{"id":3982,"date":"2013-03-27T13:40:01","date_gmt":"2013-03-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/03\/27\/mafanikio-ya-afika-kwenye-usalama-wa-chakula\/"},"modified":"2013-03-27T13:40:01","modified_gmt":"2013-03-27T13:40:01","slug":"mafanikio-ya-afika-kwenye-usalama-wa-chakula","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/03\/27\/mafanikio-ya-afika-kwenye-usalama-wa-chakula\/","title":{"rendered":"Mafanikio ya Af&#341;ika Kwenye Usalama wa Chakula"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Jan 20 2012 (IPS) &ndash; Idadi kubwa ya nchi za Af&#341;ika zinapata mafanikio makubwa katika kutokomeza njaa na umaskini. Ghana, Libe&#341;ia, Malawi, Rwanda, Sie&#341;&#341;a Leone na Af&#341;ika Kusini ni miongoni mwa nchi ambazo zimepata mafanikio makubwa katika kufikia malengo haya.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hii imejionyesha katika &#341;ipoti ya utokomezaji wa njaa ambayo inapima usalama wa chakula katika Af&#341;ika na kuandaliwa na shi&#341;ika la <a h&#341;ef=\"http:\/\/www.actionaid.o&#341;g\/\">ActionAid Inte&#341;national<\/a>, amblo linafanya kazi kuhakikisha kuwa dunia inaondokana na umaskini na pia katika utafiti wa ACORD, Shi&#341;ika la Ushi&#341;ikiano katika Utafiti na Maendeleo.<\/p>\n<p>Nchini <a h&#341;ef=\"http:\/\/www.ipsnews.net\/2011\/12\/moving&ndash;towa&#341;ds&ndash;a&ndash;food&ndash;secu&#341;e&ndash;ghana\/\">Ghana<\/a> katika kipindi cha miaka 15 iliyopita idadi ya watu waliokabiliwa na uhaba wa chakula imepungua kwa kiasi kikubwa kutoka asilimia 34 hadi asilimia nane. Mpango wa kutoa chakula mashuleni umeshawafikia watoto milioni moja, kwa mujibu wa takwimu kutoka wiza&#341;a ya Kilimo ya taifa hilo la Af&#341;ika Magha&#341;ibi.<\/p>\n<p>Tangu kumalizika kwa vita vilivyodumu kwa muongo mmoja mwaka 2002, Sie&#341;&#341;a Leone imeongeza kwa kiasi kikubwa a&#341;dhi ya kilimo hadi kufikia hekta milioni 1.8, na hivyo kupunguza idadi ya watu wanaokumbwa na njaa kwa ka&#341;ibu asilimia 10, pia kwa mujibu wa takwimu za Wiza&#341;a ya Kilimo ya nchini humo.<\/p>\n<p>Kilimo, kama ilivyo katika mataifa mengi ya Af&#341;ika, ni uti wa mgongo wa uchumi wa Rwanda. Kwa mujibu wa Wiza&#341;a ya Kilimo na Rasilimali za Mifugo nchini humo, sekta hiyo inazalisha asilimia 45 ya mapato yanayotokana na kuuza bidhaa nje na inachangia wastani wa asilimia 90 ya chakula chote kinachotumiwa ndani ya nchi.<\/p>\n<p>Geo&#341;ge Nde&#341;i, mchambuzi wa masoko mjini Nai&#341;obi, alielezea: &#8220;Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, sekta ya kilimo nchini Rwanda imekuwa ikikua kwa wastani wa asilimia 4.5, na kuchangia wastani wa asilimia 36 ya pato la taifa, kiwango cha juu zaidi katika Af&#341;ika Masha&#341;iki.&#8221;<\/p>\n<p>Alisema kuwa sekta za kilimo za Kenya na Uganda zinachangia wastani wa asilimia 24 katika pato la taifa, huku nchini Tanzania ikichangia asilimia 25.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Benki ya Dunia, uchumi wa Rwanda unakua katika kiwango kizu&#341;i cha asilimia 7.8, angalau nafasi mbili mbele ya kiwango cha Jumuiya ya Af&#341;ika Masha&#341;iki.