{"id":3983,"date":"2013-03-27T13:40:01","date_gmt":"2013-03-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/03\/27\/tanzania-mabadiliko-ya-tabia-nchi-yanahitaji-kubadili-mazao-ya-kilimo\/"},"modified":"2013-03-27T13:40:01","modified_gmt":"2013-03-27T13:40:01","slug":"tanzania-mabadiliko-ya-tabia-nchi-yanahitaji-kubadili-mazao-ya-kilimo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/03\/27\/tanzania-mabadiliko-ya-tabia-nchi-yanahitaji-kubadili-mazao-ya-kilimo\/","title":{"rendered":"TANZANIA: Mabadiliko ya Tabia Nchi Yanahitaji Kubadili Mazao ya Kilimo"},"content":{"rendered":"<p>PANGANI, Machi 7 (IPS) &ndash; Kuendelea kwa ukame unaotokana na mabadiliko ya tabia nchi katika vijiji vya Mwembeni na Sange wilayani Pangani mkoani Tanga kumesababisha kuzidi kupungua kwa upatikanaji wa chakula na hivyo kutishia maisha ya wakazi wa vijiji hivyo. Lakini m&#341;adi wa Pwani unaofadhiliwa na shi&#341;ika la USAID umeamua kuingilia kati kusaidia kunusu&#341;u maisha ya wakazi hao na vipato vyao.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>M&#341;adi huo unasaidia vijiji hivyo viwili kupanda mazao ya migomba na ufuta ambayo yanastahimili ukame na magonjwa na pia yanakomaa kwa muda mfupi. Mazao hayo yalipendekezwa na wananchi wanaoishi katika vijiji hivyo.<\/p>\n<p>Kilimo cha maja&#341;ibio cha ndizi zinazostahimili ukame na magonjwa na zinazokomaa vizu&#341;i kilianzishwa katika kijiji cha Mwembeni kama zao mbadala baada ya mazao ya mahindi na mpunga ambayo yalikuwa yakitegemewa katika miaka ya zamani kushindwa kuhimili ukame unaotokana na mabadiliko ya ka&#341;ibuni ambao umeongezeka kwa kiasi kikubwa katika miaka ya ka&#341;ibuni. <\/p>\n<p>Kilimo cha ndizi ni sehemu ya mipango ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi ambayo inaendeshwa na m&#341;adi wa Pwani, ambao pia unapata msaada wa kitaalam kutoka Kituo cha Rasilimali za Pwani cha Chuo Kikuu cha Kisiwa cha Rhode nchini Ma&#341;ekani.<\/p>\n<p>Mipango hiyo ya mabadiliko ya tabia nchi pia inahusu tafiti mbalimbali zinazofanywa na m&#341;adi juu ya atha&#341;i za mabadiliko ya tabia nchi na jinsi wananchi katika vijiji vya mwambao wa Pwani wanaweza kuepukana na atha&#341;i hizo na pia kuongeza ufahamu wa watu juu ya mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>Katika kijiji cha Sange, kilimo cha ufuta kimeanzishwa kama m&#341;adi wa maja&#341;ibio kusaidia wanakijiji hao kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. <\/p>\n<p>Wanaume kwa wanawake katika kijiji cha Mwembeni wamepanda aina mbalimbali za migomba zilizotoka katika taasisi ya utafiti wa kilimo Tenge&#341;u mkoani A&#341;usha. Aina hizo za ndizi ambazo zimegawiwa kwa wanakijiji 10 ni pamoja na mkono wa tembo, mzuzu, Chinese G&#341;andenine, n.k. Kwa mujibu wa afisa ugani wa Mwembeni aina hizo za ndizi zinaweza kukomaa kwa kipindi cha miezi 9 tu. Mavuno ya ndizi yanata&#341;ajiwa kuvutia wanakijiji wengine kuanza kilimo cha ndizi. Wakulima wapya watapatiwa mbegu za migomba kutoka kwa wanakijiji wenzao ambao taya&#341;i wameshafaidika na m&#341;adi huo.