 9.1 mwaka 2050.<\/p>\n<p>Kati ya mwaka 2005&ndash;2050, nchi tisa zinata&#341;ajiwa kuchangia nusu ya idadi ya watu watakaoongezeka duniani: India, Pakistan, Nige&#341;ia, Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asi ya Kongo, Bangladesh, Uganda, Ma&#341;ekani, Ethiopia na China, ambazo zimeo&#341;odheshwa kutokana na kiwango cha mchango wake katika ongezeko la watu.<\/p>\n<p>Ongezeko la ha&#341;aka la watu linata&#341;ajiwa katika nchi zinazoendelea, ambapo nchi hizo nyingi zina maendeleo duni, ni maskini sana miongoni mwa maskini.<\/p>\n<p>Kati ya mwaka 2005 na 2050, idadi ya watu inakadi&#341;iwa angalau kuongezeka ma&#341;a tatu nchini Afghanistan, Bu&#341;kina Faso, Bu&#341;undi, Chad, Congo, Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asi ya Kongo, Timo&#341;&ndash;Leste, Guinea&ndash;Bissau, Libe&#341;ia, Mali, Nige&#341; na Uganda.<\/p>\n<p>Idadi ya watu katika nchi 51 ikiwa ni pamoja na Uje&#341;umani, Italia, Japan na mataifa mengi yaliyokuwa katika U&#341;usi ya zamani, inata&#341;ajiwa kuwa chini mwaka 2050 kuliko ilivyo mwaka 2005.<\/p>\n<p>Utafiti pia unakadi&#341;ia kwamba ongezeko la watu la baadaye linategemeana zaidi na kizazi na makadi&#341;io &#8220;katika kuhakikisha kwamba wanandoa wanapata huduma za uzazi wa mpango, na kwamba jitihada za kukabiliana na maambukizi ya sasa ya gonjwa la Ukimwi zinafanikiwa katika kupunguza kasi ya ongezeko la watu.&#8221;<\/p>\n<p>Wakati huo huo, uhamiaji wa kimataifa pia uchangia katika kuongezeka kwa idadi ya watu katika nchi zilizoendelea.<\/p>\n<p>Mwaka 2000&ndash;2005, idadi ya wahamiaji katika nchi 28 aidha walizuia kushuka kwa idadi ya watu au kuongeza ma&#341;a mbili mchango wa ongezeko la asili (idadi ya watu wanaozaliwa ukitoa idadi ya watu wanaokufa) katika ongezeko la idadi ya watu.<\/p>\n<p>Nchi hizi ni pamoja na Aust&#341;ia, Canada, C&#341;oatia, Denma&#341;k, Uje&#341;umani, Italia, U&#341;eno, Qata&#341;, Singapo&#341;e, Hispania, Sweden, Falme za Kia&#341;abu na Uinge&#341;eza.<\/p>\n<p>Baada ya mwaka 2000, ba&#341;a la Asia linata&#341;ajiwa kuwa chanzo cha zaidi ya nusu ya wahamiaji wote wanaohama kutoka ukanda huo wenye maendeleo duni, Ma&#341;ekani ya Kusini na Ca&#341;ibbean kati ya asilimia 25 hadi 30, na sehemu inayobakia watatoka Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Kwa upande wa wastani wa kila mwaka, wapokeaji wakuu wa wahamiaji wa kimataifa wanata&#341;ajiwa kuwa Ma&#341;ekani (milioni 1.1kwa mwaka), Uje&#341;umani (204,000), Canada (201,000), Uinge&#341;eza (133,000), Italia (120,000) na Aust&#341;alia (100,000).<\/p>\n<p>Nchi zitakazochangia zaidi kutoa wahamiaji zinakadi&#341;iwa kuwa China (333,000 kwa mwaka), Mexico (304,000), India ( 245,000), Ufilipino (180,000), Pakistan (173,000) na Indonesia (168,000)<\/p>\n<p>Hata hivyo, utafiti unaonya kwamba uhamiaji wa kimataifa ni sehemu ya mabadiliko ya ongezeko la idadi ya watu ambayo ni ngumu kuelezea kutokana na hatua zinazochukuliwa na makadi&#341;io yaliyopo.<\/p>\n<p>Hivyo, ubo&#341;a na wingi wa takwimu zilizotumika katika makadi&#341;io ya idadi ya wahamiaji hutofautiana kati ya nchi na nchi.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Feb 24 (IPS) &ndash; Gonjwa la Ukimwi, ambalo linaendelea kuangamiza nchi maskini zaidi ulimwenguni, limeongeza idadi ya vifo na kupunguza ongezeko la watu, kulingana na &#341;ipoti mpya ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa Alhamisi. Miongoni mwa nchi 60 zilizoathi&#341;ika zaidi zinapatikana Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a, 12 Ame&#341;ika ya Kusini na Ca&#341;ibbean,&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":58,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-877","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/877","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/58"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=877"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/877\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=877"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=877"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=877"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}