{"id":3985,"date":"2013-03-27T13:40:01","date_gmt":"2013-03-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/03\/27\/uwazi-unaweza-kuimaisha-sea-za-kukabiliana-na-ukame\/"},"modified":"2013-03-27T13:40:01","modified_gmt":"2013-03-27T13:40:01","slug":"uwazi-unaweza-kuimaisha-sea-za-kukabiliana-na-ukame","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/03\/27\/uwazi-unaweza-kuimaisha-sea-za-kukabiliana-na-ukame\/","title":{"rendered":"Uwazi Unaweza Kuima&#341;isha Se&#341;a za Kukabiliana na Ukame"},"content":{"rendered":"<p>GENEVA, Machi 15 (IPS) &ndash; Wanasayansi waliokusanyika mjini Geneva kwa ajili ya Mkutano wa Kwanza wa Watu Maa&#341;ufu kuhusu Se&#341;a za Ukame (HMNDP) katika kipindi cha miaka zaidi ya 30 iliyopita walibainisha ukusanyaji wa takwimu na usambazaji wa taa&#341;ifa kama moja ya changamoto kubwa za kuzuia ukame kikamilifu. Pia walisema kuwa na malengo sahihi na dhami&#341;a ya kisiasa yenye nguvu itakuwa muhimu katika kujenga se&#341;a katika ngazi ya kitaifa. Waliyasema haya katika mkutano ambao uliandaliwa kwa pamoja na Taasisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuzuia Kuenea kwa Jangwa (UNCC), Shi&#341;ika la Chakula Duniani (FAO) na Shi&#341;ika la Hali ya Hewa Duniani (WMO), kati ya Machi 11&ndash;15 kuja&#341;ibu kuanzisha mjadala wa kimataifa juu ya se&#341;a za kitaifa.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Pamoja na tofauti za wazi, hasa kati ya mataifa ya Kaskazini na Kusini lakini pia baina ya nchi na nchi, baadhi ya vikwazo vinafanana katika kanda zote, kwa kuanzia na haja ya kukuza ukusanyaji wa takwimu na usambazaji wa taa&#341;ifa.<\/p>\n<p>Kama ambayo Cesa&#341; Mo&#341;ales, m&#341;atibu wa m&#341;adi wa Tume ya Uchumi ya Ame&#341;ika Kusini (ECLAC), alivyoiambia IPS pembezoni mwa mkutano huo, &#8220;Tatizo siyo ukusanyaji wa takwimu tu, lakini pia jinsi ya kusambaza takwimu hizo.&#8221;<\/p>\n<p>Anasema katika Ame&#341;ika Kusini, lakini pia katika maeneo mengine, tatizo linazidishwa na ukweli kwamba baadhi ya taasisi zinakataa kufanya takwimu na tafiti kupatikana bu&#341;e kwa vyama vya kijamii, umma na mashi&#341;ika mengine.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa sasa tunaandaa &#341;ipoti kwa ajili ya se&#341;ikali ya Costa Rica na shi&#341;ika la hali ya hewa linatutaka kulipia takwimu hizo,&#8221; alilaumu, akiongeza kuwa katika jamii ya wanasayansi, ambapo kila mmoja anashindania fedha kidogo, hakuna anayetaka kutoa taa&#341;ifa kwa mwenzake.<\/p>\n<p>&#8220;Huu ni mfumo wa Ma&#341;ekani. Kuingiza mifumo ya kisoko katika utafiti wa kisayansi ni jambo zu&#341;i lakini halitakiwi kuvuka mipaka,&#8221; alisisitiza.<\/p>\n<p>Katika kukabiliana na tatizo, wanasayansi wa Ame&#341;ika Kusini katika mkutano huo walipendekeza kuwepo kwa se&#341;a za uwazi katika utoaji wa takwimu na kujenga mifumo ya kitaifa inayohusiana na taa&#341;ifa za ukame.<\/p>\n<p>Nchini A&#341;gentina, Ba&#341;aza la Taifa la Sayansi na Utafiti wa Kiufundi (CONICET), chombo cha kitaifa kinachoongoza katika kukuza sayansi na teknolojia, kinahitaji utafiti unaofanyika kwa kutumia &#341;asilimali zake kutolewa bu&#341;e kwa watumiaji wote.