{"id":3992,"date":"2013-05-28T13:40:01","date_gmt":"2013-05-28T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/05\/28\/mashiika-ya-kiaia-yashambuliwa-duniani-kote\/"},"modified":"2013-05-28T13:40:01","modified_gmt":"2013-05-28T13:40:01","slug":"mashiika-ya-kiaia-yashambuliwa-duniani-kote","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/05\/28\/mashiika-ya-kiaia-yashambuliwa-duniani-kote\/","title":{"rendered":"Mashi&#341;ika ya Ki&#341;aia Yashambuliwa Duniani Kote"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Mei 28 (IPS) &ndash; Mwezi Desemba 2011, se&#341;ikali na mashi&#341;ika makubwa ya kimataifa 159 yalitambua jukumu kubwa linalotekelezwa na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia katika kuleta maendeleo na kuahidi kujenga mazingi&#341;a &#341;afiki ya kuendeshea sekta isiyokuwa ya kutengeneza faida.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Pamoja na mazungumzo hayo katika Jukwaa la Wakuu wa nchi kuhusu Ufanisi wa Misaada ya Maendeleo lililofanyika huko Busan, Ko&#341;ea Kusini, leo hii NGOs, vyama vya wafanyakazi, mashi&#341;ika ya kiimani, vuguvugu za kijamii na mashi&#341;ika yaliyojikita katika jamii yanayofanya kazi kuibua ukiukwaji wa haki za wengine na &#341;ushwa yanabakia kifungoni katika maeneo mengi ulimwenguni.<\/p>\n<p>Ripoti za maofisa wa Umoja wa Mataifa na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yenye hadhi kubwa zinaonyesha kuwa mashitaka ya uongo na mashambulizi ya kuuawa kwa wanaha&#341;akati yameongezeka kwa kiasi kikubwa na hivyo kutishia ku&#341;ejesha nyuma malengo ya maendeleo ya kimataifa hata wakati huu wa kujadili mpango mpya wa kuchukua nafasi ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia ambayo yanamaliza muda wake mwaka 2015.<\/p>\n<p>Katika hali nyingine, ha&#341;akati zinaendeshwa na se&#341;ikali kuzuia ushi&#341;iki wa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia katika mikutano mikubwa ya Ba&#341;aza Kuu la Umoja wa Mataifa kupitia mchakato ambapo mataifa yanaweza kutoa zuio lenye maslahi ya kisiasa kukataa kuhusishwa kwa baadhi ya NGOs katika mijadala muhimu.<\/p>\n<p>Kwa bahati mbaya, vikwazo vya kishe&#341;ia vya uhu&#341;u wa kujieleza, kuanzishwa kwa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia na haki ya kuandamana kwa njia ya amani kunaonekana kuongezeka pamoja na maneno matupu ya kushi&#341;ikisha mashi&#341;ika ya ki&#341;aia katika utoaji wa maamuzi kwenye mijadala ya kimataifa.<\/p>\n<p>Katika nchi nyingi mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yanazuiliwa kupata ufadhili kutoka kwa vyanzo vya kimataifa, kama ilivyoelezwa katika &#341;ipoti ya hivi ka&#341;ibuni ya mtaalam maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu uhu&#341;u wa kukusanyika na kufanya mikutano ya hadha&#341;a.<\/p>\n<p>Nchini Russia, mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali yanayopata ufadhili wa kimataifa yanakabiliwa na ukaguzi wa ma&#341;a kwa ma&#341;a kuhakikisha yanazingatia she&#341;ia tata ambazo zinataka NGOs kusajiliwa chini ya she&#341;ia kandamizi za mashi&#341;ika ya kigeni na ama sivyo yanakabiliwa na adhabu kali.<\/p>\n<p>Rasimu ya she&#341;ia ambayo kwa sasa inasubi&#341;i kupitishwa nchini Bangladesh inataka kutekeleza mchakato wa kiu&#341;asimu wa kutaka mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yanayopata ufadhili kutoka vyanzo vya kigeni kupitishwa kwanza kwa mujibu wa she&#341;ia, katika hatua ya kutaka kuzuia kukosolewa kwa se&#341;ikali.<\/p>\n<p>Mis&#341;i inafiki&#341;ia kutunga she&#341;ia mpya ambayo ita&#341;uhusu vyombo vya kijasusi na usalama kudhibiti mashi&#341;ika hu&#341;u ya ki&#341;aia.<\/p>\n<p>Wakati huo huo, mwanamtandao wa blogu maa&#341;ufu nchini Ethiopia anatumikia kifungo cha miaka 18 jela kutokana na kuandika taa&#341;ifa ya madha&#341;a ya Ha&#341;akati za Kimapinduzi Zinazoendelea katika Ulimwengu wa Kia&#341;abu kwa nchi yake. Mwanaha&#341;akati maa&#341;ufu nchini Laos amepotea baada ya kukosoa hatua ya kuhamishwa kwa wananchi ambayo imeendeshwa na se&#341;ikali.<\/p>\n<p>Nchini Saudi A&#341;abia, waanzilishi wa Chama cha Haki za Kijamii na Kisiasa cha Saudia wamehukumiwa kifungo jela cha miaka 10 na 11 kutokana na kuvunja kiapo kwa Mfalme. China inaendelea kuwafunga jela waandishi wanaokosoa se&#341;ikali ambao wanataka kupatikana kwa mageuzi ya kidemok&#341;asia, ikiwa ni pamoja na Mshindi wa Tuzo ya Nobel Liu Xiobo.<\/p>\n<p>Hali inatisha katika mataifa yenye migogo&#341;o. Wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe vikiendelea nchini Sy&#341;ia, idadi kubwa ya wanaha&#341;akati wa amani na waandishi wa haba&#341;i wanaswekwa jela na kufunguliwa mashitaka, jambo ambalo ni kinyume na she&#341;ia za haki za binadamu za kimataifa.