{"id":3989,"date":"2013-05-06T13:40:01","date_gmt":"2013-05-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/05\/06\/mgogoo-wa-ziwa-nyasa-wazua-hofu-kwa-wavuvi\/"},"modified":"2013-05-06T13:40:01","modified_gmt":"2013-05-06T13:40:01","slug":"mgogoo-wa-ziwa-nyasa-wazua-hofu-kwa-wavuvi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/05\/06\/mgogoo-wa-ziwa-nyasa-wazua-hofu-kwa-wavuvi\/","title":{"rendered":"Mgogo&#341;o wa Ziwa Nyasa Wazua Hofu kwa Wavuvi"},"content":{"rendered":"<p>KARONGA, Malawi, May 6 (IPS) &ndash; Tangu akiwa na um&#341;i wa miaka tisa, Ma&#341;tin Mhango kutoka kijiji cha Ka&#341;onga kaskazini mwa Malawi hajawahi kufahamu njia nyingine ya kumwingizia kipato zaidi ya uvuvi. Na katika kipindi cha miaka 33 iliyopita amekuwa akivua samaki kwa uhu&#341;u katika Ziwa Nyasa &ndash; hadi Oktoba mwaka jana alipokamatwa na kuweka kizuizini na kupigwa na vikosi vya usalama vya Tanzania.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Walinikamata, wakanichukua hadi ufukweni ambako walinipiga na kuniweka kizuizini. Waliniambia kuwa nimevuka mpaka kinyume cha she&#341;ia na nilikuwa navua samaki katika upande wa Tanzania,&#8221; Mhango, 42, aliiambia IPS. &#8220;Pia niliambiwa nisivue tena samaki katika upande wao tena. Amezoea kuvua samaki katika pande zote za ziwa kwa miaka mingi, alisema, kama ilivyo kwa wenzake wavuvi kutoka nchini Tanzania.<\/p>\n<p>Mgogo&#341;o dhidi ya ziwa la tatu kwa ukubwa ba&#341;ani Af&#341;ika ambalo linajulikana kama ziwa Nyasa nchini Tanzania na Ziwa Malawi kwa upande wa Malawi umeanza katika kipindi cha nusu ka&#341;ne iliyopita.<\/p>\n<p>Malawi inadai kumiliki eneo zima la ukubwa wa kilomita za m&#341;aba 29,600 za ziwa hilo ambalo mipaka ya mataifa ya Malawi, Msumbiji na Tanzania hupitia humo.<\/p>\n<p>Wakati huo huo, Tanzania inasema asilimia 50 ya ziwa hilo ipo nchini mwake.<\/p>\n<p>Mgogo&#341;o wa mataifa hayo ya kusini mwa Af&#341;ika ulifumuka wakati Malawi ilipotoa kibali cha kutafuta mafuta kwa kampuni yenye makao yake nchini Uinge&#341;eza ya Su&#341;est&#341;eam Pet&#341;oleum mwaka 2011 kutafuta uwezekano wa kuwepo kwa mafuta na gesi katika Ziwa Nyasa.<\/p>\n<p>Mamlaka nchini Tanzania yanataka kampuni ya Su&#341;est&#341;eam Pet&#341;oleum kuachana na mipango yoyote ile ya kuchimba mafuta na gesi katika ziwa linalogombaniwa hadi mgogo&#341;o utakapotatuliwa. Lakini Malawi imekataa kutii am&#341;i hiyo.<\/p>\n<p>Mwezi Desemba mwaka jana, se&#341;ikali ya Malawi ilitoa leseni ya pili kubwa zaidi ya kutafuta mafuta kwa kampuni ya Af&#341;ika Kusini ya SacOil Holdings Limited. <\/p>\n<p>Hadi sasa makampuni hayo mawili bado hayajaanza kuchimba kutafuta mafuta yanaja&#341;ibu tu kuchunguza kitovu cha ziwa ambacho kimejificha.<\/p>\n<p>Lakini familia nyingi za wavuvi kama ile ya Mhango ambazo zinafanya kazi zao katika Mto Songwe kaskazini mwa Malawi taya&#341;i zimenaswa katika mtego huu, na hivyo kuwafanya wavuvi kuwa na hofu kuwa nchi hizo mbili zinaweza kutumbukia katika vita.<\/p>\n<p>Baada ya tukio la Oktoba, Mhango amekuwa mwangalifu sana asiweze kuvuka maji yanayosemekana ni ya upande wa Tanzania, jambo ambalo limeathi&#341;i kipato chake.<\/p>\n<p>Kupungua kwa samaki kumepunguza kipato chake kutoka zaidi ya dola 286 kwa mwezi hadi dola 142.<\/p>\n<p>&#8220;Nimekuwa nikiendesha maisha yangu yote kwa kutegemea uvuvi na hii ni ma&#341;a ya kwanza siwezi kuvua samaki kwa uhu&#341;u katika ziwa hili na nahofia mustakabali wa maisha yangu ya baadaye,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Josiah Mwangoshi, 52, anakumbuka alikuwa mwenyeji wa vijiji viwili wakati alipokuwa akikua &ndash; kijiji kimoja upande wa Malawi na kingine upande wa Tanzania.<\/p>\n<p>&#8220;Kijiji changu kipo kando mwa Mto Songwe na nakumbuka kuwa mto ulipobadilisha mwelekeo wake, tuliweza kuhamia upande wa Tanzania na baadaye ku&#341;ejea upande wa Malawi wakati mto ulipobadili mwelekeo tena,&#8221; Mwangoshi aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Lakini sasa nahofia Watanzania wanaweza kunimakata. Siwezi tena kuishi kwa kuvua samaki katika upande wa Tanzania ambako pia nina familia yangu, kwasabau ni wazi sasa kuwa mgogo&#341;o umezidi kukua,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Madai ya kupigwa na kubughudhiwa kwa wavuvi wa nchini Malawi mwezi Oktoba mwaka jana yalisababisha Rais wa Malawi Joyce Banda kukatisha mazungumzo ambayo yameshaanza baina ya nchi hizo mbili.