{"id":3984,"date":"2013-03-27T13:40:01","date_gmt":"2013-03-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/03\/27\/angola-paneli-za-jua-zabadili-maji-machafu-kuwa-masafi\/"},"modified":"2013-03-27T13:40:01","modified_gmt":"2013-03-27T13:40:01","slug":"angola-paneli-za-jua-zabadili-maji-machafu-kuwa-masafi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/03\/27\/angola-paneli-za-jua-zabadili-maji-machafu-kuwa-masafi\/","title":{"rendered":"ANGOLA: Paneli za Jua Zabadili Maji Machafu Kuwa Masafi"},"content":{"rendered":"<p>LUANDA, Machi 8 2012 (IPS) &ndash; Kontena lililopigwa &#341;angi nzu&#341;i huku likiwa na paneli za jua katika paa lake na vifaa vya kuchujia maji linaonekana katika kijiji hiki cha vumbi cha Bom Jesus, kama kilomita 50 masha&#341;iki mwa mji mkuu wa Angola, Luanda.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Lakini hivi ka&#341;ibuni kontena hilo litatoa lita zipatazo 20,000 za maji safi ya kunywa kwa siku kwa wakazi wapatao 500 ambao kwa sasa wanategemea zaidi kupata maji kutoka katika vyanzo vya maji machafu katika mto wa ka&#341;ibu.<\/p>\n<p>Likiwa limebuniwa na kampuni ya Canada ya Quest Wate&#341; Solutions, kituo hicho cha maji ya kunywa kinaitwa &#8220;AQUAtap&#8221; kinafanyiwa maja&#341;ibio duniani kote katika taifa hikli la Kusini mwa Af&#341;ika kwa mtizamo kuwa kama kitafanikiwa, teknolojia hiyo inaweza kuenezwa katika ukanda mzima.<\/p>\n<p>Kwa kutumia nishati ya jua iliyofungwa katika bet&#341;i kubwa, maji kutoka Mto Kwanza, kama kilomita 50 kutoka kituoni hapo, yanasafishwa kwa kutumia mchanga na chujio. Halafu UV inatumika kuchemshia maji hadi kufikia ubo&#341;a wa maji ya kunywa unaotakiwa na Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni (WHO) taya&#341;i kwa kunywa kupitia kwneye mabomba ya chuma.<\/p>\n<p>&#8220;Ni teknolojia ya moja kwa moja na &#341;ahisi,&#8221; alielezea John Balanko wa Quest wakati kwa ta&#341;atibu kabisa akibonyeza bomba ku&#341;uhusu maji kuingia kwenye chupa.<\/p>\n<p>&#8220;Ndiyo, inaonekana tekonolojia ya zamani mahali pengine lakini hapa inaonekana ni teknolojia ya juu na ngumu, lakini sivyo ilivyo, ni &#341;ahisi sana na uzu&#341;i wake ni kuwa inahitaji uka&#341;abati mdogo.<\/p>\n<p>&#8220;Mashine yeneywe itahitaji kufanya uka&#341;abati kila mwezi na tunatoa mafunzo kwa baadhi ya wananchi wa Angola ili waweze kuendesha teknolojia hiyo ma&#341;a tu tutakapo&#341;ejea Canada.&#8221;<\/p>\n<p>Mabomba ya chuma ambayo yanatoa maji zaidi ya lita moja kila unapobonyeza yametengenezwa kuweza kusafisha maji kiu&#341;ahisi.<\/p>\n<p>Balanko na mfanyakazi mwenzake Pete&#341; Miele, ambao wote wanatoka Vancouve&#341;, wana uzoefu wa kutumia teknolojia hiyo kutatua matatizo ya maji vijijini nchini Canada.<\/p>\n<p>Walipokutana na mkazi wa Angola katika mkutano miaka minne iliyopita nmchini Canada, iliewafanya kuanza kuiangalia Af&#341;ika.<\/p>\n<p>AQUAtap imebuniwa kwa jamii za kijijini nchini Angola ambako uhaba wa maji safi na uchache wa vyoo ni mambo yanayochangia kwa kiasi kikubwa vifo vya watto wachanga nchini humo, ambapo mtoto mmoja katika kila watoto watano hufa&#341;iki kabla hajafikia miaka mitano ya kuzaliwa.<\/p>\n<p>Tangu kumalizika kwa miongo mitatu ya vita mwaka 2002, se&#341;ikali ya Angola imeshatumia mamilioni ya dola kwa ajii ya uka&#341;abati wa miundombonu na kusambaza huduma za maji kwa wakati wake wapatao milioni 19.<\/p>\n<p>Kama sehemu ya &#8220;Agua pa&#341;a Todas&#8221; mpango wa (Maji kwa Wote) maji ya bomba nay a visima yamefikishwa kwa wananchi wengi nchini kote, pamoja na kuwa kwa mujibu takwimu za se&#341;ikali, nusu ya wakati bado hawana maji safi.<\/p>\n<p>Kijiji kilichochaguliuwa na Quest Wate&#341; Solutions, ambacho kilipendegezwa na mamlaka ya manizipaaa, kina moja ya mabomba ya se&#341;ikali, lakini wakati, ambao wengi wao ni wakulima wa kujikimu na hawana aji&#341;a &#341;asmi, waliiambia IPS mambomba hayajafanya kazi kwa zaidi ya mwaka sasa.