{"id":3986,"date":"2013-05-03T13:40:01","date_gmt":"2013-05-03T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/05\/03\/maswali-na-majibu-redio-yawapatia-sauti-vijana-wa-adeika-kusini-gives-a-voices-to-south-afican-youth\/"},"modified":"2013-05-03T13:40:01","modified_gmt":"2013-05-03T13:40:01","slug":"maswali-na-majibu-redio-yawapatia-sauti-vijana-wa-adeika-kusini-gives-a-voices-to-south-afican-youth","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/05\/03\/maswali-na-majibu-redio-yawapatia-sauti-vijana-wa-adeika-kusini-gives-a-voices-to-south-afican-youth\/","title":{"rendered":"Maswali na Majibu: Redio yawapatia Sauti Vijana wa Adeika Kusini &ndash; Gives a Voices to South Af&#341;ican Youth"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, May 2, (IPS) &ndash; Lesedi Mogoatlhe amejitolea maisha yake katika kuwawezesha vijana wa Af&#341;ika kwa kuwafanya sauti zao zisikike kupitia uandishi wa haba&#341;i wa &#341;edio.Katika wakati wa changamoto za kiuchumi, kisiada na kitamaduni, vijana wa Af&#341;ika Kusini wanakabiliwa na masuala magumu mno. Wakiwa vijana wadogo wanahofia juu ya mustakabali wa ma&#341;afiki zao, familia, elimu na maisha ya jamii, lakini wakiwa kama Waaf&#341;ika Kusini pia wanakabiliwa na ukweli wa umaskini mkubwa, magonjwa na ghasia.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mkufunzi wa shi&#341;ika la Child&#341;en&#8217;s Radio Foundation (CRF) nchini Af&#341;ika Kusini, Mogoatlhe anaelekeza nguvu katika kujenga maslahi katika masuala ya kijamii, kufufua fik&#341;a za kimapinduzi na kujenga mawasiliano.<\/p>\n<p>&#8220;Inatia maja&#341;ibu kuo&#341;odhesha idadi ya changamoto na kukosekana kwa usawa ambako kunawakabili watu katika ba&#341;a, kuzungumzia kuhusu jinsi gani &#341;asilimali zinatumiwa vibaya, au jinsi gani &#341;ushwa imekuwa kitu cha kawaida kwa viongozi wa Kiaf&#341;ika,&#8221; Mogoatlhe aliiambia IPS, &#8220;Lakini hii inaonekana kuwa jambo gumu kama siwezi kuchangia kutoa ufumbuzi wa matatizo haya.&#8221;<\/p>\n<p>Kuwa na sauti ni jambo muhimu kuwa na chanzo cha kipato, na kwa kupitia mashi&#341;ika kama la Child&#341;en&#8217;s Radio Foundation na wakufunzi kama Mogoatlhe, vijana wengi zaidi watawezeshwa kuwa na ujuzi wa mawasiliano ambao hautawasaidii tu kusema jinsi wanavyoyaona mambo.<\/p>\n<p>Joan E&#341;akit alizungumza na Mogoatlhe juu ya kazi yake katika uandishi wa haba&#341;i wa &#341;edio kwa vijana nchini Af&#341;ika Kusini na faida yake kwa maisha ya vijana. Sehemu ya mahojiano yao yanafuata.<\/p>\n<p>Swali: Unawapatia vijana mafunzo ili kuwapatia uwezo siyo wa kwao binafsi tu ila pia kwa ajili ya jamii zao kupitia uandishi wa &#341;edio. Mwelekeo mlioanza kuuona ukoje  <\/p>\n<p>Jibu: Vijana wanaotoka mazingi&#341;a ya vijijini wana njaa ya maa&#341;ifa zaidi kuliko wa mjini. Wanaonekana kuelekeza nguvu zaidi katika masomo na kuvutiwa na fu&#341;sa zinazokuja upande wao, na wanaonekana kuwa wazu&#341;i katika kujipanga na kutumia kila jukwaa ambalo &#341;edio inaleta kwao.<\/p>\n<p>Pia nimegundua kuwa wasaa wa kwanza kuwawezesha vijana ni pale wanapokuwa na kipaza sauti cha kuzungumzia. Kitu ambacho kinawafanya kutoa sauti zao na kusikika kinawafanya kuinua kila kitu.<\/p>\n<p>Swali: Vijana unaofanya nao kazi wanakabilianaje na changamoto za kiuchumi, kisiasa na kitamaduni nchini <\/p>\n<p>Jibu: Pia ni vigumu kujibu swali hili kwa niaba ya vijana wa Af&#341;ika Kusini. Katika baadhi ya jamii, vijana wana wasiwasi kuhusu kuwa na maji ya bomba na chakula. Katika kaya nyingine, vijana wana wasiwasi juu ya kushindwa kubo&#341;esha p&#341;og&#341;amu zao katika simu za iPhones.<\/p>\n<p>Lakini suala moja ambalo ni la wazi katika dhana yetu ya pamoja ni kukosekana kwa majukwaa kwa ajili ya kutoa sauti zetu kusikika, majukwaa ambapo tunaweza kuzungumza mambo yetu ya kila siku ambayo yanatukabili yanayohusu elimu, ubaguzi wa &#341;angi, jinsia, ghasia, unyanyapaa au kukosekana kwa fu&#341;sa za aji&#341;a.<\/p>\n<p>Jitihada zetu siyo kama &#341;angi ya kijani na nyeupe kama ilivyo kwa wazazi wetu chini ya ubaguzi wa &#341;angi. Wazazi wetu waliuliza, &#8220;Ni lini tutapata uhu&#341;u &#8221; Sisi tunauliza, &#8220;Uhu&#341;u ni nini &#8220;<\/p>\n<p>Swali: Je vijana wanahisi sauti zao zinasikika, aidha kupitia &#341;edioni au nje ya &#341;edio <\/p>\n<p>Jibu: Kwa vijana wengi wa Af&#341;ika Kusini, baadhi wanatoka maeneo ya vijijini ambako hawapati haba&#341;i, na masuala ambayo yanawapa changamoto hayaandikwi kwenye vyombo vya haba&#341;i. Wana uwakilishi mdogo katika vyombo vya haba&#341;i. Kuwahoji watu wazima majumbani na katika jamii ni suala ambalo haliwezi kusikika, na maoni yao hayachukuliwi wakati maamuzi muhimu yanapotolewa katika jamii.