<\/p>\n<p>&#8220;Ni muhimu kugundua kuwa baadhi ya nchi zenye ukame mkubwa pia zimepunguza idadi ya watu wanaokabiliwa na njaa. Nchini Ethiopia, kwa mfano, mwaka jana idadi ya watu wanaokabiliwa na njaa ilipungua kutoka milioni 5.2 hadi milioni 3.2, na hivyo kupunguza lishe duni kwa asilimia 32 nchini humo,&#8221; Nde&#341;i alisema.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Utafiti wa Afya na Idadi ya Watu nchini Ethiopia mwaka 2011, vifo vya watoto chini ya miaka mitano vinasimamia katika asilimia 20 mwaka 1990 lakini vimeshuka hadi asilimia 8.8. Lishe duni inachangia kwa uchache nusu ya vifo hivi kwa mujibu wa Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni.<\/p>\n<p>Amos Kiptanui, mkulima mdogo katika Jimbo la Bonde la Ufa nchini Kenya, ambalo pia linajulikana kwa kuzalisha chakula nchini, alisema kuwa hatua hizi chanya zimetokana na dhami&#341;a za kifedha na kisiasa katika kutokomeza njaa na lishe duni.<\/p>\n<p>&#8220;Rwanda ni nchi ya kwanza ba&#341;ani Af&#341;ika kusaini Mpango Kabambe wa Maendeleo ya Kilimo Af&#341;ika (CAADP). Nchi hiyo pia imeongeza ma&#341;a mbili matumizi yake katika kilimo hadi asilimia 10 kufikia mkakati wa kise&#341;a wa CAADP,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>CAADP inahitaji nchi zilizotia saini mkataba huo kutenga kwa uchache asilimia 10 ya bajeti zao za kitaifa katika kilimo.<\/p>\n<p>&#8220;Mataifa ya Af&#341;ika ambayo yamepata mafanikio kuweza kulisha watu wake yamefanikiwa kutokana na kuwekeza zaidi katika wakulima wadogo wadogo ambao ni zaidi ya asilimia 90 ya uzalishaji wa kilimo ba&#341;ani Af&#341;ika,&#8221; Nancy Mumbi, mtafiti wa kilimo na afisa ugani nchini Kenya katika Jimbo la Kati, alisema.<\/p>\n<p>Aliongeza kuwa mwaka 2011, se&#341;ikali ya Rwanda iliwekeza dola milioni tano za nyongeza katika sekta ya kilimo.<\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na bajeti ya kilimo kufikia dola milioni 112, &#341;asilimali hizi zinaendelea kusaidia wakulima nchini Rwanda kwa njia ya kutoa &#341;uzuku za pembejeo kama vile mbolea za chumvi na kutoa mafunzo juu ya teknolojia za kisasa ambazo zinaweza kubo&#341;esha uzalishaji. Kwa uhakika, kumekuwepo na p&#341;og&#341;amu ya se&#341;ikali ya kukuza matumizi ya kilimo,&#8221; Numbi alisema.<\/p>\n<p>Nchi nyingine ambazo zimebo&#341;esha mgawo wao wa kibajeti katikia kilimo ni pamoja na Sie&#341;&#341;a Leone, Kenya na Malawi.<\/p>\n<p>Tangu mwaka 2005, Malawi imejitahidi kutenga kwa uchache asilimia 10 ya bajeti yake ya kitaifa katika kilimo. Bajeti ya kilimo nchini Kenya imeongezeka kwa kasi kutoka asilimia nne katika mwaka wa fedha uliopita hadi asilimia tisa katika mwaka wa fedha wa sasa. Iko nyuma ya asilimia moja tu kufikia mkakati wa kise&#341;a wa CAADP.<\/p>\n<p>Usalama wa chakula nchini Ghana umechangiwa na uwekezaji wa muda m&#341;efu wa nchi hiyo katika kilimo.<\/p>\n<p>&#8220;Kama ilivyo kwa Rwanda, kuna m&#341;adi wa kutoa &#341;uzuku ya mbolea nchini Ghana ambao unawezesha wakulima kuhifadhi a&#341;dhi iliyochoka kutokana na usimamiaji mbovu,&#8221; Mumbi alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Nchi ambazo zimebo&#341;esha usalama wa chakula ni zile ambazo zimelinda a&#341;dhi zao zisiha&#341;ibike kutokana na sababu mbalimbali kama vile matumizi ya kupitiliza ya mbolea za kemikali, uchomaji wa moto, ukataji wa miti na ufugaji wa kupita kiasi.