<\/p>\n<p>Mpangilio kama huu pia utatumika katika kijiji cha Sange ambapo wanakijiji 10 walipatiwa mbegu za ufuta ambazo zinastahimili ukame na magonjwa na pia zinakomaa mapema kutoka taasisi ya kilimo ya Na&#341;iende&#341;e mkoani Mtwa&#341;a.  &#8220;Yunata&#341;ajia m&#341;adi huu kuwa na faida kubwa kwani mbegu zitaweza kusambaa kwa wakulima wengi katika wilaya nzima. Tutahakikisha kuwa mbegu zilizobo&#341;eshwa zinasambaa kwa kila mtu wilayani humu,&#8221; alisema Mku&#341;ugenzi wa Wilaya ya Pangani, Rashid Neneka. <\/p>\n<p>Wakati kilimo cha ndizi katika kijiji cha Mwembeni kinata&#341;ajiwa kupunguza hali ya usalama wa chakula kwa wakazi wa kijijini humo, kilimo bo&#341;a cha ufuta kijijini Sange kinata&#341;ajiwa kubo&#341;esha upatikanaji wa chakula ikiwa ni pamoja na kuingizia wanakijiji kipato.<\/p>\n<p>Bwana Mahmood Jumaa ni mkulima wa ufuta katika kijiji cha Sange ambaye pia anafaidika na m&#341;adi wa TCMP Pwani. Anasema ufuta ni miongoni mwa mazao muhimu ya kibiasha&#341;a katika kijiji hicho ambapo soko lake halina shida. Anasema kwa sasa kilo moja ya ufuta inauzwa kwa Shs 1500 za Kitanzania na ana uwezo wa kuvuna hadi kilo 650 kama mvua zikiwa ni nzu&#341;i.<\/p>\n<p>&#8220;Mwaka juzi nilivuna kilo 650, lakini mwaka jana nimevuna nusu yake kutokana na kupungua sana kwa mvua,&#8221; anasema Jumaa&#8217;.<\/p>\n<p>Kiasi hiki ni sawa na kuingiza kiasi cha zaidi ya Shs 970,000 kwa mavuno, kiasi mabacho ni kikubwa mno kwa wakazi wa kijijini ambao wengi wao wanaishi kwa chini ya dola moja kwa mwaka.<\/p>\n<p>Anasema kuwa kilimo cha ufuta kimesaidia kwa kiasi kikubwa kuendesha familia yake ikiwa ni pamoja na kumudu kusomesha watoto wake. <\/p>\n<p>Hata hivyo, amefu&#341;ahishwa na m&#341;adi wa TCMP Pwani kuwatafutia mbegu za ufuta zilizobo&#341;eshwa hasa ambazo zinastahimili ukame kwani mvua zimekuwa zikipungua mwaka hadi mwaka na hivyo kupungua kwa uzalishaji wa zao hilo.<\/p>\n<p>Picha kuhusu makala haya zinapatikana katika mtandao wa <a h&#341;ef=\"http:\/\/tcmppwani.blogspot.com\/2013\/03\/kilimo&ndash;cha&ndash;mabadiliko&ndash;ya&ndash;tabia&ndash;nchi_8.html\">http:\/\/tcmppwani.blogspot.com\/2013\/03\/kilimo&ndash;cha&ndash;mabadiliko&ndash;ya&ndash;tabia&ndash;nchi_8.html<\/a><\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>PANGANI, Machi 7 (IPS) &ndash; Kuendelea kwa ukame unaotokana na mabadiliko ya tabia nchi katika vijiji vya Mwembeni na Sange wilayani Pangani mkoani Tanga kumesababisha kuzidi kupungua kwa upatikanaji wa chakula na hivyo kutishia maisha ya wakazi wa vijiji hivyo. Lakini m&#341;adi wa Pwani unaofadhiliwa na shi&#341;ika la USAID umeamua kuingilia kati kusaidia kunusu&#341;u maisha&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":155,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3983","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3983","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/155"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3983"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3983\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3983"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3983"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3983"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}