<\/p>\n<p>Kupitia m&#341;adi wa &#341;edio ambao tumeanzisha, vijana wanazungumzia kuhusu mimba za utotoni, matumizi makubwa ya pombe, kuishi na VVU na mambo haya yana maana gani katika jamii na katika maisha yao.<\/p>\n<p>Wanatueleza kuwa mawazo waliyokuwa nayo ya zamani yanabadilika kupitia &#341;edio, badala ya kuitwa majina vijana wasiokuwa na heshima na wavivu, sasa wanaonekana kama viongozi na mabalozi wa jamii zao.<\/p>\n<p>Swali: Katika kazi yako, unawezaje kuzungumzia suala la kuishi na VVU <\/p>\n<p>Jibu: Kwa sasa natoa mafunzo kwa kikundi cha vijana wanaoishi na VVU kutoka Khayelitsha ili kuwa waandishi wa &#341;edio. Mchango wangu ni kuhamasisha kutoa maoni yao, kujifunza, kuwapatia ujuzi na kuwakumbusha mazu&#341;i na mabaya ambayo yanaweza kusababishwa na haba&#341;i zao wanazotangaza katika jamii.<\/p>\n<p>Kama mwanafunzi anataka kuelezea hali yake ya kuathi&#341;ika kutokana na kuhisi ana usalama kutokana na kwamba hawezi kujulikana kupitia &#341;edioni, nawataka kufanya hivyo kwa kujificha. Huwa sijihusishi katika kuja&#341;ibu kutatua masuala ambayo yanakuja.<\/p>\n<p>Katika m&#341;adi huu, mwezeshaji mwenza ni mshau&#341;i nasaha wa VVU na pia ni mwanaha&#341;akati, mtu anayeaminiwa na vijana. Pia tunaanza kutoa mafunzo juu ya usi&#341;i na maadili; tunatengeneza she&#341;ia za chombo cha haba&#341;i ambazo zitatufanya kuaminiani miongoni mwetu.<\/p>\n<p>Swali: Shi&#341;ika kama la CRF ni muhimu kwa kiasi gani  <\/p>\n<p>Jibu: Kazi ambayo CRF inafanya ni muhimu kwasababu inalenga vijana ambao wana maisha magumu na fu&#341;sa chache. Kupitia m&#341;adi wa &#341;edio, siyo tu kwamba vijana wana nafasi ya kutoa sauti zao katika haba&#341;i wanazoandaa na maoni, lakini pia wanajifunza mawasiliano, &#341;edio na utafiti wa mambo ambayo yanaweza kuwapatia fu&#341;sa katika maisha yao ya baadaye.<\/p>\n<p>Kupitia &#341;edio, vijana wanaweza kuuliza maswali juu ya nini hakifanyi kazi katika jamii yao, wanatafuta ufumbuzi na kuhubi&#341;i mabadiliko; wanakuwa wakala wa mabadiliko katika jamii. Wana uwezo wa kuwasiliana kwa lugha zao za kienyeji na kujifunza kuhusu nini kinajitokeza katika jamii zao pia.<\/p>\n<p>Hivi ka&#341;ibuni tulizindua Mtandao wa Waandishi Vijana Af&#341;ika Kusini ambao unahusu vijana 15 kutoka &#341;edio tofauti 12 nchini. Vijana wanatengeneza vipindi vya kila wiki vinavyolenga katika masuala ya jamii, na wanaonyeshana vipindi hivi miongoni mwao kupitia jukwaa la kijamii la kubadilishana vipindi vya &#341;edio la Soundcloud. Kupitia mfumo huu, wanaweza kutoa taa&#341;ifa za nini kinajitokeza miongoni mwa vijana wenzao katika maeneo ya vijijini katika nchi ambavyo havionyeshwi na vyombo vikubwa vya haba&#341;i.<\/p>\n<p>Baadhi ya vijana ambao hawana fu&#341;sa kuzungumza katika da&#341;asa la wanafunzi 40 watakuwa na fu&#341;sa ya kuzungumza kupitia vipaza sauti na kusikika kwa wengi. Redio inasaidia kuonekana na kutambulika, na inaongeza kujiamini. Katika nchi ambapo vijana ndiyo sehemu kubwa ya wakazi, ni muhimu kwa sauti zao na maoni kusikika na kujenga mustakabali wa baadaye ambao watau&#341;ithi. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, May 2, (IPS) &ndash; Lesedi Mogoatlhe amejitolea maisha yake katika kuwawezesha vijana wa Af&#341;ika kwa kuwafanya sauti zao zisikike kupitia uandishi wa haba&#341;i wa &#341;edio.Katika wakati wa changamoto za kiuchumi, kisiada na kitamaduni, vijana wa Af&#341;ika Kusini wanakabiliwa na masuala magumu mno. Wakiwa vijana wadogo wanahofia juu ya mustakabali wa ma&#341;afiki zao,&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":964,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3986","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3986","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/964"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3986"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3986\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3986"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3986"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3986"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}