&#8221;<\/p>\n<p>Nchini Kenya, uha&#341;ibifu wa Msitu wa Mau ulisababisha mabadiliko makubwa ya hali ya hewa yaliyosababisha kupungua kwa mvua, ambayo iliathi&#341;i kilimo katika Jimbo la Bonde la Ufa na hivyo kusababisha uhaba wa chakula.<\/p>\n<p>Msitu wa Mau unaongoza kwa kunyonya hewa ya ukaa nchini humo na pia ni hifadhi kubwa ya vyanzo vya maji. Msitu huo pia unahusika katika kuzuia mafu&#341;iko na kupunguza mmomonyoko wa udongo. Taifa hilo limejikita katika kampeni kubwa ya ku&#341;ejesha msitu huo na kuufanya kuwa na faida zaidi ambazo zitabo&#341;esha upatikanaji wa chakula katika ukanda huo.<\/p>\n<p>Senegal imekuwa ikifanya kazi katika mpango kabambe wa kujitosheleza kwa chakula ifikapo mwaka 2015. Taifa hilo linawapatia wakulima &#341;uzuku za mbegu na pembejeo za mbolea. Pia linaendesha mpango wa usalama wa chakula na lishe bo&#341;a kwa watoto wa chini ya miaka mitano, na akina mama wajawazito na wanaonyonyesha.<\/p>\n<p>Nchi nyingine zinazofanya jitihada zinazoonekana waziwazi katika kubo&#341;esha usalama wa chakula ni pamoja na Alge&#341;ia Mo&#341;occo, Mis&#341;i, Tunisia, Botswana na Gabon.<\/p>\n<p>Pamoja na kuwa nchi nyingi zinaweza kupambana na njaa na zipo katika mwelekeo mzu&#341;i, bado kuna jitihada kubwa zinazohitajika kuchukuliwa kama ambavyo Ousainou Ngum, mku&#341;ugenzi mtendaji wa ACORD anavyosema.<\/p>\n<p>&#8220;Ni lazima mataifa ya Kiaf&#341;ika yajipange katika se&#341;a zake za uwekezaji ili kuelekeza nguvu katika kilimo na uzalishaji wa chakula. Mgogo&#341;o wa chakula unaolikabili ba&#341;a hilo unatokana na kukosekana kwa se&#341;a madhubuti. Kama viongozi watashindwa ku&#341;atibu se&#341;a zao vema, mamilioni ya Waaf&#341;ika wataendelea kukabiliwa na njaa kutokana na uhaba wa chakula.<\/p>\n<p>&#8220;Ni lazima viongozi wetu kujenga vitega uchumi ambavyo vinafaa kwa sekta ya kilimo, huku vikilenga katika wakulima wadogo, wanawake na wafugaji. Kwa uchache Waaf&#341;ika milioni 270 kati ya wakazi wote ba&#341;ani humo wapatao milioni 800 walikuwa wakikabiliwa na njaa. Ili kukabiliana na hali hii, mikakati ya kuongeza uzalishaji wa chakula katika ba&#341;a lazima kuangalia zaidi suala la usalama katika umilikaji wa a&#341;dhi na upatikanaji bo&#341;a wa masoko.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Jan 20 2012 (IPS) &ndash; Idadi kubwa ya nchi za Af&#341;ika zinapata mafanikio makubwa katika kutokomeza njaa na umaskini. Ghana, Libe&#341;ia, Malawi, Rwanda, Sie&#341;&#341;a Leone na Af&#341;ika Kusini ni miongoni mwa nchi ambazo zimepata mafanikio makubwa katika kufikia malengo haya. Hii imejionyesha katika &#341;ipoti ya utokomezaji wa njaa ambayo inapima usalama wa chakula katika&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":720,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3982","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3982","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/720"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3982"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3982\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3982"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3982"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3982"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}