{"id":3996,"date":"2013-07-15T13:40:01","date_gmt":"2013-07-15T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/07\/15\/kutumia-pamoja-maaifa-ya-jadi-duniani-kote\/"},"modified":"2013-07-15T13:40:01","modified_gmt":"2013-07-15T13:40:01","slug":"kutumia-pamoja-maaifa-ya-jadi-duniani-kote","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/07\/15\/kutumia-pamoja-maaifa-ya-jadi-duniani-kote\/","title":{"rendered":"Kutumia Pamoja Maa&#341;ifa ya Jadi Duniani Kote"},"content":{"rendered":"<p>Julai 15 (IPS) &ndash; Mji huu wa kaskazini mwa Aust&#341;alia uliwakusanya pamoja kupeana uzoefu. Ni jamii za jadi za kabila la Shipiba wanaopigania kukatwa kwa magogo kwa wingi katika msitu wa Amazon na wanajamii kutoka jamii ya Ando&ndash; Kpomey nchini Togo, ambao wanalinda msitu wa hekta 100. &#8220;Bila ya kuwa na msitu hatuna kitu tunachobaki nacho &ndash; ni kama kupoteza maisha yetu,&#8221; alisema Juan Ch&aacute;vez, kutoka kabila la Shipibo mwenye asili ya India kutoka katika mkoa wa Ucayali nchini Pe&#341;u, wakati wa mazungumzo na IPS wakati wa mapumziko katika mkutano wa Mtandao wa Makabila ya Wenyeji (WIN) ambao ulimalizika Jumatano Da&#341;win, Aust&#341;alia.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Ch&aacute;vez na wengine wamefanya kazi katika kipindi cha miaka 15 iliyopita kuwezesha koo za makabila sita ya Shipibo kutokuhamasishwa kuingia katika uvunaji ha&#341;amu wa magogo kutengeneza faida ya ha&#341;aka, na kuwezesha ku&#341;ejesha mila za makabila ya wenyeji katika kutunza misitu.<\/p>\n<p>Ili kufanikisha hilo, waliandaa mipango ya maendeleo ya jamii, ili kufufua maa&#341;ifa ya jadi ya jinsi ya kusimamia a&#341;dhi, maji na &#341;asilimali za misitu, kwa msaada wa Chama cha Utafiti na Maendeleo (AIDER), NGO iliyopo nchini Pe&#341;u.<\/p>\n<p>Wawakilishi 1,200 wa makabila ya jadi kutoka baadhi ya nchi 50 waliangalia suala la mafanikio ya WIN katika siku ya tatu ya mkutano juu ya kufufua tamaduni za mababu na za jadi katika mazingi&#341;a ya kuleta maendeleo endelevu na wala siyo kutegemea tu katika maa&#341;ifa ya kisasa; pia ni muhimu kuangalia katika jamii zetu tunakotoka,&#8221; anasema Ch&aacute;vez.<\/p>\n<p>Baadhi ya mifano hii, kama ule wa Shipibo ilitolewa na Ch&aacute;vez, wameshinda zawadi ya Mpango wa Ikweta, ambao unaleta pamoja Umoja wa Mataifa, se&#341;ikali, mashi&#341;ika ya kijamii, biasha&#341;a na mashi&#341;ika yaliyojikita katika jamii ili kujenga maendeleo endelevu.<\/p>\n<p>&#8220;Sisi siyo mashetani maskini; pia tunakuja na ufumbuzi,&#8221; kiongozi wa makabila ya jadi wa Ecuado&#341; Manuel Tacuis alisema katika uwasilishaji wake katika moja ya topiki kwenye WIN. Ujumbe kutoka Ecuado&#341; ulikuwa mkubwa zaidi kutoka Ame&#341;ika Kusini, pamoja na B&#341;azil.<\/p>\n<p>Wakati wawakilishi wa jamii za jadi kutoka duniani kote wakibadilishana uzoefu, imekuja kuwa wazi zaidi kuwa maisha ya kila siku na changamoto zinazokabili watu wa vijijini ba&#341;ani Af&#341;ika hazitofautiani sana na zile zinazowakabili wakazi wa jadi katika misitu minene ya Amazon.<\/p>\n<p>Jamii ya Ando&ndash;Kpomey katika taifa la Af&#341;ika Magha&#341;ibi la Togo ilianza miaka kumi iliyopita ku&#341;ejesha msitu katika a&#341;dhi yao, ambao ulikuwa umeangamizwa na uchomaji wa moto katika uoto wa asili kunakofanywa na wawindaji.<\/p>\n<p>Koku Agbee Koto, mwakili mwenye miaka 35 na hamasa kubwa kutoka jamii hiyo, aliiambia IPS kuwa mbinu za uha&#341;ibifu hatimaye zimepunguzwa kwa kiasi kikubwa.<\/p>\n<p>Hadi sasa zaidi ya hekta 100 za msitu zime&#341;ejeshwa na kufaidisha wanakijiji wapatao 2,500, alisema.<\/p>\n<p>Lakini wawakilishi wa Togo na Pe&#341;u walikubaliana kuwa maa&#341;ifa ya jadi hayakutosha kuweza kusimamia a&#341;dhi kwa njia endelevu zaidi na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>&#8220;Inabidi tukubaliane na tamaduni zote: tamaduni za wenyeji na sayansi,&#8221; alisema Ch&aacute;vez, baada ya kukubali kuwa bado kuna upinzani miongoni mwa watu wake kutambua mchango wa sayansi.