{"id":3979,"date":"2013-01-03T13:40:01","date_gmt":"2013-01-03T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/01\/03\/nile-yaongeza-nishati-polepole-nchini-uganda\/"},"modified":"2013-01-03T13:40:01","modified_gmt":"2013-01-03T13:40:01","slug":"nile-yaongeza-nishati-polepole-nchini-uganda","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/01\/03\/nile-yaongeza-nishati-polepole-nchini-uganda\/","title":{"rendered":"Nile Yaongeza Nishati Polepole Nchini Uganda"},"content":{"rendered":"<p>KAMPALA, Janua&#341;i 3 (IPS) &ndash; Uganda inakabiliwa na uwezekano mbaya wa kuongezeka kwa gha&#341;ama za kujenga mtambo wa kuzalisha nishati ya umeme wa megawati 600 katika Mapo&#341;omoko ya Ka&#341;uma, kwenye Chanzo cha Mto Nile katika ziwa Victo&#341;ia, hii ni kutokana na kuchelewa kwa ujenzi.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Taifa hilo la Af&#341;ika Masha&#341;iki bado halijateua mzabuni wa m&#341;adi huo wa thamani ya dola bilioni mbili, ambao upo kilomita 220 kaskazini magha&#341;ibi mwa mji mkuu wa Kampala.<\/p>\n<p>Hapo awali ujenzi ulipangwa kuanza mwezi Ap&#341;ili, huku ukita&#341;ajiwa kuzinduliwa miaka minne au mitano ijayo.<\/p>\n<p>Kuchelewa kuanza kuzalisha nishati hiyo kunaweza kusababisha kukatika kwa umeme siku zijazo kwani mahitaji yanaweza kuzidi uwezo wa usambazaji, kwa mujibu wa Dickens Kamugisha, mku&#341;ugenzi mtendaji wa NGO ya &#8220;Af&#341;ica Institute fo&#341; Ene&#341;gy Gove&#341;nance&#8221; yenye makazi yake nchini Uganda.<\/p>\n<p>Mahitaji ya nishati nchini Uganda inaongezeka kwa wastani wa asilimia 10 kwa mwaka, kwa mujibu wa Mamlaka ya Kudhibiti Umeme Uganda (ERA). Mahitaji ya juu nchini humo kwa sasa ni megawati 509.4, wakati kipindi cha mahitaji ya chini ni megawati 366.4, msemaji wa ERA Julius Wande&#341;a aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Kila siku inayopita wakati m&#341;adi ukiwa haujaanza gha&#341;ama kwa kampuni ambazo zitautekeleza m&#341;adi na nchi kwa ujumla zinazidi kuongezeka, na ucheleweshaji ma&#341;a nyingine utaongeza gha&#341;ama za ujenzi,&#8221; Kamugisha aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Itasababisha kuongezeka kwa gha&#341;ama, na mahitaji yatazidi uwezo wa usambazaji kama nishati zaidi haitazalishwa kwa wakati, Kamugisha alisema.<\/p>\n<p>Lakini kutokana na kuchelewa kumtaja mzabuni wa kujenga mitambo ya nishatai ya maji ya Ka&#341;uma, gha&#341;ama za ujenzi wa m&#341;adi huo taya&#341;i zimeshaanza kuangaliwa upya na zimefikia dola bilioni mbili kutoka makadi&#341;io ya awali ya dola bilioni 1.3 zilizotajwa na Rais Yowe&#341;i Museveni Feb&#341;ua&#341;i 2010.<\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya nishati, mahitaji yanaweza kuzidi usambazaji katika kipindi kinachokadi&#341;iwa kuwa miaka mitatu ijayo kama hakuna jitihada zitafanyika kuzalisha zaidi nishati,&#8221; Kamugisha alisema. Lakini kama uchelewaji wa ujenzi unaweza kuondoa uta&#341;atibu mbovu wa utekelezaji m&#341;adi huo, ucheleweshaji huo utakuwa na maana, alisema.<\/p>\n<p>Ucheleweshwaji kama huo wa ujenzi wa mitambo ya kuzalisha umeme wa maji katika bwawa la Bujagali ulisababisha gha&#341;ama za mwisho kupanda hadi kufikia dola milioni 900, kutoka makadi&#341;io ya awali ya dola milioni 580, kwa mujibu wa Kamugisha.