{"id":3995,"date":"2013-07-12T13:40:01","date_gmt":"2013-07-12T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/07\/12\/tanzania-madi-wa-pwani-wapambana-na-umaskini-zanziba\/"},"modified":"2013-07-12T13:40:01","modified_gmt":"2013-07-12T13:40:01","slug":"tanzania-madi-wa-pwani-wapambana-na-umaskini-zanziba","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/07\/12\/tanzania-madi-wa-pwani-wapambana-na-umaskini-zanziba\/","title":{"rendered":"TANZANIA: M&#341;adi wa Pwani Wapambana na Umaskini Zanziba&#341;"},"content":{"rendered":"<p>ZANZIBAR, Julai 12 (IPS) &ndash; Se&#341;ikali ya Mapinduzi ya Zanziba&#341; na ile ya Jamhu&#341;i ya Muungano wa Tanzania kwa pamoja zimetoa fu&#341;sa maalum kwa taasisi mbali mbali, na watu binafsi kuanzisha jumuiya zinatoa mchango mkubwa na kusaidia katika kuleta maendeleo nchini kwenye sekta mbali mbali, katika kusaidia kutekeleza malengo kadha wa kadha ya maendeleo nchini.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>M&#341;adi wa Pwani chini ya Mpango wa Pamoja wa Kusimamia Mazingi&#341;a ya Ukanda wa Pwani (TCMP) unaofadhiliwa na Shi&#341;ika la Maendeleo ya Kimataifa la Ma&#341;ekani (USAID) ni miongoni mwa mi&#341;adi ambayo inaendesha shughuli zake katika Tanzania Ba&#341;a na Visiwani ili kuhifadhi mazingi&#341;a ya ukanda wa pwani na vile vile kuwanasua wakazi wa maeneo hayo kutokana na umaskini wa kipato katika wilaya za Bagamoyo na Pangani na eneo la Hifadhi ya Ghuba ya Menai huko Zanziba&#341;. <\/p>\n<p>Utekelezaji wa m&#341;adi kwa upande wa Zanziba&#341; unafanyika katika vijiji vilivyomo kwenye eneo la Hifadhi ya Ghuba ya Menai vya Fumba, Bweleo, Nyamanzi, Kizingo, Kikungwi, Unguja Ukuu na Kizimkazi.<\/p>\n<p>Katika vijiji hivyo, m&#341;adi unawezesha wananchi kuendesha shughuli za kujiingizia kipato kwa lengo la kutunza mazingi&#341;a, ikiwa ni pamoja na ukulima wa lulu kwa ajili ya kutengeneza mapambo mbali mbali. Shughuli nyingine ni kuanzisha maeneo tengefu kwa ajili ya kuhifadhi chaza na viumbe wengine wa baha&#341;i.<\/p>\n<p>Utalii wa Pomboo uliokuwa endelevu, umeanzishwa katika eneo hilo ikiwa ni pamoja na vikundi vya Kuweka na Kukopa (SACCOs) ili kuhakikisha wananchi wanakuwa na mtaji endelevu wa kuendesha shughuli zao za hifadhi na kukuza uchumi kwa kuweka akiba na kuzitumia akiba hizo wakati unaostahili. <\/p>\n<p>Ili ku&#341;ahisisha shughuli za utengenezaji mapambo na pia kuwa na soko la pamoja la uuzaji mampambo hayo, m&#341;adi umesaidia vikundi vya mapambo kujenga jengo katika eneo la Fumba. Pia jengo hilo hu&#341;ahisisha kuwaunganisha wajasi&#341;iamali wa vijiji vya ji&#341;ani vya Nyamanzi, Bweleo na Fumba.<\/p>\n<p>Lakini lengo kuu la m&#341;adi ni kubo&#341;esha shughuli za ujasi&#341;iamali ili kupunguza utegemezi mkubwa wa &#341;asilimali za pwani na hivyo kupunguza kiwango cha uha&#341;ibifu wa mazingi&#341;a ya ukanda wa pwani.<\/p>\n<p>Wanavikundi wanasema hivi sasa wanajishughulisha na mi&#341;adi mbali mbali, ikiwemo uzalishaji wa chaza na kutengeneza mapambo yanayotokana na chaza ambayo huyauza kwa watalii na wageni mbali mbali wanaofika katika duka, shughuli ambayo huwaongezea kipato katika ushi&#341;ika wao. <\/p>\n<p>Wanasema wanashi&#341;iki pia katika shughuli za hifadhi ya mazingi&#341;a baada ya kuwa na m&#341;adi wa ufugaji wa nyuki pamoja na kuanzisha bwawa la ufugaji wa samaki, shughuli ambazo kwa kiasi kikubwa pia zimeweza kuwaongezea kipato na kuima&#341;isha ushi&#341;ika wao. <\/p>\n<p>Wanasema kutokana na shughuli za m&#341;adi huo wameweza kuvutia wafanyabiasha&#341;a wa mapambo kununua bidhaa kutoka kwao na kuziuza katika maduka yaliyopo mji mkongwe, mjini Zanziba&#341; ambako huyauza zaidi kwa watalii kutoka nje.<\/p>\n<p>&#8220;Tunaweza kuingiza hadi 300,000 kwa siku wakati wa msimu mzu&#341;i wa utalii, kwani biasha&#341;a ambayo tunaifanya tunategemea zaidi msimu wa utalii ambao huleta wageni kutoka nje ya nchi,&#8221; wanasema wanavikundi hao. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ZANZIBAR, Julai 12 (IPS) &ndash; Se&#341;ikali ya Mapinduzi ya Zanziba&#341; na ile ya Jamhu&#341;i ya Muungano wa Tanzania kwa pamoja zimetoa fu&#341;sa maalum kwa taasisi mbali mbali, na watu binafsi kuanzisha jumuiya zinatoa mchango mkubwa na kusaidia katika kuleta maendeleo nchini kwenye sekta mbali mbali, katika kusaidia kutekeleza malengo kadha wa kadha ya maendeleo nchini&#8230;.<\/p>\n","protected":false},"author":716,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3995","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3995","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/716"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3995"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3995\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3995"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3995"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3995"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}