<\/p>\n<p>Wanasayansi kutoka Ame&#341;ika Kusini pia walizungumzia juu ya sekta za madini, ambazo siyo tu kwamba zinatumia kwa kiasi kikubwa &#341;asilimali za maji, na hivyo kuongeza tatizo la uhaba wa maji na ukame, lakini pia kuchangia katika kupungua kwa uungwana wa kitaifa katika kusimamia maji.<\/p>\n<p>Wataalam walielezea mfumo wa sasa wa maendeleo ya misitu ambao unatumiwa na kutangazwa katika ba&#341;a zima &ndash; hasa kukata misitu ya asili kwa ajili ya kilimo cha mazao ya biasha&#341;a ambayo yanategemea maji kwa kiasi kikubwa kama mika&#341;atusi kuwa kikwazo cha mikakati ya kukabiliana na ukame.<\/p>\n<p>Uchimbaji wa madini ni tatizo jingine kubwa katika baadhi ya mikoa nchini Pe&#341;u, Bolivia, Chile na A&#341;gentina.<\/p>\n<p>&#8220;Jamii za asili za India zinaishi katika mabonde &#8230;ambako wanatumia maji ya kutosha kwa kupikia. Lakini shughuli za madini katika kanda zina lengo la kutumia maji yote kutengenezea bidhaa kwa ajili ya soko lenye thamani,&#8221; Mo&#341;ales aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Kuondolewa kwa jamii za Wahindi katika a&#341;dhi kunachangia katika kupoteza maa&#341;ifa ya jadi ya jinsi ya kusimamia uhaba wa maji na kukabiliana na madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi. Wakazi wa zamani wa Pe&#341;u, kwa mfano, walikuwa wakisafi&#341;isha maji katika mife&#341;eji maalum iliyobuniwa kuzuia kupoteza maji na walikuwa na mbinu za kilimo sahihi, zinazoendana na &#341;asilimali zilizopo.<\/p>\n<p>Kwa mfano, &#8220;Mwaka huu umetangazwa kuwa mwaka wa mimea aina ya quinoa,&#8221; alisema Mo&#341;ales. &#8220;Hivi ka&#341;ibuni, mmea huu ulikuwa umeshaanza kutoweka, lakini umeibuka ghafla na kuwa maa&#341;ufu kutokana na kuwa na p&#341;otini ya hali ya juu. Unakua ka&#341;ibu kila mahali na kila mmoja anataka kuulima kwani ni biasha&#341;a kubwa sana nje ya nchi.<\/p>\n<p>&#8220;Lakini mmea huu hauwezi kulimwa peke yake na kwa kiasi kikubwa. Unahitaji kupandwa pamoja na mimea mingine ili kulinda bioanuwai na &#341;utuba ya udongo.&#8221; Lakini wakulima wa biasha&#341;a wanapendelea zaidi kilimo cha zao moja na hivyo kuwa tatizo kubwa linaloeneza ukame.<\/p>\n<p>Wataalam katika mkutano wana imani kuwa njia ya kuendeleza mfumo bo&#341;a zaidi wa kukusanya takwimu na kusambaza ni kuwa na mfumo wa sekta mbalimbali kushi&#341;ikiana katika kukabiliana na ukame.<\/p>\n<p>&#8220;Ukame ni suala la kimaendeleo, na wala siyo suala la kimazingi&#341;a pekee. Kuwekeza katika kukabiliana na ukame kunaweza kuongeza pato la ndani la taifa (GDP),&#8221; Bai&ndash;Maas Taal, katibu mtendaji mkuu wa Ba&#341;aza la Mawazi&#341;i wa Maji Af&#341;ika, aliiambia IPS. &#8220;Lakini tatizo ni kwamba gha&#341;ama za kukabiliana na ukame ni jambo la kukadi&#341;iwa tu. Ni madha&#341;a ya awali pekee ambayo yanaangaliwa, wakati madha&#341;a ya muda m&#341;efu kama yale ya kilimo yanaachwa.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa wanasayansi wa Af&#341;ika, kuendeleza se&#341;a timilifu za kukabiliana na ukame hakuhitaji kila nchi kuwa na se&#341;a zake mpya.