<\/p>\n<p>Uwezo wa uzalishaji katika nchi hii isiyokuwa na banda&#341;i katika Af&#341;ika Masha&#341;iki ulifikia megawati 810 baada ya kuzinduliwa kwa Mitambo ya Bujagali katika Mto Nile, yenye uwezo wa kuzalisha megawati 250 mwezi Janua&#341;i.<\/p>\n<p>Bujagali imesaidia kuondokana na mgawo wa umeme wa kila siku. M&#341;adi ulianza kusambaza megawati 50 katika g&#341;idi ya taifa mwezi Janua&#341;i na kufikia uwezo wake mzima wa megawati 250 mwezi Juni.<\/p>\n<p>Uhaba wa nishati uliathi&#341;i ukuaji wa kiuchumi kwa asilimia moja hadi 1.5 katika mwaka wa fedha uliopita, kwa mujibu wa se&#341;ikali ya Uganda.<\/p>\n<p>Ukuaji wa kiuchumi katika kipindi cha miezi 12 iliyomalizikia Juni 2012 ulishuka kwa asilimia 3.2 kutoka asilimia 6.7 kwa mwaka ambako kulichangiwa na uhaba wa usambazaji wa umeme na mtikisiko wa kiuchumi katika kanda ya Eu&#341;o, kwa mujibu wa Wiza&#341;a ya Fedha.<\/p>\n<p>&#8220;Kuja kuanza kufanya kazi kwa mitambo ya Bujagali kulikuwa neema kubwa ya kukuza biasha&#341;a yangu kwani kwa sasa nina umeme wa kila ma&#341;a,&#8221; Richa&#341;d Ssemanda, fundi wa kuchomelea mjini Kampala, aliiambia IPS. &#8220;Hapo kabla ningekaa siku nzima bila umeme na hivyo bila kufanya kazi au hata kwenda kufanya kazi nyakati za usiku kama wakati huo umeme ungekuwepo,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Sasa nafu&#341;ahi kuwa kuna utulivu katika usambazaji wa umeme lakini nautumia tu kwa ajili ya kuwasha taa kwani siwezi kuutumia kwa kupikia kutokana na gha&#341;ama kubwa,&#8221; James Senfuka, fundi ujenzi katika jiji la Kampala, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Bili za umeme zinaendelea kubakia za juu, na hivyo kufanya kaya nyingi kuwa na uwezo wa kuwasha taa na kupiga pasi tu, kwa mujibu wa baadhi ya watumiaji. Mwezi Janua&#341;i ERA ilipitisha wastani wa ongezeko la umeme la asilimia 47 ili kupunguza kiwango cha &#341;uzuku kinachotolewa kwa sekta hiyo.<\/p>\n<p>Lakini wazi&#341;i wa nchi anayeshughulikia nishati ana nia ya kuzuia ku&#341;udiwa tena kwa makosa ya kushuka kwa ukuaji wa uchumi kwa mwaka 2011 kulikotokana na uhaba wa nishati.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa uzoefu tulishuhudia kuongezeka kwa gha&#341;ama za Bujagali kutokana na ucheleweshaji, na kama tutachelewesha mchakato huu tunaweza kuwa na uhakika wa gha&#341;ama kupanda tena,&#8221; Simon D&#8217;Ujanga, wazi&#341;i wa nchi anayeshughulikia nishati aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Tuna wasiwasi juu ya kuchelewa kwa m&#341;adi wa (Ka&#341;uma) na tunataka masuala haya kutatuliwa ha&#341;aka ili tusiteseke zaidi na uhaba wa nishati ambao utadhoofisha ukuaji wa kiuchumi,&#8221; D&#8217;Ujanga alisema.<\/p>\n<p>Mahitaji ya nishati yanaweza kuongezeka kutoka kiwango cha matumizi ya juu cha sasa cha megawati 509.4 hadi zaidi ya megawati 700 miaka miwili hadi mitatu ijayo, D&#8217;Ujanga alisema. Taifa limeongeza uwezo wa kuzalisha umeme wa hadi megawati 810, lakini uwezo unaweza kupungua hadi juu kidogo ya megawati 600 wakati kiwango cha maji kitakapopungua, alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Mi&#341;adi midogo inaweza kusambaza umeme katika g&#341;idi ya taifa, lakini tuna wasiwasi kama m&#341;adi wa Ka&#341;uma hautaanza hivi ka&#341;ibuni tutaweza kukabiliwa na uhaba wa umeme siku zijazo,&#8221; alisema D&#8217;Ujanga.