{"id":3998,"date":"2013-07-19T13:40:01","date_gmt":"2013-07-19T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/07\/19\/uwamke-saccoss-mkombozi-wa-wakulima-wa-ufuta-bagamoyo\/"},"modified":"2013-07-19T13:40:01","modified_gmt":"2013-07-19T13:40:01","slug":"uwamke-saccoss-mkombozi-wa-wakulima-wa-ufuta-bagamoyo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/07\/19\/uwamke-saccoss-mkombozi-wa-wakulima-wa-ufuta-bagamoyo\/","title":{"rendered":"UWAMKE SACCOSS Mkombozi wa Wakulima wa Ufuta Bagamoyo"},"content":{"rendered":"<p>Bagamoyo, Julai 19 (IPS) &ndash; &#8220;Wengi wetu hapa ni wakulima lakini tulikata tamaa kabisa ya kuendelea na kilimo kwa sababu tulikuwa tukipata hasa&#341;a kila msimu wa mavuno na zaidi tulikuwa tukilima mahindi lakini hayakuletea tija kabisa na wengi tulikuwa na mawazo ya kuachana na kilimo&#8221;, anasema Mwenyekiti wa Chama cha Kuweka Akiba cha Kijiji cha Mkange cha UWAMKE SACCOSS, Mashavu Said.<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p> Said anasema wakati wakiwa wamekata tamaa, walijitokeza wataalam kutoka M&#341;adi wa Pwani wa Mpango wa Kuhifadhi Mazingi&#341;a ya Pwani (Tanzania Coastal Management Pa&#341;tne&#341;ship&ndash;TCMP&ndash;Pwani) ambao unafadhiliwa na shi&#341;ika la misaada la Ma&#341;ekani USAID na kuwapatia mafunzo ya utunzaji wa mazingi&#341;a, afya, ujasi&#341;iamali na namna ya kukabiliana na umaskini kwa kutumia &#341;asilimali zinazowazunguka.<\/p>\n<p>Said anasema baada ya kupata mafunzo ya ujasi&#341;iamali na namna ya kujikomboa na umaskini na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa kupanda mimea ambayo inastahimili ukame, walipata upya moyo wa kuendelea na kilimo na badala ya mahindi wakatambulisha zao jipya la ufuta.<\/p>\n<p>&#8220;Baada ya kupata elimu kutoka m&#341;adi wa TCMP&ndash;Pwani tukagundua kuwa kumbe hakuna sababu ya kuacha kilimo badala yake ni kutafuta mazao mbadala ambayo yanastahimili ukame ndio tumeanza na kilimo cha ufuta&#8221;, anasema.<\/p>\n<p>UWAMKE ni chama cha akiba cha kuweka na kukopa ambacho kimefanikiwa kuwaunganisha wanawake kwa ajili ya kujiwezesha kiuchumi.Chama hiki kipo katika wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani ambapo kati ya wananchama wake 74 wanaume ni tisa tu.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Said, lengo kuu la kuanzishwa kwa chama hicho ni baada ya kuona na kutambua kuwa ni vigumu kwa mtu mmoja mmoja kupata mafanikio ya ha&#341;aka na ipo haja ya kuunganisha nguvu ili kukabiliana na hali ngumu ya maisha.<\/p>\n<p>Said anasema chama chao kilianza kikiwa na mtaji wa shilingi 100,000 huku wanachama wake ambao wengi wao ni wakulima wakiwa wamekata tamaa kabisa ya kuendelea na shughuli za kilimo kutokana na kutopata mavuno mazu&#341;i katika misimu ya kilimo hali inayosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>Hata hivyo, anasema katika SACCOSS hiyo licha ya kupata mafunzo, TCMP&ndash; Pwani imewapatia pia kiasi cha shilingi milioni 3 kuongezea mtaji wao na kwamba se&#341;ikali ya kijiji kutokana na jitihada zao imewapa shamba la heka 50 ambapo taya&#341;i wameshapanda ufuta katika heka nne.<\/p>\n<p>Mwenyekiti huyo anasema kwa sasa wana mtaji wa shilingi milioni 14 katika chama chao na wameanza kukopeshana kwa ajili ya kuendeleza shughuli zao mbalimbali za kiuchumi. &#8220;Malengo yetu yaliyopo katika hizo heka 50 licha ya kupanda ufuta lakini pia tunataka kujenga jengo la ofisi pamoja na kuweka mizinga ya nyuki kwenye eneo hilo ili kujiongezea kipato na vivyo hivyo kukabiliana na ukame kwa kupanda miti na kutunza iliyopo,&#8221; anasema, huku akiongeza kuwa &#8220;Tunaamini kwa kasi tuliyonayo tutafanikiwa tu kwani mabadiliko ya kimaisha kati yetu tumeanza kuyaona&#8221;. Licha ya kufanya shughuli za pamoja kama chama, wanachama hao wa UWAMKE wamekuwa wakifanya shughuli za mtu mmoja mmoja ambapo wameendelea kujikita kwenye kilimo na kutafuta mashamba yao binafsi. Akitoa ushuhuda kuhusu mafanikio aliyoyapata, Mwanahamisi Kitivo anasema baada ya kupata mkopo wa zaidi ya shilingi milioni mbili kwenye SACCOSS yao ameweza kununua shamba ambalo lina ukubwa wa heka tano, ambapo heka mbili amepanda mahindi na heka tatu amepanda ufuta.<\/p>\n<p>Kitivo anasema mpaka kufikia mavuno anata&#341;ajia kuvuna kilo 300 za ufuta kwa kila heka moja na kwamba bei ya ufuta kwa kilo ni kuanzia shilingi 1500.