<\/p>\n<p>Vitendo vya makundi ya kijeshi yenye msimamo wa m&#341;engo wa kulia nchini Colombia vimesababisha mauaji makubwa na kuifanya nchi hiyo kwa sasa kuwa mbaya zaidi duniani kwa wanaha&#341;akati wa vyama vya wafanyakazi.<\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati wa haki za wanawake wanaopinga misimamo mikali ya mfumo dume na ya kidini nchini Pakistan wanapigwa &#341;isasi na kutishiwa ma&#341;a kwa ma&#341;a, wakati wanaha&#341;akati nchini S&#341;i Lanka na Bah&#341;ain wanaotoa sauti zao katika Ba&#341;aza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa mjini Geneva ma&#341;a nyingi wanakabiliwa na kulipiziwa kisasi wanapo&#341;ejea nyumbani kwao.<\/p>\n<p>Nchini Came&#341;oon na Uganda wanaha&#341;akati wanaopigania haki za mashoga siyo tu kwamba wanatengwa na jamii lakini pia kukabiliwa na vitisho vya kuuawa vya ma&#341;a kwa ma&#341;a ili kuwanyamazisha wasifanye kazi yao.<\/p>\n<p>Hata katika mataifa yanayoonekana kuwa na demok&#341;asia iliyokomaa, kuwa mpinzani kunabakia kuwa kazi inayokabiliwa na hatua hasi. Sehemu ya kikundi cha wanamazingi&#341;a cha Fo&#341;est Ethics Canada iliamua kuachana na shughuli zake za kutoa misaada, ili kujizuia na kuingiliwa na kukaguliwa kwa ma&#341;a kwa ma&#341;a baada ya kulaumiwa na se&#341;ikali ya kihafidhina kuwa wanazuia maendeleo ya kiuchumi nchini humo.<\/p>\n<p>Julian Assange, mwanzilishi wa tovuti ya ha&#341;akati ya WikiLeaks, anaendelea kusakwa kutokana na kuanika kwake taa&#341;ifa za si&#341;i kutoka kwenye mitandao ya kidiplomasia ya Ma&#341;ekani na kudai kuwa anafanya kazi kama inayofanywa na waandishi wa haba&#341;i za uchunguzi.<\/p>\n<p>Nchini Uinge&#341;eza, tabia ya polisi wa upelelezi kujipenyeza katika vikundi vya ha&#341;akati za kimazingi&#341;a kumesababisha Umoja wa Mataifa kukemea hali hiyo, ambapo mtaalam wake wa uhu&#341;u wa kukusanyika na kufanya mikutano ya hadha&#341;a, Maina Kiai, alielezea &#8220;kusikitishwa kwake kwa kiasi kikubwa&#8221; mwezi Janua&#341;i juu ya maofisa wa polisi kujipenyeza katika mashi&#341;ika yasiyotumia nguvu yoyote na yasiyofanya shughuli za kiuhalifu.<\/p>\n<p>Kama ambavyo inaonekana katika Ripoti ya Hali ya Mashi&#341;ika ya Kijamii ya CIVICUS ya mwaka 2013, ahadi zilizotolewa huko Busan kuhusu mazingi&#341;a &#341;afiki kwa CSOs zimepuuzwa ma&#341;a tu matamshi hayo yalipotoweka masikioni mwa watu.<\/p>\n<p>Kutokana na mijadala juu ya mkakati wa maendeleo baada ya mwaka 2015 kuendelea, mashi&#341;ika maa&#341;ufu ya ki&#341;aia yanaomba Jopo la Watu Maa&#341;ufu la Umoja wa Mataifa kutambua umuhimu wa mazingi&#341;a &#341;afiki kwa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia katika uanzishwaji wowote ule upya wa malengo ya maendeleo yanayokubaliwa kimataifa.<\/p>\n<p>Wakati vichwa vya wanasiasa kwa sasa vinawaza tu kuanza vizu&#341;i au kuendeleza maendeleo ya kiuchumi waliyonayo, kuna hata&#341;i ya kweli kuwa haki za mashi&#341;ika ya ki&#341;aia na uwezo wa kushi&#341;iki kama watoaji wa maamuzi katika majukwaa mbalimbali zitaendelea kukandamizwa.<\/p>\n<p>Kama malengo ya maendeleo kimataifa yanataka kufanikiwa, mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yanapaswa kuwa na uwezo wa kufanya kazi zao kwa uhu&#341;u bila ya hofu ya kulipiziwa kisasi kutokana na kuendeleza madai halali. Mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yana mchango mkubwa katika mikakati ya maendeleo na yanasaidia kupata ufumbuzi wa kiubunifu wa changamoto ngumu za kimaendeleo.<\/p>\n<p>Jambo la msingi zaidi, yanasaidia kuhakikisha kuwa kuna uwakilishi wa sauti mbalimbali, hasa zile za wanyonge katika mijadala ya maendeleo. Pengine hii ndiyo sababu ya kukandamizwa kwao. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Mei 28 (IPS) &ndash; Mwezi Desemba 2011, se&#341;ikali na mashi&#341;ika makubwa ya kimataifa 159 yalitambua jukumu kubwa linalotekelezwa na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia katika kuleta maendeleo na kuahidi kujenga mazingi&#341;a &#341;afiki ya kuendeshea sekta isiyokuwa ya kutengeneza faida. Pamoja na mazungumzo hayo katika Jukwaa la Wakuu wa nchi kuhusu Ufanisi wa Misaada ya Maendeleo lililofanyika&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":967,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3992","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3992","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/967"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3992"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3992\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3992"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3992"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3992"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}