<\/p>\n<p>&#8220;Ni vema siku zote kujiandaa kwa ajili ya mabaya yatakayokuja kwa kuanza m&#341;adi mapema,&#8221; aliongeza.<\/p>\n<p>M&#341;adi huo ulicheleweshwa wakati wazabuni wealioshindwa katika hatua za awali za m&#341;adi huo walipokata &#341;ufaa mahakamani dhidi ya wakala wa manunuzi wa taifa.<\/p>\n<p>Makampuni ya China Sinohyd&#341;o Co&#341;po&#341;ation na China Inte&#341;national Wate&#341; and Elect&#341;ic Co&#341;po&#341;ation ikiwa ni pamoja na Pe&#341;lite Const&#341;uction Company ya I&#341;an walivuka katika hatua za awali za zabuni ya m&#341;adi huo mwezi Feb&#341;ua&#341;i. Kampuni ya Italy&#8217;s Salini Const&#341;utto&#341;i SPA, Egypt&#8217;s O&#341;ascom Const&#341;uction Indust&#341;ies na mkusanyiko wa makampuni ya ujenzi ya Af&#341;ika Kusini walishi&#341;iki katika zabuni.<\/p>\n<p>&#8220;Tulitakiwa kuanza m&#341;adi mwezi Ap&#341;ili, lakini mchakato umecheleweshwa na malalamiko ya baadhi ya walioshindwa zabuni mahakamani na watoaji haba&#341;i za si&#341;i ambao walipeleka pingamizi dhidi ya Mamlaka ya Manunuzi ya Umma,&#8221; Matovu Bukenya, msemaji wa Wiza&#341;a ya Nisha&#341;i nchini Uganda aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Kampuni ya Italy&#8217;s Salini Const&#341;utto&#341;i SPA ilipinga mahakamani kwa misingi kuwa mchakato wa zabuni ulijaa mapungufu, na kutaka kupitiwa upya.<\/p>\n<p>Taifa hilo lina fu&#341;sa za uwekezaji mkubwa wa umeme wa nguvu ya maji wa thamani ya megawati 2,000, uwekezaji mdogo wa megawati 200, na nishati ya jua yenye thamani ya megawati 200, nishati ya mimea ya megawati 1,650, nishati ya taka ya megawati 800, nishati ya mvuke ya megawati 450 ikiwa ni pamoja na nishati ya upepo, kwa mujibu wa tovuti ya se&#341;ikali.<\/p>\n<p>Museveni amesema kuwa ongezeko la uzalishaji wa nishati ya umeme litaongeza uzalishaji wa viwandani na hivyo kuwezesha uchumi wa nchi kuwa wa kipato cha kati &#8220;katika kipindi cha miaka michache ijayo,&#8221; na hata kuleta mageuzi na kuifanya nchi kuingia katika ngazi ya nchi za kipato cha juu katika kipindi cha miaka 50 <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KAMPALA, Janua&#341;i 3 (IPS) &ndash; Uganda inakabiliwa na uwezekano mbaya wa kuongezeka kwa gha&#341;ama za kujenga mtambo wa kuzalisha nishati ya umeme wa megawati 600 katika Mapo&#341;omoko ya Ka&#341;uma, kwenye Chanzo cha Mto Nile katika ziwa Victo&#341;ia, hii ni kutokana na kuchelewa kwa ujenzi. Taifa hilo la Af&#341;ika Masha&#341;iki bado halijateua mzabuni wa m&#341;adi huo&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":963,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3979","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3979","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/963"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3979"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3979\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3979"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3979"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3979"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}