<\/p>\n<p>&#8220;Katika fedha za mkopo nilizopata zilinisaidia kung&#8217;oa visiki na kulima kwa kutumia t&#341;ekta la kukodisha na ndio maana nina matumaini ya kupata mavuno mengi katika msimu huu kwa sababu nimetumia kilimo cha kisasa zaidi: Kama ingekuwa ni jembe la mkoni nisingeweza,&#8221; anasema mwanachama huyo wa UWAMKE SACCOSS.<\/p>\n<p>Hata hivyo anaiomba se&#341;ikali na wafadhili mbalimbali kutambua kuwa kilimo pekee ambacho kitamkomboa mkulima ili kuondokana na umaskini ni kilimo cha kutumia zana za kisasa na kwamba hata powe&#341;tille&#341; zinazotolewa bado hazina tija kwa mkulima kutokana na kushindwa kung&#8217;oa visiki.<\/p>\n<p>&#8220;Kusema kweli kilimo bo&#341;a ni cha t&#341;ekta na hili nimelishuhudia mwenyewe kwa sababu nimelima kwa t&#341;ekta baada ya kupata mkopo sasa kama kweli se&#341;ikali imedhami&#341;ia kumkomboa mkulima na umaskini waachane na powe&#341;tille&#341;s ambazo hazina tija angalau kila kijiji waweke t&#341;ekta moja hata kama ni la kukodi watakuwa wamesaidia sana wananchi wa vijijini,&#8221; anasisitiza.<\/p>\n<p>Mbali ya mafanikio katika kilimo, baadhi ya wanachama wengine wa UWAMKE wameweza kujenga nyumba na kuongeza mitaji ya biasha&#341;a zao kutokana na shughuli wanazozifanya.<\/p>\n<p>Kwa upande wake, Pat&#341;ick Kajubili, Mtaaalam wa masuala ya ukuzaji uchumi katika m&#341;adi wa TCMP&ndash;Pwani anasema kuwa mi&#341;adi inayotekelezwa wilayani Bagamoyo ni ile iliyolenga kuhifadhi na kulinda mazingi&#341;a ya baha&#341;i na ya ukanda wa pwani na kukuza uchumi kwa wananchi ili waondokane na umaskini kwa kutumia &#341;asilimali zinazowazunguka.<\/p>\n<p>Kajubili anasema kwa kuzingatia kuwa wakazi wengi wa ukanda wa Pwani wamekuwa wakiishi kwa kutegemea baha&#341;i, wengi wao wanaendesha shughuli zisizo&#341;afiki wa mazingi&#341;a ya baha&#341;i na &#341;asilimali za pwani na siyo endelevu.<\/p>\n<p>Anasema kutokana na kulitambua hilo, TCMP&ndash;Pwani imeanzisha mi&#341;adi ya uhifadhi wa viumbe walio hata&#341;ini kutoweka, utengaji wa maeneo tengefu  kwa ajili ya uhifadhi wa matumbawe na viumbe baha&#341;i sambamba na uhifadhi wa mazingi&#341;a ya nchi kavu ikiwemo misitu na kuwahamasisha wananchi kujiunga katika vikundi ili kupata mitaji ya kuanzisha shughuli mbadala ambazo ni &#341;afiki kwa mazingi&#341;a. <\/p>\n<p>&#8220;Sasa ili kufanikisha suala zima la uhifadhi endelevu wa mazingi&#341;a lazima utambulishe shughuli mbadala kwa wananchi husika kwa kuhakikisha wanaongeza kipato na wanamudu kuendesha maisha yao ya kila siku,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>Mtaalam huyo anataja miongoni mwa shughuli za kiuchumi ambazo hufanyika kuwa ni pamoja na uanzishaji wa vyama vya akiba vya kuweka na kukopa, kilimo kinachotokana na &#341;asilimali za baha&#341;i kama ufugaji wa samaki, kilimo cha chaza na kilimo cha mwani pamoja na ufugaji wa nyuki ikiwemo kwenye maeneo ya mikoko ambapo waha&#341;ibifu wengi wanashindwa kukata miti hiyo kwa kuhofia wadudu hao.<\/p>\n<p>Naye Mjumbe wa Kamati ya Uhifadhi wa Mazingi&#341;a kutoka halmashau&#341;i ya wilaya ya Bagamoyo Injinia Jason Raphael anasema kuwa halmashau&#341;i kwa kushi&#341;ikiana na Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingi&#341;a imeanza kutekeleza mi&#341;adi ya hifadhi ya mazingi&#341;a wilayani humo na taya&#341;i wameshafikia vijiji saba katika wilaya hiyo.<\/p>\n<p>Raphael anasema katika ushi&#341;ikiano huo wameweza kuchimba visima katika baadhi ya vijiji sambamba na kutambulisha mi&#341;adi mbalimbali ya maendeleo endelevu katika uhifadhi wa mazingi&#341;a. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Bagamoyo, Julai 19 (IPS) &ndash; &#8220;Wengi wetu hapa ni wakulima lakini tulikata tamaa kabisa ya kuendelea na kilimo kwa sababu tulikuwa tukipata hasa&#341;a kila msimu wa mavuno na zaidi tulikuwa tukilima mahindi lakini hayakuletea tija kabisa na wengi tulikuwa na mawazo ya kuachana na kilimo&#8221;, anasema Mwenyekiti wa Chama cha Kuweka Akiba cha Kijiji cha&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":716,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3998","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3998","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/716"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3998"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3998\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3998"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3998"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3998"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}