<\/p>\n<p>Wajumbe wa makabila ya wenyeji wanaoshi&#341;iki katika mkutano wa WIN walionyesha kuwa wawazi.<\/p>\n<p>Koto, kutoka Togo, alikuwa akiandika kila kinachozungumzwa katika mkutano huo, na kutumia Kiinge&#341;eza chake kidogo alicho nacho kuuliza kutaka taa&#341;ifa zaidi, kuomba namba za simu na anuani za ba&#341;ua pepe, &#8221; anasema Ch&aacute;vez, wakati ameweza kuzungumza kiu&#341;ahisi kwa Lugha ya Kifa&#341;ansa alipokutana na washi&#341;iki kutoka nchi zinazoongea Kifa&#341;ansa kutoka ba&#341;a la Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Koto alishangazwa na mafanikio ya utalii ekolojia katika jamii ya Anja Mi&#341;ay nchini Madagasca&#341;, jambo ambalo alihisi lingeweza kuigwa na kijiji chake.<\/p>\n<p>Jamii ya hifadhi ya Anja imeweza kusimamia utalii ekolojia na msitu, mshindi mwingine wa Tuzo ya Ikweta, na hivyo kuzalisha kipato kwa ajili ya wazee, watoto na jamii za wanyonge, ambao wanasaidiwa huduma za msingi na ufadhili, wakati waki&#341;ejesha hadhi ya msitu na kupunguza ukataji miti na kuenea kwa jangwa.<\/p>\n<p>V&iacute;cto&#341; Samuel Rahaovalahy, mmoja wa viongozi katika jamii hiyo inayoongozwa na chama cha Anja Mi&#341;ay, aliiambia IPS kuwa bado walikuwa wakifanya kazi ya kutafuta jinsi ya kuzalisha kipato zaidi na njia bo&#341;a zaidi za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>&#8220;Tunahitaji kujengea jamii uwezo zaidi, lakini pia kwa jamii zinazotuzunguka,&#8221; Rahaovalahy alisema. &#8220;Sote tutapaswa kuja pamoja kupambana na kuenea kwa jangwa katika njia bo&#341;a zaidi,&#8221; aliongeza, akisema kuwa jamii za jadi na se&#341;ikali lazima kufanya kazi pamoja kwa ka&#341;ibu ili kupata matokeo mazu&#341;i.<\/p>\n<p>Siyo washi&#341;iki wote walikuwa wanajua fika jinsi ya kukabiliana na mambo mabaya yanayojitokeza katika maeneo yao au jinsi ya kukabiliana na changamoto kama madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>Kwa kipindi cha zaidi ya muongo mzima, watu wa kabila la Sami kaskazini mwa Sweden wamekabiliwa na hali isiyokuwa ya kawaida ya ba&#341;afu kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Lakini bado hawajakusanyana pamoja kukabiliana na mabadiliko ya ha&#341;aka kwa njia ya kujipanga zaidi, pamoja na maa&#341;ifa ya jadi waliyonayo, mwanabaolojia Be&#341;it Inga, ambaye ana asili ya kabila la Sami, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Inga alisema kabila la Sami walikuwa wanakabiliana zaidi na mabadiliko ya papo kwa papo, kama vile shughuli za uchimbaji wa madini.<\/p>\n<p>Lakini kila mmoja katika mkutano alikubaliana kuwa haikuwa &#341;ahisi kuja na ufumbuzi kwa kujitenga.<\/p>\n<p>Meneja wa Mpango wa Ikweta, Eileen de Ravin, aliiambia IPS kuwa uzoefu wa jadi wenye mafanikio unapaswa kuigwa na se&#341;ikali katika kuandaa se&#341;a za umma ambazo zinatambua na kuthamini maa&#341;ifa ya jadi.<\/p>\n<p>Katika muongo uliopita, mi&#341;adi ya makabila ya jadi 152 kati ya 2,500 ilishinda tuzo ya Mpango wa Ikweta. Wawakilishi wa mashi&#341;ika ya washindi walikutana katika mkutano kujadili mipango ya baadaye ya WIN.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Julai 15 (IPS) &ndash; Mji huu wa kaskazini mwa Aust&#341;alia uliwakusanya pamoja kupeana uzoefu. Ni jamii za jadi za kabila la Shipiba wanaopigania kukatwa kwa magogo kwa wingi katika msitu wa Amazon na wanajamii kutoka jamii ya Ando&ndash; Kpomey nchini Togo, ambao wanalinda msitu wa hekta 100. &#8220;Bila ya kuwa na msitu hatuna kitu tunachobaki&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":969,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3996","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3996","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/969"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3996"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3996\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3996"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3996"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3996"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}