<\/p>\n<p>Mgogo&#341;o ulizidi wakati mwezi Novemba mwaka jana Tanzania iliposambaza &#341;amani ambayo inaonyesha mpaka kati ya Tanzania na Malawi upo katikati mwa ziwa hilo.<\/p>\n<p>Banda, akikasi&#341;ishwa na &#341;amani hiyo na kubughudhiwa kwa wavuvi wa nchini mwake na Tanzania, aliitisha mkutano wa waandishi wa haba&#341;i katika mji mkuu wa Lilongwe siku chache baadaye na kutangaza kuwa amepeleka suala hilo kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kufuta mpango wake wa zia&#341;a yake ya kitaifa kuitembelea Tanzania.<\/p>\n<p>Lakini Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Pat&#341;ick Tse&#341;e, alitetea hatua ya nchi yake akisema kuwa hakuna wavuvi wa Malawi ambao wamewahi kubughudhiwa katika maji ya ziwa hilo kwa upande wa Tanzania.<\/p>\n<p>&#8220;Vyombo vya usalama nchini Tanzania havijahusika katika tabia hiyo. Ni sisi ambao tumekuwa na mashaka kuwa ndege za Malawi zimekuwa ziki&#341;uka katika upande wa Tanzania bila &#341;uhusa,&#8221; Tse&#341;e aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Wengi wana imani kuwa mgogo&#341;o wa ziwa hilo utakuwa mbaya zaidi kama mafuta na gesi vitagunduliwa.<\/p>\n<p>&#8220;Mgogo&#341;o huu umekuwepo kwa zaidi ya miaka 50 lakini umeongezeka na kuingia katika masuala makubwa ya mjadala wa umma sasa kwasababu ya uwezekano wa kuwepo kwa mafuta na gesi,&#8221; Udule Mwakasungu&#341;a, mku&#341;ugenzi mtendaji wa Kituo cha Haki za Binadamu, NGO iliyopo nchini Malawi, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Ziwa Nyasa lina aina tofauti ya samaki zaidi ya 2,000 &mdash; hofu yetu ni kwamba utafutaji wa mafuta na uchimbaji wake utaathi&#341;i bayoanuai katika maji hayo ya ba&#341;idi,&#8221; aliongeza.<\/p>\n<p>Ziwa hilo limeshuhudia kupungua kwa idadi ya samaki kutoka tani 30,000 kwa mwaka hadi tani 2,000 katika kipindi cha miaka 20, kwa mujibu wa &#341;ipoti ya hivi ka&#341;ibuni ya Wiza&#341;a ya Kilimo nchini Malawi iliyosomwa bungeni mwezi Feb&#341;ua&#341;i.<\/p>\n<p>Mwezi uliopita, mataifa yote mawili yaliwakilisha misimamo yao baada ya kukubaliana kuwa mgogo&#341;o huo utapatanishwa na wakuu wa zamani wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika, ambao pia wanajulikana kama Jukwaa la Af&#341;ika.<\/p>\n<p>&#8220;Tumekubaliana na Tanzania kuwa tutawakilisha suala hili kwa Jukwaa la Af&#341;ika na tumeshawasilisha misimamo yetu. Mchakato wa upatanishi utaanza kabla ya mwisho wa mwezi huu au mwezi Machi,&#8221; Wazi&#341;i wa Mambo ya Nje na Ushi&#341;ikiano wa Kimataifa wa Malawi, Pat&#341;ick Kabambe, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Mhango na Mwangoshi wanaweka mata&#341;ajio yao katika jitihada za upatanishi.<\/p>\n<p>&#8220;Nimekuwa nikifuatilia haba&#341;i za suala hili kupitia &#341;edio na maombi yangu ni kuona viongozi wa zamani wa Af&#341;ika wanatatua suala hili kabisa,&#8221; alisema Mwangoshi.<\/p>\n<p>Mhango ana matumaini kama hayo. &#8220;Ninachotaka tu ni ku&#341;ejea na kuanza shughuli zangu za kuvua kwa uhu&#341;u katika ziwa hili &mdash; kwasababu bila ya kufanya hivyo, maisha ya baadaye ya familia yangu yatakuwa gizani.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KARONGA, Malawi, May 6 (IPS) &ndash; Tangu akiwa na um&#341;i wa miaka tisa, Ma&#341;tin Mhango kutoka kijiji cha Ka&#341;onga kaskazini mwa Malawi hajawahi kufahamu njia nyingine ya kumwingizia kipato zaidi ya uvuvi. Na katika kipindi cha miaka 33 iliyopita amekuwa akivua samaki kwa uhu&#341;u katika Ziwa Nyasa &ndash; hadi Oktoba mwaka jana alipokamatwa na kuweka&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":965,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3989","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3989","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/965"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3989"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3989\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3989"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3989"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3989"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}