<\/p>\n<p>Ca&#341;los de Costa Gab&#341;iel, 25, a;ika&#341;ibisha mashine hiyo mpya na hajaweka si&#341;i yeyote juu ya ukweli kuwa alitaka kupata aji&#341;a kama mlinzi wa kulinda mshine hiyo wakati wa usiku kuzuia wezi wa paneli za jua.<\/p>\n<p>Alisema: &#8220;Tunapenda sana m&#341;adi huu. Tumekluwa tukitumia maji ya mto, ambayo yalisababisha matattizo mengi kama vile ya kuhaa&#341;a na kutapika.<\/p>\n<p>&#8220;Nina watoto wa kike wawili wenye um&#341;i wa miaka mitatu na mitano hivyo nafu&#341;ahia sana kwamba sasa tunaweza kusafisha maji ambayo yataondoa matatizo yetu ya kiagfya.&#8221;<\/p>\n<p>Mama wa watoto watano Joaquina Xavie&#341;, 38, aliongeza: &#8220;Tunafu&#341;ahi sana kwa m&#341;adi huu. Kwa sasa maji tunayotumia ni machafu sana na ni kazi kubwa kutumia ndoo kuchota maji kutoka mtoni.<\/p>\n<p>&#8220;Watoto wanapata magonjwa kutokana na maji haya, na baadhi ya watu katika familia yangu wamefa&#341;iki kutokana na hali hii, lakini mashine hii, itakuja kusaidia.&#8221;<\/p>\n<p>Balanko na Miele wanafanya kazi kwa kushi&#341;ikiana na Wiza&#341;a ya Viwanda ya Angola, ambayo inajishughulisha na manunuzi ya vofaa kwa ajili ya m&#341;di wa Agua Pa&#341;a Todas.<\/p>\n<p>Kifaa hicho, moja ya viwili ambavyo vimeingizwa nchini Angola bila gha&#341;ama ya se&#341;ikali, vinauzwa kwa gha&#341;ama ya dola 150,000, na kuwa na g&#341;antii ya matengenezo ya miaka miwili.<\/p>\n<p>&#8220;Hatuwezi kukanusha sisi ni kampuni inayotengeneza faida ambayo ina bidhaa za kuuza,&#8221; Balanko alifafanua. &#8220;Lakini nadhani unahitaji kutengeneza faida ili uweze kutoa msaada.<\/p>\n<p>&#8220;Hii ni gha&#341;ama ya moja kwa moja kwa se&#341;ikali, ambayo watailipa lakini wanakijiji watakuwa na maji safi na salama kwa angalau miaka 15 hadi 20 ijayo.<\/p>\n<p>&#8220;Pia inapunguza gha&#341;ama kwa muda m&#341;efu kwasababu gha&#341;ama ya maji ni dola 2.30 kwa lita 1,000, wakati kwa wakati huu watu wana;lipia dola zipatazo 30 kwa kila lita 1,000, gha&#341;ama ambazo ni zaidi ya ma&#341;a 10.&#8221;<\/p>\n<p>Maji kutoka AQUAtap yatatolewa bu&#341;e kwa wanakijiji, Balanko alielezea, uamuzi ambao umechukuliwa na mamlaka.<\/p>\n<p>Wakanada wanakubali kuwa kuna hata&#341;i inayojionyesha wazi kutokana na ukweli kwamba maji yatakuwa ya bu&#341;e, kwamba mashine inaweza kuha&#341;ibiwa, au hata kupo&#341;wa na watu ambao watat&#341;aka kuuza maji kwa faida yao wenyewe.<\/p>\n<p>Lakini walisema wana matumaini kuwa kijiji wataona m&#341;adi kama wa kwao na kuzuia lolote mabalo linaweza kujitokeza. Balanko alisema: &#8220;Muda utasema, lakini ana imani kuwa mashine italindwa na kutunzwa. Tutaweka ulinzi hapa na ikiwezekana kuweka taa za mwanga mkali kuongeza usalama.<\/p>\n<p>&#8220;Tumewaambia wanakijiji kuwa hii ni mahsien yao na ni lazima waitunze na tumeshi&#341;ikisha baadhi ya wazee na watu wenye heshima katika jamii kusaidia kueneza ujumbe.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LUANDA, Machi 8 2012 (IPS) &ndash; Kontena lililopigwa &#341;angi nzu&#341;i huku likiwa na paneli za jua katika paa lake na vifaa vya kuchujia maji linaonekana katika kijiji hiki cha vumbi cha Bom Jesus, kama kilomita 50 masha&#341;iki mwa mji mkuu wa Angola, Luanda. Lakini hivi ka&#341;ibuni kontena hilo litatoa lita zipatazo 20,000 za maji safi&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":507,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3984","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3984","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/507"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3984"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3984\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3984"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3984"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3984"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}