<\/p>\n<p>Katika nchi ambayo ina uzoefu mkubwa wa ukame mkali &ndash;ambao umetoka katika hali ya kuwa wa bahati mbaya na kuwa wa ma&#341;a kwa ma&#341;a &ndash; miongo kwa miongo, kila nchi ina baadhi ya taasisi, se&#341;a, au mkakati wa kushughulika na suala hilo.<\/p>\n<p>Lakini kujenga uwezo na dhami&#341;a kubwa ya kisiasa kunakosekana, kama ambavyo inajitokeza kila mahali duniani.<\/p>\n<p>&#8220;Tunahitaji u&#341;atibu katika kusimamia ukame,&#8221; Taal aliendelea. &#8220;Nchini Kenya, ni ofisi ya Wazi&#341;i Mkuu ambayo ina&#341;atibu mikutano ya hali ya hewa &ndash; kutokana na kuwa mpango huo unatoka katika ofisi ya juu kabisa, mawazi&#341;i wote wanashi&#341;iki.&#8221; Kuwa na mwongozo kutoka mamlaka za juu katika se&#341;ikali pia kunawezesha usambazaji wa taa&#341;ifa kwenda kwa ha&#341;aka na kuwa na ufanisi.<\/p>\n<p>Hii ilishuhudiwa nchini Ma&#341;ekani wakati wa ukame mkali wa mwaka 2011&ndash;2012, ambapo madha&#341;a yalikuwa madogo kutokana na kazi nzu&#341;i ya Mfumo wa Kitaifa wa Kutoa Taa&#341;ifa za Ukame (NIDIS) ambao ulitoa taa&#341;ifa za mapema.<\/p>\n<p>Wakisisitiza kaulimbiu ya HMNDP &ndash; kuwa na se&#341;a kamili za ukame katika ngazi ya kitaifa &ndash; Ad&#341;ian T&#341;otman kutoka Taasisi ya Hali ya Hewa na Maji ya Ca&#341;ibbean, alisema, &#8220;&#8230;Se&#341;a za ukame zinafanya kuwa na shabaha ya kulenga katika malengo makuu. Wahusika wanaweza kubadilika, lakini malengo yanabakia yale yale na unaweza kuanzisha na kuendeleza ushi&#341;ikiano na ku&#341;atibu hatua za utekelezaji wakati ukihakikisha kuwa se&#341;a zinakuwa &#341;ahisi kubadilika.&#8221;<\/p>\n<p>Miongoni mwa mipango mingi na mapendekezo yaliyopo mezani ni yale yaliyotolewa na wanasayansi wa Af&#341;ika kuanzisha mifumo ya bima kwa ajili ya wakulima kupewa fidia wakati wa ukame, na wanasayansi wengine kutoka ukanda wa Pasifiki ya Kusini kuangalia jinsi ya kuanzisha mfumo wa usalama wa ukame kusaidia wanajamii, kama ilivyo kwa Aust&#341;alia, nchi pekee yenye se&#341;a kamili ya ukame ya taifa ambayo imewawezesha kuondokana na ukame kama moja ya mambo ya kupewa misaada ya dha&#341;ula.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>GENEVA, Machi 15 (IPS) &ndash; Wanasayansi waliokusanyika mjini Geneva kwa ajili ya Mkutano wa Kwanza wa Watu Maa&#341;ufu kuhusu Se&#341;a za Ukame (HMNDP) katika kipindi cha miaka zaidi ya 30 iliyopita walibainisha ukusanyaji wa takwimu na usambazaji wa taa&#341;ifa kama moja ya changamoto kubwa za kuzuia ukame kikamilifu. Pia walisema kuwa na malengo sahihi na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":643,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3985","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3985","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/643"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3985"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3985\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3985"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3985"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3985"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}